Тёмный
No video :(

MABAYA YA HERSI KWA FEI TOTO! | YEYE AKIONDOKA NARUDI YANGA | GHALIB ALINIDHARAU 

Story Tellers TZ
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 35 тыс.
50% 1

(C) CLOUDS MEDIA

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 136   
@othmanali2276
@othmanali2276 Год назад
Dogo umembwinywaaaa.umekwishaaaaaa
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Год назад
Umetumwa dogo kama umetumwa bas kumwaribia mtu sio rahisi huwezi kuidhoofu Yanga hivi
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
Hizi za kuambiwa feisal😅 Huwezi kutuondelea Mtu anaeiletee Maendeleo Team yetu aseee 😂😂😂😂utateseka sana kwa kufunzwa ujinga
@yusufunkondo512
@yusufunkondo512 Год назад
Hivi yeye na Hers Nani zaidi Kama alikosewa wapi alilalamika,anapendaga kutuvuruga hasa tukiwa na mechi.Ngoja tumalize Algeria halafu Hersi amuachie bure aende anakotaka Kama simba au Azam,ameikose adabu Yanga yote.
@FatmaSalm-jn4xu
@FatmaSalm-jn4xu Год назад
Mdogo wangu fei toto nakuomba urud yanga samehe saba mara 70 wewe ni mwisilamu hata mtume mukhamad s a w amefanyiwa mengi sana naalisamehe je sisi ninani tusiige mwenendo wake ❤ mpira nisehem ya maisha yako fei achana na here's usilete malumbano nae angalia maisha yako hakuna maisha bila misukosuko wengi watakwambia ukweli na wengine watakupotosha ilimradi kukupoteza
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 Год назад
Wekeni na zile sauti mlizokuwa mnamfundisha kuzungumza Mungu hamfichi mnafiki
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂 Wataumbuka tu ipo cku za mwizi 40.
@ahmedkhator3968
@ahmedkhator3968 Год назад
UNAJUA WATU WENGI HAWAJUI TOFAUTI KATI YA WACHEZAJI KUTOKA ZANZIBAR NA WALE WA TANZANIA BARA ,WACHEZAJI KUTOKA ZANZIBAR NA PIA WATU KUTOKA ZANZIBAR NI WATU AMBAO MIOYO YAO NI WATU WA KURIDHIKA SANA SIO KAMA WW UTAKUA BOSI AU UNA HELA AU UNA CHEO WAKUOGOPE AU WAKUONE TOFAUTI SAANA WAKO RADHI WAKOSE AJIRA AU KIPATO AU HADHI FULANI LAKINI HAWAKUBAL KUDHALILISHWA.NAAMINI FEI YUKO TAYARI HATA KUKAA HANA TIMU AU AMERUDI MCHANGANI MRADI TU HAKUBALI KUDHALILISHWA .WATU WA ZANZIBAR WAZIRI,MBUNGE ,MKUU WA MKOA MSANII MKUBWA HATA KAMA NI DIAMOND HUA NI MTU WA KAWAIDA TU WALA HAPIGIWI MAGOTI ANAKUJA MASKANI NA TUNATIA NAE STORI KAMA MTU WA KAWAIDA TU.KWAIO GHALIB HATA KAMA NI TAJIRI KIASI GANI KUKAA HAPOKEI SIMU YA FEI TAYARI FEI ANAMUONA MTU WA KAWAIDA TU KWANN AMFANYIE HIVO ASIMPOKELEE SIMU ?NA NDIO MAANA FEI AKAGHADHIBIKA AKAAMUA AISHIE ZAKE.
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Год назад
Hiyo sio sababu.Fei ana lake jambo.
