Тёмный

MADADAPOA WATIMUA MBIO Mwananyamala, NI BAADA ya MEYA KINONDONI KUSHTUKIZA KWENYE MADANGURO YAO... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 161 тыс.
50% 1

MADADAPOA WATIMUA MBIO Mwananyamala, NI BAADA ya MEYA KINONDONI KUSHTUKIZA KWENYE MADANGURO YAO...
Katika hali ya kuendelea kulinda maadili ya Kitanzania na kuhakikisha kizazi kinachokua hakiingii katika biashara haramu ya kuuza miili yao, mchana wa leo Mstahiki Meya wa Kinondoni jijini Dar es Salaam amefanya ziara fupi ya kujionea hali halisi ilivyo katika eneo la Mwananyamala.
Madadapoa wanadaiwa kufanya biashara za kuuza miili yao, hatua ambayo imekuwa ikipingwa vikali na wadau mbalimbali ikiwemo hata Baraza la Madiwani...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 388   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@mosesndimgwanko1079
@mosesndimgwanko1079 Год назад
Asanteni viongoz kwa kuliona hilo,hayo majumba naona tu yafungwe.Tunatengeneza kizazi cha uharibifu xana.
@danieldavid4733
@danieldavid4733 Год назад
Vita hii ni Kali na Ngumu Mheshimiwa Mwenyezi Mungu akutie Nguvu
@rajabukhamis467
@rajabukhamis467 Год назад
Asanteni sana viongozi wetu kwa msimamo wenu maana nishida unakuta mtoto mdogo mwenye miaka 15 anaenda kufanya mapenzi namtu mkubwa pesa ndogo tena wengi wanafunzi nandio maana wanafunzi wengi shuleni wanakua vicho box baadae tunawalaumu walim kumbe wanashindwa kufanya vizuri kumbe wameanza kufanya ngono zembe mapema
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 Год назад
Wallahy mtihani c mdg dah! ???? Mwenyezmungu tuswameh waja wko. Vikuze vizazi vyetu kwenye maadili mema.
@jothamekisouke2326
@jothamekisouke2326 Год назад
Daaaah uyo chapombe msemaji wa kwanza ameongea vzuri sana,hao wadada wanaharbu Sana jamniii iliyowaznguka!! Lkini viongozi wanapata manufaa Sana na hao wadada wanaojiuza hapo,haiwezkani wawaache tu wafnye uchfu wao
@evaemil856
@evaemil856 5 месяцев назад
Huyu mayor anatumia haki za binadamu, maadili na sheria Ya nchi. Safi Sana.
@lionking3015
@lionking3015 Год назад
Mm nadhani hata hoteli kubwa kubwa wanazoenda kina Kajala na irene uwoya pia ni danguro tu..utofauti ni mazingira tu..hata mtandao wa Instagram na tiktok ni danguro mana madada wengi wanazitumia kujiuza mitandaoni na kujiadvertise kama kina gigy..nadhani ni bora sheria iwe msumeno sio kwa wanyonge tu
@caswaralbadry8481
@caswaralbadry8481 Год назад
Laana hii itaisha lini ni jukumu kwa kila mtanzania wasione wengine mungu atawaacha hapana ukiwa na uwezo wa kukemea au kuzuia na ukakaa kimya kulizuia hili basi na ww unahusika kuadhibiwa na mungu moto mkali ,
@othmanhussein-ed7mj
@othmanhussein-ed7mj Год назад
Duh innaa lilaahi wainnaa ilayhi raajiuun
@husnamohammed4166
@husnamohammed4166 Год назад
Mje nauku kwetu Zanzibar bwejuu wamejaa sana🙏
@samwelkalinjuna9739
@samwelkalinjuna9739 Год назад
HONGERA sana mh stahiki mayor songoro kwa jambo hili kwakweri hali si hali ndani ya jiji hili la dar es salaam na si hapo tu hili zoezi Liwe la jiji zima maadili ya momonyoka
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Год назад
Atuwezi fanya kazi aina moja waacheni wanasaidia watu mmesha halibu maisha toga juuu
@hamadimuya4303
@hamadimuya4303 Год назад
Una uhakika una muogopa mungu
@benedictmhina4819
@benedictmhina4819 Год назад
Mdau
@amanimanase8798
@amanimanase8798 Год назад
Makahaba DAR wapo wengi sana kila mahali ukienda manzese,kimara,temeke,buguruni yani wapo kibao na walio wengi wanatoka mikoani
@loner_wolf
@loner_wolf Год назад
Tafakari..... Wapo wa mkoa na wapo wa hapa hapa......
