Тёмный

LIVE: MAOMBI YA KUANGUSHA NGOME ZA ADUI MAISHANI MWAKO 

SIRI ZA BIBLIA
Подписаться 114 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

2 Kor 10:4-5
(maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome;) tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 163   
@VictoriaVictoriaPastorytome
@VictoriaVictoriaPastorytome 4 месяца назад
Katika jina layesu naangusha ngome za maadui ktk nyumba yangu vifungo kazini kwangu madeni yaniondokee ktk jina layesu kazi yangu ifunguliwe nipokee muujiza utendeke kwangu nifunguke kwajina layesu nipate pesa nilipe madeni yote amen
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 Год назад
Katika jina la Yesu ninaangusha kila pando lililo pandwa kwa sili kwangu mawazo mabaya yasipate kibali kwangu kwa kuwa mimi ni miliki ya Mungu na ameniunganisha kwenye ukoo wa Yesu kiristo Yesu nimefanyika kuwa wake ninajitenga na kila hila zote za adui maishani mwangu nikiomba haya yote kupitia jina la Yesu kiristo Yesu wa nazareth Amen
@stevenmzungu9299
@stevenmzungu9299 Год назад
Shalom shalom leo nang'oa kila fikra zilizo wekwa na adui kwa mchumba wangu suzan naangusha yalee magonjwa walio muwekeea katika jina la yesu kristo wanazareth kila fikra zilizo wekwa na adui kwa mchumba wangu suzan zikapatee kumtii kristo❤
@janetfrancis7180
@janetfrancis7180 Год назад
Amen
@annamkembela9544
@annamkembela9544 Год назад
Amina
@Mercy-jl1pn
@Mercy-jl1pn Год назад
Amen. Pokea jibu la ombi lako
@prettyalecky6914
@prettyalecky6914 Год назад
Amen and Amen YESU amesikia maombi yako 🙏
@AaAa-ue5di
@AaAa-ue5di 4 месяца назад
Amina👏👏
@wisemelodytz589
@wisemelodytz589 Год назад
Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi wako🙏
@SalmaAgaanda
@SalmaAgaanda 5 месяцев назад
Amin namie asabuhi yaleo naangusha kira mabaya yote niriyonene wewa na maaduiii zangu nayenye wametupia mpenzi wangu tukomborewe siwote katika jina kuuu ra yesu kristo amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@NamaNama-qw5kn
@NamaNama-qw5kn 2 месяца назад
Shalom shalom ninasikiliza kutoka Saudi Arabia
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 Год назад
Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen Ameeeeeen hallelujah hallelujaaaaaaaaaaaah
@damarismuli8364
@damarismuli8364 Год назад
Thank you God mimi nikona mawazo mabaya wakati Niko kati wevo wa maombi naomba uniombee Asante,,
@leonardobulalu
@leonardobulalu Год назад
Nang'oa kila ngome za adui zilizowekwa maishani mwangu na ngome zilizowekwa kwenye uzao wa tumbo la mama angu na uzao wake wote pamoja na ngome zilizowekwa na adui Kwa ajili ya uzazi wa kiuno cha Baba angu nazing'oa zote
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 7 месяцев назад
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@johnmwangi4592
@johnmwangi4592 Год назад
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah
@bossladyjv3828
@bossladyjv3828 Год назад
Asante Yesu kwa kua wewe unajibu maombi
@georginantemi8598
@georginantemi8598 Год назад
Nabarikiwa Sana na kipindi hiki kinaniongoza imani
@carolinemulamba4921
@carolinemulamba4921 Год назад
Amen nakataa kila mawazo mbaya yatakayo ingia katika kichwa changu navunja kila ngome ya kishetani katika jina la yesu
@agathemichelle238
@agathemichelle238 Год назад
Baba Mungu Nakuomba unipambanie na maadui maana anaitaji kuniangamiza pigana nawanao pigana nami Bwana maana peke yangu siwezi Baba naitaji musaada kutoka kwako kwa Ushindi mkubwa. Amen 🙏🙏🙌
@onesmocagubecagube60
@onesmocagubecagube60 4 месяца назад
Amina
@bossladyjv3828
@bossladyjv3828 Год назад
Nafuatilia kutoka Mombasa Kenya unasikika poa
@SubiragaKabango
@SubiragaKabango Месяц назад
Mimi binafsi nawapongeza na kuwashukruni sana watumishi wa Mungu kupitia yesu kristo kwa maombi yenu mtandaoni yamenisaidia sana kuivunja ngome ya Adui shetani! Hususani wachawi,wanga,washirikina nk! MBARIKIWE SANA!
