Тёмный
No video :(

NI FITINA TU NDIZO AMBAZO ZINAMKWAMISHA FEISAL SALUM PALE AZAM 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 53 тыс.
50% 1

www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 10 месяцев назад
Feisal Toto ni mcheza mzuri sana katika uzawa
@sassboy9360
@sassboy9360 10 месяцев назад
Fei super talented kwa wenye akili wanajua ilo ana Uwezo mkubwa wakutofunikwa duarani
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 10 месяцев назад
Makosa aliyoyafanya Feisal ameenda kucheza Timu ndogo kuzidi uwezo wake. Feisal si wa kucheza Azam
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 10 месяцев назад
Exactly Oscar upo sahihi mm ni Yanga lakn feii yupo vzuri anatakiwa awepo kwenye national team
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 10 месяцев назад
Ww ni mpuuzi kweli
@DivinePromise-sv3qq
@DivinePromise-sv3qq 2 месяца назад
Mbona hua anaitwa shida anashobo ndio zinamuangusha lkn ni mchezaji mzuri sana ila match ilimpalia hakua vzr kivilee
@abdulazizimohamad6946
@abdulazizimohamad6946 10 месяцев назад
Jamaa unaongea kispoti sana fei ni htr sana Kwa wachezaji wazawa kwenye nafasi yake hakuna anaemfika
@FelisterDuway
@FelisterDuway 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂baba levo siku kama hayupo huwa Mimi sisikilizagi kabisa hichi kipindi chenu😂
@ibnmasuod2184
@ibnmasuod2184 10 месяцев назад
wwe kama mimi tu
@AlexJacobo-vc2kt
@AlexJacobo-vc2kt 10 месяцев назад
Hata me pia
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 10 месяцев назад
Anajiita B LEVO BA FUNDI MANYUMBA 😂😂😂
@RyanElias1
@RyanElias1 10 месяцев назад
Ht mm 😅
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 10 месяцев назад
Unakosa fikra za kishabiki na kichawa. Watu wengi hatupendi FACT ndio maana baadhi ya TV zimeajiri watu wa hovyo ili kutifurahisha.😤
@feisalseif6488
@feisalseif6488 10 месяцев назад
Chambuzi wangu na moja mpaka sasa
@rashidmohd6260
@rashidmohd6260 10 месяцев назад
Baba levo wa2 wanahesabu nazi ww unahesabu makumbi yaani ww uyanga umeuweka mbele kuliko ukweli kiufupi 2nakupenda ila kwa kipindi cha michezo una2haribia mn inaonekana hujui mpira kbs
@SalimNassor-bs4ew
@SalimNassor-bs4ew 9 месяцев назад
Baba levo ypo kimajungu zaid
@makamelila
@makamelila 2 месяца назад
Yani kaka umeongea sawa sana watuwanamvhukia kwasababu tu kaacha timu yao hebu wamuache mpira jamani ni huru!!!!!!!!!!!!
@Jamalhusen7025
@Jamalhusen7025 10 месяцев назад
Huyo bb levo na mpira wapi na wapiiiiiiii
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 10 месяцев назад
Pumba tu😂
@user-pe2ox3wr1j
@user-pe2ox3wr1j 10 месяцев назад
Baba levo hajui kuchambua analeta uyanga kwenye ushambuzi hapo kazi yako kuchambua sio kuisifia yanga mtoen icho kitengo anaalibu
@enerickondyanabo337
@enerickondyanabo337 10 месяцев назад
Oscar we mnafki Sana ulisema anafunga angeitwa kwenye timu ya taifa Leo ii unasema magoli sio inshu kisa wamemuacha kwenye magoli
@happysanga6846
@happysanga6846 10 месяцев назад
Oska kaombe kazi ya kupanga kikos Cha Tim ya taifa siunaona wapangaji hawawajui wachezaji wa zur
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 10 месяцев назад
Sio Feisla tu Azam hata wangekuwa na Mbape asiingeonekana, Huwezi kutegemea mchezaji mmoja kwenye Timu.
