Тёмный
No video :(

LULU Atoa ya MOYONI Kuhusu MAMA KANUMBA - "NIMEM-BLOCK, mimi sio MNAFKI".. 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 182 тыс.
50% 1

LULU Atoa ya MOYONI Kuhusu MAMA KANUMBA - "NIMEM-BLOCK, mimi sio MNAFKI"..
MUIGIZAJI Elizabeth Micheal (LULU) hatimaye amefunguka kuhusu kauli alizotoa Mama Kanumba kwenye mahojiano aliyofanya na Wema Sepetu..
Lulu amesema kuwa ataendelea kubaki kimya kwani anaamini mzazi hakosei..
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 261   
@globaltv_online
@globaltv_online 3 года назад
DOWNLOAD GLOBAL APP ili usipitwe na habari: play.google.com/store/apps/details?id=com.globalpublishers.mainapp
@gaeljagger3231
@gaeljagger3231 3 года назад
I realize it is pretty off topic but do anybody know a good place to watch new movies online?
@ronnieatticus8455
@ronnieatticus8455 3 года назад
@Gael Jagger i use Flixzone. Just search on google for it =)
@rylandlarry4853
@rylandlarry4853 3 года назад
@Ronnie Atticus Yea, I have been using FlixZone for since march myself :)
@gaeljagger3231
@gaeljagger3231 3 года назад
@Ronnie Atticus thanks, signed up and it seems to work :D I really appreciate it !
@ronnieatticus8455
@ronnieatticus8455 3 года назад
@Gael Jagger glad I could help :)
@josefmaiko3662
@josefmaiko3662 3 года назад
Lulu you are such a wise girl l could never imagine, but today you have proved to me what kind of an intelligent person you are.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 года назад
Big up lulu, mbele kwa mbele kama injili, never look back haters were here since Jesus Christ na wataendelea kuwepo
@consolathakidohela6715
@consolathakidohela6715 3 года назад
Nm*p
@lisahhans295
@lisahhans295 3 года назад
YAAANI KATATAA JAMANI LULU HAJAUWA PLEASE.HEBU ANICOL
@mamakendrick7538
@mamakendrick7538 3 года назад
Mungu akutunze sweetheart, huo msalaba uondoke kwako hata haustahili haya. U are a star yan angekuwa mwingine angehaha kujibu
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 3 года назад
Amen 🙏
@gracehaule3884
@gracehaule3884 3 года назад
Akili mingi lulu wangu
@sambinyanya
@sambinyanya 3 года назад
Duuh! Leave the young lady alone! Mtamsulubisha mpaka lini?nkt! Mob love for lulu from Kenya!
@evancetilya5140
@evancetilya5140 3 года назад
God bless you lulu
@blandinamnyinga8318
@blandinamnyinga8318 3 года назад
smart girl, always ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Lulu
@fortunatedominic7845
@fortunatedominic7845 3 года назад
You're such a beautiful girl with brain. You so very brave.
@specialminds23
@specialminds23 3 года назад
Lulu my baby sis 😘
@Ikkiyoongi
@Ikkiyoongi 3 года назад
Ucjali lulu wng...yote maisha mungu yupo zidi kumuomba tuh 😘😘
@tumpenaboth799
@tumpenaboth799 3 года назад
Safi lulu unajibu kwa hekima Mungu awe nawe ktk maisha yako
@candiceximba7308
@candiceximba7308 3 года назад
Straight talk love this lady Lulu
@theceefamily7764
@theceefamily7764 3 года назад
Mti wenye matunda mazuri lazima utingizwe au kurushiwa mawe,shout up👏👏👏🌞🙏🇰🇪.
