Тёмный

#LIVE 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 123 тыс.
50% 1

#LIVE : EXCLUSIVE INTERVIEW AISHA LOKOLE NDANI YA MASHAMSHAM YA WASAFI FM - APRIL 23, 2021

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 381   
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 года назад
Hongera Sana kwa mama dangote kuzaa mtoto mwema mashallah mungu ampe afya njema nasiha njema 🤲
@paschalmasalu6008
@paschalmasalu6008 3 года назад
Mtoto wa mama dangote ni yup
@teeyspices4190
@teeyspices4190 3 года назад
Asante aisha vzr sana umemnyoosha
@OfficialA83640
@OfficialA83640 3 года назад
Issa Azam huu mwezi Mtukufu halafu ni muislam bado una sengenya Subhanallah
@kakasijohari7461
@kakasijohari7461 3 года назад
Okopa mtu anaesema ndugu yake wa damu. Ipo siku na hawo utawatangaza mabaya. Gari tu inakutowa povu. Ndugu ni ndugu omba apana kuponda wako. Issa muokope Mungu duniya nimapito. Naokopa!!!!!!!
@asiasalim4634
@asiasalim4634 3 года назад
Mwanamke anampenda juma bado.. Asante momo na dida mmemaliza vizuri Big up lokole
@victoriamkilya928
@victoriamkilya928 3 года назад
Wanawake tunaowatoaga wanaume tongotongo huwa tunaumizwa sana, tukisema tunawaanika ni aibu yao. Hongera Bi Aisha na Juma kuyamaliza swalama!🙏
@subiramichael3840
@subiramichael3840 3 года назад
Ira mpe pesa zake dhambi usipompa pesa zake muogope mungu nayule dada alikupenda kwa dhati na mvumilivu na msili akuongelei vbaya naww usimuongelee vbaya
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
Kabisaaa
@kwizerasamia5397
@kwizerasamia5397 3 года назад
Ma sha allah mzur bi aisha😘😘
@mamunote3507
@mamunote3507 3 года назад
Mungu awabariki sana Familia ya Masham Sham kwa jambo zuri kama hili la kuondoa tafauti zao Juma na Mama Watt wake Alhamdulilah Alhamdulilah M.mungu awape kila la kheri Dunia na Akhera Bii Idhinillah Ameen
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 года назад
Isa azam nakukubali sana,zidi kupambana kabisa, 💪❤️🌞🙏🇰🇪. Lakini juma lipa deni na Kama mnaweza kusameheana basi mrudiane maisha mengine yaendelee👏🔥❤️🌞🙏🇰🇪.
@clionmasha3328
@clionmasha3328 3 года назад
Ramadhaniii radio nzimaas mumeamua kumchafuaaaa mwenzenuuuu gariutuuuu ndio linaganyaaa unaaichafua familiaaa Mungu akusamehee
@khadijashaban3218
@khadijashaban3218 3 года назад
Mwanamke nimzur mashallah
@hawakisura4260
@hawakisura4260 3 года назад
Mashalala
@mariajojoshoo4465
@mariajojoshoo4465 3 года назад
Dida una hekima sana. nimekupenda sana
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 года назад
Dida upo vizuri mashallah napenda upo vizuri kwamaswali endelea kumswalika juma ujuba umemuisha kweli muosha huoshwa
@انبنداملبن
@انبنداملبن 3 года назад
Juma mrudishe mkeo isa umeongeya vizuri na uchebe ume zungumza vizuri pia wcb 4 life leo ilikuwa tamu kwa masham sham
@zuhuraibrahimu446
@zuhuraibrahimu446 3 года назад
Ila dada dida nakupenda atar😘😘
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 3 года назад
Juma yeeeeeee 🤣🤣 mrudishe mama ni mzuri ❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@julejule4477
@julejule4477 3 года назад
Tena sana km anauko na snora adi kuongea anmoyo waimani waume bwana
@kwelikabisa1171
@kwelikabisa1171 3 года назад
Huyo issa fala sana kiba hamuongelei wala nini yeye kila interview kiba
@MctMct-tt4rq
@MctMct-tt4rq 3 года назад
HAJIELEWI HUYO ANAONA BORA USHABIK KULIKO UDUGU HAJUI UDUGU HAWISHI
@franckazaidifranckzaidi9306
@franckazaidifranckzaidi9306 3 года назад
Sauti ya Aisha Lokole kama ya Zuchu mashaallah
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
Nimemsikiliza huyo Dada media Kama mbili tofauti Aisha bado anampenda Juma ila cjajuwa kumpenda huko kwavle yupo WCB au tokea kpnd cha nyuma
@zuuzuundotterz4032
@zuuzuundotterz4032 3 года назад
Juma mkeo mzuri kushinda ulozaa nae 😎
@fadhilamohammed8764
@fadhilamohammed8764 3 года назад
Huyo pia kazaa nae mtoto wakwanza cjajua km amepata mwingne
@jamilamajid2287
@jamilamajid2287 3 года назад
Kaka momo umeongea point sana
@angelsalome8053
@angelsalome8053 3 года назад
Juma mungu anakuona
@teeyspices4190
@teeyspices4190 3 года назад
Wallah momo nimekupenda unaongea point saana
@fettymurhan229
@fettymurhan229 3 года назад
dada DIDA nakupendaaa
@rahmamussa8780
@rahmamussa8780 3 года назад
Kweli huyo mwanamke anamjua juma vizuri mana juma kapooaaaaa 😃😃😃😃
@mariamsuma3003
@mariamsuma3003 3 года назад
Kapoa kama maji ya mtungini
@pierrebigirindavyi4378
@pierrebigirindavyi4378 3 года назад
Momo unabusara saaana kaka
@evelynochola3280
@evelynochola3280 3 года назад
Na Amina henekeni ulivamia?