@saalim5401
@saalim5401 Год назад
Duuuhh!! Kweli huyu dogo kunamtu nyuma yake eti rais wa yanga atolewe yeye arudi kwa lipi? Mdogo wetu acha uhuni unataka kutia Fitna ili tuiharibu yanga kwasababu ya ujinga tu .Ndugu zangu wananchiii!! Huyu dogo asitutoe akili haitakii yanga mema unafiki tu wee mchezaji unapataje ujasiri wa kumpigia muwekezaji na wakati uongozi upo ,utaratibu upo wewe unalakolimekuongoza acha ujinga usiwaaminishe watu ujinga na uongo hata unavyozungumza tu anayeelewa anaona kuna mgongano wa maneno yako acha acha acha sio vizur tuachie viongozi wetu, mdhamini wetu na timu yetu tunakushukuru kwa kipindi ulichotupa furaha na umelipwa stahiki zako hujadhulumiwa naamini kila kaz inachangamoto yake ila wewe unaharibu zaidi
@user-lx1ko3di2s
@user-lx1ko3di2s 2 месяца назад
Wachaaa usengee ..wewe ufalaaa
@hashimuliloto8017
@hashimuliloto8017 Год назад
Rais Amechaguliwa na wanachama ,haondoki kama UNAVYOSEMA......MSHAURINI HUYO DOGO
@mkanamc8341
@mkanamc8341 Год назад
😄😄😄Yaani tumtoe Rais wa team mwenye akili za mbali na team yetu, kwajili ya ujinga wako?😄😄
@twalibmzee2812
@twalibmzee2812 Год назад
Saw msimlazimishe basi kucheza timu yenu coz kwenu hana thaman ataenda pengine apate thaman
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Год назад
It means fei anaipenda yanga, lakin anamchukia hersi.... *#maswali** lukuki kichwan* 1- inavyoonekana shida Sio mkataba wake na yanga. 2-ingekuwa mkataba angerudi hata kipindi hiko hersi yupo, coz hersi yupo tayar kuboresha maslah yake. 3-watu wa haki zakibinadamu wamuite fei aseme yamoyoni ili asaidiwe, si kawaida kwa kijana ambaye anategemewa nafamilia yao, na kijana ambaye ndo kwaanza ujana waanza kumnogea kukubali kukaa nje ya uwanja nakuacha pesa, hapa Kuna jambooo fei analificha... Mpaka mwanasheria wake anasema "namimi ninamtoto wakiume, naielewa machungu anayopitia mamake fei".
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 Год назад
Fei bado mdogo nadhani kuanzia ukomavu wa akili anaitaji msaada mzuri na atafute manager hizi ishu za kupeleka familia kule utaona udhalilishwa lakini ziko taratibu nzuri. Sijasikia ni nini Mama yake alitukana na unazila eti ghalib hakupokea simu unajua haya mambo waliweka mazoea tu baadhi ya timu huwezi kumpata mdhamini hata kidogo yeye kazi yake nikuweka hela tu ni Basi nadhani hizi timu zikijali utaratibu vizuri wako ambao watakimbia. Kama hivi ndivyo ataitaji kuishi maisha yake kisoka ataaribikiwa. Na kamtaja nchimbi huo ni msimu uliopita Tena kabla ya dirisha dogo mbona hakuzila
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Год назад
Mnamnyonyesha?acheni uchimvi na ushabikimakolo nyie kama mnamtaka hiyo hapo au nyie ndiyo CAS? Mnajitekenya mnacheka mnacheka huyu mesh am hang anya zaidi
@PhilomenaSteven-tq2tx
@PhilomenaSteven-tq2tx Год назад
Usitie huruma umesha ona umegonga mwamba unaanza kuoa vijimambo vunja mkataba offisin uwende uwendako ni sawa na mwanamke aliemsaliti mumewe kisa kapata bwana ana hela unasaau km alikuwa anakupa 2000 zake unakula dagaa unajipya
@gabriel-dh3qn
@gabriel-dh3qn 2 месяца назад
Pemba si kwenu? Kwani umeambiwa Pemba ni nchi!? Unazingua wewe Mtoto! Achana na Yanga Yetu! Wewe mdogo sana Kwa YANGA!
