Тёмный

Maalim Seif aiaga Pemba akisema ana hakika na ushindi 2020 

Weyani Tv
Подписаться 82 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 64   
@vaniboyy6646
@vaniboyy6646 4 года назад
Maalim ww muongo tu umetudanganya sana wazanzibarii tumekuchoka sio mpiganaji wa kweli
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 года назад
Ulipo tupo Daima . wewe ndo kiongozi wetu Z'bar
@mdungially2342
@mdungially2342 4 года назад
Hamna kazi bdo mnamskiliza uyo babu tu
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 4 года назад
Ishallah Allah atafanya wepesi tutafanikiwa wazanzibar sote kwaujumla katka Hali ngumu ya kimaisha
@ramamtetu2327
@ramamtetu2327 4 года назад
Kwa Tulioidurusu Quran Tunajua Ni Vijana Ndio walioweza Kuleta mageuzi Angalia Surat Al kahf Walikuwa ni Vijana na hata Nabii Ibrahim Alipambana kupinga Masanamu Alikuwa ktk Ujana. Wanasemaga Ujana Maji ya Moto na Fainal Uzeeni Hivyo basi Nakushauri Mzee Wangu Ninaekupenda Mno Pumzika Wapishe Vijana Hiyo nafasi Wewe Uendelee Kuwa Mshauri Mkuu wa Chama Nakuomba pokea Ushauri Wangu.
@ayoubmohd8733
@ayoubmohd8733 4 года назад
Usigombanie 2020 wachie wemgine
@abubakarrahim8482
@abubakarrahim8482 4 года назад
Bishara imebaini na jua limechomoka, Asubuhi ime pambauka na miyale ime tapakaa, mwangaza umeenea na Rais Maalim Seif uko kitini 2020.
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 4 года назад
Babu pumzika uwaachie vijana
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 года назад
Ushindi naam upo kama kawaida yetu na tunamuomba Allah awatenze nguvu kwa maovu yao ccm wasokwisha kupanga Allahuma kfinihim bima Shiita some ni sana kwa kuamin kuwa Allah atawashinda nguvu ccm kwa maovu yao wasotaka kuwaacha madaraka
@bafahfakiih4547
@bafahfakiih4547 4 года назад
Sjawhi kukosa kumpa kura Malim Seifu
@salumhemed912
@salumhemed912 4 года назад
.
@almostgoro564
@almostgoro564 4 года назад
ULIPO TUPO BABA ✊
@frankjoel2922
@frankjoel2922 4 года назад
2020 zito anagombea ukikatwa utaenda chauma
@aliyhussein6527
@aliyhussein6527 4 года назад
Balahauuuuuuuu
@saidal-hind5338
@saidal-hind5338 4 года назад
mimi kura yangu unayo inshallah
@festokiraryo.6107
@festokiraryo.6107 4 года назад
Mazrui umeanza kuchanganyikiwa miaka 25 seif kakosa ushindi atawezaje kupata mwakakani?
@fatmajuma4998
@fatmajuma4998 4 года назад
Seif huna uwezo huwo urais huupati babuuu
@yahyaabdallah8892
@yahyaabdallah8892 4 года назад
Ww unao chukua nchi
@sahiamohamed9172
@sahiamohamed9172 4 года назад
Seif ttzo ww sio mkweli
@kassimmohammed4949
@kassimmohammed4949 4 года назад
Enge staafu Tuuu kwa heshima zoote
@sahiamohamed9172
@sahiamohamed9172 4 года назад
Wacha kudanganya watu huna chochote ww kuondoka kwa CCM madarakani hio ni kama ndoto ya usingizini
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 года назад
Mnakosea nyie mkisema Zanzibar kama unguja na Pemba mna isolate from Zanzibar Maalim karudi Unguja sio Zanzibar jirekebisheni
@snsonlinetv8432
@snsonlinetv8432 4 года назад
Ukhty Alpha , kweli kabisa
@rehemajuma4627
@rehemajuma4627 4 года назад
Historia ndo ilivo Pemba Pemba unguja ndo Zanzibar ramani ndo inavoonesha hajakosea umekosea ww unolazimisha
@111dudi
@111dudi 4 года назад
Kosa alilofanya ni kutoshiriki kwenye uchaguzi wa pili. Kapotezasha Citi 27 katika baraza la wawakilishi. Kajitoa CUF ambayo ilikuwa imeanza kupata nguvu.Maneno yake ya sasa hayafai.astaafu
@sahiamohamed9172
@sahiamohamed9172 4 года назад
Mm mwenyewe nimeshatoka imani na ww
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 4 года назад
Sasa Baasi, Akimwaga Mboga tunamwaga Ugali
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 года назад
Siasa ni kudanganyana tuu ukweli msikitin peke yake
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 4 года назад
Kura yangu kwako
@biramsakh9212
@biramsakh9212 4 года назад
Futeni vyama tumechoka fitna ubaguzi chuki ibaki ccm tu daima
@ayoubmohd8733
@ayoubmohd8733 4 года назад
Muongo wewe hujabishwa mpaka sasa
@الزنجباريعلي-ب4ذ
@الزنجباريعلي-ب4ذ 4 года назад
unauhakika na ushindi watakupa madaraka?
