Тёмный

Maajabu Ya Gari La Magufuli 

Fev TV
Подписаться 68 тыс.
Просмотров 352 тыс.
50% 1

Tafadhali Usisahau Kusubscribe Channel Yetu Kama Bado
Tazama Video Zetu Kupitia Link Hizo Hapo Chini
MAKALA KUHUSU RAMBO (Sylvester Stallone) 👇
• USIYOYAJUA KUHUSU RAMB...
MAKALA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ👇
• Usiyoyajua Kuhusu Diam...
MAKALA KUHUSU MOHAMMED DEWJI👇
• Mambo 10 Usiyoyajua Ku...
MAKALA KUHUSU ALIENS (viumbe wa ajabu)👇
• Usiyoyajua Kuhusu Aliens
MAKALA KUHUSU NYOKA (Black Mamba) 👇
• Maajabu Ya Nyoka Aina ...
MAKALA KUHUSU NDEGE ILIYOPOTEA KWA MIAKA 37 NA KUPATIKANA WATU WOTE WAKIWA HAI👇
• Ndege Iliyopotea Na Ku...
Copyright disclaimer undersection 107 of the copyright act 1976 allowance is made for " fair use" for purposes such as criticisms, comment, news, reporting, teaching, scholarship and research. Fair use is a permitted by copyright statute that might otherwise be infringing, non-profit educational or personal use tips the balance in favour of fair use.
Tazama video mpya ya Usiyoyajua Kuhusu Filamu Ya THE MONEY HEIST Kwa Kubofya Link Hapo Chini👇
• USIYOYAJUA KUHUSU MONE...
Usisahau Ku-subscribe channel yetu kama bado
#Magufuli #JohnPombeMagufuli #RaisWaTanzania #Tanzania

Развлечения

Опубликовано:

 