@evancetilya5140
@evancetilya5140 3 года назад
Lulu blessed
@shardalove1159
@shardalove1159 3 года назад
Swadakta lulu love from 🇰🇪
@umugwanezazuhura8282
@umugwanezazuhura8282 3 года назад
Nagupenda sana
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 3 года назад
WELL DONE LULU 👌💕💕💕💕
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 года назад
Cjui kwann nakapendaga haka kalulu.kako smart sana.ya ALAH akutunze 🥰
@michaell8566
@michaell8566 3 года назад
Safi sana lulu wewe kaa kimya hivyo hivyo usimjibu chochote.yule ni mtu mzima!!
@ziadaomeri6058
@ziadaomeri6058 3 года назад
Lulu my mwanangu nakupenda sana upo vizuri hiyo ni mitihani tu
@zainababdulrahman9246
@zainababdulrahman9246 3 года назад
Mashallah very intelligent we are still supporting you no matter what
@user-iv7ro4fo6v
@user-iv7ro4fo6v 3 года назад
Sasa nyinyi mnamsifiya lulu je angekuliya watoto wenu angefanjaje mngemsamehe au mngemuuwa
@rachelphilbert7394
@rachelphilbert7394 3 года назад
Kwa kadrii ambavyo Mungu angetuongoza.
@aminaali8839
@aminaali8839 3 года назад
Uchungu Wa Mwana Ajuwae Ni Mzazi Mama Wa Wa Wawatu Ana Uchungu Mukubwa
@subirajohn728
@subirajohn728 3 года назад
Shangaa haya mambo uyasikie kwa mwenzako tu ndio utacommen unavyosikia yakikukuta utabana ngenga Mama K anamachungu ya kuondokewa tusimkejeli!
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 3 года назад
Na wewe sasa kwani aliyekufa atarudi?
@nicasteven4651
@nicasteven4651 3 года назад
Hiyo inaitwa nifundishe kunyamaza mungu akupe maish maref
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 3 года назад
Ukimya haunaga hasara😍
@edgasimkoko321
@edgasimkoko321 3 года назад
mungu akubaliki na akutangulie katika kazi zako ufanikiwe
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 года назад
Usijifanye msafi kivile ulishauwa mama wa watu bado ana uchungu moyoni
@jackierama1817
@jackierama1817 3 года назад
Sk ya mt ilifika km mungu hajakuita huwez kwenda na km ndo ivo aliondoka bs sk yake rasm ya kuaga dunia hata asingesukumwa bs ingetokea chochote na ikawa ila ww kaa na frikra zako potofu ukiendelea kuhuku nyau ww😏😏
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 3 года назад
@@jackierama1817 Asante
@christinapeterntibagiligwa2556
@christinapeterntibagiligwa2556 3 года назад
@@cheiknamouna2058 tarehe ilikua imefika acha kuwanga
@happymwinuka2637
@happymwinuka2637 3 года назад
Ulikuwepo
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 3 года назад
I wish nijaaliwe kufanya kazi pamoja na Lulu....Ni very smart ktk kila sector.
@raudhamahmoud9538
@raudhamahmoud9538 3 года назад
Mungu akulinde
@hemediidd3886
@hemediidd3886 3 года назад
Umezingua tu kusema huamin km uchawi upo weeee Elizabeth wajina wa mwanangu upo uchawi mwanangu oooh
@godwinhaule6100
@godwinhaule6100 3 года назад
Safi Sana Lulu mungu azidi kukupa kekima zaidi
@magrethgeorge9253
@magrethgeorge9253 3 года назад
Ila Lulu mdogo wangu Mungu aendeleee kukupa uzima,wewe nimarikia wanguvu,jaman msiombe mkakutwa nakitu hiki unaweza ukataman ujiuwe,Lulu wewe nakupa big up
@gaudenciamallya9779
@gaudenciamallya9779 3 года назад
Lulu katika ubora wake.Una hekima sana Eliza.