@mussamwalambalo1052
@mussamwalambalo1052 Год назад
Kwa nini awasumbue yanga kama anataka kukaim kitu Cha rais aseme na asaliri na slope mishara wachezaji, kwenye maisha ya binadam hakuna mkamilifu halo hakajii maisha ale kipaji chache na tabia hiyo hakuna mtu aliye timam akamchukua mtu mwenye malipizo kama huna roho ya kusamehe wew sio binam mzuri
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 Год назад
Hyu dogo ni Bo anatumika kuiangusha YANGA lkn basi ungesema unamshita Rais na sio CLUb. Pia hueleweki hii inaonyesha kabisa unatumika DOGO.
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 Год назад
Sasa Kama tatizo ni watu binafsi cas unaenda kufanya nini? Kwani cas wanaishtaki timu au mtu binafsi ? Labda mi ndo sielewe ndg zangu
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Sio lazma uelewe kila kitu 😆😆😆😆
@saniaidrisa3920
@saniaidrisa3920 Год назад
@@salamasaidi6620 kwa kweli dada😂
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo Год назад
Huyu anaongozwa na mihemko na wapambe wanaomdanganya hamna kitu hapo we kama ucingekuwa na mtu anayekudanganya ungeenda Kwa watu wenye busara zao ukaonana na Hersi suala la kuuza match la lini Hilo Kageravs yanga iliyochoka Ile mbona hukutoka kipindi hicho we ni sawa na mwanmke mwenye tamaa asiyejali ndoa yake.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Год назад
Aludi kwamamayake sioYanga mkaliadolehuyo aendezake mchambawima
@yasinjuma9359
@yasinjuma9359 Год назад
Kweli utoto nimwingi hasira za mtu mmoja unataka kuiletea klab matatizo ulivyoenda mahakamani kwa nn umeishtak klab nasio heris.
@user-dq4ko3oo1t
@user-dq4ko3oo1t Год назад
😂😂😂 kumbe ili toto pumbavu
@hamisuuhamadi1663
@hamisuuhamadi1663 Год назад
😂😂😂
@michaelmartin356
@michaelmartin356 Год назад
dah huyu kijana hatari yeye tu awaamulie wanachama wote kiongozi hapa sasa hata Sunderland wawe macho
@Veni584
@Veni584 Год назад
Duh! Mbona analianzisha wakati wa mechi ngumu tu? Halafu anataka aondoke aliyeipandisha timu au unatumiwa kutuharibia?
@mohamediddy5615
@mohamediddy5615 Год назад
Acha unazi 🦮🦮 yeye anatoa ya moyoni mwake Sasa ana hudika na nn kwenye game 🦮🦮🦮acheni ukuda
@allytz4765
@allytz4765 Год назад
Ukiwasikiliza vizuri hawa jamaa kunakitu unakigundua 😂😂😂
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
HAYO YANAYOSEMWA HUWEZI JU PENGINE NI KWELI TUSIEGAMIE UPANDE MMOJA MSAIDIENI HUYU KIJANA. VIPAJI VINAPOTEA TUNAHITAJI TIMU YA TAIFA LA TANZANIA.
@mussamwalambalo1052
@mussamwalambalo1052 Год назад
Hana akili kijana yanga sio rais tu, yanga Ina watu sana wenye busara zao pia Kuna viongozi wengi sana wa nchi, pia wange msaidia sio njinia tu, aliamua kubebana na wajinga wenzie na kumtuhu kiongozi Moja kwa Moja,
@jogomtata6081
@jogomtata6081 Год назад
Kumbe nguruwe fc viongozi wanadharau daaah
@noahmgaya6687
@noahmgaya6687 Год назад
masikini bwan jeul acha utan umeona jeul ya masikin hp
@rafikkarimomar8202
@rafikkarimomar8202 Год назад
Wewe ulikuwa star wa yanga hakukuwa na sababu hersi akuchukie hersi haondoki kwa ajili yako mwache afanye kazi yake clabu isonge mbele
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Год назад
Zile Tsh 100000000/=ulizipeleka wapi Fei hadi uwe ombaomba?unajidhalilisha bwana
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Год назад
Dogo hajui kuongea, nature ya maboss wengi ndo IPO hivyo... Boss unaweza mpigia asipokee na akikuta misscall yako asikutafute.
