Тёмный

LIVE: "Nilikutana na Mengi kwenye Ndege / Ilichukua miaka mitatu kuanza mahusiano.” 

CLOUDSMEDIA
Подписаться 1,3 млн
Просмотров 248 тыс.
50% 1

kwenye kipindi cha XXL ya Clouds Fm yupo live Malkia wa Nguvu "Jacqueline Mengi" akiongea na washkaji zake wa burudani, Kenedy The Remedy, Adamu Mchomvu, Mamy Baby......tazama hapa

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 314   
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
I love this woman so much...well said and very humble and talented. Keep up the good work lady
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 5 лет назад
Jacqueline hongera kwa kazi nzuri. Naomba kama tunaweza kuziona furniture zako ktk mtandao. Wapo wengi nje ya hapo ofisini kwako tunatamani kuziona, na tukawa miongoni mwa wateja wako.
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 5 лет назад
Dah yaani nakuolewa kote natajiri ila hajidai hana dharau kabisaa anaongea vzr hadi raha unaakili sana nakupenda
@Shirimatunda
@Shirimatunda 5 лет назад
Lol
@hildamatinga330
@hildamatinga330 5 лет назад
Weeeeeeeeee, humjui nyamaza🤨
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 5 лет назад
@@hildamatinga330 mmmh.
@hildamatinga330
@hildamatinga330 5 лет назад
@@gggjjahhhh9419 kweli kbs, ila yule mzee wa watu kweli, hana shida ata ungekuwa tambara, kwake kila mtu ni sawa, na sio kwenye tv tuu!! Hata kwenye uhalisia ni mtu mwema sana, ila huyo unaemuona mzuri apo?! 🙄
@gggjjahhhh9419
@gggjjahhhh9419 5 лет назад
@@hildamatinga330 Yaani daaah kila kitu kizuri hakidumu my😭😭😭😭
@slayingtee6044
@slayingtee6044 5 лет назад
Kila sentence Jackline anayoiongea ni point...Dammnnnnn I'm inspired
@davidmathias4591
@davidmathias4591 5 лет назад
Dada angu Mungu akutie nguvu na akulinde kwenye magum unayopitia....
@kaysamson1167
@kaysamson1167 5 лет назад
tunaomkubali j n mengi gonga like twende sawa
@maryjon5286
@maryjon5286 4 года назад
Nawapenda sanaaa hawa couples
@sarahwanzaa6272
@sarahwanzaa6272 5 лет назад
Dah😭😭😭😭pole sana Jack mungu akutie nguvu dada angu 💔💔🙏🙏
@Jolly_Jollyk
@Jolly_Jollyk 5 лет назад
I agree with you J.N Mengi 100% mary your best friend.
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
LOVE YOU JACKLINE NTUYABALIWE, ALLAH AKUTIE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU.
@manyaramrema6531
@manyaramrema6531 5 лет назад
Nimeamini mapenzi ni mazingira, ukiwa wa kwenye ndege utakutana na wa kwenye ndege mwenzio, ukiwa wa kwenye DCM za kwenda rombo ndo hivyohivyo
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Kwiiii kwiiiiii kwiiiii😃😃😃😃😃
@lilianalphonce1917
@lilianalphonce1917 5 лет назад
We noma
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 5 лет назад
Kweli kabisa
@lilianalphonce1917
@lilianalphonce1917 5 лет назад
Jomon
@pericykiko6198
@pericykiko6198 5 лет назад
Hahaaaaaaaaaa
@maria_mutondioriginal5
@maria_mutondioriginal5 5 лет назад
Nilicho kupenda unamjali sana mzee wako haumnyanyasi maana wa kwanza alikua mkali balaa, wa pili alikua anamlilngia ile mbaya na hivi mzee wa watu alikua mpole basi ikawa tabu tupu. Hongera sana
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
Really? Nlijua alikuwa na ndoa moja kumbe alioa Mara 2? Kwenye maisha usikate tamaa jmn Kama Mungu kakupangia mke/ mume mwema utapata tu. Hiyo mambo ya kuvuliana mpk kifo sio kila mtu anaweza
@robertjunior9916
@robertjunior9916 5 лет назад
Wazee wanatafuta pesa ndo maana wanafanya maajabu vijana kwa kutafuta six pac huwezi Fanya maajabu , Shikamoo Mengi
@deborahmuhinda8604
@deborahmuhinda8604 5 лет назад
Wazee wanatafuta pesa ndio maana wanafanya maajabu vijana kwa kutafta six pac hawezi Fanya maajabu
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 5 лет назад
na ww umetafuta nn brother?