@sarahomary3615
@sarahomary3615 Год назад
​@@loner_wolf Hapana nakataa WA dar wamezoea mji ila WA mikoani wengi wanavamia mji Wanakuja na ulimbukeni na wengi wanaambiwa Kuna kazi za ndani wakiona maisha hayapo Sawa ndiyo hivyo wanaanza kujiuza
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
​@@sarahomary3615 Wote hata wa dar wanayafanya hayo.
@emanuelpallangyo3698
@emanuelpallangyo3698 Год назад
Toeni kwanza elimu kwao then mfanye mpango wakuwapa mikopo kwa ajili ya biashara kwa ataye hitaji
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Kweli
@christianchando7041
@christianchando7041 Год назад
Hii ndio faida ya kuwachagua viongozi wanaomcha Mungu
@christianchando7041
@christianchando7041 Год назад
@WAASINASTYCRAZY2023 Mikopo ya akina mama, vijana na walemavu, ni 10% ya mapato yote ya Halmashauri kwa mwaka. Mfano Halmashauri ya Kinondoni asilimia 10 huwa ni bilioni 2 mpaka tatu. HIZO WANAKOPESHWA BILA RIBA WALA DHAMANA YOYOTE
@starmakervideos1984
@starmakervideos1984 Год назад
sio sawa maisha magumu dada zetu wafnyaje yaan. acheni usengne viongoz mnakurupuka sana. hamtoi suluhisho nyie mnajua kukataza tu.
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Год назад
SubhanaAllah 😭😭😭 ndiyomaana mvua hainyeshi mazao yamekauka Wallah huu mtihani
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
Allah atanusr sis na vizaz vyet
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb Год назад
Kabisa @ Zainab
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Год назад
Safi sana Mstahiki Meya. Lkn itakapotokea hapo acha watu wako kimya kimya wasiojulikana kwa wenyeji ili iwe rahisi kusafisha wachafuzi wa jamii. Maana hao viongozi wenyeji usiwategemee watakudanganya.
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Kabisa na watakuwa wanapata fungu
@fikiriselemani100
@fikiriselemani100 Год назад
Halafu vjumba vyenyewe vbovu vnachafua hadhi ya Jiji letu ,Bora vivunjwe ,
@sylasmusic6773
@sylasmusic6773 Год назад
Wafanye nini wakati hata biashara ni shida tu acheni hizo dada huduma. zenu ni nzuri
@jeanmusamba3253
@jeanmusamba3253 Год назад
ni hatari sana si ukimwi tu kuna hepatitis B ni mbaya kuliko ukimwi
@bahatisaimon6019
@bahatisaimon6019 Год назад
Ili jambo liishe mpaka Mama asemee au bunge liseme maana ndoa nyingi leo zinazofungwa zimekufa kwasababu hiyo
@zamdakimaro8040
@zamdakimaro8040 Год назад
HONGERA MH WANAWAKE WAMEKUWA NA MABALAA NA WAMESAHAU KAMA KUNAMUNGU
@Saidkhel
@Saidkhel Год назад
Wanunuzi wanalalamika kwenye comment bongo bhana
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Hatari sana!! Hongera sana Meya Kwa kujitoa muhanga!!