@shabanhassan4272
@shabanhassan4272 4 года назад
Mbona unaaga pemba au unaogopa kulinda mali zetu za chama cha act wale cuf wakija
@vaniboyy6646
@vaniboyy6646 4 года назад
Maalim ww mshenzi tu umeiba pesa nyingi za chama more than 3 mln USD
@ahmedkhamis1167
@ahmedkhamis1167 4 года назад
Pesa izo za babayo mshenzi wewe na ukoowako
@zenj1986
@zenj1986 4 года назад
Huna mpya mzee. Usiwahada watu bure. Ukishapata chako unakaa kimya mpaka uchaguzi mwnegine
@fatmajuma4998
@fatmajuma4998 4 года назад
Iyo damu itamwagika yake kwanza kwa uwezo wamungu ishalla
@abdulabass5808
@abdulabass5808 4 года назад
Wale kina jusa wako wapi naona uyo miwani tu hapo
@bakarihamisi5638
@bakarihamisi5638 4 года назад
Maalim Seif waache vijana waitetee haki kwakusubiri watu wa marekani hawawezi kukusaidia waache vijana marahii damu imwagike lakini nchi tuipate haq ya Zanzibar Pemba na unguza
@hassanmirambo564
@hassanmirambo564 4 года назад
Bakari Hamisi unaijua DHAMBI ya kumwaga Damu wewe acha upumbavu kammwage damu mama yako
@imbamohamed358
@imbamohamed358 4 года назад
Namnukuu..Asha bakari alisema Zanzibar ni nchi ya kimapinduzi hatopatikana kwa makaratasi ...#tafakari...wanja wa manga si dawa ya chongo..
@salummwinyi7663
@salummwinyi7663 4 года назад
Huna sera bado Ccm baba lao mwanzo mwisho
@duniamapitosotewamungu3467
@duniamapitosotewamungu3467 4 года назад
ww hujielewi kijana
@ahmedalkiyum7592
@ahmedalkiyum7592 4 года назад
Hajielewi hata kidogo
@samusonibalazingiza3689
@samusonibalazingiza3689 4 года назад
Unaongea pointi sana
@makamemufadhil627
@makamemufadhil627 4 года назад
Waaache wabane tu
@salummussa8673
@salummussa8673 4 года назад
Nanyie vijana acheni muhemko kuna watu hawapo kwa siasa tafuteni kazi mfanye kama kazi kashafanya kaume
@almazalmasr1688
@almazalmasr1688 4 года назад
Maalim kaa upande siasa za miaka hii sio za 1970s waachie vijana wakuonyeshe nchi ina chukuliwa vp mambo ya chuma kiulaya yameshapitwa na wakati tatizo sio kushinda ccm hawajawahi kushinda znz tatizo maalim huna plan B ya kuipata nchi waache vijana maalim please pumzika kula pencheni
@dianasimba6203
@dianasimba6203 4 года назад
mnasema kweli mkotayari kupigania Mari si zenu
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 4 года назад
Huyu babu mm ameishiwa na htbhamuogopi Mungubkuwadanganya Wa Pba kiLa uchao....!! Kuna Jahannam huko eeeehh...!! Ww endeLea tu kuwa Kibaraka wa CCM...!! Umewatoa wawakiLishi 27 na madiwani 99nktk ushiriko wa SerikaLi kwa hasad uLionayo...!!
@Bam268
@Bam268 4 года назад
Sasa basi
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 4 года назад
Ndoto za kijinga hizo! Wewe ushinde! Haya tutakuona!
@charleschacha4210
@charleschacha4210 4 года назад
Hufaiiiii
@Bam268
@Bam268 4 года назад
Hufai ww ulio zaliwa njje ya ndoa ata kutahiriwa ujatahiri sokwe weee
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 4 года назад
@@Bam268 hahahaha,kweli kabisa
@issahamad9224
@issahamad9224 4 года назад
Wewe moogope mungu wako usimtukane usie mnjua.
@issahamad9224
@issahamad9224 4 года назад
Wewe bam
@khatibuhijja459
@khatibuhijja459 4 года назад
@@issahamad9224 kashajulikana huyo govinda
Далее
SASA HII NDIO PEMBA MPYA
11:16
Просмотров 4,6 тыс.
DEMONS ARE ATTACKING BRAWL STARS!!!
09:08
Просмотров 13 млн
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
ZIARA YA MAALIM SEIF SARIF PEMBA - FULL
44:43
Просмотров 28 тыс.
SHEREHE ZA EID 2021 PEMBA ZA VUTIA DUNIA
11:51
Просмотров 49 тыс.
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Просмотров 8 тыс.
MJI MKUU WA PEMBA NA UHALISIA WA RAMADHANI
8:53
Просмотров 6 тыс.
Ngoma ya Kibati kutoka JKU yawakosha wana ZOI.
7:23
Просмотров 15 тыс.
Mansour Himidi asema CCM imeshakufa bado kuzikwa tu
21:21
DEMONS ARE ATTACKING BRAWL STARS!!!
09:08
Просмотров 13 млн