@kassimulugajo6512
@kassimulugajo6512 5 лет назад
wanatafuta nguvu za kiume na kukuza makalio
@annapeter1128
@annapeter1128 5 лет назад
Hicho kimzik mxiiiuw..nmependa kaongea kiswahil hakuna yes noo😘
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Daaa hongera sana Mrs Mengi kiukweli una hekima na busara yaani maongezi yako tu yamenitosha.Yaani wewe dada hauna maringo wala majivuno unaongea na kila mtu awe masikini au tajiri. Mmmmhu wanawake wengine wangekuwa wameolewa na tajiri kama mume wako sio kuringa na kujidai kuongea kwake tu utamjua nyodo kibao dharau si dharau. Mungu akuongoze ktk kazi zako.
@YusufAli-ib6xu
@YusufAli-ib6xu 5 лет назад
Great Tanzania women It’s a big lesson to rich women out there who showoff themselves But see Mrs Mengi she is big lesson to all rich and showoff women Carry on Mrs Mengi this is big life success for you
@hansvangela6349
@hansvangela6349 5 лет назад
yaan jack anajua saana kujieleza vle she is educated pia n miss tz so maswal kama haya kwake it's too simple....nataman saana hii interview angekua anahojiwa na lil ommy ....
@preciousprecious8791
@preciousprecious8791 5 лет назад
I must say this I really admire you 😘😘😘😘😘😘😘
@ericerastus8109
@ericerastus8109 5 лет назад
God give you strength Jacklyn at this point many will come many will go. You will be accused of many things but worry not, it is it’s time just remain calm pray hard take care of your family leave everything to God.
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 5 лет назад
Pole sana Jack kwa kuondokewa na rafiki tena bwana wako
@alimasihamisi3107
@alimasihamisi3107 5 лет назад
Aisee upo vizuri .pole sana kwa kuondokewa na mumeo
@isaacadam3898
@isaacadam3898 5 лет назад
inabidi mjifunze kupitia huyu malkia wa nguvu sio kukaa mnapiga picha mmebinua matako tu mtaishia kuchezewa wanaolewa wengine anyway you are the best jack yule jack aliye kuwa msanii wa muziki na huyu jaki wa sashivi ni vitu viwili tofauti, nimependa kila kitu ulichokiongea hapa na nimejifunza kitu pia good luck madam
@kadozipeter760
@kadozipeter760 5 лет назад
Isaac Adam 😂 😂 😂
@helgaaporinaly2811
@helgaaporinaly2811 5 лет назад
Hongera huko vizur, hongera kuwa na mume makini na rafiki wa kweli. Mungu aendelee kuwa upande wenu.
@NeemaMedia
@NeemaMedia 5 лет назад
Pamoja na kusemwa kwamba umeolewa na mtu mzima Lakini kiasi flani kuna raha kuliko wengine waliopata nafasi ya kufahamika na kutumia nafasi zao Kwa kuuanika ujinga wao Ipo siku nami nitakuwa mfano kama wewe dada sijakata tamaaa na ninamuomba mungu Kila siku.
@neemabenard861
@neemabenard861 5 лет назад
Neema Media
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
😃😃😃😃 babu ndio mpango mzima
@agatasigara9094
@agatasigara9094 5 лет назад
nakukubali sana dada unaongea point sana mungu akuweke miaka mia
@kazkaz1943
@kazkaz1943 5 лет назад
Sa sisi tunaopanda mabus ya CHAULA ndo tunakutana nakina JUMALOKOLE😂😂😂
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 лет назад
umeona eeh
@tuphujekumuhkunonyiile3739
@tuphujekumuhkunonyiile3739 5 лет назад
Haaaaaaa
@munnawwaryaqoob3414
@munnawwaryaqoob3414 5 лет назад
Hahaha hahaha hahaha jmn
@lestermtweve5990
@lestermtweve5990 5 лет назад
😂😂😂😂 Mbavu zangu mie
@zulfaomar5731
@zulfaomar5731 5 лет назад
Hahahaha my ribs
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 5 лет назад
HONGERA BINTI TZ. AKINA FATMA KARUME KELELE TUUU ZA KIGAIDI!!