@happydevy7489
@happydevy7489 3 года назад
Nakupenda sana dada angu natamani kuwa kama wew🥰🥰🥰
@loycejoely8967
@loycejoely8967 2 года назад
Lulu mungu akusimamie hako ka wema kamesha zeeka kameona katumie nyota yako kafie huko
@wilsonkombeyeri4623
@wilsonkombeyeri4623 10 месяцев назад
Pole dada Lulu kwa yote yanayokusibu ila ukweli Kanumba alikuwa freemason wala wewe hukuwa na makosa
@erianaezra2416
@erianaezra2416 3 года назад
Nakupenda sana pambana namaisha binadamu ndo tilivyo, hongera kwa majbu mazuri
@calolinamwandali3599
@calolinamwandali3599 3 года назад
That's good,response,we have to leave the past&get forward,congrates lulu
@fdff3980
@fdff3980 3 года назад
Lulu nakupenda kwa busara yako mtoto mdogo mungu akulinde.
@mashaallhmkonokwakwamkonog4845
@mashaallhmkonokwakwamkonog4845 3 года назад
Mashaa Allah unamaneno yahekima dear
@nasraabdul3884
@nasraabdul3884 2 года назад
Good girl
@neemanyangure2981
@neemanyangure2981 3 года назад
Vzr dada ang.Kwa majib ya hekima na busar
@damarissaline.2315
@damarissaline.2315 3 года назад
This girl is always mature.
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 3 года назад
Muachie Mungu Dadangu... Siku Mungu akikuchukua atafurahi cz hilo ndilo alitakalo..wivu pia anao huyo Mama...cz hataki kukuona ukiendelea...awe pole ila ajue sote tuwa Mungu na ahera tutarudi kwa njia zozote zile...
@annangowi7950
@annangowi7950 3 года назад
Siyo sawa
@Malaikakisseto
@Malaikakisseto 3 года назад
Acha nae huyo mama ajielewi na usimjibu hivyohiyo mtu ambae anaakiri hawezi kukuraumu ukweli unaoneka binafsi sikuhukumu huna kosa sisimizi hawezi kumuua tembo mungu anakupenda ishi miaka mingi uwe na amani lulu wangu nakupenda sanaaa mdogo wangu
@irenelukumay877
@irenelukumay877 3 года назад
barikiwa sana kwa,busara ulio nao mdogo wangu
@aminamwangile4020
@aminamwangile4020 3 года назад
Lulu nampenda yupo makini na majibu ni yny busara tupu
@irenemosha1645
@irenemosha1645 3 года назад
Hongera sana lulu unajielewa sana
@sylviesylvieleonardoliveas6138
@sylviesylvieleonardoliveas6138 3 года назад
Ongera Dada umeongeya vizuri saaana
@Boaz22
@Boaz22 3 года назад
Lulu ana akili kubwa sanaaaa
@rachelpease7302
@rachelpease7302 3 года назад
She's intelligent,hekima ya hali ya juu hii,big up lulu
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 3 года назад
Safi Lulu endelea kukaa kimya tunakupenda sana . That's being clever .
@esthermwaniki7938
@esthermwaniki7938 3 года назад
Beauty with brain kudos dear 👍
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 года назад
Pole hilo ni jaribu lako Mungu atakusimamia ,watu wanafia Gest na hawastakiwi waliokuwa nao sembuse ww bi mkubwa anabidi ashukuru mungu Ili apate riziki nyingine kutoka kwA Mungu
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 3 года назад
Huo ndiyo utu hakika umejaaliwa nao chakuongeza ni kukwambia funga ndoa uzae watoto wako utalea wa mwenzie mpaka lini umekua kijakazi wa majizo mda mrefu Zinduka🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@elizabethmkumbo323
@elizabethmkumbo323 3 года назад
Nakupenda Sana wajina
@hawangalima
@hawangalima 3 года назад
Nampenda Sana huyu dada
@salsashmomy
@salsashmomy 3 года назад
honger sana lulu supar woman
@tulanyagawa3271
@tulanyagawa3271 3 года назад
Amaizing
@aisha-ro5fr
@aisha-ro5fr 3 года назад
Ninacho kupenda wewe dada uko real yani mkwelii unaga makuu
@agneskadzo6105
@agneskadzo6105 3 года назад
Lulu anaishi kwa Neema ya Mungu...cz hatujui Mama kanumba anafanya mbinu ngani ili amuangamize lakini kwa kuwa Neema ya Mungu ijuu ya Lulu ndiyo maana anaishi.. Mungu azidi kukulinda Dadangu cz unahadui wa peupe sisi Wetu hatuwajui ila wewe wako yuko wazii...
