Тёмный

LIVE: SHEIKH OTHMAN MAALIM - ADUI YETU NI UFUKARA 

KTV TZ ONLINE
Подписаться 376 тыс.
Просмотров 90 тыс.
50% 1

Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
#ijitimai_zanzibar_2019,
#tabligh_FIYSABILLAH

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@sahimalbatawy3372
@sahimalbatawy3372 5 лет назад
ww shekh Othman fund mungu akupe wepes uzid ufund ww ndo miongon mwa warith Wa mitume niombeee dua na mm Allah snipe nguvu na snipe wepes Wa kutoa ili tuupoteze umasikn .ukiikubal hii gonga like .
@humudmmanga6483
@humudmmanga6483 3 года назад
Katika haya mawaidha musitutilie miziki hii ni mawaidha ya dini .lazima muheshimu mawaidha .
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 10 месяцев назад
Mashallah, Jazakallahu kher shekhe Othman Maalim, Nakupenda kwaajili ya Allah 🙏Allah akubariki sana 🙏
@FrancisRichard-vs1yp
@FrancisRichard-vs1yp Год назад
Mashaallah!!shekh wewe ni fundi wa daawah!!mwenyez Mungu akulinde na akujaalie malipo makubwa ambayo hukutaraji
@rackymayugi6815
@rackymayugi6815 5 лет назад
Mashaa Allah. Sheikh Allah akulipe kila laheri na akuepushe na kila lashari. Ameen yarabil alameen
@almassoud3109
@almassoud3109 4 года назад
Mashallah. Wallah raha ilioje hii Allah ampe maisha marefu sheikh Othman azidi kutupa ukumbusho
@almassoud3109
@almassoud3109 5 лет назад
Faida ilioje. Raha ilioje. Elimu ilioje aliyokupa jallla fiy ulaaa. Allah akupe afya na umri wa kufikisha zaid na zaid ya haya
@ashurarashid418
@ashurarashid418 7 месяцев назад
Maashallah sheikh othman maalim allah akuzidi shie yenye hp duniani na kesho akhera unatuelimisha Alhamdulilah Allah atakulipa
@user-dx5lz6du4y
@user-dx5lz6du4y 5 лет назад
Shehe Othman maalem niombee dua mtto wangu nayy apate elimu kama yakwako
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 5 лет назад
in shaa llah allah kareem
@fatumaramadhanmashaallahal9966
Shukran ya ustad ana isma bin qatar wajazaka Allahu heri Allah ya hidiki wayahad umatul Muhammad salalahu alay wasalam
@salmatalhiyn3225
@salmatalhiyn3225 5 лет назад
Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh...Shukran Ktv tz Online Kwa Kutufikishie Kheri Hizi Namuomba Allah Awazidishie Rizki Zenu Na Awaruzuku Afya Njema Na Uhai Mrefu Wenye Kheri...Pia Naomba CD Ya Haya Mawaidha In Shaa Allah Zinapatikana Wapi Naomba Unisaidie
@nawawiitara7909
@nawawiitara7909 5 лет назад
Jazaaka llahu sheikh othman maalim Kheir kubwa hii ktv nawashukur sana kwa Kazi kubwa hii safi sana namuomba allah awalipe kher Km kuna mtu anamchukia Sheikh Othman maalim basi mtu huyo achunguze nafsi yake vizuri
@solangeirakoze1289
@solangeirakoze1289 2 года назад
My favorite sheikh ever MashaAllah. Allah akuhifadhi duniani n akhera amiin
@XYZHome
@XYZHome 5 лет назад
This man is chosen, Tabaarakallah. May Allah acceptance be showered on him,and I ask Allah for forgiveness .
@angeljax296
@angeljax296 3 года назад
you all prolly dont care at all but does someone know of a trick to get back into an instagram account?? I stupidly lost my account password. I love any help you can offer me!
@jonahfinn6852
@jonahfinn6852 3 года назад
@Angel Jax instablaster :)
@angeljax296
@angeljax296 3 года назад
@Jonah Finn i really appreciate your reply. I found the site thru google and im in the hacking process atm. Takes quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
@angeljax296
@angeljax296 3 года назад
@Jonah Finn it worked and I now got access to my account again. I am so happy! Thanks so much you saved my account!
@jonahfinn6852
@jonahfinn6852 3 года назад
@Angel Jax happy to help :)
@fatmamsafiri2763
@fatmamsafiri2763 4 года назад
Mashallah shekh Othman nataman siku moja uje nikuone Ana kwa Ana nataman wallah namuomba Allah anijalie nikuone
@zabibunyirasafali852
@zabibunyirasafali852 4 года назад
Allah azidi kuongezea maisha mema Othman maalim
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 5 лет назад
thanks othman maalim listening from qatarx allah akupe more and more sababu twapata mafunzo bora zaidi
@jamalkishangu
@jamalkishangu 10 месяцев назад
Sheikh umeeleza mambo mazito sana, na yatabaki juu katika mizani mpaka siku ya kiama.