@cerecere5758
@cerecere5758 Год назад
Amen amen🙏🙏
@juliethozil6610
@juliethozil6610 11 месяцев назад
Eeh Mungu pigana na adui zangu wanaokaa vikao kuniwazia mabaya wanaokaa vikao kutaka kunitumbukiza waanguke na wateleze kupitia jina la Yeah wa nazareti ameen🙏🙏
@SevAl-p9k
@SevAl-p9k 7 месяцев назад
Amen 🙏 naziangusha ngome zote zinazoinuka katika maisha yangu,pia nazifunga roho Zinazo pitisha habari mbaya kwa mawazo na fikra zangu kwa jina la yesu.mungu wangu nitetee na kunipigania maana vita sivyangu ni vyakwako .wanasema Yuko wapi mungu wake,baba simama na ujulikane kwamba uko baba❤❤🙏
@prettyalecky6914
@prettyalecky6914 Год назад
AMEN and AMEN,,Asante bwana Yesu 🙏
@emmanuelamkinga7828
@emmanuelamkinga7828 Год назад
Naondoa ngome katika mawazo yangu na fikra zangu kwa jina laYesu wa nazareth
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Nakataa fikra mbayaa ndani ya mawazo yangu kwa jina la YESU
@GloryMsofe-gr3st
@GloryMsofe-gr3st 6 месяцев назад
Nakomboa fikra na fahamu zangu,mawazo yangu kwa jina la YESU
@faigel
@faigel Месяц назад
Mungu naomba unipiganie vita vyote adui anazo nipiga maana wewe unaweza
@AnneOpondo-ie4ej
@AnneOpondo-ie4ej Год назад
Amen, nashukuru sana haya mafunzo ya madhabahuni yamenibadiliasha na kuniweka mahali pakubwa, ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu 🙏
@bossladyjv3828
@bossladyjv3828 Год назад
Hii vita nipambanie Mungu wangu kwa kua pekee yangu siwezi
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn Год назад
Ameen
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 7 месяцев назад
I receive I receive I receive
@MohammedIbrahim-dd6ow
@MohammedIbrahim-dd6ow Год назад
Ameniiiiiiiiiiiiiii ubarikiwa sana mtumishi wa Mungu Mungu akupemaisha malefu uzidikutufudisha neno lake sisi ambae hatujuw barikiwa sana mtumsh wa Mungu amina,🙏🙏🙏🙏
@annefidelis6931
@annefidelis6931 Год назад
Nawasambaratisha yeyote alieinuka ktk mahusiano ya watoto wangu biashara na ajira zao Yesu tupe ushindi juu ya adui ashindwe ktk jina la Yesu Kristo alie Hai
@naimaabdalla128
@naimaabdalla128 Год назад
Amen Amen Amen 🙏
@furahahonorine8055
@furahahonorine8055 Год назад
Powerful powerful Mtumishi barikiwa baba asante saaana powerful, ndio kbs aduhi hana uwezo yakutukamata kbs, anapoleta ngom ya uharibifu kwenye mawazo, kwenye fikra, ndipo anatukamata oooooohhhhhhh Yeeeeee eeeeeehhh yuuuuuu wangu navunja hiyo ngome ya aduhi iliyo mbandwa kwenye fikra zangu, kwenye mawazo yangu kwa jiiiiiiiiiiiinaaa la Yesuuuu kristo navunjaaaaaaaaaaaa ngome ya umasikini, yamagonjwa, yakutomtii Mungu,..... Boooomoookaaaaaaaaaaaa in Jesus name🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mosesmaganga1548
@mosesmaganga1548 Год назад
Mungu wewe ni nuru ya maisha yangu
@beathapontian2187
@beathapontian2187 Год назад
Ameen🙏🙏
@pendokashushura41
@pendokashushura41 Год назад
Bwana mungu naomba unisaidie kupambana na adui zangu mimi mwenyewe siwezi baba
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 Год назад
Amen and Amen
@deogratiusmhanga2761
@deogratiusmhanga2761 Год назад
Shalom bwana Yesu asifiwe wana familia wa Maarifa ya kimungu
@auleliamngongo2509
@auleliamngongo2509 Год назад
Nakusikia kutoka Njombe
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Shalom mtumishi unaependwae na MUNGU BABA
@elishaathumanathuman16
@elishaathumanathuman16 7 месяцев назад
Asante YESU
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn Год назад
Ameen mt usiku mwema
@martinehussein7261
@martinehussein7261 Год назад
Ameen tupo pamoja mutumishi wa mungu nakufata mimi ni murundi 🇧🇮 ila kwasasa nipo suid Afrique
@mayranehemia9469
@mayranehemia9469 Год назад
Mungu naomba unisaidie niishi maisha ya Kiroho .
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts Год назад
Asante baba Mungu kwa wema na fadhili zako kwangu.
