Тёмный

MAAJABU YATENDEKA DADA MWENYE KANSA YA TITI APONYWA NA KIBOKO YA WACHAWI 

PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Подписаться 48 тыс.
Просмотров 29 тыс.
50% 1

MAAJABU YATENDEKA DADA MWENYE KANSA YA TITI APONYWA NA KIBOKO YA WACHAWI
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #iglesia

Опубликовано:

 

1 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 107   
@Najma-dr2sf
@Najma-dr2sf 5 месяцев назад
Bwana yesu asifiwe baba mimi naomba nisaidie familia ya merehemu mume wangu imenitega maisha yangu magumu biashara zangu haziendi wamefuga uchumi wangu kila ninacho kishika hakishikiki baba nisaidie mwanao wameona haitoshi wakaamua kunivinja na mguu
@TumusifurudovikoNtakamurenga
@TumusifurudovikoNtakamurenga 5 месяцев назад
Naitwa TumusifuRudoviko Ntakamurenga nikongara kagera ninashidayakifika huko iraniombee nipate mutejawa shambaramikaritusi nipatemuteja ninadenikubwa pasita nisaidie nitakuja kutoashukurani
@KijoShukuru
@KijoShukuru 3 месяца назад
Nakubali mukuu😅😅 2:03
@MariaMwaja-c8m
@MariaMwaja-c8m Месяц назад
Alex on Edward Ngunyale naomba unipe ulinzi juu ya familia yangu😊 19:06 19:13 19:16
@ZainabujelemiaZainabujelemia
@ZainabujelemiaZainabujelemia 3 месяца назад
Klist nakuomb nabii unisaidie mtot wang anaanguk nakuomb unisaidie nabii chond
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 месяца назад
Huyo dada umeona wapi amepona kidonda? Uwongo mtupu nyinyi waandishi mchwara!
@rosehaule5705
@rosehaule5705 2 месяца назад
Kiboko ya wachawi mchungaji naomba uniombee dada Mkubwa anipe mtaji
@rithanickolaus2881
@rithanickolaus2881 3 месяца назад
Baba sema nenojuu yangu nipone naitwa ritha mwakasege natokea kisemvule
@IleneFidel
@IleneFidel 2 месяца назад
Shalom baba, nataka kila adui anaye msababisha mdogo wangu akatee shule .. yawaludie walio tuma
@UmaziMuweye-sq1jw
@UmaziMuweye-sq1jw 5 месяцев назад
Pastor niombe mm nlisafiri bt huwa naumwa na kichwa kila siku ata nkikunywa dawa hakiwezi tulia plz nahitaji maombi
@merrykinoge2106
@merrykinoge2106 4 месяца назад
Baba bwanayesu asifiwe na sie familia imeeisha mpige bom alietuondolea wazazi wetu
@IleneFidel
@IleneFidel 2 месяца назад
Bwana yesu asifiwe . Baba nataka familia yetu ipone magonjwa yanayo isumbua
@AgnesJohn-cx2hy
@AgnesJohn-cx2hy 4 месяца назад
Nabii niokowe Mimi Agness Niko manyara nakusikiliza
@victoriamathewitungulu754
@victoriamathewitungulu754 6 месяцев назад
Najiungamanisha na ibada ya Leo Ili NAMI nifinguliwe Mimi na watoto wangu
@rithanickolaus2881
@rithanickolaus2881 3 месяца назад
Tabili baba naitwa ritha mwakasege natokea kisemvule
@ZainabujelemiaZainabujelemia
@ZainabujelemiaZainabujelemia 3 месяца назад
Kama kuna mutu anamlog nakuomb many chotechot nakuomb namb yakutum sadak babaang
@MaryamNassor-l7y
@MaryamNassor-l7y 5 месяцев назад
kibokoya wachawi niombee wachawi wananiambua wafe tu
@IrfanMwinyi
@IrfanMwinyi 4 месяца назад
Kiboko ya wachawi naomba uniombeee nipate uzazi
@SiKuu-eo5fd
@SiKuu-eo5fd 5 месяцев назад
Nabarikiwa sana na neno lako, naomba uniombee na mm nasumbuliwa na pressure,uwaombee na watoto wangu.uwaepushe na wachawi kwa jina la yesu
@ZainabujelemiaZainabujelemia
@ZainabujelemiaZainabujelemia 3 месяца назад
Naomb kam nimchaw nakuomb afe kabis maan mchaw ndio chanz chaumaskin
@JuliethTemu-d6l
@JuliethTemu-d6l 5 месяцев назад
Sema Mtumishi ili tupate kuwa waangalifu.
@AgnesJohn-cx2hy
@AgnesJohn-cx2hy 4 месяца назад
Nabii mwakowe mwanangu john katika mitihani yake
@anithqpaul3923
@anithqpaul3923 3 месяца назад
Jamani tunaomba ufike na bukoba tuko vibaya nabii wa mungu
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 8 месяцев назад
Kama Kuna mtu au wanawake wanamvuta mume wangu kimadawa wafe wagongwe na magali wafe
@agnesswiston6
@agnesswiston6 7 месяцев назад
Navuja,vyungu,,vya,uchawi.elias