@nureyna629
@nureyna629 5 лет назад
Maasha-Allaah sheikh Othmaan Allah akupe umri mrefu waje kufaid na watoto wetu Inshaa-Allah... Mwenyezi Mungu atujaalie tuwe wepesi ktk kutowa Mali zetu ktk mambo ya kheri Inshaa-Allah..
@hdhdhdhdhdhd6933
@hdhdhdhdhdhd6933 5 лет назад
Allah akujaalie kila lahery shekh wetu nauzid kutuelekeza
@mams1892
@mams1892 5 лет назад
Allah akuhifadhi Sheikh wetu Othman
@OmarAli-ev4cn
@OmarAli-ev4cn 5 лет назад
Mashallah! ! Othuman malim ALLAH akupe umr mrefu wenye her nawewe!
@mudimaarifa9394
@mudimaarifa9394 5 лет назад
Mungu atufanyie wepesi kwa kila hatua waislamu🤲🏻
@leyouthaaljabri4949
@leyouthaaljabri4949 5 лет назад
Shukran Shekhe kwa ukumbosho Allah akuhifadhi kwa kila hatua Allah akupe umri mrefu uzidi kutufindi uislamu
@OmanOm-wy5wj
@OmanOm-wy5wj 4 месяца назад
Shukrani sàna shehe yaani tunàfarijikà sànà kiroho❤❤
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 5 лет назад
Mashaallah atupe mwisho mwema sisi pamoja na wazazi wetu na waislamu kwa ujumla 🕋
@rkenea4262
@rkenea4262 5 лет назад
Ameen ya Raab
@mudimaarifa9394
@mudimaarifa9394 5 лет назад
Allah akuweke akupe maisha marefu
@alimohamedalisaid7040
@alimohamedalisaid7040 5 лет назад
Mashallha nice darasa mungu akuzidisia ameen thuma ameen and good life ameen thuma ameen
@kamilaabdi2310
@kamilaabdi2310 3 года назад
Jazakallakheiran, my favourite sheikh of all tym....
@ambestambest9165
@ambestambest9165 4 года назад
I love othuman maalim
@samirnaty8774
@samirnaty8774 5 лет назад
Masha Allah shehe umetufungua na mengi ambayo tulikua na was was nayo in sha Allah mungu akulipe kwa ujira wako
@jokhanassor3507
@jokhanassor3507 5 лет назад
Naam uasafi ni faradhi sheikh Othman 🌷☺
@yassinsenge3675
@yassinsenge3675 5 лет назад
Sheikh Othman Maalim Allah akubarik ktk utoaji wa mawaidha na Darsa zenye tija kwetu na atufanyie wepesi sisi wapokeaji hakika tusiishie ktk kusikiliza pasi kuyafanyia kazi kwa yakini tutapiga hatua Inshaallah
@alhajrahassan89
@alhajrahassan89 4 года назад
Allah bariq sheikh wetu Othman maalim
@zoharimohammed1569
@zoharimohammed1569 5 лет назад
wageita tuko pamoja nimeumia saana kukosa shughuri hii Allah awape kheri
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 3 года назад
Masha Allah shekh othuman mwenyezi mungu kuzidishie umri ili Yazidi mutual nasaa
@fatmarashid1843
@fatmarashid1843 4 года назад
Mansha allah shekhe othumani Mawaidha mazuri sanaaa Yakweli kabisa mansha allah Allah akupe umri
@aishajeaninejeanine8934
@aishajeaninejeanine8934 5 лет назад
shukran sheikh watu Allah akujalie kila la heri.
@mubirirashidi
@mubirirashidi Год назад
Mashaaallah ❤️❤️❤️ shkh wetu othman Maalim i love you allah azidi kukubaarik
@hilalisaidseif8483
@hilalisaidseif8483 4 года назад
Hazina ya umma Masha Allah
@jokhanassor3507
@jokhanassor3507 5 лет назад
Maashallah tupo pamoja kma niko kidoti vile 🌷🌷🌷
@mams1892
@mams1892 5 лет назад
Jazzakallahu kheir
@fatmaamour5103
@fatmaamour5103 5 лет назад
mashallah
@muhsinmahamba2629
@muhsinmahamba2629 5 лет назад
masha Allah shekhe mungu akupe umri mrefu
@abeidaadiseif4781
@abeidaadiseif4781 3 года назад
Allah atuaafikiishe kutokuzipa uzito ikhtilafu isiwe sababu ya kufariqiana.