@asmahanyally3225
@asmahanyally3225 3 года назад
I love u lulu
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 2 года назад
Nimefwatilia Mikasa ya lulu mama kanumba anakosea tena Sana ningekuwa Mimi lulu angeisoma namba Mana niukweli Freemason walichukua kwani Nani hajuh
@salmaseif1070
@salmaseif1070 3 года назад
Beauty with brain
@evancetilya5140
@evancetilya5140 3 года назад
Lulu.
@rukynoor4459
@rukynoor4459 3 года назад
Kunyamaza inatosha lulu mungu atakulipa,kanumba kafa kwa siku zake kufika .
@onesterabayo9067
@onesterabayo9067 3 года назад
Whether rich or not, never disrespect old people. They deserve respect and if you don't respect them, God curses you. Lulu learn to respect people who deserve it.
@mariamswedy4291
@mariamswedy4291 3 года назад
It's real true
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 3 года назад
Nakupenda bure lulu Mungu atazidi kukuifazi
@movickboazy7642
@movickboazy7642 3 года назад
Nakuelewa Saaaana mtoto mzuur
@jestinamagembe2125
@jestinamagembe2125 3 года назад
Songa mbele Lulu,una busara sana,nakupenda sanaa
@sophiampili4265
@sophiampili4265 3 года назад
Nimempenda Sana huyu dada🥰🥰anaongea Kama mtu ambaye sio maarufu, yaan daah ♥️♥️nakupenda mdada
@mulokzsimon197
@mulokzsimon197 3 года назад
Nipunguzie kdg izo akil dogo
@sophiampili4265
@sophiampili4265 3 года назад
@@mulokzsimon197 🤣🤣🤣mbona chenga tu nimeongea hapo
@evancetilya5140
@evancetilya5140 3 года назад
More
@nanginyiimases5613
@nanginyiimases5613 3 года назад
Lulu nakupendaga kwa busara zako ktk kujb na kujieleza Mungu akulinde Sana Kila iitwapo leo.
@sylviamombo815
@sylviamombo815 3 года назад
Hongera kwa ndoa yako na majizo
@naomisamatwa6690
@naomisamatwa6690 3 года назад
NAMPENDA lulu toka mda hanag skendo labda wamuongelee anasem kwel
@asiamatembo4434
@asiamatembo4434 3 года назад
Nakupenda sana lulu unajielewa sasa
@sylviesylvieleonardoliveas6138
@sylviesylvieleonardoliveas6138 3 года назад
Uko na hekima saaana mungu aendeleye na Ku bariki
@salomevenance9555
@salomevenance9555 3 года назад
Nakupenda sana Lulu,unaakili sana Mungu azidi kukusimamia 😘😘😘❤️❤️😘😘💕🙏❤️unajitambua sana tena sana😘❤️
@sophiasophia9713
@sophiasophia9713 3 года назад
Una busara hadi raha
@veronikachuwa8932
@veronikachuwa8932 3 года назад
Uko vizuri hata kukaa kimya ni jibu alafu hata hao waandishi WA habari wasikuchanganye na maswali yao
@priscadaniel7
@priscadaniel7 3 года назад
Kwanini Jamani mama Kanumba Kwani ajasamehe had Leo lulu mungu anajuwa wapi unapitia binadamu kuweni upedo wema nae Mubaya iv kwanini munamusakama Sana lulu mungu anawaona lulu nakupenda bole🙏❤
@hajraomar1812
@hajraomar1812 3 года назад
Nampenda sana uyu dada mpole Na hajidai.. Na hana sifa
@catherineerastus1682
@catherineerastus1682 3 года назад
