Тёмный

Maandamano ya Maaskofu na Mapadre Waliofurika Kigoma Kwa Askofu Mlola, Jubilei Miaka 25 ya Upadre 

Jugo Media
Подписаться 176 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Matukio katika Picha: Maandamano ya Walei, Mafrateri, Mapadre na Maaskofu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 25 ya Upadre ya Mha. Askofu Joseph Mlola ALCP/OSS wa Jimbo Katoliki la Kigoma.
Misa hiyo imefanyika Ng'ambo kidogo ya Ziwa Tanganyika ilipo Parokia ya Bikira Maria Mshindaji, Kigoma Mjini.
Pia Jubilei hiyo ya Ask. Joseph R. Mlola ALCP/OSS iliambatana na Jubilei ya Miaka 25 na 50 ya Mapadre na Watawa wengine 10 ambapo kati yao Mons. Prel. Liberatus Nyamuguma ambaye naye pia alikuwa ni Mwanajubilei wa Miaka 50 ya Upadre kwa mapenzi ya Mungu alifariki dunia Usiku wa jana.
Tuzidi kuwaombea Watumishi wa Mungu katika kulitumikia Kanisa.
.
.
#jugomedia #jugomedialive @jugo_media
www.jugomedia.net

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 11   
@pendojoseph4214
@pendojoseph4214 Месяц назад
Hongereni sana Mungu Baba awatunze Tunao watenda kazi wengi katika shamba la Mungu kwa kuona kwa macho
@sisterjoanitha5118
@sisterjoanitha5118 2 года назад
Hongera sana Baba Askofu na mapadre na watawa wote watatu kwa Jubileei na poleni sana Kwa msiba wa Monsinyor Nyamuguma
@leocadiabwire512
@leocadiabwire512 2 года назад
Hongera sana
@alexbenedict5378
@alexbenedict5378 2 года назад
Hongereni kigoma
@opportunajohn1736
@opportunajohn1736 2 года назад
Nampongeza sana baba Askofu,pia natoa pole kwa msiba huo.
@wamburacharles505
@wamburacharles505 2 года назад
Hongeren sana wapendwa
@yorandayorandan4018
@yorandayorandan4018 2 года назад
Mm nimependa hongereni makuhani wetu
@mikasjeremiabarnabas6670
@mikasjeremiabarnabas6670 2 года назад
Hongereni sana, sherehe imependeza sana
@felistadalei6414
@felistadalei6414 2 года назад
Nampongeza sana Baba Askofu 🌹🌹💐
@yorandayorandan4018
@yorandayorandan4018 2 года назад
Hongereni sana kidogo
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 2 года назад
Hongera Baba
Далее
NYIMBO ZA KATOLIKI ZA MAMA BIKIRA MARIA 1
21:53
Просмотров 58 тыс.
skibidi toilet multiverse 042
20:57
Просмотров 4,7 млн
Борщ в стиле высокой кухни!
00:57