Тёмный

MANENO YA MWISHO YA MZEE PEMBE KABLA YA UMAUTI, MAHOJIANO YAKE YA MWISHO 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 67   
@umfahad2609
@umfahad2609 18 часов назад
Tunamuomba ALLAH amsameh madhambi yake na ampeleke mahali pema peponi. Poleni sana wtt wake wote na familia na watanzania wote walioguswa na mcba huu. Nafatilia from Oman 🇴🇲😭😭💔
@eddymaphy
@eddymaphy 17 часов назад
Aamin
@ImanSal-z7i
@ImanSal-z7i 7 часов назад
Amiiiina
@arkammiraj1060
@arkammiraj1060 22 часа назад
Innalillahi wainna ilaihi rajioun Allah amsamehe makosa yake na amlaze mahali pema peponi Amina
@mk-ed5py
@mk-ed5py Час назад
Inallillah wainaillah rajuun,mashallah yani ilikua ukimuona tu unacheka
@SubiraSaleh-xm3wq
@SubiraSaleh-xm3wq 7 часов назад
Akili nying maneno mazima kutok kw mtu aliekwend shule kusoma c kutembea Allah ailaze roho yk pema amiin
@PhaterialVision
@PhaterialVision 5 часов назад
Pumzika kwa amani mzee wetu mwenyezi mungu akupunguzie adhabu ya milele
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 21 час назад
😢😢😢polen sana wana familia pole sana mzee senga kwa kuondokewa na rafiki yako wa karibu daaaah 😢😢😢😢
@mwajumaanthony5470
@mwajumaanthony5470 21 час назад
Poleni sana Kwa familia Mwenyezi Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 17 часов назад
Mungu amlaze mahali pema peponi
@mebeni2745
@mebeni2745 17 часов назад
Rest in peace mzee Pembe . Niko Kigali Rwanda nawapenda sana Mbengo tv
@restitutapaulfyeka4969
@restitutapaulfyeka4969 18 часов назад
Mungu akupumzishe kwa amani!
@TonnyMaster
@TonnyMaster 18 часов назад
Pole sana Kazi ya mungu haina makosa sema kifo kinauma hasa ukifikilia
@mayalakulwa-q1r
@mayalakulwa-q1r 2 часа назад
Mzee senga polesana.naomba.MUNGU akupeloho yautulivu
@elizabethmasebo-i1x
@elizabethmasebo-i1x 2 часа назад
Puzika kwaamani mzee wetu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 23 часа назад
Rest in peace mzee wetu,sijui pacha wako mda huu atakuwa ktk wakati gani😢😢😢
@ziadayasin711
@ziadayasin711 11 часов назад
Innalillah waina lillah rajuuni Allah amsamehe makosa yake Allah amrahamu amrehemu Allah atusamee kwa sote
@hawababy120
@hawababy120 5 часов назад
Pumzika kwa amani mze pembe😢😢😢
@yesuanaokoamtumainiyeye1360
@yesuanaokoamtumainiyeye1360 3 часа назад
Hakika katika makuzi yangu huyu mzee na mzee Senga walijua kunifurahisha katika maigizo yao, R.i.p mzee Pembe
@AnaDamiani-cn6cz
@AnaDamiani-cn6cz 9 часов назад
ninachojifuna kwa huyu baba alikuwa na moyo wa shukrani sana moyoni mwake.nimejifunza hilo.