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Labda boss wako ww hahahahahaha
@aishahaji3128
@aishahaji3128 Год назад
Bac rua,bieni jeshi letu lipi wanzanzibar
@titobernard383
@titobernard383 Год назад
Kukaa kimya nako ni neno ! Ghalib siyo kiongozi wa yanga !
@aishahaji3128
@aishahaji3128 Год назад
Huyo munae,wita raisi wa Tanzania anatokea wp nyoko zako Fei ni !tanzania achankutugawa
@yusufunkondo512
@yusufunkondo512 Год назад
Dogo asitutoe kwenye harakatizetu za kuweka historia ya Nchi,atuache sie tupambane
@naimasbuguza2395
@naimasbuguza2395 Год назад
Sidhani Kama yanaukweli haha ayasemayo fei,... Maana katika watu ambao waliokuwa wakishangilia feisal akifunga Ni hersi, na feisal ametunga magoli muhimu. #kuongea na gharib Ni hatua kubwa Sannah umevuka hatua ngumu
@mimiraia2531
@mimiraia2531 Год назад
Mbumbumbu wa sheria kaingia choo cha kike……acha ajue sheria zipo
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy Год назад
Duuu yan rais tena mhhh atari sana
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 Год назад
Haya anayozungumza inaonesha kadhira kisa hakupokelewa simu. Wachezaji wanaitaji kubadilika maana maisha ya soka yanabadilika na si ya mazoea mfumo wa uendeshaji wa club ukibadilika na ukawa strict vitu vitakuwa vingumu kwa wachezaji wetu wazawa. Na haya ndio matatizo ya kumuchukulia mchezaji Kama mtoto wako ama mshikaji wako siku mkibadilikiana ndio haya. Hilo la kurudi Hadi fulani aondoke ni utoto tu na kumwona Bado anakua na kujifuza Niko najiuliza angegombana na mayele pia angesema sichezi Hadi mayele aondoke ?
@zubedaali4155
@zubedaali4155 Год назад
Ndio angesema kwani ww utoporo ukitaka asemeje?
@wiliganuswella4471
@wiliganuswella4471 Год назад
😂muongo tu simu tu jamani
@hamiduomar1316
@hamiduomar1316 Год назад
Nyie clous ni washenzi sn yani mupo tyr kuihujumu young kwakuwa nyie t simba
@aishahaji3128
@aishahaji3128 Год назад
Wewe koma uliesema fei sio mtanzania pumbavu anapeperusha bendera ipi bac tuambieni bendera yetu ipi
@bonifacemkunda6747
@bonifacemkunda6747 Год назад
Mm nawashauri viongozi wa Yanga kama Feisal kagoma kwenda kwenye meza ya mazungumzo basi wachukue RB ya Police ili akamatwe na apelekwe kwenye meza ya mahojiano kwa lazima
@tzasafaritv9937
@tzasafaritv9937 Год назад
Huyu dogo mnafiki sana, mbona chama kakosa penalty na watu wana sema mengi ikiwemo hata hilo LA kuuza mechi watu yakaisha, Dogo, Mimi nakushauri hivi na utanikumbuka, Kwa mambo aliyoifanyia yanga na mafanikio iliyopata yanga hivi sasa, Utapata shida sana ili kufanikisha dhamira yako ovu ya kuwachonganisha Wapenzi wa Yanga dhidi ya Rais wao kipenzi, Eng. H. S. Kiufupi bora Fei aondoke tumuache Eng. Hata hivyo dogo umemkosea sana Eng. kujilinganisha nae, huyu mtu Clubs mbalimbali Afrika anazungunzwa juu ya uwezo wake wa kuendesha timu kwa mafanikio, Dogo, tuombe uhai Mungu atakulipa unachostahiki na sio unachokitaka.