@rithamalisa4636
@rithamalisa4636 Год назад
🙏 Mungu wewe ni mwaminifu kwangu🙏
@MiltonObote-ln4wb
@MiltonObote-ln4wb Год назад
Amen
@MiltonObote-ln4wb
@MiltonObote-ln4wb Год назад
Asante yesu Asante yesu!
@annakiswaga8805
@annakiswaga8805 Год назад
MUNGU WA MBINGUNI nisaide niendele kujuwa zaidi kupitia jina la BWANA YESU KRISTO
@mayranehemia9469
@mayranehemia9469 Год назад
Amen Amen.
@denisedward2983
@denisedward2983 Год назад
Amen Amen
@marymueni7891
@marymueni7891 Год назад
Katika jina la Yesu kristo navunja ngome zote maishani mwangu,kwa watoto wangu na kwenye ndoa yangu
@JohnTarmo-bq3tm
@JohnTarmo-bq3tm Год назад
Asante yesu
@maorinebarongo7789
@maorinebarongo7789 Год назад
Asante mungu leo nimepata kitu,Amen Amen mungu usiniaje😭😭🙏
@salomezakaria
@salomezakaria Год назад
❤❤amen nakupata vema kutoka Oman ni mimi mtumishi Salome Zakaria.
@mary2034
@mary2034 Год назад
Thank you Jesus kwa ufunuo huu juu yangu, nang'oa ,naharibu na kuangusha ngome zote za adui ndani ya mawazo na fikra zangu in Jesus Name
@SevAl-p9k
@SevAl-p9k 3 месяца назад
Mungu nisaidie nivushe kwa haya majaribu🙏❤️
@hesbonomoke8973
@hesbonomoke8973 Год назад
Hesbon from Nairobi Kenya tunakupata vizuri kabisa. Shalom
@GasanaWilly-bg6ut
@GasanaWilly-bg6ut Год назад
Asante Mungu
@EdsonMethod-uj8wk
@EdsonMethod-uj8wk Год назад
Ameen yote yanawezekan kwa mungu
@ndayizeyevianney8803
@ndayizeyevianney8803 Год назад
Niko Burundi navunja kila kufungo kwenye maisha yangu
@monicaludovick891
@monicaludovick891 Год назад
Amennnnnnnnnnn❤
@johariomari-le5zc
@johariomari-le5zc 6 месяцев назад
Amen Mungu akubariki mtumishi
@Judith-mw4ys
@Judith-mw4ys 3 месяца назад
Aki huyu ni mimi nisaidie mungu nikawaze mawazo sahihi🙏
@lusilusi8687
@lusilusi8687 Год назад
Ameen, God please help me
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Amen nakusikia vyema
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Naelewa mtumishi wa MUNGU
@J.PierreItangishaka
@J.PierreItangishaka Год назад
Bwana yesu asifiwe wapendwa wa mungu na wasokiliza toka Kenya mungu akubariki mtumishi wa mungu
@AnitaMr-g3b
@AnitaMr-g3b Год назад
🙏🙏 Amen
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 20 дней назад
❤❤❤❤ Aminaa
@IsabelMazik-r4t
@IsabelMazik-r4t Год назад
AMEN AMEN 🙏🙏 Asante MUNGU kwa uweza wako na nguvu
@annefidelis6931
@annefidelis6931 Год назад
Navunja ngome zote za laana, maagano, majina ya kuridhi, Vita za kifamilia, uchawi, mawazo ya kukatisha tamaa, aibu, fedheha, mitambiko, ushirikina, uadui, chuki, katika uzao wa tumbo langu na familia yangu ktk jina la Yesu Kristo wa Nazareth alie Hai Amen 🙏
@collenskessy-ts7ue
@collenskessy-ts7ue Год назад
Amen Amen Asante Mungu kwa Neema yako 🙏🙏🙏🙏
@user-ew2ko2zx7n
@user-ew2ko2zx7n Год назад
Naondoa mikosi, nuksi, laana na mizimu ya nyumbani inayonifatilia 14:08
@oman798
@oman798 5 месяцев назад
AMINA
@kentkizzy
@kentkizzy Год назад
natokea kimara naitwa latifaninafulaa sana mungu kuniwezesha kukusikiliza tena kaka mungu akubarik
@sophias3334
@sophias3334 Год назад
Nakuita mungu wangu maana umenwezesha kufikia kipind hiki cha Leo ninavunja kila pepo la zinaa ninataka niwe na ww mungu wangu nisaidie kwenye hii vita Kali mungu wangu nisaidie nikufuate ww peke yake mungu wangu navunja ndoto zakurud nyuma mm siyule wajana na utakase mawazo yangu nikutumikiee ww mungu wangu
@SarahJacob-hg7xf
@SarahJacob-hg7xf Год назад