@ZipporahNyanchama-n4v
@ZipporahNyanchama-n4v 3 месяца назад
Jameni nisaidie hata Mimi nabii from Kenya
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
Wachawi wrote wafe kwa jina la Yeeeeeeeeeesu
@twaibujuma5023
@twaibujuma5023 2 месяца назад
Eeeee mungu tujalie tuwe na ufaham
@MaryamNassor-l7y
@MaryamNassor-l7y 5 месяцев назад
wanatutesa sana wachawi kitu toa usiku
@Faiza-q1o
@Faiza-q1o 6 месяцев назад
Wachawi sio watu poa wateketeeee 2
@amosmutuvi
@amosmutuvi 6 месяцев назад
Ameen kanisa iko Tanzania wapi
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Eee mungu nisaidie namimi nifunguliwe pepo ya kupasuliwa nikiwa mimba Nina pasuliwa watoto wangu woote wa 5nina pasuliwa watoto wangu woote wa 5 nataka yeyote aliye guse mwili wangu kiuchawi nataka mwaka huu wa kufe mwaka huu kwa Jina la yesu
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 4 месяца назад
..Nabii naomba unisaidie
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐
@MaryamNassor-l7y
@MaryamNassor-l7y 5 месяцев назад
ni kweli wachawi wabaya
@KijoShukuru
@KijoShukuru 3 месяца назад
Nakubali mukuu😅😅
@KijoShukuru
@KijoShukuru 3 месяца назад
Nakubali mukuu😅😅
@Eunice-lm2ck
@Eunice-lm2ck 2 месяца назад
Amen napokea
@KijoShukuru
@KijoShukuru 3 месяца назад
Nakubali mukuu
@KijoShukuru
@KijoShukuru 3 месяца назад
Nakubali mukuu
@NaomiSabuni-d9j
@NaomiSabuni-d9j 4 месяца назад
😭😭😭😭😭😭😭😭
@SambaiPoul
@SambaiPoul Месяц назад
Amen
@Faiza-q1o
@Faiza-q1o 6 месяцев назад
Tabiri namm nitabirie
@KazKaz-k5f
@KazKaz-k5f 6 месяцев назад
❤❤❤
@JosephMpimbwe
@JosephMpimbwe 6 месяцев назад
Naomba uniombee, uchumiwangu, pia watoto wangu wasilogwe na mchawi yoyote.
@victoriamathewitungulu754
@victoriamathewitungulu754 6 месяцев назад
Baba nisaidie NAMI watoto wafunguke ktk jina la yesu
@MamaTina-kf4uj
@MamaTina-kf4uj 5 месяцев назад
Nikweri.
@PhilomenaMakau-rd8uw
@PhilomenaMakau-rd8uw 7 месяцев назад
Pastor ombea watoto yangu wapate KAZI walirongwa
@admo-ep4pl
@admo-ep4pl 9 месяцев назад
Nipombalibaba naombaunisaidie nakwamini baba nikohuku napambananimeachawato towangu
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Eee mungu nisaidie nimefungu nisipete kazi Eee mungu nisaidie mwezi huu nipata kazi kiraisi saana yakudomu kwa Jina la yesu kristo
@EliweluIssack
@EliweluIssack 8 месяцев назад
Baba nimebarikiwa nahudumaulio Mungu akipe maisha marefu ili nasi tupone
@zuenamichael4230
@zuenamichael4230 9 месяцев назад
Naomba maombi kwaajili ya family yangu imezingirwa na magonjwa Tu na uchumu umeyumba kabisaa
@ericinnocent-c9e
@ericinnocent-c9e 5 месяцев назад
Baba makupenda sana mungu aendelee kukuinua ,mm ni eric innocent mbise wa tabats😊
@rithanickolaus2881
@rithanickolaus2881 3 месяца назад
Baba nitabirie maisha yangu cyaelewi naitwa ritha mwakasege
@HanifaBruno-lv1qf
@HanifaBruno-lv1qf 4 месяца назад
Ee mungu kiboko ya wachawi naomba nifunguliwe maisha yangu magumu sana
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Eee mungu wakiboko ya wachawi nataka mwezi huu yeyote aliye guse mwili wangu ili nizae watoto wangu salama nataka mwaka huu wa fe
@tumainimpangala.pendezasan2911
@tumainimpangala.pendezasan2911 4 месяца назад
Hongera Kwa ibada baba naomba sema neno juu ya familia yangu Mungu aibariki na kuipatia riziki
@niyiesther6571
@niyiesther6571 8 месяцев назад
Ameeen. Na sisi wachawi wanao tusumbuwa kwenye familia wafeee wooote Kwa jina la YESU KRISTO wa NAZARETH
@agnessbihemo
@agnessbihemo 9 месяцев назад
Nasumbuliwa na presha u.t.i. na malaria ya mara kwa mara.Niponye kwa jina la Yesu
@gracejosephmassawe4373
@gracejosephmassawe4373 9 месяцев назад
Baba nasumbuliwa sana na tumbo na macho yanakosa Nuru umasikini jmetawala sana familia yetu
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 8 месяцев назад
