So this is his natural voice. Wow!. Hii sauti ilinipea njaa sana nikiwa mdogo. Nafika home from school napata omuga kabisae ndo anatangaza matangazo na lunch haijakuwa😔😔😅😅
Asante MUNGU juu ya yutube ningewa sikia aje tena kama si MUNGU kuleta yutube I am haphy am just smiling seeing the legends weee ameunda sawa nawengine nawatafuta humu kwa yutube
Be blessed so much sir Charles omuga kabisae for the great work you did , i remember how you used to broadcast matangazo ya vifo, you were indeed the master. Plus other programs as well Be blessed richly
I remember, BOG, BOG PTA na halmashauri ya shule ya upili ya maseno wanawadangazia wanafunzi kurudi shule kama ifwatavyo. Kidato cha kwanza wamatarajiwa kufika shuleni jumatatu tarehe mosi mwezi ujao na waje na karo iliyosalia. 😂😂
Zama nikiwa mdogo, jamani huyu legend alitesa saana kwa mziki wa adhuhuri, salamu na matangazo ya vifo na maalum, live long legend Charles Omuga Kabisae
Memories, salamu za Alasiri 😆, the way a guy who was popular on this “salamu platforms “ he was from Nakuru. I used to wonder, “sehemu za Ingo” ni wapi, nilipata ufunuo when I finally met people of sehemu za Ingo😂😂😂…