@leilashaban3519
@leilashaban3519 5 лет назад
Be strong jacline mengi kwakuondokewa na mumeo
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 лет назад
waoooh nimekupenda dd jack hira pole kwa kuondokewa na mpendwa wako
@aishakuandikanakukubali101
@aishakuandikanakukubali101 5 лет назад
Nakupenda sana Jacqueline
@bjzee1981
@bjzee1981 5 лет назад
She deserves to be with a billionaire who respects her. Yani anajiamini na hana makiki na kiherehere. Sauti nzuri anafaa hata kua mtangazaji. Acha kina zari walijidaaaaai wakaishia tupa kulee pamoja na pesa zake
@mmaahsayyid1858
@mmaahsayyid1858 5 лет назад
Mashaallah nakuamini dadangu mia fil mia.....if you want to marry then marry ur best friend
@neemasaid7315
@neemasaid7315 5 лет назад
Nimekupenda wewe mstarabu huringi hujisikii God bless u
@kazkaz1943
@kazkaz1943 5 лет назад
Nilikutana na mumewangu kwenye bus lakwenda TUKUYU🤣🤣🤣🤣🤣
@naimabruno1351
@naimabruno1351 5 лет назад
Lol ahahahah
@gracemwanjabala8073
@gracemwanjabala8073 5 лет назад
nasr miah hahaaaaaa uwiiii
@hamadsaidy8752
@hamadsaidy8752 5 лет назад
asante kwakusema ukweli wako
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 5 лет назад
nasr miah Nami kwenye basi la Mbeya hahaaa
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 5 лет назад
nasr miah 😂😂😂
@dollamaleko1018
@dollamaleko1018 5 лет назад
jamani mamy baby nakuona my best presenter
@lizzyshayo209
@lizzyshayo209 5 лет назад
Worth watching...🌺🌺
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 лет назад
Jackilin nimekupenda bure upo smart mamy
@nyamitwegeorgina9560
@nyamitwegeorgina9560 5 лет назад
Beut with brain 😍😍😘😘😘
@jisukali3678
@jisukali3678 5 лет назад
Precise!!!!!!
@lisherjerry317
@lisherjerry317 5 лет назад
Sasa sisi tunapanda KISBO EXPRESS tunakutana na kina james delicious
@halimasaleh5705
@halimasaleh5705 5 лет назад
Lisher Jerry 🤣🤣🤣🤣
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 5 лет назад
Lisher Jerry Hao hao ndio mliopangiwa pambana naoo
@yusuphsimon4656
@yusuphsimon4656 5 лет назад
Lisher Jerry 😂😂😂😂😂😂
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
😃😃😃
@effieyange5392
@effieyange5392 5 лет назад
I love this lady
@marrykabuje119
@marrykabuje119 5 лет назад
nawapenda sana pia nimejifunza vingi kupitia hili
@ngometvarusha4030
@ngometvarusha4030 5 лет назад
Ukimkuta mdada anasema eti hampendi mtu mwenye pesa au hamfuati mtu mwenye pesa hajui nini amekuja kufanya duniani kwa sababu humu dunian tunahitaji pesa unaweza ukawa unafanya kazi mahali anatukanwa anadharauliwa na bado akiamka asubuhi anakwenda bado kazin kwann si kazi ni pesa ,ukimpata mwanaume mwenye pesa hata kama ni babu yako mshike sawa sawa ,ukibaki kungangana eti kupenda kupenda ndiyo kitu gan nakula huo upendo naendesha kama gari nawasaidia ndugu zangu kwa kupendwa bila pesa na jenga nayo nyumba inanipa heshima kwa marafiki zangu,hapo mnahoji jack kwa sababu ameolewa na tajiri mtu maarufu wewe ngangana kupendwa ,mkiolewa wawil mmoja akaolewa na mwenye pesa lakin hajui kupenda lakni anacho mwingine akaolewa na mwenye.kujua kupenda kufariji wote mkaja kusalimia nyumban mama baba ndugu wakawasubiri mwenye pesa akaingia na gari yake na vitu kibao huyu aliyefuata mapenzi akaingia navumbi kichwan mwenye pesa atazungukwa hadi utaona kama wewe sasa unamkozi utahidithia unavyopendwa hadi kesho watu hawaelewi hyu mwezako neno moja wote wamemwelewa
@asifali1257
@asifali1257 5 лет назад
kweliiii
@pericykiko6198
@pericykiko6198 5 лет назад
Hahaaaaaaaaaa
@jisukali3678
@jisukali3678 5 лет назад
Ni kweli aisee
@Kidotii
@Kidotii 5 лет назад
I admire you, girl!