Amina baba namimi naomba mungu afunguee ndowa yangu ije kuwa na Aman na mume wangu aachane na anasa zote ario waowa wote kweli uke wenza umeruhusiwa lakini Mimi siko tayari kwa sasa
@MeshakShedrack
@MeshakShedrack 5 месяцев назад
Kiboko ya wachawi niombee afya yangu iwe nzima wachawi wafe amina
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Eee tusaidie mimi na mume wangu samwel tufanyekiwe mwaka huu
@JulianaKiure
@JulianaKiure 7 месяцев назад
Amina baba namimi naomba uniombee nipone naumwa na titi la kulia na upande wote wa kulia naomba niombee nipone baba
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Namimi mume wangu samwel Alicia lala geti nataka afunguliwe
@AthumaniRashid-bk1qx
@AthumaniRashid-bk1qx 6 месяцев назад
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
@methodywela7827
@methodywela7827 4 месяца назад
Aminaa mchawi waaina yoyote anaefatia familia yangu afe
@ZainabuAlly-cc4ef
@ZainabuAlly-cc4ef 8 месяцев назад
Amina baba napokeya uponyaji leo ktk jina layesu Amina
@ngenabuloze9984
@ngenabuloze9984 5 месяцев назад
Baba nisadie namimi 😢😢😢😢nahagahika sana baba
@JimmyKissanga
@JimmyKissanga 7 месяцев назад
Baba mungu akulinde utuokoe.wanao
@SifaMwashite-dg3bl
@SifaMwashite-dg3bl 8 месяцев назад
Namimi baba nipe Malaika wa ulizi kwa kizazi changu mwaka huu
@JuliethTemu-d6l
@JuliethTemu-d6l 5 месяцев назад
Ameni Mtumishi sema tupone.
@jasmineomary4325
@jasmineomary4325 8 месяцев назад
Baba mungu akupe maisha marefu na mungu azidi kukutumia
@NeemaGauso
@NeemaGauso 6 месяцев назад
Nabii mchawi unahuruma sana mungu akubariki
@TereziaMahenzo
@TereziaMahenzo 10 месяцев назад
Amen
@magrethezekiel674
@magrethezekiel674 7 месяцев назад
Iguse familià yangu
@reahkapolu4713
@reahkapolu4713 9 месяцев назад
amina baba niombee shamba rangu ritoe mazao mengi ya mpunga
@atunowa
@atunowa 8 месяцев назад
Ubarikiwe baba kwa uduma yako mungu akulinde
@ShekiSteven
@ShekiSteven 7 месяцев назад
Niponye baba mm na Watoto wangu
@MastidiaAngelloAmen
@MastidiaAngelloAmen 10 месяцев назад
Alleluia. Najiambatanisha ibada ya leo.
@admo-ep4pl
@admo-ep4pl 9 месяцев назад
Babaninahamkufika mazabahuyako ilanipombali
@blandinajoseph4139
@blandinajoseph4139 7 месяцев назад
Naomba unisaidie ndoa yangu
@HawaJeremiah-s2y
@HawaJeremiah-s2y 8 месяцев назад
Yaani wafe kabisa wanitesa sana Hawa wehu
@NassoroKabwebwe-zb7zy
@NassoroKabwebwe-zb7zy 6 месяцев назад
Nimebarikiwa sana na ibaada ya leo
@marcelinemwadi2618
@marcelinemwadi2618 7 месяцев назад
Baba naomba na mimi uniguse
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
Sasa nakupenda,sasa nakupenda
@assoumaninkwaya9679
@assoumaninkwaya9679 10 месяцев назад
Najiambatanisha n'a ibada hii katikajina la yesu amen
@MamaTina-kf4uj
@MamaTina-kf4uj 5 месяцев назад
Amina.
@MamaTina-kf4uj
@MamaTina-kf4uj 5 месяцев назад
Amina.baba.ubarikiwe
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
To God be the Glory Hallelujah
@HawaJeremiah-s2y
@HawaJeremiah-s2y 8 месяцев назад
Naomba namba ya baba jamani
@UmaziMuweye-sq1jw
@UmaziMuweye-sq1jw 5 месяцев назад
Amen Amen Amen Afeeeeeeeeee
@evarnyamkola1308
@evarnyamkola1308 6 месяцев назад
Mungu nisaidie
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
💐🦋 Gloooooooooory
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
Ameeeeeeeeeen
@MsafiriEmil
@MsafiriEmil 8 месяцев назад
Nambii nikomboe
@elishamafulu106
@elishamafulu106 8 месяцев назад
Wa
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
💥🙋Hallelujah
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 6 месяцев назад
Amen 🙏 Daddy
@MamaNgalawa
@MamaNgalawa 9 месяцев назад
Huyu atagombanisha wengi
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 4 месяца назад
Pole
@KhadijajumaNdaki
@KhadijajumaNdaki 10 месяцев назад
Amina baba tabili
Далее
DAXSHAT!!! Avaz Oxun sahnada yeg'lab yubordi
10:46
Просмотров 533 тыс.