2 июн 2019

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 73   
@FevTVTanzania
@FevTVTanzania 4 года назад
JE UMEWAHI KUSIKIA KUHUSU KIJIJI CHA KICHAWI HUKO BARIADI MKOANI SIMIYU KIJIJI CHABGAMBOSHI??? BASI FAVE TV IMEKUANDALIA MAKALA NZURI SANA KUHUSU KIJIJI HICHO BOFYA LINK HAPO CHINI KUTAZAMA👇👇👇 ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-MELxpZDdat0.html ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-MELxpZDdat0.html
@editerruthaigwa8149
@editerruthaigwa8149 3 года назад
gamboshi
@husseinjuma3848
@husseinjuma3848 3 года назад
@Moses Abel be
@judithngajilo5431
@judithngajilo5431 4 года назад
Mungu wetu katupa mungu.asante mungu kwakutupa Rais mwema.
@paskalclemenc6683
@paskalclemenc6683 3 года назад
Ninamshukurumung kwakutupa laisibora emungu umlinde
@shabaniabdi2963
@shabaniabdi2963 4 года назад
safi broo
@J4UPro
@J4UPro 4 года назад
Safi sana
@amedeusmmanga4535
@amedeusmmanga4535 3 года назад
One day yes ln God we Trust
@frankmbawala5768
@frankmbawala5768 4 года назад
Ujui kutengeneza makala kaka hata kuibia kumekushinda
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 4 года назад
asante sana
@timmyfocus5117
@timmyfocus5117 4 года назад
good job
@jonathanicrisatijonathanic6708
@jonathanicrisatijonathanic6708 3 года назад
Cheka mpaka uzimie
@shadjozeph7401
@shadjozeph7401 3 года назад
Noma
@altidorekataya7229
@altidorekataya7229 4 года назад
Iyo inafuraisha kabisa
@nishackbazilyjustine4313
@nishackbazilyjustine4313 4 года назад
Kali
@malundeonlinetv8399
@malundeonlinetv8399 3 года назад
Acha uongo mbona waga wanapigagatu sim kimfano mbolana alikujaga hapa kwetu mor alikua anapigatu sim mpaka akampigia na wazili
@mgangasamandua9155
@mgangasamandua9155 3 года назад
Du star nakubar
@muddykitembo3145
@muddykitembo3145 4 года назад
ujui kabisa
@furahinimsigwa2152
@furahinimsigwa2152 2 года назад
Bei ya gari na ukubwa wa injini
@simonjoseph1679
@simonjoseph1679 3 года назад
We jamaa ni tako
@pastorbenardzephaniah5123
@pastorbenardzephaniah5123 4 года назад
Ok
@dishownwilliam8140
@dishownwilliam8140 3 года назад
Fala ww
@ryobajohn7177
@ryobajohn7177 4 года назад
Ume jitahid kutudanganya kaka back to school brother
@ericabovo738
@ericabovo738 3 года назад
Unajifunza. Uongo \unamaliza. Coz
@petrobaraka9594
@petrobaraka9594 3 года назад
Mambo
@ramadhanihatibu1714
@ramadhanihatibu1714 4 года назад
Uwong
@samsadicknkono1013
@samsadicknkono1013 4 года назад
Mh sy kwel
@rajalfred3859
@rajalfred3859 3 года назад
Usitudangaye fanya research yako vizuri ya yale magari kwenye msafara kila gari inajukumu lake
@rajalfred3859
@rajalfred3859 3 года назад
Unatuwekea picha ya knight xv alafu unatuonesha common sense
@nyemombogoni3755
@nyemombogoni3755 4 года назад
Umbwa kabisa unaeleza umama tu, pumbavu mwili mzima
@luqmanbabune1148
@luqmanbabune1148 4 года назад
Hiii
@mnerostationeries1113
@mnerostationeries1113 4 года назад
Umejitaid kutudanganya.
@sifaelmugitu8018
@sifaelmugitu8018 4 года назад
Mbona unatuonyesha magari tofauti na sifa unazozitaja? Siyo magari yote yana sifa hizo ila ni lile gari moja aina ya Mercedes Benz lenye vitu kama antena nyingi nyingi juu yake ndilo lenye kazi za kublock mawasiliano, hizo V8 ulizotuonyesha ni gari za kawaida tu sema ni bullet proof
@kapendalubowa534
@kapendalubowa534 3 года назад
Huyu jamaa Ni mpumbavu Sana stoangalia Tena channel yake.Anafikiri anajua kumbe Ni kilaza hata magari anayoyazungumzia hayajui.
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 3 года назад