Bwana yesu asifiwe ninaangusha kill ngome za adui zilizo pandwa kwenye familia yetu na Kila roho zinanazo tufuatilia zishindwe kwa jina la yesu kristo wa Nazareth ninalaani vifo vilivo ktk familia kufa kabla ya wakati nalaani umaskini, madeni
@EmmanuelSige-tc1bn
@EmmanuelSige-tc1bn Год назад
Thanks God for another opportunity 🙏🙏
@JudithNafuna-b7g
@JudithNafuna-b7g Год назад
in Jesus name amen 🙏🙏
@juliuskalawa7860
@juliuskalawa7860 Год назад
Naifatilia ibada kutokea Morogoro
@EtienneNdayikeza-g8u
@EtienneNdayikeza-g8u 8 месяцев назад
Thanks for your help God bless you a'm from burundi Bujumbura imana ugukomeze mugenzi ❤❤
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Mimi nawaza MUNGU anibariki basi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Barikiwa baba
@user-rn4ky1oe9s
@user-rn4ky1oe9s Год назад
NAOMBA MUNGU ANIPIGANIE FIKRA ZANGU
@samuelabonifas5441
@samuelabonifas5441 Год назад
Asante yesu wangu kwa huo ufunuo niwezeshe kung'oa kuharbu na kuangamiza mawazo fikra kwa jina la yesu mwana mungu halie hai
@lonmaria23
@lonmaria23 Год назад
🙏🙏🙏🙏
@sauud2some471
@sauud2some471 Год назад
Ameeen barikiwa Mungu atusaidie sana tujue Ile kweli ya biblia Ameeen 🙏🙏🙏❤️♥️
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Barikiwa mwimbaji
@agnesminde4081
@agnesminde4081 Год назад
Naomba Mungu wangu kuwekwa hurú nawe Bwana Mimi na familia yangu Baba.
@marykisiangani2470
@marykisiangani2470 Год назад
Asante mungu kwa siku ya leo nashukuru kwa wema wako, nashukuru ni kwa ajili ya mtumisbi wako ambaye unamtumia lama chombo cha kutufundisha kila ratiba ya maombi, zidi kumuongoza zaidi ili tukatafute ufalme wako mbinguni, bakiwa sana myumishi wa mungu acha mungu azidi kukuenemesha uzidi lutundisha neno la mungu pamoja na maombi kwa kutafuta njia ya mungu kwa uaminifu na ulamilifu
@Elizabethangella2274
@Elizabethangella2274 Год назад
Nakufata nikiwa Burundi
@beatrisbongole8044
@beatrisbongole8044 Год назад
Tmk Dar es salaam
@johnmwangi4592
@johnmwangi4592 Год назад
Amen and Amen thank you jesus John mwangi from Kenya 🇰🇪
@pendokashushura41
@pendokashushura41 Год назад
Amina amina asante yesu
@fridahmwende5449
@fridahmwende5449 Год назад
Amen Amen....asante mungu kwa neema na rehema zako siku ya leo ...asante kwa nguvu na uwezo wa roho mtakatifu aliye ndani🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@ANITHASHONYELA-hh8yn
@ANITHASHONYELA-hh8yn Год назад
Asante yesu kwa kuendelea kuvunja ngome ya adui ktk maeneo tofauti tofauti ya maisha yangu.
@johnmwangi4592
@johnmwangi4592 Год назад
Thank you jesus
@agnesminde4081
@agnesminde4081 Год назад
Naamini kwa jina la Yesu sitabaki gizani bali Bwana ataniona Mimi na n familia yangu
@evansmahate
@evansmahate Год назад
Mutu wa Mungu tuko pamoja nawe siku zote mpaka tutakapo maliza maombii ya mfungo
@emmanuelshukuran2543
@emmanuelshukuran2543 Год назад
Nimebalikiwa kwa neno lako mtumishi mungu atupinganie😭😭😭😭😭wote walio mkimbilia yeye kutoka ndani ya miyoyo yao amen 🙏🙏🙏
@liddydeSalt4773
@liddydeSalt4773 Год назад
Amen and Amen 🙏 🙌 👏
Далее
LIVE: MAOMBI YA VITA // KUPAMBANIA HAKI YAKO
46:53
Просмотров 17 тыс.
LIVE: MAOMBI MAALUM YA KUZUIA LAANA ZA KIFAMILIA //
43:05
⚡ #RodrygoGoes ✖️ #Mbappé ⚽ #UCL
00:11
Просмотров 401 тыс.
Какой звук фальшивый?
00:32
Просмотров 956 тыс.
Usiku wa Maombi 26/6/2020 by Innocent Morris
3:31:55
Просмотров 68 тыс.
AINA YA MAOMBI AMBAYO MUNGU ANAJIBU Mwl Mpoki Jafari
21:44
LIVE DAY 4: TOBA YA KUMRUDIA MUNGU
38:17
Просмотров 8 тыс.
MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU
40:20
Просмотров 27 тыс.