Bonyeza "SUBSCRIBE" Pata Habari mbalimbali zinazotokea nje na ndani ya nchi yetu ya Tanzania, michezo, uchumi, siasa pamoja na habari kemkem. Subscribe: / @topstoriestz
Kwani ulipoacha kumkubali ulimpunguzia nini?? Wala sishangai,hata watoto huwa wanamkataa baba yao japo wanahudumiwa na baba Huyo.Yawezekana mwenzetu ulisha wahi kumkataa baba yako ndo maana unauzoefu wakuwakataa wanao kuongoza.
Innalillah waina ilahi rajeeon. Go well son of the soil, son of Africa. Africa is proud of you.. We may not come from the same country, but we shared your vision. A great Leader you were, a proud African. I am not Tanzanian, but your love for the Africa continent spread all over Africa and beyond, You gave us hope, you gave the young politicians the reasons to join the political field. Your Leadership style, touched a lot of Africans. You believed in your people, you decided to die in the eyes of your own people. May GOD receive you well and May HE forgive your short comings. RIP John. We will forever remember you.
Pesa kuwa ngumu ndio uchumi kukuwa maana zikiwa za kumwaga ndio chanzo cha mfumuko wa bizaa kupanda bei au mnataka ziwe nyingi ukienda kununua mkate ubebe hela kwenye toroli
Naamini kama kuna watu waliopelekea kifo chako na walihusika, naamini Mungu atashughulika nao hakika.Pumzika kwa Amani Baba, Mungu akupe pumziko la milele, Amina.
Wewe mwenyewe mwizi sana. Hauko wazi kwenye swala la pesa. Fedha unazokamata kwa watu unawaita Mafisadi wakati wanachangia pato la Taifa ziko wapi?. Fedha za maduka ya fedha ziko ngapi na ziko wapi?. Huyu MSU - KUMA mwizi sana.
Thank you very much of reminding us of the good courage of this africanist who the enemy of our progress thought that our revolution will be stopped by eliminating our leaders who are selfless but African oriented
Maisha yalikuwa yanatupatia FURAHA kwa wa tanzania wote.....keki za Taifa (vivutio) vya nchi vilitunufaisha wote bila kujali udini,ukabila wala rangi.....Hakika sisi wa tanzania tulipendelewa na Mungu wetu......Blessed land is Tanzania
Ili upate shauku ya kuangalia maana watanzania vichwa vigumu ni wagumu sana kuelewa hivyo usipotumia lugha tata kama hiz wanazo tumia waandish kutushawish hawaelewi
Watching these clips hurt my heart. The man was so full of life, healthy and strong as a good leader and man. We don't have him anymore. What more can I say? 😢
Magufuli wetu jamaniiiiiiii bado nalia Mimi kila ninapokukumbuka. Magufuli jamaniiiiiiii nilikupenda kuliko hata Baba yangu. Nakupenda leo, Nakupenda kesho Nakupenda daima. Pumzika kwa Amani Shujaaa wetu. Maaaana wewe ni Baba wa Taifa langu, Taifa la waTanzania
Rais anafanya kazi nzuri. wanaomchukia ni wale waliozoea posho kubwa bungeni kabana matumizi ili pesa zisaidie watanzania wote mnamchukia. watanzania wengi tunampeda piga kazi rais wetu tuko pamoja mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe.
Wewe mungu angekulinda mpaka leo hii nchi ingekuwa mbali basi tu mungu azidikukulaza mahali pema peponi malengo yako yalikuwa mazuri sana katika inchi yetu
Pumzika kwa amani east Africa tume poteza kiongozi bora sana tungelikuwa na uwezo wa kukuamusha tunge fanya hivyo ina uma sana siotu kwa watanzania 🇰🇪hata sisi kwetu wakenya
Daaah... Ulikuw zawadi kwa taifa letu... Upumzike baba etu kipenzi cha wanyonge... tutakukumbuka daima JPM umeacha alama isiyofutika ktk taifa letu... 😭😭😭
Endelea kuwa nasisi hata Kama umelala Najuwa Mungu wetu yupo.hutotuacha ichi yetu inakupenda ,kulala màuti Roho IPO itutembee majizi na maonevuu uyakabe yafe