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 лет назад
Inahitaji kutumia akili sana kutafahamu haya nawaidha ya sheikh othman vyenginevo utahisi kakosea
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 лет назад
Mashallah
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 5 лет назад
zanzibar mambo mazurii maa shaa llah
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 5 лет назад
Jazzakumllah Khery
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 лет назад
Allahu akbar
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 3 года назад
MashaAllah
@sabraham5308
@sabraham5308 5 лет назад
Ihtilafu zinakubalika katika wananazuoni wote,na Allahu yaalamu,kwa sasa mambo yamo kwenye vitabu na faridhatu ilmu alla kulli muslimu,tusiwe na jazba,tuache hawaa za nafsi zetu, bidaa itabakia kuwa bidaa,na haitokubalika,kufuatwa ni upotevu tu,tusije tukapotea,ya kufuatwa aliyotuelekeza mtume Muhammad SAW na Quran kwa mujibu wa mtume alivyoshushiwa,Juu ya wote na hao aliowataja,walihitifiana ,ihtilafu ndogo ndogo na katika wote hawa hawakupata kufanya bidaa kubwa ya maulidi,na sote tunampenda tunamsalia mtume katika kila sala,za fardhi na sunna,na kila tunapomuomba Allah subhana wataala,tuache kujitukuza kupita kiasi,mtukufu ni Allah,tumtukuze Allah subhana wataala na tumfuate mtume aliyotuelekeza.Barakallahu feequm.
@aliyomar9140
@aliyomar9140 5 лет назад
Saad Mohammed wew bwegee....kwani yametajwa maulid.....wew ugonjwa wako maulid......wew hufanyi bidaa?hebu soma kwnza........wew mwenyeo bidaaaa tupu........
@aishahamadi9605
@aishahamadi9605 5 лет назад
Saad Mohammed Allah akupe ufahamu..Ama kwa hakika Sheikh Othman ameeleza kwa ufasaha sana walakin kutokamana na comment yako inaonekana una gonjwa la dhanna kiilmu huenda ukawa humuelewa ndio maana umeingiza mada ya maukid hapa usilolijua na nina imani sheikh Othman alieleza kiufasaha kuhusu suala zima la maulid walakin yako no chuki....ondoa hilo akhui sote ni wamoja
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 5 лет назад
@@aishahamadi9605 htilafu zinakubalika katika wananazuoni wote,na Allahu yaalamu,kwa sasa mambo yamo kwenye vitabu na faridhatu ilmu alla kulli muslimu,tusiwe na jazba,tuache hawaa za nafsi zetu, bidaa itabakia kuwa bidaa,na haitokubalika,kufuatwa ni upotevu tu,tusije tukapotea,ya kufuatwa aliyotuelekeza mtume Muhammad SAW na Quran kwa mujibu wa mtume alivyoshushiwa,Juu ya wote na hao aliowataja,walihitifiana ,ihtilafu ndogo ndogo na katika wote hawa hawakupata kufanya bidaa kubwa ya maulidi,na sote tunampenda tunamsalia mtume katika kila sala,za fardhi na sunna,na kila tunapomuomba Allah
@aishahamadi9605
@aishahamadi9605 5 лет назад
@@adamzdamz6592 akhui Allah akuzidishie ilmu na akuongoze ila nakushauri sikiza faswaha alizoziongea sheikh...mada imehusu adua yetu ni Ufukara na akarambaramba kwenye ikhtilaaf...maadamu wewe chuki unayo juu ya msimamo wa Sheikh othmaan kuhusu maulid wataka msimamo wako ndio usikizwe...yeye anayo sababu ya kusherehekea maulid...walakin nyinyi ndio munaojiona wema kuwapa wenzenu moto na pepo...nikikwambia nitajie uharamu wa Maulid huna hata sababu moja na utakazozitaja hazitoshabahiana na maulid tunayoyajua sisi bali utatafuta viasbab vidogovidogo ambavyo hata sisi twapingana navyo katika kusherehekea maulid...Maulid hakuna bid'aa ndani yake na pepo haingii yeyote ila kwa Rahma za Allah....ikiwa umeshindwa na ilmu ya "mujtahidun" katika kueleza mambo haya usitumie RU-vid pia wewe maana ni BID'AA hakuna mtume wala swahaba wala tabieeen alietumia RU-vid...Tafakari na utambue kuna ilmu za mujtahideen usiwe shabiki wa shekhe flani mukawa mwawapa watu majina yasiyostahili mukiwaingiza na kuwatoa watu kwenye uislamu munavyotaka nyinyi haifai sote ni wamoja na bid'aa za wazi pia sisi twazijua na twazipinga. ASSALAMU ALAIKUM
@adamzdamz6592
@adamzdamz6592 5 лет назад
kila siku nasikiza mawaidha ya otman from qatar hakika maalim is profosional in islam kila darasa, allah ampe kekhma zaidi @@aishahamadi9605
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 5 лет назад
Mashallah mawaidha mazuri
@fatumamasudi2153
@fatumamasudi2153 5 лет назад
MashaAllah sheikh Uthman,Allah atupe mwisho mwema
@jasminamani3828
@jasminamani3828 5 лет назад
Masha Allah mungu akuzidishie
@shabanimarijani662
@shabanimarijani662 5 лет назад
Mwenyezi mungu atakuongoza inshaallah.