@salehemkwawila6421
@salehemkwawila6421 3 года назад
Nawakubari sana wasifi
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 3 года назад
Love you Didaaaaa!
@idas.kitchen05
@idas.kitchen05 3 года назад
Tena muosheni vizuri uyo juma
@subiramichael3840
@subiramichael3840 3 года назад
Kweri juma unazarau punguza
@lucyhussein7126
@lucyhussein7126 3 года назад
Ha ha ha ha sijui anaechabwa hajuilikan wote mnachambana!!!! Keleeeee
@shyrosemichael3466
@shyrosemichael3466 3 года назад
juma huyo ndo mke
@marthakilowoko8868
@marthakilowoko8868 3 года назад
Nikweli huyo nimke wake jamani kampenda toka hana kitu na mahari katoa pesa zake jamanii na KAKUPENDA ukiwa huna sura huyo ndio mke wako .
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 года назад
Nyie mna mambo kwakweli
@maryammilao9882
@maryammilao9882 3 года назад
Kweli muosha huoshwa Juma Lokole leo Kapata na kigagaziko juuu anacheka bila ata kutengenywa Bababaeeee
@annamsabila534
@annamsabila534 3 года назад
Umekoma leo
@kwelikabisa1171
@kwelikabisa1171 3 года назад
Huyo issa fala sana
@marylilianachieng5711
@marylilianachieng5711 3 года назад
Juma kapatikana leo. Dida shukran sana.
@suzanamhakilicha3358
@suzanamhakilicha3358 3 года назад
Kosa moja hata yeye analijua nasio vizuri kusema hata kwajamii,aisee
@meriserge1415
@meriserge1415 3 года назад
Yooo Jum nchek Pak mbavu zinaum
@zuhuraibrahimu446
@zuhuraibrahimu446 3 года назад
Juma yeeee mpemahari yake
@فاطمهالشمري-د2ج
@فاطمهالشمري-د2ج 3 года назад
Mashaallah djuma.ana mwanamke mzuriii kabisa niujinga wak tuu waumbea lakin nikaz
@timaosthman2304
@timaosthman2304 3 года назад
Hana mapiya huyo mwanameke yuwatafuta umaarufu kupetiya kwako juma wangu uko juuu baba penga kelele kwa juma wakwe❤❤
@mariyammaria3366
@mariyammaria3366 3 года назад
Nimke wake kweli juma mwenyewe ndo aliyaanza kama angemchokora ange fika apo
@fatmammanga5275
@fatmammanga5275 3 года назад
Jamn juma pole moyo was m2 msitu juma
@rahmasalim3087
@rahmasalim3087 3 года назад
Mm napenda mashamsham wamuite rayvanny na fahyma tuwaskie
@joycechaz2840
@joycechaz2840 3 года назад
Mnh wale wajeuri sjui kama watajibu kitu
@achiengnyaboro7841
@achiengnyaboro7841 3 года назад
@@joycechaz2840 😄
@francefrancis1492
@francefrancis1492 3 года назад
Fayma ni jeuri na Ray nunda Sasa patakuwa hapatoshi
@naimawaney1646
@naimawaney1646 3 года назад
Ulijuaj shoga ang akiletw fahmy ray so poa
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 года назад
Hilo tatizo moja hutoongea kwa Sabu sio zur kwa jamii nii twambie au ndo Yale wanaviongea watu🙈
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 года назад
Sound hiyo inaharibu
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 года назад
Juma lokole wapi hiyo sikuon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔥😁😁😁😁leo tunakusema wewe maana umezid kusema wenzio
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 3 года назад
Kupatwa kwa juma🤣🤣🤣
@fatmaabdi8813
@fatmaabdi8813 3 года назад
Kupatwa kwa juma🤣🤣🤣
@fatmasaid7093
@fatmasaid7093 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
@rayouaabdallah1394
@rayouaabdallah1394 3 года назад
Ndo naww uache tabia zakike haipendezi mwanamme ukamchamba mkeo uache umbea juma
@careenernest8912
@careenernest8912 3 года назад
Leo juma mpoleeee
@zaidankasamya2211
@zaidankasamya2211 3 года назад
Nimeipenda hii
@mathewmwamba9161
@mathewmwamba9161 3 года назад
Only in tz
@elizabethsakina2306
@elizabethsakina2306 3 года назад
Nimempenda didah 🤣😂😂🤣😂😂😂😂mmbea sana🤣🤣😂🤣