@saebajoma8419
@saebajoma8419 Год назад
Kwahiyo ndugu yangu kuuza mwili nikazi mbona kazi zipo nyingi tuu ukiamua ​@WAASINASTYCRAZY2023
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@Waasi Nasty Crazy Afya yako ya akili haiko Sawa,,,
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@Waasi Nasty Crazy Hahahaha,,,,,kama Una elimu basi ni ya kimchongomchongo, haiwezekani mtu msomi kutoa hoja ya kipumbavu kabisa, ,,,, there are so many Hustlers in this country who are struggling legally to earning their lives!!! We unatuambia eti Kwa kuwa hawana kazi basi wakauze miili Yao! Mjinga sana wewe, tena usirudie tena kudai usomi Kwa Hoja za kijinga, maana unaiangusha tasnia ya kisomi
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Mtihani dah😢😢😢😢
@abbiecox1
@abbiecox1 Год назад
si vyema kuwafukuza wanatoa huduma kwa watu ambao hawawezi kupata huduma hiyo hasa vijana wasio na ndoa muhim wapimwe afya ili wasiwe chanzo cha maradhi kwa jamii. pia kama inawezekana wawezeshwe mwanamke akiwezeshwa basi jamii imewezeshwa
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Год назад
Mmmh..wewe
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Год назад
Safi sana mstahiki mayor umeongea vizuri sana.. kazi iendelee
@bongelabwana1940
@bongelabwana1940 Год назад
Tunahtaji Viongoz wenye Mitazamo na hofu na Mungu,Namuona atafika mbali
@hamdaniamli-mj3zp
@hamdaniamli-mj3zp Год назад
Ahsante meya umesomeka
@musampanda3643
@musampanda3643 Год назад
Ao ao wenyewe watoa maoni ndio wateja wakuu jioni
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Год назад
wamechoka na hiyo tabia
@naimasuleiman6489
@naimasuleiman6489 Год назад
Na hivo vyumba vimejengwa kwa hivo tu au subhnaAllah
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 5 месяцев назад
Mh. Diwani Kata ya Makunusho Mohd. mwogope Mungu. Hela yangu uliyonitapeli wakati unatoa gari langu Bandarini uliahidi utanilipa kwanini hunilipi???? Wewe sasa ni kiongozi je unafuraha kudhulumu.
@DIO-jd8xs
@DIO-jd8xs Год назад
Situnataka haki sawa
@ramadhanmustafa1941
@ramadhanmustafa1941 Год назад
Fukuzilia hao wote wanatuharibia ndugu zetu
@queenlinda255
@queenlinda255 Год назад
Safi
@stephenemuya8575
@stephenemuya8575 Год назад
Hii ni siasa tu amna kitu hapo waishapita viongozi wengi ilo eneo amna kitu wanafanya amna solution wanoyokuja nayo Amna Kitu Hapo
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 Год назад
Yaan mashallah hongera sana
@ahmedyhassan4059
@ahmedyhassan4059 Год назад
Wanafanya ukimwi uzid vijana watt zetu sijui k watapona badae uko,,Allah tupo mwisho mwema
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Mkuu Wa Mkoa Sijui Anapambana Nanini Ndani Ya Dar .Uchafu Kila Kona Mbona Wakati Wa Makonda Mengi Yalikua Kwenye Kupotea Viongozi Wenye Kupokea Pesa Kamata Ndani Sasaivi Mpaka Wazazi Awaley Watoto Wa Kike Kwasababu Wanajua Unalea Malaya Kumbe Watoto Halisi
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Mhh hatari ila hii hapana nimezunguka Arusha sijawahi ona huu ujenzi vyumba utadhani mabanda ya kuku😭🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
@stephanomayunga5540
@stephanomayunga5540 Год назад
Sasa wew umeona Arusha napo ni mji?
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Год назад
Labda ni kitongoji vipi hapo umeridhika ama bado😏😏
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Matejoo huko zipo
@victorbugobola2276
@victorbugobola2276 Год назад
Hiiiiiiiiii Nchi tamu sana
@mussakadelia5681
@mussakadelia5681 Год назад
mheshimiwa meya, kutoa mikopo siyo vibaya ila changamoto ni kwamba hao watu wanaenda kufanya biashara gani, na wamejiandaa vipi kuwapa elimu ya ujasiriamali kabla ya kuwapa mikopo, hii issue ni ngumu sana na haiwezi kuleta matokeo chanya, watakula hiyo mikopo na kurudi kwenye madanguro tena
@abbassalum6824
@abbassalum6824 Год назад
Anaefanya ivyo sio kama anapenda kazidiwa na maisha magumu
@feisalmwinyi2429
@feisalmwinyi2429 Год назад
Hongera Sanaa Mh Songoro kwa hekima yk na busara zakoo Allah akujaze nguvu ya uongozi wk
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Год назад
Jambo zuri sana hilo,chukueni hatua yasibaki maneno tu. Wengine wenu ni wateja🤔
@thamani5842
@thamani5842 Год назад
Innalillah waina ilayhi raj un
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 Год назад
Mtihani!mvua hazinyeshi!maisha magumu!matendo yetu!hizi sio asili yetu!nyakati za mwisho!mungu tusamehe tuongoze!
