Askari wanakuanga wakenya kweli coz wakati wakati wa maandamano wao utreat wako ni kama hawajui mashida zenye ziko na wakipelekwa kudeal na bandits wanashindwa hii nguvu si wapeleke huko coz ni kama maisha kwao iko sawa
Maandamano ni haki ya kila mkenya,lakini kuna shida moja,wananchi wanapotoka nje kujiunga na wengine kutetea haki zao mara mingi na wengi huwa na akili ya fujo na kuelekea mahali polisi wako kuwaprovoke ndio mafurugano ianze,Kwa mswada na wakati kama huu,kenyans should behave professionally and come out in big numbers,let them not provoke police am pretty sure if the police sees this they will also cooperate and demis will be held peacefully and the voice of the common mwananchi be heard
Police wanakaa kana watoto wadogo wao wanadanganywa na pia wanaumia tumieni akili kwani ninyi sio wakenya?? Hii kenya ata heri Mungu amwange gadhabu ya moto kule state house ichomeke kapiza kweli utateza wakenya vipi tax maisha iko juu mbona usikii kwani ww nikiziwi uzikii mbona unyanyase wakenya uwongo mutubu mbona Mungu anakuona