@zubedaali4155
@zubedaali4155 Год назад
Acha kumtisha kwani ww ni mungu mpaka umukumu nenda huko wivu tu ndomaana unakusumbua utoporo mshambawe
@sammiekimani8266
@sammiekimani8266 Год назад
Fei hana shida....analosema no ukweli Mtupu
@OmarOmar-gq5tk
@OmarOmar-gq5tk Год назад
PAGUMU apo aondoke hersi kwaajil ya FEI 😄😄😄😄😄 ama kweli uyu jamaa alompa jina la fei toto ambadilishe haraka mana utoto UNAMSUMBUA Atari 🤸
@jengadaudi-oe9wq
@jengadaudi-oe9wq Год назад
😂😂 Dogo kalogwa sio bule iv anaijua YANGA kweli ,YANGA ilisha fukuza team nzima ikapandisha YANGA B wakina Anuary awadh Bakar Malima nk na YANGA ikabaki pale pale kwa wachezaji wa ndan Lunyamila kioo kwa wachezaji wa nje nazan Mayele aina ubish wamepta watakuja itachkua mda kwa maleye kama yy,,,Fei ana uwezo wa kuisumbua Yanga ,,,
@bnttv8955
@bnttv8955 Год назад
Kwani feitoto na andazi unachagu nini
@hamisuuhamadi1663
@hamisuuhamadi1663 Год назад
Andazi😂😂😂
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np Год назад
Huyu dogo muongo ila Simba wakulipe vizuri
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Amekwambia anaenda simba au sababu umezoea umbea???
@albertvalentino130
@albertvalentino130 Год назад
Dogo kuna vitu dogo anajaribu kuvificha,---_ anasema hana timu siyo kweli anajaribu,kuificha kwa,maelekezo na ndiyo ilikupa milioni 112_za kurudisha Yanga --- kwasababu,haiwezekani familia iliyoshindwa,kukupa hela ya kula hadi ukala ugali,na sukari na ikashindwa,kukulipia fee ya,CAS yaani,milioni 60_lakini,familia hiyo hiyo ikawa na uwezo wa kukupa milioni 112,za kurudisha Yanga,---_hiyo ni janja,janja ---,halafu nani,anapaswa kuondoka,kati yako,na,eng Hersi pale man utd Beckham alikorofishana,na,Ferguson aliondoka Becks na hapo Yanga utaondoka wewe hata ikibidi bure then,Eng anaweza kuleta,mchezaji mwenye ubora unaokuzidi,Mara kumi,Fahamu kuwa Hersi kachaguliwa na wenye club wewe umesajiliwa kwa mkataba
@hajihaji7050
@hajihaji7050 Год назад
Brother mimi ni Yanga damu Ila hiki kinachoendelea kwa kile anachofanyiwa FEI TOTO naanza kupoteza mapenzi na TIMU YANGU YA YANGA.
@stellasheba842
@stellasheba842 Год назад
​@@hajihaji7050 Hama tu.kolo ww
@stellasheba842
@stellasheba842 Год назад
Fei ndio nani kwanza. Yaaan tukiwa na mechi zetu muhimu ndio anajitokeza. Ss mashabiki tushamsahau n wala umuhimu wake hapo tena kwetu. Maana bila yy mambo yetu n mazur
@raymondzachariah-xr4ys
@raymondzachariah-xr4ys Год назад
Kwa mwenye akili simu tuu kikifanywa ufike kiasi hicho utoto bwana mzigo kwa kweli
@kassidpandu866
@kassidpandu866 Год назад
kumbe mlimkosea sana huyo kijana wetu engeneer si mtu mzuri
@mamamtumishi7723
@mamamtumishi7723 Год назад
Alitakiwa amfuate siyo kumpigia simu huyo Gharib
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 Год назад
Fei alianzia hapo kuacha njia ya kuwasiliana na boss wake hana adabu kwa nini anataka boss aondoke klabuni ndipo arudi YANGA yeye ni mkubwa kuliko mwajiri wake? Mbona YANGA bila Feisal inawezekana!!!!!!
