Na haitatokea katika ulimwengu huu wananchi wote katika nchi yao kwenda Bungeni kujadili na kufanya maamuzi ya nchi.The same applied to Yanga,haiwezekani wanachama wote wahudhurie mkutano mkuu.
Hawa wahuni wanatumiwa na wapinzani wetu WA upande wa2na3 kundi hili limepanga kuivuruga yang.kutokana mwenendo WA club,kuwa tishio ktk ukanda huu.ndani ya uwanja imeshindikana wanatumiwa baadhi ya wanachama waliyofukuzwa Akina magoma na wengineo.ili kufanikisha matakwa yao
Ao wametumwa na upande wa pili maana wNaumizwa sana na uongoz ulioko madarakan pamja na mfadhili GSM maana unavowapelekea moto na watahangaika sana jmn tumuombee eng hersi dua sana kwani maadui ni wengi
Huyu mwanasheria ni nandra sana kushinda kesi zinazo ikabiri Timu ya Yanga ata kwenye kesi za fifa tunashindwa kesi hovyo hovyo tu siju uwezo wa huyu mwanasheria itakuwa mdago
Kuandika hujui alaf unasema mwanasheria atashindwa hivi viongozi waliipo Young African wasimi zaid yako na wamesoma zaidi yako we tulia kula mihogo yako ulale huyu msomi ni wakili mashuhuri
Wananchi huu ndio muda wa kupokea ushindi na mafanikio makubwa kisoka ,njinia kawa shika vibaya kabana Kila kona ndo maana wana weweseka hawajui mlango upi wakutokea Rais tupeleke kwenye asali na maziwa tunakuelewa sana hawajui tu
Daa nyie njaaa hizi aisee tukumbuke na kifo jaman Kwani ukiwa na fedha ndo hutoingia choon wazee wangu Kila mtu ana njaa lakini usioneshe kama una njaaa alaaa mpaka Kila mtu ajue kuwa una nuka shida wakati mwengine tujikaze siku za kufa zifike tukapumzike 😂😂😂😂😂
Ninachowaomba changamoto yoyote iwe nje au ndani jitahidini kuishughulikia bila kuharibu mipango na malengo yetu naimani tarehe 8 hamtutuangusha ushindi muhimu na kombe tunalitaka yeyote anayefanya hila kutuchafua mtafute jinsi ya kuonyesha yanga ya sasa haichezewi kijingajinga
kwàñí wàñàtàkà ñiní au wàñatakà túrúdi hukó huko kwàñí wao ní nañí jàmàñí na hatà hivó wàñàwéza kúeñdéshà timu màñà wañàtàkà kuvúrugà téñà jamàñí túñàómbà séríkàlí ííñgílie kàtí
Kuna vitu vinafurahisha hivi kweli mahakama inashindwa jiridhisha hata kwa vitu vidogo hivi ni kichekesho kuwa na chombo Cha hivi kesi ya taasisi inaamuriwa na watu watatu?!😅😅😅😅
Hao jamaa siyo wanamichezo ni wahuni tu eti wakabidhiwe nyaraka zote za mapato. Naomba uongozi wa Yanga uchukue hatua kali za kuahakikisha pia wanafungwa pamoja na uzee wao. Tena Kuna huyo mnyakyusa ndugu au kaka yangu ni mwizi afungwe tu.
Nataka kujifuza mmeomba mda mahakaman jee mkinyimwa mda nn kitaendelea wasiwsi wanasiasa wameingia humo maali penye pesa watajipenyeza tu kama uongozi halamu mnataka mapato na matumizi halamu ya nn Kwan nyie mnatumia halam
Kwa nini km walifahamu swala hili tangu tarehe 26/&6/024.muda wote Kwa nini hawakuchukua hatua mpaka leo limekuja fukuliwa na media?hawaoni kuna tahaluki Kwa wanachama na washabiki na umma Kwa jumla?