@hafsahamadi1631
@hafsahamadi1631 3 года назад
Huyo issa azam anaonyesha ana roho mbaya sana njaa itampeleka pabaya sana mmbwa huyo unaambiwa damu nzito kuliko maji ipo siku damu itakuumbua tuu nyooooo
@lilianlukindo6502
@lilianlukindo6502 3 года назад
Kweli kabisa me ananikera kweli tushajua ni ndugu kinachomuongelea ally kiba nn na akikaa akisubiri kiba amjibu atasubiri Sana hana ujinga wako mpuuzi huyo Fanya maisha yako kiba kiba mnamtaja bcs unamwogopa chawa mkubwa ww
@victoriagasper4478
@victoriagasper4478 3 года назад
Juma anazarau sana
@Maginnniiiiii
@Maginnniiiiii 3 года назад
Jamani juma unazarau sana
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 3 года назад
Mrudiane sasa
@mariammariam6765
@mariammariam6765 3 года назад
Kapatikana leo lokore1
@teedullah5708
@teedullah5708 3 года назад
Nyoo kumbe juma piya ww hupatikana
@octavianafrican289
@octavianafrican289 3 года назад
Ila juma ni mshari
@mamanunu26
@mamanunu26 3 года назад
Muyoshwa huyoshwa hapo chachaa
@mwanyukimganga411
@mwanyukimganga411 3 года назад
huyo momo. mtoweni hapo ana mpango
@mwanatumually7312
@mwanatumually7312 3 года назад
Jumaaaaaaa🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️aibu....lipa mahari....mwangalie mtoto chefuuuu mbea kumbe mshamba tu
@tatuhongeranurushaus485
@tatuhongeranurushaus485 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mwanatumually7312
@mwanatumually7312 3 года назад
@@tatuhongeranurushaus485 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
😂😂😂😂
@ABDULKITINDI
@ABDULKITINDI 6 месяцев назад
Hallo wasafi
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 3 года назад
Juma sii dini Inamruhusuuuuu
@idas.kitchen05
@idas.kitchen05 3 года назад
Juma leo ana kigugumizi
@judyjudy2758
@judyjudy2758 3 года назад
Ila Juma mkeo mzuri mrudie,utakuwa umefanya jambo la heri bado anakupenda, kakuzungumzia mambo mazuri tu haja kuongelea baya lolote
@josephmkutu5228
@josephmkutu5228 3 года назад
Turudshe to mahar ya watu
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
Huyo Dada mzur cjuw kwann waliachana na Juma,,, Aisha Kama huna bwana njoo kwangu me nipo 🏃
@julejule4477
@julejule4477 3 года назад
Juma ataka kulelewa nasai dadawawatu hana hela apo umemdikia pia uyo alonaee kamlipia mahari
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 года назад
@@julejule4477 duuuh 😲
@mariambakari996
@mariambakari996 3 года назад
Juma leo kawa mpole sana yamemfika
@khadijaamani9807
@khadijaamani9807 3 года назад
Juma Shikamo 😃😃😃😃😃😃
@d.cwayoutube8874
@d.cwayoutube8874 3 года назад
Kimeumana
@mapendosafi3429
@mapendosafi3429 3 года назад
Dida nakupenda sana kabisa kwakweli juma alikua nakauka kama musomalia😅😅😆😆oooh juma ule mwanamke alikua nakupenda sana juma wanaume walimbukeni akipata pesa kesho anakutupa juma Mungu akusame haki yamungu this it's was time for you ku make that women happy ila unamurudishiya mabaya nooooo man juma murudishane yule mwamke nimuzuri wazuri niwengi ila wenye mapenzi yakweli awako most women today wata kupenda kwasababu unakua najina but this women did mind you did have money .juma ume mukoseya sana kabisa uyu mwanamke
@mussamussa8181
@mussamussa8181 3 года назад
Nice
@zombiecute8793
@zombiecute8793 3 года назад
Wa kwanzaaaaa😁😁
@thomasmosesmganga2552
@thomasmosesmganga2552 3 года назад
Hii stesheni niyakijiweni
@QwQw-tr7gy
@QwQw-tr7gy 3 года назад
Watu wanasahau walikotoka lokole asingemuacha uyu Dada make alikua anambemba Sana pind Hana kipato
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 года назад