@lilianjeremia1024
@lilianjeremia1024 5 лет назад
I love you jackline yaan nakukubli cn n pia na kufuatilia san
@chimwanakasanda3952
@chimwanakasanda3952 5 лет назад
Lakini mbona time nuru ya kupendeza yaani umekakauka sana
@madamboss348
@madamboss348 5 лет назад
Rip Doctor Mengi
@bahatifranc755
@bahatifranc755 5 лет назад
Nakupenda sana
@cookingwithhappiness5491
@cookingwithhappiness5491 5 лет назад
Tutsi baby tunaakili Sana,tunasimamiaga misimamo yeti mpk ifanikiwe... Keep it up Wa kunyumba
@mariej6962
@mariej6962 5 лет назад
Utarudishwa kwenu we jishebedue
@cookingwithhappiness5491
@cookingwithhappiness5491 5 лет назад
@@mariej6962 hahaaa baby kareni Tutsi pipo tupo kigoma,ngara n.k na n Tz. wataturudisha wapi Tena.basi na mhutu tutarudi nae atakapotuchagulia twende
@zephaniamanguwa5221
@zephaniamanguwa5221 5 лет назад
Yes this is true love
@emmyshirima9872
@emmyshirima9872 5 лет назад
Malikia wa nguvu j mengi😘
@officialgideonbush3763
@officialgideonbush3763 5 лет назад
Malikia wa nguvu kweli
@joycejohn7754
@joycejohn7754 5 лет назад
Emmy Shirima unaelewa maana ya umalkia wa nguv kweli? Huyu si malkia wa nguv
@asiaamina3247
@asiaamina3247 5 лет назад
kina hamisa apo wangesema wanamiaka20 inachekesha kwa kwel
@kesiamenyaulilaizer392
@kesiamenyaulilaizer392 5 лет назад
hongera
@maryrichard4716
@maryrichard4716 5 лет назад
Jamanii huyu Dada ni mpole mstaarabu ana heshima anajibu maswali vizuri na kingine hana dharau
@dimbwaibrahim2916
@dimbwaibrahim2916 5 лет назад
Tatizo mnaanza urafiki lakini utaombwa hela mpaka ukome
@zulekhakhassun6858
@zulekhakhassun6858 5 лет назад
HahhahHaHhahHha😂
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 5 лет назад
dimbwa ibrahim haaaaaa haaaaa
@sakinaomar301
@sakinaomar301 5 лет назад
😂😂😂hapo ndipo vijana munapokwama
@dimbwaibrahim2916
@dimbwaibrahim2916 5 лет назад
Sakina Omar Kwan hatuwezi kuwa marafiki mpaka uombe hela Kama unataka urafiki wa kweli nyie wanawake mmekua omba omba sana
@rebeckaackim191
@rebeckaackim191 5 лет назад
dimbwa ibrahim 😂😂😂
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 5 лет назад
Hakuna kama MAMA wallah jack kafiwa na mom wake akiwa mdogo kabisa lkn MAMA aliacha kovu Kwa mwanae kovu la upendo Mungu mkubwa
@brianmakau1393
@brianmakau1393 5 лет назад
Well done Mrs.Mengi on your business.Swali langu ni beat ya mziki gani kwenye background?najua ni old school bongo lakini si kumbuki artist and name of the song nisaidieni kukumbuka jameni..
@shareefkamtande4692
@shareefkamtande4692 5 лет назад
Yeye mwenyewe k lyn ft noorah
@brianmakau1393
@brianmakau1393 5 лет назад
@@shareefkamtande4692 Asante sana
@teamchujio6590
@teamchujio6590 5 лет назад
Dah! nime kuelewa sana jacky
@praxedadominic9864
@praxedadominic9864 5 лет назад
J mengi boss Lady mwenyewe💕💕💕💕
@gladykidai5188
@gladykidai5188 2 года назад
Boss lady
@dicksonulotu9717
@dicksonulotu9717 5 лет назад
Upo vizr molyi wetu,Mzee wa Kichaga anatisha ata Mama Mercy alionana na Mengi kwenye Ndege kitu kama icho.