Nakupenda lulu
@gracemathias3990
@gracemathias3990 2 года назад
Y6h
@ernestsinje8693
@ernestsinje8693 3 года назад
Mama huyo anaweza hata kukutoa roho kisaikolojia hayuko sawa fanya maisha yako kwa sababu wewe sio ziraeli wa kutoa roho bwana
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 года назад
Inauma lkn itabidi uzoee lkn pia wew ujifunzee kuongea kumbe waezaa kuumwa wema bs aliumia zaidi yale ulimrushia
@josephkomba64
@josephkomba64 3 года назад
Dada nampendaga huyuuu hajickii kama wadada wengne wanaoigiza yaani mungu amuweke miaka mingiiiiiiiii icyo na kikomo
@neemamfinanga639
@neemamfinanga639 3 года назад
Nakupenda sana lulu una pweti
@josefmaiko3662
@josefmaiko3662 3 года назад
LULU KUWA NA AMANI, ENDELEA NA MAISHA YAKO MAANA HAKUNA MKAMILIFU HAPA DUNIANI. KIKUBWA UMESHAOMBA MSAMAA. THAT'S IT. NA ENDELEA HIVOHIVO KUMUHESHIMU MAMA KANUMBA MAANA NI SAWA NA MAMAKO MZAZI. USHAURI KWA MAMA "Ondoa KINYONGO msamehe mwanao lulu anza maisha mapya" Mungu hatokuacha. Usisikilize USHAURI MBAYA wa watu. Maana maneno yao mabaya ni sawa na kukunywesha sumu wewe kwakutegemea Lulu adhurike, haiwezekani maana Anayedhurika ni yule anaekunywa sumu sivinginevyo. Ushauri mbaya wa watu ni sawa na sumu. Msamehe binti yako Lulu na kila kitu kitakuwa sawa. Kama inawezekana kuweni karibu mtafarijika zaidi nyote wawili na umtakuwa mfano mzuri na kila mtu atakuongeleeni vizuri.
@PhoneReset-vl3ti
@PhoneReset-vl3ti 3 года назад
Hongeraa Luluu
@allymahamudu9492
@allymahamudu9492 3 года назад
Uchawi upo
@zuwenaalamini4158
@zuwenaalamini4158 3 года назад
Mashallah mamy umeongea vzr Sana mamy
@ppesampingo9042
@ppesampingo9042 3 года назад
Ilove you sana dogo Lizzy
@enezaelnanyaro4853
@enezaelnanyaro4853 3 года назад
Nimependa jinsi unavyo jibu maswali kwa busara kweli Lulu una akili sanaaaa ubarikiwe Sana.
@dennismusiba4836
@dennismusiba4836 3 года назад
Nice speech
@christinathomas9907
@christinathomas9907 3 года назад
Nakupenda sana lulu wangu😙😙
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 3 года назад
Nakubali sana
@mariarin6428
@mariarin6428 2 года назад
Dunia n dunia na pia wewe lulu ipo cku utalipa kwa kenye ulimtendea uyo mama .....jajajua dunia bado na pesa n maua tu
@yukundapeter2170
@yukundapeter2170 3 года назад
Mmmm
@aminaramadan184
@aminaramadan184 3 года назад
Lulu ❤️❤️❤️
@zukrabuethi5068
@zukrabuethi5068 3 года назад
DAWA YA LIVEN kiboko ya maumbile ..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" LIVEN " ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu Wasiliana 0659982160 shuhuda zinazidi kuongezeka kila kukicha
Далее
Средневековый киборг
00:39
Просмотров 534 тыс.
Почему-то хочется плакать
00:17
Просмотров 519 тыс.
MISSION IMPOSSIBLE [33]
24:26
Просмотров 93 тыс.