Juma kapoa mana anajua mke kasema kuna sababu ya kumuondoa kwake moja ni ya siri akiongea lazina ahazirike
@MsChocoFlava
@MsChocoFlava 3 года назад
Siri ni kwamba anawaweka wanawake kama kivuli ila Juma ni gay
@josephkiwale374
@josephkiwale374 Год назад
@@MsChocoFlava ila inawezekana nimitazamo yetu2,pengne cyo gay
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 года назад
Juma mrudishe mkeo
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 3 года назад
🔥🔥🔥🔥🔥
@dotahamad6640
@dotahamad6640 3 года назад
Jamaniii hao mabodgad wa nn sasa
@aishamukandanga272
@aishamukandanga272 3 года назад
Juma kakamatwa leo
@sharmarkeyusuf2752
@sharmarkeyusuf2752 3 года назад
Mmbea juma umepatikana leo
@aminatuffi2824
@aminatuffi2824 3 года назад
Juma kawa mpole leo
@chankmdoli917
@chankmdoli917 3 года назад
Kweli juma leo kawa mpole jatariii
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 года назад
Mtihani mzito innalillah yaani chuki kwasababu yaaa mtu khaaaaa ndugu hampendani jamaniii nanyie niwa Islam dini mnajiua 😢😢😢😢
@yussufmohd890
@yussufmohd890 3 года назад
Hanisi sana huyu yaani ndo anajivunia mme mwenziwe kumfanyia kila kitu
@ashadama3258
@ashadama3258 3 года назад
Kwanza nimakosa kupeana mikono mke na mume mbali na kukumbatiana, pili....Ni makosa kuoa uache kisa wazamani arudi,hakuna ndoa Kama hio....huenda mumeongea Kwa dhihaka Ila kuna watu wengi wanaskiza na elimu ya dini kila mmoja ana kiwango chake, asije akafanya mtu Kwa kua ameskia kwenu...Tuwe makini maana hakuna anaeweza maswali ama Gharka ya Allah (S.W)
@pendohumphrey7588
@pendohumphrey7588 3 года назад
Juma ana mhaho!
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jacquejackshad9559
@jacquejackshad9559 3 года назад
Dida unambeba sana juma
@mathewmwamba9161
@mathewmwamba9161 3 года назад
Walking with bodyguards yet you never owned a car your entire life..lol see your life
@andersonchibule4761
@andersonchibule4761 3 года назад
Mahakama ndogo.....
@yvetteuwase2740
@yvetteuwase2740 3 года назад
Umekopesha
@nzizakaycharles9028
@nzizakaycharles9028 3 года назад
Juma apata mhahoooo
@victoriabaker6198
@victoriabaker6198 3 года назад
Huyu kaka ni mshenzi kabisa kama kiba ni ndugu yako kwa nini umuanike kuwa ni mbaya kwa watu undugu haufi urafiki haufi fala sana wewe
@mmungaramazani4016
@mmungaramazani4016 3 года назад
Nimeelewa sasa juma jogoo apandi
@malakiyazidu0080
@malakiyazidu0080 3 года назад
🙄🙄🙄umeelewa hapandi kivip wakat unaon alioa nasasahiv anamtot mchanga
@mmungaramazani4016
@mmungaramazani4016 3 года назад
@@malakiyazidu0080 😀😀😀 kama umesikia hatoongelea vya ndani na ndio chanzo na yeye na juma kuachana
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 года назад
Huyu ni uchebe jmn
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 3 года назад
Jumaaa umepatikana leoo😂😂😂
@minzagabriel1493
@minzagabriel1493 3 года назад
Juma ana mhao
@ferouzkeis6994
@ferouzkeis6994 3 года назад
Wewe juma ukifukuzwa apo wasafi utaenda wapi
@venasasende1474
@venasasende1474 3 года назад
Niatari🔥🔥
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 3 года назад
Naona mchaga yupo kama chawa leo
@saidahj2543
@saidahj2543 3 года назад
Jumah hata nipewe bure siwezi mkubali huyu..not husband material
Далее
@ItsMamix учу делать сигму😎
00:12
Просмотров 663 тыс.
🔴#LIVE:MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM | 06.06.2023
2:02:32
ALICHOSEMA ALI KAMWE MSEMAJI WA YANGA FC
12:47
Просмотров 3 тыс.
@ItsMamix учу делать сигму😎
00:12
Просмотров 663 тыс.