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
@@marcokaroje8980 bac achen shobo kwake nyie vp 😆😆😆😆
@mussamwalambalo1052
@mussamwalambalo1052 Год назад
Huyu fei anasema ni sawa na mtoto anamwambia Mimi Siri chakura mpaka baba aondoke, harfu baba huyo huyo ndo anaye hemea hiyo akili matope, Kwan wew unataka nafasi ya baba?
@kagetaabdallah3712
@kagetaabdallah3712 Год назад
Maneno ya kufundishwa tumeyajua na tayari tumeshayasikia endelea tu
@kingruvako7590
@kingruvako7590 Год назад
Umemfundisha ww?
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Kwan utafanyaje sasa
@eliusfrolian-iw9uy
@eliusfrolian-iw9uy Год назад
Dogo afie mbele hizo n mbinu za simba kutuharibia game zetu
@ameirfaki9277
@ameirfaki9277 Год назад
Hata ww utakufa mkuu
@jumannendayigeze2899
@jumannendayigeze2899 Год назад
Haingii akilini kuwa rais wa yanga anaweza kumuonea mchezaji mmoja tu why?!
@godfreymakubo3692
@godfreymakubo3692 Год назад
Umefikiria nje ya box
@alimwagude5113
@alimwagude5113 Год назад
Nimesikiza hii interview nzima,watu wengi wanamkejeli Fei lakini uyu dada ameuliza swali la kuwa boss anakunyanyasa kila mara je hakuna kutaka kuondoka kwa iyo taasisi?iyo ipo na Fei nafikiri amesema yeye saa hii hana haja ya kucheza yanga ikiwa boss wa club bado yupo.
@badmeetsevil7643
@badmeetsevil7643 Год назад
Yani nyie mtu anatukania mamake muna muona mbaya tu huyu yanga hawana akili hata mm una mtukana mamangu kumamako nakata kichwa mbwa yeye huyo hersi
@mussamwalambalo1052
@mussamwalambalo1052 Год назад
Umewata shingo wangappi toka umeanza kutukana, hapo wewe umetukana umetukana nani huna akili wewe uliona nani ametukanwa akafa kwa akili ya kutukana au nyinyi ndo mnajaza ujinga, hakuna binadam aliye kamilika angalia maiisha yako ukidili matusi utachelewa sana
@BrigithaMallya-uk8kk
@BrigithaMallya-uk8kk Год назад
Huyu apimwe akili ajakoma vzr
@rophinarona1103
@rophinarona1103 Год назад
Waaah huyo ni kweli hana akili yaani kiufupi ubongo wake unatatizo kwasababu haiwezekani atolewe rais kwaajili yake 😂😂😂huyu kijana amepotea watanzania musaidieni kwenda kuangalia akili lakini sio kwenda kasii ni mpuuzi sana...
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 Год назад
Ww fei ni mzamzibar sio mtanzania hizo ni nchi mbili tofauti 😂😂😂😂
@peacerichard8970
@peacerichard8970 Год назад
Sasa hivi nakuona kama teja ww hazmo,na bado utazidi kutukanwa kwa ujinga wako huo
@wardaluambano2177
@wardaluambano2177 Год назад
Mimi nimemwelewa fesali kumbe mambo yote hayo unataka huluma kwa mashaniki ili uchangiwe
@bnttv8955
@bnttv8955 Год назад
Hapa kuna ukweli 1% Na uongo 99%
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 Год назад
Shida ni mtoto wa mama Kuna tabu Sana
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Ww mtoto wa babu???