@ukhtiaza-nv4hd
@ukhtiaza-nv4hd 5 лет назад
Pole Dada mungu akutie nguvu
@faithukovizurisanawemawang1216
Dickson Ulotu ika mbeeh
@bakarihaji3766
@bakarihaji3766 5 лет назад
upo vzr malkia wa nguvu
@khalekichambo2143
@khalekichambo2143 5 лет назад
Hongera Jacqueline
@mr_ogc6233
@mr_ogc6233 5 лет назад
1 Katoto kamesoma kwanza sio wale wakina nani kwanza
@bahatifranc755
@bahatifranc755 5 лет назад
mungu akutie nguvu uwalee wtoto wako,R.I.P Mengi
@graceedson5133
@graceedson5133 5 лет назад
keilyin aka Jack material from KIGOMA, KIGOMA LEKA DUTIGITE WISHAVU AMENEKE, but pole sana kwa kuondokewa na hubby
@bonifacefrancis51
@bonifacefrancis51 5 лет назад
Kweli kabisa
@kelvinsengo8770
@kelvinsengo8770 5 лет назад
Kuna watu isingechukua miaka mitatu
@zephaniamanguwa5221
@zephaniamanguwa5221 5 лет назад
Nimekubali majib yake ya hekima bila kujiinua au kumpendelea mtu
@MaureenMollel
@MaureenMollel 5 лет назад
Maturity
@georginakanje8879
@georginakanje8879 5 лет назад
Nakpnda Jack sana
@sadahaluna1768
@sadahaluna1768 5 лет назад
Duuh!, kumbe mumy baby ana sura ka dume, lkn sauti mashallah!,
@alsam4881
@alsam4881 5 лет назад
Yaani huo mziki kwa nyuma unakera sana.
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 5 лет назад
Alsam mnoo
@na0m1fes51
@na0m1fes51 5 лет назад
hahahahhahahhahahhahaaha kweli
@tedmzeru3430
@tedmzeru3430 5 лет назад
Ni tune ya wimbo wake wa nikipata wangu jamani ndo kamdundo kake ako
@jacklinemosha3705
@jacklinemosha3705 5 лет назад
Alsam si nyimbo zake
@victorchampion1513
@victorchampion1513 4 года назад
ushamba wako
@lutenganolukali2122
@lutenganolukali2122 Год назад
Ulikutana na mengi kwenye ndege alafu ukute aliekukatia ticket ya ndege ni jamaa mwingine na ulikua unaenda kwa huyo jamaa ukagawa namba kwa mengi mlipokaa seat moja
@mariej6962
@mariej6962 5 лет назад
Ni crime kusahau mwaka uliokutana na sweetheart wako.
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 лет назад
Midia nyingi za Tanzania zinafell maana hazijui wanachokifanya, kwamfano, msikizizaji anaitaji kusikia maojiano na sio mziki,hizo buck ground zina boesha mno
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 5 лет назад
Fatuma Mwalimu kweli banaa wajina
@victorchampion1513
@victorchampion1513 4 года назад
we ni msenge tu hujui utamu wa hizo background fara sana
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 4 года назад
@@victorchampion1513 ,sasa hujui kua wewe ndiwe fala mkubwa? Maana ikiwa unafamfatilia fala basi wewe itakua ni fala zaidi ya elfu moja
@celinamgundoi5601
@celinamgundoi5601 5 лет назад
Dah yn hii ni point
@jaydeeapolo8066
@jaydeeapolo8066 5 лет назад
Vijana tunakwama wap mzee Mengi ni Nouma
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 лет назад
😃😃😃😃
@popperkuch669
@popperkuch669 5 лет назад
Klyn kakutana na mengi kwny ndege lkn alikuwa mgumu Lkn ww unakutana na mtu kwnye daladala lkn unakataaa
@shanawilliam3295
@shanawilliam3295 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@cipladapretty8617
@cipladapretty8617 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣
@ahmadAhmad-zw4ol
@ahmadAhmad-zw4ol 5 лет назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 лет назад
My love kyline
@lucyhussein2895
@lucyhussein2895 5 лет назад
Tuliokutana kwenye bajaji tunakoment wap
@hildamatinga330
@hildamatinga330 5 лет назад
Ha haaa
@sylviemutwale9527
@sylviemutwale9527 5 лет назад
Uyu nampenda
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 5 лет назад
Sasa huo mziki wa nn afu saut kubwa Mnazingua.
@marylazaro815
@marylazaro815 5 лет назад
sawa
@kidawamartin745
@kidawamartin745 5 лет назад
❤❤❤❤
@carlosn_tz
@carlosn_tz 5 лет назад
Kuna jamaa pembeni yangu hapa ni kinyozi wa hapa upanga anaitwa Juma anauliza kwa mshangao eti "huyo Jack anayajua maisha huyo?!",eti "amepewa hela na mme wake harafu watanzania tunamsikiliza kama vile ni mtafutaji"...😂😂 too fun.