@salehharuna7675
@salehharuna7675 10 месяцев назад
Baba levo hujuwi mpira kwenda kule
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 10 месяцев назад
Mnaacha kumjadili aziz k
@happymackjacob3480
@happymackjacob3480 10 месяцев назад
Oscar upo clear sanaaa
@user-ff4gi8dl7z
@user-ff4gi8dl7z 10 месяцев назад
Oscar uko sawa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 10 месяцев назад
Uyo mtu alie muweka baba revo kuchambua alilenga safi sana
@hafidhyakoub8369
@hafidhyakoub8369 10 месяцев назад
Baba levo hujuwi mpira
@yohananjelwa4101
@yohananjelwa4101 10 месяцев назад
Baba levo umeongea fact
@AshelyAbel-kg4kx
@AshelyAbel-kg4kx 5 месяцев назад
Baba levo sio mchambuzi anafaa kua mchamba wima
@andrewmwakyangwe3520
@andrewmwakyangwe3520 10 месяцев назад
Alikamia sana hiyo match
@athumanmsuya2688
@athumanmsuya2688 10 месяцев назад
Acha uyanga
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 10 месяцев назад
Kweli kabisa
@abdull_hafidh
@abdull_hafidh 10 месяцев назад
Osca upo sawa sana
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 10 месяцев назад
Sio kupaniaaa feisal anajua ww baba levo wanazungumziaa feisal sio team
@user-rk1le2ld8d
@user-rk1le2ld8d 9 месяцев назад
Kiukweli sisi wazanzibari kama fei toto hayupo kwenye kukodi cha taifa basi na sisi hatupo pamoja nayo iyende tuu nikiona za yanga na T FF Tunajua
@mwajabujumanne9025
@mwajabujumanne9025 10 месяцев назад
Baba levo ndo ananogesha kpndi😊
@BusaluThobias-ff6po
@BusaluThobias-ff6po 10 месяцев назад
Mpira bila magoli utashinda vp?! mahaba yakizid utashindwa kuchambua mpira utakuwa kama shabiki angefunga alafu Aziz ki asifunge leo ungesema hakuna kiungo anaejua kufunga kama yeye pale yanga kisa Aziz ki kafunga leo magoli sio inshu na wakati ndio yameipa yanga point. Bro..ifanye kazi yako kwa ufasaha acha kutumika
@matiankomola2391
@matiankomola2391 10 месяцев назад
Kawe wewe Kocha! Akiendelea kucheza kama Jana ataitwa. Usimpangie Kocha,
@alisaleh2093
@alisaleh2093 10 месяцев назад
Fesal anajua mpira
@SalimNassor-bs4ew
@SalimNassor-bs4ew 9 месяцев назад
Uyu baba levo kwani n lazima achambue mpira anaharibu sna
@halidmauga96
@halidmauga96 10 месяцев назад
Kweli Feisal alistahili kuitwa timu ya taifa
@mzeewetu9718
@mzeewetu9718 10 месяцев назад
Bora asiende maana atawaliza kwa kuwaangia wenzie .
@side216
@side216 10 месяцев назад
Babalevo pumba speaking
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 10 месяцев назад
Acheni fitina
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 10 месяцев назад
Kwan lazima acheze tim ya taifa
@mohdhassan5977
@mohdhassan5977 10 месяцев назад
Mpeleke mamaako acheze
@ZINDUKAMUISILAMU30
@ZINDUKAMUISILAMU30 10 месяцев назад
Huyu Baba levo anaongea kishabiki
@SaidSaid-qp8xl
@SaidSaid-qp8xl 10 месяцев назад
Baba levooo sio mtu wa michezoo
@jumamakuri9176
@jumamakuri9176 10 месяцев назад
Ukimsaliti bibi hata Babu unaweza kumsaliti. Tanzania Kuna wechezaji wengi wapo benchi Feisal Hana kiwango Cha national timu. Mbona wameachwa wengi kv shomari kapombe, zimbwe, timu inasonga mbele. Feisal alijiona lulu Kwa kupambwa na wajinga wachache sasa matokeo yake ndio hayo hakuna haja ya kulaumu.
@HazardYussuf
@HazardYussuf 10 месяцев назад
Huyu baba level mwambie akafanye uchawa mpira so kz yke
@ShabanMsanifu-ov2kg
@ShabanMsanifu-ov2kg 8 месяцев назад
Ww muongo acha unafiki
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 10 месяцев назад
Mpira usharudi
@calvinloveambroce842
@calvinloveambroce842 10 месяцев назад
Huyo mtoto wa kizanzibar anaujua mpira tuache chuki
@ChaseGabagambi-ur8xu
@ChaseGabagambi-ur8xu 10 месяцев назад
Oscar unaongea na mtu asie ujua mpira unajichosha Kichw bb levo hamna kitu
@HalidMuhammad-gi9qy
@HalidMuhammad-gi9qy 10 месяцев назад
Kama anajua mpelekeni kwa wake zenu msitusimbue maboya wachambuzi wa mbuzi
@rickpoz1795
@rickpoz1795 10 месяцев назад
hii sms ni ya baba level na oscal naomba muwaambie ally kamwe na ahamed ally wawatangazie mashabiki wa timu zetu tukajazane pale keko hadi waziri mkuu aje atuambie lile zigo la mwizi ni la nani?