@ReganGregor-bs3jm
@ReganGregor-bs3jm Год назад
Dogo katumwa uyo lengo apoteze klabu kwel alikua anauza mechi
@aishahaji3128
@aishahaji3128 Год назад
Mh! Mtihanintu ,wanagu nakuomba wasamehe tu ndio maisha ya kz atajirekebisha juyo rudi baba kaeni mwzani musameheyane nyie ni waislamu lazima kusameheyana
@bonifacemkunda6747
@bonifacemkunda6747 Год назад
Dogo katumwa aje kuitibua team yaani ww na injinia hahahahaha bora ww uende mara mia lakini injinia hawezi kuondoka chamsingi ukimaliza mahojiano hayo nyanyuka na hao hao wanaokuhoji wakusindikize hadi makao makuu ya Yanga mkayamalize ili hao wakawe mashahidi kwasababu
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy Год назад
Fei unayoo sema ndugu kwel au kwann usiyaseme toka mwanzo et gharibu yupo bize na mambo yake wapo wengine
@halimalachpat1927
@halimalachpat1927 8 месяцев назад
Hakuna kama mama mtu asimtusi mamamo
@salachina5582
@salachina5582 Год назад
Fei angalia maneno yako
@ramadhaniraphael6955
@ramadhaniraphael6955 Год назад
Huyu jamaa muongo sana
@sebastianlucian5916
@sebastianlucian5916 Год назад
Yanga fungukeni huyo rais ni mwanadamu ayo asemayo yapo na ili nidhiilishe aliesema kuwa Wala mihogo ni nani kuweni na akili nyingi!
@robertedward1992
@robertedward1992 Год назад
Umeona sasa viongozi wa yanga,niwahovyo.wanamlaumu kijana wawatu. Ona sasa,amefunguka.mnasemaje sasa mm ashabiki?
@isackyohana2707
@isackyohana2707 Год назад
Nyie makolo ndiye mtakayemfuatilia ,,,cc mda huo wa kutunga uongo hatuna...utoto unamsumbua.
@unathanmakenge937
@unathanmakenge937 Год назад
Ndugu hujui lolote, tafuta clip ya behind the scenes utajua alichoongea
@sammymdemeka7937
@sammymdemeka7937 Год назад
CLOUDS BE SHAMEFUL PLEASE ACHENI INTERVIEW CHOKO KAMA HIZI. NA ACHENI KUINGIA KWENYE MITEGO KAMA HII MNAPOTEZA BRAND CHEAPLY
@gabriel-dh3qn
@gabriel-dh3qn 2 месяца назад
Kipaji kinakuweka wewe mjini! Siyo viongozi wa YANGA wewe! Acha utoto wewe! Akupigie simu wewe huna adabu! Dogo! Na usije YANGA hatukutaki YANGA
@thomaslyimo9556
@thomaslyimo9556 Год назад
Mbona hana hoja ya msingii zaidi ya manenoo ya kuambiwa na umbeaa tuu. Kwanini haulizwi athibitisheee hayo anayo sema kwa udhibitisho. Hayo matusi na anayo yasema sio anawachafua viongozii wa Yanga na wengineee?
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Год назад
Fei hana hoja ni mjinga tu
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
@@MathewNathan-yb2bz km ww
@kazembeally1619
@kazembeally1619 Год назад
Dogo anazunguka kimsing uyu dogo bado anaendelea kutafuta uruma
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Год назад
Yaani dogo anachekesha kweli
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg Год назад
Hata unakotaka kwenda utapata changamoto hizi hazikosekani. Ukiweza Acha mpira kacheze zumari
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Acha klumtisha hatapata changamoto yeyote mungu atamcmamia
@Prince-rafael
@Prince-rafael Год назад
Hahahhaah anavyoongea utadhani yanayomtoka ni ya kwel kumbe anapangwa na kikaratas kawekewa akisahau asomee hahahaha tuachie yanga yetu
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 Год назад
Kma sio wida malijuana
@muhammadjamady-zx1jy
@muhammadjamady-zx1jy Год назад
Mpka apoo nishaelewa kwann rais aondoke jamani kueni makin dogo kagizwaaa na waty wA simba kwann ataka rais aondoke ww nenda tuu rais wetu analeta wachezaji tu
@GodifreyGody
@GodifreyGody Год назад
Hapana Fei unazingua kajamaa
@jumanneshego3308
@jumanneshego3308 Год назад
ayo mambo ya kike dogo wanaume atuwagi watu wa kususa kama kuna kishawishi kingine sema apo mbona kama unaongopa
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Na wanaume c wambea sasa ww unasema nn hapo
@drvaxminja2133
@drvaxminja2133 Год назад
Huyo kijana muongo sana mbona hajatoa hizo tuhuma mwanzo? Acha uchonganishi
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Год назад
Fei hizo ni sababu za kijinga,hazina mashiko kuna kitu unakificha nyuma ya pazia.