Tatizo la sisi Watanzania tunakua na tabia ya kubishana bila kutaja vigezo vilivyofanya Tanzania ifikie "UCHUMI WA KATI" Mimi binafsi nimesomea mambo ya uchumi nijiuliza hawa watu kila kukicha Watanzania walio wengi wanawaita Wazungu "MABEBERU". Watu walioko kwenye Bank ya Dunia walio wengi ni Wazungu. Inakuwaje wanasema tumefikia "UCHUMI WA KATI" wakati Dola 1 ya Marekani ni shillingi za Tanzania 2310/=, Paundi 1 ya Uingereza ni shilingi za Tanzania 2290/=, Euro 1 ni shilingi za Tanzania 2740/=, Dinari 1 ya Kuwaiti ni shilingi za Tanzania 7600/=, Dila 1 ya Marekani ni sawa na Kenyan shillings 100/=, sasa niapeni vigezo vilivyotumika kuiweka Tanzania kwenye uchumi wa Kati wakati Watanzania walio wengi kipato chao ni chini ya dola 1 ya Marekani kwa siku. Wazungu ni watu wenye mbinu nyingi sana katika kuweka hadharani maendeleo ya nchi. Wanajua kabisa wakiambia Serekali ya Tanzania "UCHUMI WENU UMEKUWA" wasomi na wana Siasa watapinga tena kwa hoja. Majukwaa yote ya Siasa za Tanzania wapinzani wanapinga kwa nguvu zote na sababu kubwa ni kwamba hali za Watanzania ni mbaya sana. Miradi mikubwa ya kuzalisha kipato imekufa vikiwemo viwanda, Uwekezaji wa ndani na nje, Mashirika ya Umma yamekufa, Miradi ya vijiji imefilisika, Wafanya biashara wakubwa wamefilisika na wengine wamekimbia nchi. Magufuli amefanya kazi kubwa kwa upeo wa fikra zake lakini akasahau ajira za Watanzania na ndizo zinamtesa sasa hivi. Wapinzani wamevuna wanachama wengi sana kutoka ndani ya CCM, wale unaoona wanarudi CCM toka upinzani ni watu waoga wanaosikiliza hotuba za mheshimiwa Magufuli ambazo mara nyingi amekuwa akijisahau kuwa aliwahi kusema tena hadharani kuwa "MAENDELEO HAYANA CHAMA". Akarudi akajisahau kule Musoma akasema "MKICHAGUA MADIWANI NA WABUNGE WA UPINZANI SITAPELEKA MAENDELEO MAENEO HAYO". Kiongozi wa nchi ukisha kuwa na mtoto wa Tumboni na Mgongoni umeigawa nchi na ndio maana sasa hivi kuna watu wa Magufuli, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, na wengineo. Angalia mikutano ya Wana Siasa ilivyoigawa nchi. Mheshimiwa Magufuli anaenda na Wana Muziki kwenye mikutano yake sasa huwezi jua watu wamefuata Sera zake au Muziki. Lissu akiwa kwenye Mikutano yake amejaza watu huwezi jua wanamfuata kwa Sera zake au kwa mshangao kuwa Binadamu atakuaje hai huku amepigwa risasi 16 wakati Tembo anapigwa risasi moja tu na kufa. Watanzania wanajiuliza nchi yenye utwala wa kisheria binadamu anapoteaje, Waandishi wa habari wanapoteaje, Raia wa kawaida wenye mapenzi na vyama vya upinzani wanapoteaje, Wafanya Biashara wenye mapenzi na upinzani wanafilisiwa. Madakitari wametishwa wasitoe ripoti za COVID19, Tanzania na Kenya nani wanajua kwenda Kanisani na Misikitini. Katika watu wenye mpaka mrefu sana ni Kenya na Tanzania. Kutoka Lake Victoria mpaka Indian Ocean. Wafanyakazi hawaongezewi mishahara, Wafanyakazi wametumbuliwa sana na kufukuzwa bila kulipwa stahiki zao. Rais wa nchi anaweka ndugu zake HAZINA ya umma ili akichukua fedha isijulikane. Rais wa nchi ni mbaguzi, Mkabila, Mnafiki, Mwongo, Jeuri, Katili, uliona wapi Rais anatoa amri watu Wachome vifaranga. Rais anauliza risiti za wanywaji wa chai lakini hakuna mradi hata mmoja wa Serekali aliofanya Magufuli wenye risiti. Magufuli amejipatia dola Miloni 390 kwenye manunuzi ya ndege za Air Tanzania. Kama anazo aweke kwenye gazeti la Serekali. Wasimamizi wa uchaguzi Mwaka huu watashuhudia makubwa Tanzania. Kama Tume haitatenda haki na kusimamia uchaguzi kwa umakini mkubwa sana Wataingiza Tanzania kwenye uvunjifu wa amani na hili litasababisha baadhi ya viongozi au Tume yenyewe kufikishwa Mhakama ya Kimataifa ICJ. "SAFARI HII CCM WAJIPIME"
