I support the voices of gen zs but ii ya leo sijaona ubusara wetu..seeing among us tunajiita protestors then tunaloot mabiashara ya wanyonge we are no different from the governmentwe are fighting. We should all change🙄🙄
Mwenye alienda maandamano Leo Thursday na rais alitoa mweherekeo Jana akatubilia mbali finance bill mwenye alienda maandamano Leo Thursday hayuko mbali na viboko Kuna wakola hapa katikati watumia hyo nafanzi kufanya uhalibifu but kama umetozeka na ugali ya mama Yako just continue you treated upnomary