Тёмный
No video :(

LUKAMBA : DIAMOND PLATNUMZ, SIWEZI KUOMBA MSAMAHA / NILISHTAKIWA MAHAKAMANI KUTISHIA KUUA MTU 

EastAfricaRadio
Подписаться 507 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Facebook: / earadio
Twitter: / earadiofm
Subscribes: / @eastafricaradio

Опубликовано:

 

28 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@pewex40
@pewex40 8 месяцев назад
Chunga sana bro majivuno ni sumu kwa maisha ya usoni
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 8 месяцев назад
Upo sahihi maneno yako
@michaeljuma254
@michaeljuma254 8 месяцев назад
Time will tell bro. Muda utafika utakua unakumbia hizi interviews trust me
@faidhacute
@faidhacute 8 месяцев назад
Wakwanza nipeni like za kutosha
@mwamikajibwami8424
@mwamikajibwami8424 8 месяцев назад
Uyu naye ni nani ??
@ISSACCECYTIN
@ISSACCECYTIN 8 месяцев назад
Hakuna jipya hapo studioo alafuu acheni kumchimba mtu ila kutafta ubaya wa mtuu yani lengo mna taka mondi aseme kitu sasa na mondi siku izi ame kua hataki kumpa mtu kiki. Daaaaaa tenda wema uwende zako. Mimi lukamba nime kuja kumtambua wcb
@usherguillain8032
@usherguillain8032 8 месяцев назад
Iyi media waki alika msani mpaka wamseme diamond platnumz euh muna kera sana
@victaboy7273
@victaboy7273 8 месяцев назад
Unataka wamseme babaako?
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 месяцев назад
​@@victaboy7273mama yako
@jumamboga9652
@jumamboga9652 8 месяцев назад
Sio lazima wamtaje wanatafuta watu ambao kuna conflicts na diamond au walio toka sio kumtaja diamond rekebisha kiswahili
@victaboy7273
@victaboy7273 8 месяцев назад
@@jumamboga9652 mwambie
@BakariIddy-hh8nm
@BakariIddy-hh8nm 8 месяцев назад
Aka kajamaa nakaona kama kashoga furan maneno yake kama choko vire
@farajamnyeda9039
@farajamnyeda9039 8 месяцев назад
T bway kazeeeka
@stanastana3199
@stanastana3199 8 месяцев назад
Nkt ngoma zipi umeimba?
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 8 месяцев назад
mimi nilimjua huyu dogo kupitia diamond,siku akipewa kagari akitoa machozii leo hii anaongea vibaya 😂
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 месяцев назад
Aiseee daah😢😢😢
@kenrifambi
@kenrifambi 8 месяцев назад
This Lukamba guy is so ungrateful. Yaani anasema anaregret kufani kazi Wasafi na kila mtu anamjua juu juu ya Wasafi.
@FreeGod368
@FreeGod368 8 месяцев назад
Binadam bwana😮
@fahadbabuy
@fahadbabuy 8 месяцев назад
Kuwa na heshima na maamuzi ya mtu!! Usione ukadhani
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 месяцев назад
​@@fahadbabuyacha hizo unajua wangapi wapo barabarani hawajui wafike je hapo alipo Lukamba na ni wakali zaidi ya lukamba kwa photo shoot
@ngayaimkwe5175
@ngayaimkwe5175 8 месяцев назад
😂😂😂😂 maisha
@user-mt5qu8lu7c
@user-mt5qu8lu7c 8 месяцев назад
Ulikuwa mupinga picha kwani ulikuwa mutu wa atari
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 8 месяцев назад
Yaani watoto wa kiswahili wapumbavu saana yaani hivi ndo unajiona kama una ideas za kutoboa pasipo kusaidiwa na Diamond? Unawajua wangapi mlikuwa wote kipindi kile hujawa na Simba mpaka sasa bado wapo mtaani hata hawajui watoboe vipi?? Duuh yaani ngoja tukujie huko IG mpumbavu, umepewa Alteza ukatoa machozi leo hii unatoa matamshi hayo? Daah😢😢
@BakariIddy-hh8nm
@BakariIddy-hh8nm 8 месяцев назад
Iki kipindi kibovo hamna chamana chochote wanachotanga kazi Yao majungu tu na kumponda diamondi
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 8 месяцев назад
Kipindi si kibovu ni hawa wasanii kila kukicha ni kumsema diamond...kweli ni simbaaaaa...kila anaeongea diamond mwenyewe anaendelea kukusanya maokoto😆😆
@fadhilidoza5639
@fadhilidoza5639 8 месяцев назад
Nimemsikiliza huyu dogo nimegundua hii dunia c ya kusaidia mtu
@jocelyneliaminarukundo3633
@jocelyneliaminarukundo3633 8 месяцев назад
😂😂😂
@BakariIddy-hh8nm
@BakariIddy-hh8nm 8 месяцев назад
Kipindi kizima mnachamba tu na kuchekacheka tu
@himidiwekabuje8402
@himidiwekabuje8402 8 месяцев назад
😂
Далее
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 8 млн
Dakika kumi za maangamizi Bassat Waboe
12:44
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Просмотров 8 млн