@jimjam4162
@jimjam4162 5 лет назад
MASHA ALLAH sh. Othman Maalim.
@mumys7999
@mumys7999 5 лет назад
Masha Allah
@khalfankhamis6346
@khalfankhamis6346 4 года назад
Mumy S mashaallah
@salehsuleyman933
@salehsuleyman933 5 лет назад
Thnk my maalim we love you
@salehzz290
@salehzz290 5 лет назад
MA SHA ALLAH
@rkenea4262
@rkenea4262 5 лет назад
Masha Allah ya Othman
@alshukilialshukili9610
@alshukilialshukili9610 5 лет назад
Allah awape kheri
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
Nimewapata Alhamdulillah...muko Tamaaman kabisa
@abdinuraden1806
@abdinuraden1806 9 месяцев назад
❤very interesting
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 лет назад
Asalaam aleykum, mbona mmewasahau mashehe wetu ambao wako jela wa UAMSHOy?
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
Kweli
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 5 лет назад
Kweli lkn kila mwaka hawasemi kwa7bu maneno yote wanapangiwa na serekali hawawezi kutaja mashekhe roho zinauma kila mtu anasemakwanini maada ya mashekhe inaachwanyuma
@keiazizi5746
@keiazizi5746 3 года назад
Allah akuzidishie elimu
@asmmaasmma1172
@asmmaasmma1172 5 лет назад
Man sha Allah
@yasirahmed3515
@yasirahmed3515 3 года назад
Maashaallah Tabaarakallahu
@zulekhaabdalla7408
@zulekhaabdalla7408 4 года назад
Thakbir
@shelinswai3926
@shelinswai3926 4 года назад
This year Hakuna hutba mpya za shekh
@faulatafahmi7733
@faulatafahmi7733 5 лет назад
Alhamdulillah nafurahi
@ummuraw6372
@ummuraw6372 5 лет назад
M.Mungu awalipe kheri daima watumishi wote wa KTV hii ni sadaka kwenu kwa ssi tulio mbali tunahisi tupo ktk viwanja kwa kweli tunafarajika pia ALLAH awalipe kheri wahadhiri wote. Amiin
@abdukhamis436
@abdukhamis436 5 лет назад
Mashallah Allah awadumishe mashekhe wetu Na maamiri wetu WA markaz akiwemo amiri mkuu amir Ali khamis mwinyi Kwa kuifanikisha ijtimai Allah awajaze kheri nyingi
@safilarose6247
@safilarose6247 2 года назад
Assalamu Walaikum Warahmatuh Wabarakatuh.
@neemagambere9987
@neemagambere9987 5 лет назад
mashallah.malimu
@hamisally5850
@hamisally5850 5 лет назад
Pamoja san
@laylisaid9563
@laylisaid9563 5 лет назад
👏👏👏💖👑💝🤲🙏
@halimamsafiri1532
@halimamsafiri1532 5 лет назад
Naomba kwa aliokuwa nayo video hii anitumie 0717195547
@daprince7545
@daprince7545 5 лет назад
Ishaallah ntakutumia kwa whtpps
@aminamhina9129
@aminamhina9129 Год назад
Masha Allah
Далее
RAFIKI WA ALLAH NI YUPI ? SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:12:40
Просмотров 13 тыс.
Othman Maalim - Mitihani
1:07:31
Просмотров 132 тыс.
Китайка и Зеленый Слайм😂😆
00:20
LIVE: SHEIKH OTHMAN MAALIM - MAUTI
1:26:11
Просмотров 186 тыс.
KISA CHA SAAD BIN WAQAS// SHEIKH OTHMAN MAALIM
39:35
Просмотров 47 тыс.
KISA CHA NABII IDRISA NA NABII NUUH-Othman Maalim
1:06:10
041 2 OTHMAN MAALIM MARADHI YA NAFSI
1:09:22
Просмотров 35 тыс.
Hilal Kipozeo Kujiepusha na Maovu
54:56
Просмотров 283 тыс.
026 1 OTHMAN MAALIM   USIKATE TAMAA
1:04:02
Просмотров 7 тыс.
OTHMAN MAALIM.....VISA VYA VITA YA BADRI
3:01:33
Просмотров 130 тыс.
Sheikh Othman Maalim - jifundishe kukinai
57:57
Просмотров 74 тыс.