@gabriel-dh3qn
@gabriel-dh3qn 2 месяца назад
Wewe hatukutaki YANGA wewe !
@ReganGregor-bs3jm
@ReganGregor-bs3jm Год назад
Dogo mnafk uyo
@mohamedchigochigo3325
@mohamedchigochigo3325 Год назад
Yani unayo ongea yanaonesha maneno ya kubuni acha ufara wewe
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 2 месяца назад
Bogas.
@AishaJuma-pz1zo
@AishaJuma-pz1zo Год назад
Ru
@stanastana3199
@stanastana3199 Год назад
Sasa ghalib ni mfanya biashara mkubwa pia yy ana mambo mengi inamkula akili,sio yako peke yako bro.
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Год назад
Tumtaki huyu aende tuu
@meshackmayenga969
@meshackmayenga969 Год назад
Mimi ni mtu mzima nikiangalia huyu Feisal nikama umri wawanangu,hivyo huyu anayoeleza yanaweza kuwa na mitazamo 4. 1.utoto 2.uongo 3.labda ni kweli 4.kutengeneza mazingira ya kuhurumiwa: Maelezo yake yote yanaonyesha amezira kwasababu hakupokelewa simu na tajiri Ghalib pia kusemwasemwa na Rais wa klabu,Lakini garage alipopigiwa simu ba Ghalib naye hakupokea ilikutimiza ule usemi wa jino kwa jino.kwa mtazamo huo mimi sioni sababu za Feisal kufikia huko navyoona waliojirani na Feisal wakae naye wamshauri apunguze hasira amsikilize Ghalib anasemaje. Huko ndiko kwa kuanzia kuweka mambo sawa.Sasa kama hataki hata kumsikiliza Ghalib kama kutompokelea simu eti kwa vile yeye hakupokelewa simu hiya ni hoja dhaifu sana.Ushauri wants ni huo zaidi ya hapo Feisal atakuwa na jambo lake
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Год назад
Ametumwa tuna mechi analeta zake za kuleta tumekuelewa tunataka kukuroga sasa jinga Sana tumefika fainali bila ww na hauvai medali ng'oo
@salamasaidi6620
@salamasaidi6620 Год назад
Kwan kuvaa medali lazima???
@bnttv8955
@bnttv8955 Год назад
Hapa kuna ukweli 1% Na uongo 99%
@ameirfaki9277
@ameirfaki9277 Год назад
Tupe ukwel bc ndgu
@sebastianlucian5916
@sebastianlucian5916 Год назад
Huyo aliwatukana na mkawaka Wala mihogo ni kina nani na nani aliesema ilo
@sebastianlucian5916
@sebastianlucian5916 Год назад
Na jueni huyo mtu atakuja kuwapa mahuzi sana sababu ya uboss wake
Далее
ФОТОГРАФИЯ ЦЕНОЙ ЖИЗНИ
32:38
Просмотров 1,6 млн
Can You Bend This Bar?
01:00
Просмотров 3,9 млн
ФОТОГРАФИЯ ЦЕНОЙ ЖИЗНИ
32:38
Просмотров 1,6 млн