@ivanminja7954
@ivanminja7954 Год назад
Ni zaidi ya miaka 40 hizo nyumba zipo, kazi ipo.
@nassorsalum
@nassorsalum Год назад
kaz amna mjini vitu viko juu maisha magumu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Kwahiyo kama kazi hamna ndio wauze miili Yao?
@zuberimohamedi5761
@zuberimohamedi5761 Год назад
Kwahiyo na ww unajiuza?
@nassorsalum
@nassorsalum Год назад
@@zuberimohamedi5761 eeh njoo uninunue
@nassorsalum
@nassorsalum Год назад
@@zuberimohamedi5761 unatakiwa ujuwe kwann wanajiuza
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@nassorsalum Acha ujinga wewe, kwahiyo kuuza mwili wako ndio suluhisho la matatizo yako
@abdulhida8291
@abdulhida8291 Год назад
Mola awasimamie mpaka, biashara hii ikome, inshaallah safi sana meya.
@hallin9561
@hallin9561 Год назад
hii biashara haitokaa ifutike kaka, iwe saudia, dubai, Vatican, itali, American na kwingine kote, ni vile zinafanyika kwa siri sana, niliwahi kupelekwa kwenye dangulo moja Zanzibar kama wew ni mgeni haujui. wenyeji wanapajua
@josephshelukindo2269
@josephshelukindo2269 Год назад
Hata kama Wana maisha magumu..waangalie Kaz za kufanya sio hiyo..
@mchumiajuani1993
@mchumiajuani1993 Год назад
Hata kama kazi ya ukahaba upo basi usiwe wazi namna hii, yani hawa wanafanya kaz km duka......
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Ndio hivyo naona kama maduka mtihani
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Год назад
hatariiii kubwa Mungu aokoe vizazi vyetu
@filbertabdallahmdee2676
@filbertabdallahmdee2676 Год назад
Kwel jaman jamii inaangamia embu serikali iingilie kati na ikiwezekana sheria ziwe Kali kuhusu wanawake wanaojiuza
@crisndembwele4016
@crisndembwele4016 Год назад
Mnaanzaga vizuri ila mwisho huwa mbiyo za sakafuni. Hao hata kwenye vitabu vyadini wapo kuzuiya ni ngumu maana watatafta njia yoyote kaziyao iendelee mtumie akili na lisiwe zoezi la skumoja araf mnapoa
@princekarani7836
@princekarani7836 Год назад
Mzee kuishinda ihi biashara ni ngumu kuliko kitu chochote dunia ihi,biashara ambazo huwezi kuzitokomeza dunia ihi ni madawa ya kulevya,umalaya,(kuuza mwili),kuuza viungo vya binadamu,uwezi zuia ata siku moja,kingine kilichoikumba dunia ni ush..ga
@barakamarandu6163
@barakamarandu6163 Год назад
Sema lkn ukiangalia kwa upande mwingine izo pis zina tu save sana maana nikiwa na arosto naruka hapo chap na buku mbili
@Mina.15
@Mina.15 Год назад
Utakufa na magonjwa
@barakamarandu6163
@barakamarandu6163 Год назад
@@Mina.15 Hamna magonjwa mama nachumvini nazama fresh to nawaungisha to jmn Kwan kuna baya
@Swahili14
@Swahili14 Год назад
@@barakamarandu6163 Hello bro 😂
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 Год назад
acheni wafanye kazi yao wanasaidia jamii makahaba walikuwepo kabla na baada ya kuzaliwa Kwa yesu
@jothamekisouke2326
@jothamekisouke2326 Год назад
Duuuh hiyo milango Sasa ilivyo!! Bei ya elfu 2 Ni ukimwi,Na Magonjwa mengi
@jumarajab5316
@jumarajab5316 Год назад
wanasiasa bwana eti mwenye nyumba asipojitokeza tutavunja tuweke kituo cha afya hiyo kesi yake utakimbia familia hawa ma meya si ndo wanatokana na madiwani sasa kuna diwani gani mwenye akili timamu
@mkundukunuks
@mkundukunuks Год назад
Kama Yule wa vingunguti kumbi la Moto Hana hata akili moja
@kisoso890
@kisoso890 Год назад
Haha machoko Hao wananunua vibint vya insta na tiktok na Twitter wanajifanya kutumia mtandao wa Twitter kama vile sehemu special kumbe kule Twitter Kuna laana kufuru utamkuta eti account yangu ya Twitter kumbe ni bora anaetumia Facebook yupo OK kuliko huko Twitter Kaka meya kafanye kazi maji shida barabara shida unakuja kataka kuharibu raha zetu mbwa wew
@abdallahrenatus6677
@abdallahrenatus6677 Год назад
Bodhaa kama haipo mteja atatoka wapi?