@josephuchambo1011
@josephuchambo1011 3 года назад
Wewe kwame
@happysalim4120
@happysalim4120 4 года назад
shenz mtazamaji kwa kutudanganya
@barakaewald6856
@barakaewald6856 4 года назад
Video za show room na off road land cruiser v8 iyo nimisafara umetuonyesha achakuiga ww
@katojonas8484
@katojonas8484 3 года назад
Kam
@georgeisdory9998
@georgeisdory9998 4 года назад
Jingaaa wewe umemaliza MB zangu
@tomasokaniki5253
@tomasokaniki5253 3 года назад
Unajua magari yanayoongoza kunywa mafuta mengi na kuchafua hewa?
@luckygalamoc8157
@luckygalamoc8157 3 года назад
kichwa chako😁😁😁
@simonringo4701
@simonringo4701 4 года назад
Hujaeleza chochote!
@FevTVTanzania
@FevTVTanzania 4 года назад
tazama tena hadi mwisho
@barakaewald6856
@barakaewald6856 4 года назад
Wejamaaa muongo kwelu izo video apo nipicha umejnganisha wabongo atudanganywi bana
@mmake30
@mmake30 4 года назад
ndiyo matatizo ya division 0, wanashindwa kutumia ubongo wao kabisa
@fazalseja6624
@fazalseja6624 4 года назад
kwanza kutangaza hujui, afu ayo magari hayana teknolojia io kwaio usituokote bamdogo
@laurentruheta2882
@laurentruheta2882 4 года назад
Sie Kama raia tunanufaika na nini kujua Siri za gari la Rais
@michaeltaitas6955
@michaeltaitas6955 4 года назад
yan m apo sijaon ata vcha muim ulicho sem yan kwanz umetudangany tu apaa
@arnoldmuli3517
@arnoldmuli3517 4 года назад
Apo umetuchocha jo!
@elishajohn3168
@elishajohn3168 4 года назад
Mbona huwa anapiga simu akiwa juu ya gari?
@munuoisaack418
@munuoisaack418 4 года назад
Nami nimekuwa najiuliza kama wewe
@revocatuspius6226
@revocatuspius6226 3 года назад
Hahhh
@ridhwankayondo9356
@ridhwankayondo9356 4 года назад
Kajifunze matamshi ya R na L, makala mbovu. kazi ya utangazaji sio ya kila mtu achana nayo fanya vingine
@troptv8241
@troptv8241 4 года назад
Acheni tambia mbaya siosifa kusema mambo mabaya basi naww to a makala yako tuone kazi kusema ya watu
@selemanimeshack6535
@selemanimeshack6535 4 года назад
Uongo mtupu
@floridajonhmatata4365
@floridajonhmatata4365 3 года назад
tangialin ukakubal
@kingnicky2568
@kingnicky2568 4 года назад
😂😂😂mbna mjomba analo na haliko hvyo pumbu ww
@davydany9648
@davydany9648 4 года назад
LA mjomba wako sio LA rais umeambiwa ni gari maalum,kumbe LA mjomba nilidhan LA shemej yko,acha kutukana watu
@straitnews3441
@straitnews3441 4 года назад
Hahaaaa
@omarmhmammed216
@omarmhmammed216 4 года назад
Hahahaaaa king nicky ., ....nikipata nauli nitakuja mjombaaaa
@jabilishekusa2202
@jabilishekusa2202 3 года назад
Usitufanye sisi washamba bwege Nini
@emmanuelmushi2774
@emmanuelmushi2774 4 года назад
Video nzima unaongelea mobile jammer
@thobiasbukali9008
@thobiasbukali9008 4 года назад
Hata hujui sifa za magari ya Rais walio wengi. Yale ni special order kutoka kiwandani.
@straitnews3441
@straitnews3441 4 года назад
Umeprove failure comment tu zimeniondoa
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 4 года назад
Too fake
@amanikashiki5433
@amanikashiki5433 4 года назад
Pumbavu rudi shule kenge wewe stupid man
@errydeo8865
@errydeo8865 4 года назад
Rubbish gl
@dullahamoud6037
@dullahamoud6037 4 года назад
Unatudanganya sana
@georgemashauri4657
@georgemashauri4657 4 года назад
Kuna siku alisha wa kumpigia simu lukuvi wakaongea hapo unasemaje?
Далее
IQ Level: 10000
00:10
Просмотров 2,6 млн
The Day Ronaldinho Became a Barcelona Legend
15:14
Просмотров 3,6 млн
ARMENIA-AZERBAIJAN | Ending their Conflict?
14:11
Просмотров 33 тыс.
Мыла наелся
0:21
Просмотров 3,5 млн
Ревнивый песик😁
0:30
Просмотров 1,7 млн