@BahatishaHalidi
@BahatishaHalidi 10 часов назад
Poleni sana wanafamilia ya movi
@SaluMaige-m1v
@SaluMaige-m1v 18 часов назад
Hayo sio maneno ya mwisho
@GodfreyMakala
@GodfreyMakala 20 часов назад
Alikuwa na akiri sana aise
@awadhmkolla182
@awadhmkolla182 17 часов назад
Inna Lillah wainna ilayhi rajiun,Kifo Cha tosha kuwa ni maidha,kwani mshairi mmoja wa kiarabu alisema,Al-maut yaghti baghtatan wal-kubur sunduk l-maly=Akiwa anamaanisha Umauti unakuja GHAFLA na Kaburi ndio sanduku la Matendo.so Ndugu zangu tupate mawaidha Kwa hilo Kwa Mzee wetu.Amina
@JumaHamis-kn6dn
@JumaHamis-kn6dn 18 часов назад
Poleni sana familia ya marehemu
@HappyBarnOwl-ug5kt
@HappyBarnOwl-ug5kt 17 часов назад
R i p pembe mungu akulaze mahal pema pepon
@joycemlay5762
@joycemlay5762 20 часов назад
Jamann mbona wanaisha duh apumzik kwa aman
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 13 часов назад
Innallilah wainnailaih rajiun. Apumzike kwa amani 💔😭
@arafakhamis3336
@arafakhamis3336 8 часов назад
Poleni familia
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 19 часов назад
Innalillah wainnailah rajiuun, ALLAH akupe kaul thabit 😢😢
@NzisabiraRashidi
@NzisabiraRashidi 18 часов назад
Poleni sana
@catherinengina6802
@catherinengina6802 19 часов назад
Nakumbuka alivyofanya kwa vimbo "naenda kusema kwa mama"
@ZainaRashid-t3m
@ZainaRashid-t3m 10 часов назад
Inna lillah wainna ilayhi rajiuun
@GabrielMwamwaja
@GabrielMwamwaja 22 часа назад
daaa, hatuja poa msiba wa dida mwingine tena RIP
@hamidamkungu8845
@hamidamkungu8845 22 часа назад
Poleni wanafamilia na wanatanzania kwa ujumla,,,tumepoteza msanii mkongwe toka enzi tunasoma,,R.I.P
@GodwinIssack
@GodwinIssack 11 часов назад
Rest in Paradise Father. I see you again 🙌
@GetrudeMekere
@GetrudeMekere 22 часа назад
R.I.P.MZEE PEMBE
@nururaymond5
@nururaymond5 17 часов назад
Dooo😢rip🙏 #Kifoooo
@HumphryKombe
@HumphryKombe 18 часов назад
R.i.p Pembee ulitupa burudan na elimu pia yani unaongeaa na kuchekaa kama jakaya kikwete😢😢
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 2 часа назад
ALIKUWA MCHANGA MFU😢😢
@AbubakariMtitu
@AbubakariMtitu 20 часов назад
R:I:P😢😢
@EmanuelJuma-y8o
@EmanuelJuma-y8o 19 часов назад
R.I.P
@ZawadiKilua-i1s
@ZawadiKilua-i1s 11 часов назад
R.i.p mzee wetu pembe
@5araalharmi474
@5araalharmi474 21 час назад
🤲🙏🏽💔
@fainesKigahe
@fainesKigahe 18 часов назад
R.I.P Mzee wetu
@Shabanathuman-f8g
@Shabanathuman-f8g 22 часа назад
Innalilah wainalilah rajuinn
@MustafaBallack-j5y
@MustafaBallack-j5y 18 часов назад
Rest in peace légende 🇧🇮
@daviddeusddktvbadman
@daviddeusddktvbadman 19 часов назад
R .l P mzee pembe
@martinisadru9899
@martinisadru9899 18 часов назад
MUNGU alitoa na ametwa,, jina lake lihimidiwe milele.
@IldaRafaelElias
@IldaRafaelElias 9 часов назад
R.I.P.
@WaziriMmbaga-p5z
@WaziriMmbaga-p5z 18 часов назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 21 час назад
Inna lilahiy wainna ilayhi rajiun
@TheresiaFransic
@TheresiaFransic 22 часа назад
R.i p mzee pembe
@Mishi-wo2xi
@Mishi-wo2xi 22 часа назад
R I p mzee pembe
@AaminAmin-m1z
@AaminAmin-m1z 18 часов назад
😭😭😭🤲🤲🤲🇸🇦🇰🇪🇸🇦
@peacermaria2045
@peacermaria2045 22 часа назад
😢😢
@AshaChambo-qf2pv
@AshaChambo-qf2pv 22 часа назад
Lini tena
@EmmanuelMahingule
@EmmanuelMahingule 23 часа назад
R.I.P PEMBE 😭😭
@MchaseChuwakiwia
@MchaseChuwakiwia 22 часа назад
Rest in peace
@binthkhamis8042
@binthkhamis8042 22 часа назад
Polen wana familia
@rhodasanga6109
@rhodasanga6109 21 час назад
R I P
@lilianmatongo1500
@lilianmatongo1500 22 часа назад
🫢
@lilianmatongo1500
@lilianmatongo1500 22 часа назад
Rip mzeepembe🫢🥹😭
@AssumpthaKayombo
@AssumpthaKayombo 22 часа назад
Mungu amlaze mahali pema peponi
@kasimramadhani1502
@kasimramadhani1502 22 часа назад
Inna Lillah wa inna ilaih rajiun
@habibukabwanga4908
@habibukabwanga4908 23 часа назад
R.I.P MZEE PEMBE
@SalumHalfani
@SalumHalfani 21 час назад
R.I.P
Далее
Yəni, sizcə, indi bu nə deməkdir?
0:23
Просмотров 82 тыс.
ZUCHU AIMBA WIMBO HUU MBELE YA ALIKIBA NA MWIJAKU,
6:45
Yəni, sizcə, indi bu nə deməkdir?
0:23
Просмотров 82 тыс.