@stamalamkulungwa8708
@stamalamkulungwa8708 Год назад
Jamani sasa wanawake mtaani wanatulingia Huko watu walikuwa wanapunguza haja zao sasa ukiwatoa itakuwaje
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Na pia itaondoa kubakana
@evaemil856
@evaemil856 5 месяцев назад
Serikali ingebomoa haya maeneo na kuwajengea wananchi nyumba Safi za bei nafuu na mazingira bora. Wangejenga ghorofa kadhaa za vyumba viwili mpaka viatu au vinne. Mpango mji, na kupawekuea hadhi hizo biashara za ovyo zingeisha. Maadili yazingatiwe.
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 Год назад
HELLA
@shafiimusa6572
@shafiimusa6572 Год назад
Ongera sana meya wa kinondoni
@jumamasasi4424
@jumamasasi4424 10 месяцев назад
Wana habar kweli mnakazi hatal
@NANCYWARD488
@NANCYWARD488 Год назад
wateja waache kwenda kununua hizo ngono tuone kama watakuwepo. shida si hao bali ni wateja, pia hizo pesa za mikopo mkakopeshe watu waliozoea kupata pesa kwa kufanya ngono mnautani kweli aisee, hakuna atakaefanya biashara hapo ya kupigwa na jua siku nzima wakati alizoea kukaa kivulini na kupata pesa, watafutieni Kazi viandani huko mkawapeleke, mikopo ni kuchezea tu pesa kodi zetu.
@issasulleman8573
@issasulleman8573 Год назад
sasa wateje tukiacha kwenda kununua ! mnataka tuanze kubaka au! na nyinyi mnatulingia, mkitongozwa tu mnaanza kutupatia majukumu makubwa kama wazazi wenu sasa si bola nikanunue alfu 3
@gockoomzawa226
@gockoomzawa226 Год назад
Mkitongozwa si mnakataa
@NANCYWARD488
@NANCYWARD488 Год назад
@@gockoomzawa226 na nyie mnaogoa majukumu ndio maana mnaenda kununua vya harakaharaka na bei nafuu
@gockoomzawa226
@gockoomzawa226 Год назад
@@NANCYWARD488 tena huko akuna ata kuumizwa moyo
@NANCYWARD488
@NANCYWARD488 Год назад
@@issasulleman8573 ndio wawaache sasa ili nyie msiotaka majukumu mpate pakwenda
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Год назад
Safi sana mkuu
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Mkitaka Kumaliza Tatizo Tanzania Hi Kwenye Mambo Ayo Hiundwe Shelia Ikitokea Nyumba Inatumika Kwenye Biashara Iyo Basi Nyumba Itaifishwe Mala Moja Likiwa Agizo Nchi Nzima Basi Tutaludisha Eshima Kuanzia Kwenye Ndoa Na Wananchi Watafanya Kazi Kumaliza Tatizo Ilo Nyumba Zibinausishwe Sasa Mtaenda Mpaka Lini Kwenda Apo Akumalizi Tatizo
@mohddelo
@mohddelo Год назад
Safi mkuu
@zuwenaally6403
@zuwenaally6403 Год назад
Subuhaanah lahu kama badae ya kuku jomani 😢😢😢😢😢
@tumainidmgutu
@tumainidmgutu Год назад
Binafsi bado sijaona kama hiyo njia itasaidia kwakweli kwasababu badp kuna maswali mengi yanakosa majibu kwenye, naogopa kumlaumu au kumshitaki mtu , itoshe tu kusema kila mmoja atekeleze wajibu wake ipasavyo kama ni serikali na pia kama mwananchi vivuo hivyo
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
Na hii inasaidia watu kubaka wawape vibali walipe kodi
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
True
@richardbenny156
@richardbenny156 Год назад
unaunga mkono umalaya na ushoga si ndio?