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 10 месяцев назад
Yaan we oscar wewe usimtetee fei alipania sana
@seifismail6041
@seifismail6041 10 месяцев назад
Oscar ndo umesema au bd
@sikujuahamisi7252
@sikujuahamisi7252 10 месяцев назад
Oscar huna akili
@salehharuna7675
@salehharuna7675 10 месяцев назад
Afu sikupendi
@user-kk3tv6kw1o
@user-kk3tv6kw1o 2 месяца назад
Fitina gani tena?
@SayuniEnock-tu4pf
@SayuniEnock-tu4pf 10 месяцев назад
N kwel kabsa Huwa analeta charange humo ndan!!
@KadabraGadna-xu5ez
@KadabraGadna-xu5ez 10 месяцев назад
Mchambuzi huyu fala sana basi ww peleka vyeti uwe kocha wa timu ya taifa mbona ww huingiliwi kwenye taaluma yk Oscar ww msenge
@RamadhanYusufu-lj3hu
@RamadhanYusufu-lj3hu 2 месяца назад
feitoto anajuasoka awempole. kakakatu😂😆😃😄🤣
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 10 месяцев назад
Fei kajiuamwenyewe astafutemchawi
@kasseraandrew3614
@kasseraandrew3614 10 месяцев назад
Huyu baba levo kwa nini yupo hapo
@AjiaMohamed-rt5pb
@AjiaMohamed-rt5pb 10 месяцев назад
Kwani redio yako ni kweli fei alipania
@user-iy7sj8wv5b
@user-iy7sj8wv5b 10 месяцев назад
Osika unavutaga bangi
@user-ln5yv5ff5p
@user-ln5yv5ff5p 10 месяцев назад
Unazingua fei toto amepotea
@user-uz7dj2xl2v
@user-uz7dj2xl2v 10 месяцев назад
Ety tutaktana nao kaliua
@jonasafumwisye6357
@jonasafumwisye6357 10 месяцев назад
Oscar wewe ni Kati ya wachambuzi hovyo kabisa wa Soka, nani alikuambia Feisal ni lazima aitwe stars, Magoli unayosema kazifunga Timu zipi? Mwambieni aoneshe consistency arejeshe kiwango siyo kupiga debe
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 10 месяцев назад
HUYO CHAWA BABA LEVO KAZI KULETA FIKRA ZA KITOPOLO TU HAPO STUDIO.😤
@mariammbwana9018
@mariammbwana9018 10 месяцев назад
Oscar sio mchambuzi yule sira na yule beki wa kulia wa azam ndio walikuwa mwiba mchungu kwa Yanga
@frankkatima607
@frankkatima607 10 месяцев назад
Ukiwa hujavuta bangi unaongea vitu vya maana ila ukishavutia chooni sasa unaongea unavyojua wewe
@jbdellijunior
@jbdellijunior 10 месяцев назад
Hakuna mchambuzi hapa 😂 wote wanasiasa za mpira
@guccij6236
@guccij6236 10 месяцев назад
😂Baba levo
@user-do8tq7ec3f
@user-do8tq7ec3f 2 месяца назад
Mpira magoli
@asifznz
@asifznz 10 месяцев назад
Mpira ni magoli 😂😂😂wacha uongo wewe kasema pele mpira magoli
@mastermacheni932
@mastermacheni932 10 месяцев назад
Kipindi kinakufa kwa wajinga wachache
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 10 месяцев назад
B LEVO LEO UMEJAMBA 😃,,FEI HAKUPANIA MCHEZO NA NDIO MANA ALICHEZA VZURI JAPO HAWAKUSHINDA NA YEYE HAKUFUNGA(Kacheza kawaida)
@patrickmfundiri8669
@patrickmfundiri8669 10 месяцев назад
Una zeeka vibaya mchezi yupo yeye tu TZ wameachwa wangapi bhana? Chambua kwa akili
Далее
JINSI YA KUJIUNGA NA TIMU ZA VIJANA ZA AZAM FC
9:56
Просмотров 17 тыс.