@shabanimanyank8950
@shabanimanyank8950 5 лет назад
Carlos N Swal la kizazi saana.... Yaan wenye pesa za kupewa au kurith wanatreand saana yaan.. Wataftaj wa kwel hawaonekan...
@fatmaabdulla2189
@fatmaabdulla2189 5 лет назад
Hongera ww ni mjasiriamali wa kweli
@kuruthummosh8423
@kuruthummosh8423 5 лет назад
nampenda jack alingi wala ajisikii pia nampa Pole kwa hiki kipindi kigumu alichonacho
@shukraththabiti2219
@shukraththabiti2219 5 лет назад
Huyu ndio muha anaetuwakirisha bongo
@emyshaibu8089
@emyshaibu8089 5 лет назад
muha nani sasa hapo kati yao?
@ednafiloteus5216
@ednafiloteus5216 5 лет назад
Emy Shaibu Jacqueline ndo muha, Mengi n Mchaga
@givenlawi4171
@givenlawi4171 5 лет назад
😍😍😍
@zawadkilua1442
@zawadkilua1442 5 лет назад
Ubunifu malkia wa nguvu👯
@jayproducts5871
@jayproducts5871 5 лет назад
Kweli ukikaa Na mzee unazeeka
@boniphaceongati2571
@boniphaceongati2571 5 лет назад
Hizi like mnazipereka wapi?
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Jamani usi mjugle mtu usiye mjua jack anakili sana
@mvungigaming
@mvungigaming 5 лет назад
Kweli
@marygregory7566
@marygregory7566 5 лет назад
Kumjugle ndo kufanyaje
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Mary Gregory kinge ndugu yangu namanisha kumjugde
@monalisajk6351
@monalisajk6351 5 лет назад
Yani huyu dada alimtafuta mengi kila njia. Akisikia yuko sehemu fulani na yeye anaenda. Yani habari zako tunazijua.
@marygregory7566
@marygregory7566 5 лет назад
Mwisho wakafunga ndoa na kuwa mume na mke ...nawapongeza sana
@cookingwithhappiness5491
@cookingwithhappiness5491 5 лет назад
Wivu m'baya jamani...hyo nayo n akili kubwa..kila mtu anaruhusiwa kupigania anachotaka
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 лет назад
Ukitaka kitu kitafute. Yeye katafuta kapata Nothinh new
@sariavioleth3232
@sariavioleth3232 5 лет назад
Good girl
@saumuibrahim329
@saumuibrahim329 5 лет назад
Habari zke uzijue uczijue ndio kashaolewa na mengi ivyo.
@rosemaiko9405
@rosemaiko9405 5 лет назад
Wanajiheshim wote mamis marafiki
@faikomahenge2029
@faikomahenge2029 5 лет назад
Dakika 24 kavunja nne hachoki unajua nn hela ipo kunja ww na ukapuku wako uone
@flackomasterbaddest4155
@flackomasterbaddest4155 5 лет назад
positivity
@egattamkaima676
@egattamkaima676 5 лет назад
Omba Mungu akupe Akili sna ila ww mwanamke una Akili sna Umebalikiwa sna
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 5 лет назад
Egatta mkaima kiukweli usimjudge mtu kwa past zako
@egattamkaima676
@egattamkaima676 5 лет назад
@@kwzjkwz3532 Ila mwanamke anaakili sna hata majibu yke anaongea mtu unajifunza kitu kutoka kwake mfano mzur marafiki kaelezea vzur sna
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 5 лет назад
Hata mimi namkubali sana wajina wangu
@rahalabdou9394
@rahalabdou9394 5 лет назад
mm nimekutana Na mume wangu kwenye pantoni
@mwendaraphael2600
@mwendaraphael2600 3 года назад
Kaenda uzazi away eengi
@balozibalozi5257
@balozibalozi5257 5 лет назад
Una akili sana jack!
@mrvibe1289
@mrvibe1289 5 лет назад
Kigoma kuna wanawake wanao jitambua sana wakwanza huyu sister
@annawinstone6075
@annawinstone6075 5 лет назад
Yaaaan nilivyofika hapo kwenye pesa.... Imebidi nitoke tu RU-vid maana naona namaliza tu bando hahahahahahah
Далее
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05