@leokamil6284
@leokamil6284 Год назад
@@richardbenny156 Hujui kutofautisha wewe ,Ushoga na umalaya ni vitu viwili tofauti malaya wanasaidia watoto wasigeuzwe mashoga na wasibakwe.Hivi hujui kama kuna wanaumme hawajui kutongoza au wakitongoza hawakubaliwi .Ila kwa malaya ni fedha yako tu na watu kama hao ndio hatari kwa kubaka vichwaa wa kike na watoto. Malaya wawekeeni kihalali walipe kodi ,kwani kuna mtu analazimishwa kwenda kwa malaya ?ni mapendekezo ya mtu kwenda kutimiziwa haja zake
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Год назад
​@@leokamil6284 ah sjawahi kuona mtu akili hna kma hizo zko hujui maradhi ypo mengi hjui familia ngap zitaanguka na kuarhirika unatka wawe kma Thailand
@othmanhussein-ed7mj
@othmanhussein-ed7mj Год назад
Duh
@mchwikesenior4221
@mchwikesenior4221 Год назад
Natamani huyu awe waziri ili maono yake yafanye kazi nchi nzima. Big up bro💪
@stephenemuya8575
@stephenemuya8575 Год назад
SIASA TU HIZI MKUU MWAKANI ATAENDA MWINGINE YOUR JUST AN NPC IN TANZANIA
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Год назад
Mmh🤣🤣
@fainajaffary4070
@fainajaffary4070 Год назад
@Waasi Nasty Crazy 😁😁😁😁🤣🤣kunywa soda bby😍
@oliverjason4335
@oliverjason4335 Год назад
Sitetei ukahaba Ila iyo mikopo ni ubabaifu wengi hupati iyo pesa kwa haraka Kona nyingi mpk unakata tamaa unaamua kuacha
@Jaz_bey
@Jaz_bey Год назад
Mama ntilie wanafanya kaz afu Wana kamatwa na site afu kuna ombaomba wa naitwa wagogo wazima hawana tatizo wanaombaomba hapa mjini kwann serkal isiwakamate iwapeleke maporin wana fanya nn hapa mjin wamechanganyana na vilema kilema aombe nawaoo wambe
@suleimayahya2099
@suleimayahya2099 Год назад
Biashara itakua inawalipa vizuri coz mademu wa mitandaoni bei zao juu
@muddybreezy4595
@muddybreezy4595 Год назад
Saf sana Meya Kama mulifungia mitandao ya x vipi hawa panya
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Год назад
Eeh! Wanashindwa nn kuwafungia kama X waliweza kuwafungia watu wasione??
@lucaspaulo5371
@lucaspaulo5371 Год назад
Harafu msiseme makahaba tu na wanunuzi pia je mnawafahamu maana ni wengi kuliko wanaouza kama mmoja anaweza kuuza watano hadi kumi wako mia sasa zidisha mara hiyo ni ngapi? Halafu wateja wengi ni hao wa serikalini ndio wanaopandisha na bei 10000 harafu kahaba akisha kuwa staa wananunua wafanya biashara na wakubwa kuanzia 50000 mpaka ...… Mi naboeka na serikali yetu wala siwalaumu makahaba chanzo ni nini mpaka mtu akawe kahaba hamjiulizi?
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Hapo labda wavunje nyumba zote hizoooo ndy wataondoka...
@SamsonMwanosa-km6xc
@SamsonMwanosa-km6xc 10 месяцев назад
Selikali fanyeni mpango wa kuzuia ushoga hawa wahaya walikua wanatutoa baridi kwenye mvua hii
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 Год назад
Hapo ni karibu kabisa na hospital ya mwananyamala,,Yan utakuta Bango kabisa linakuelekeza hapo limeandikwa BIASHARA YA MAJENEZA,ila biashara ni watu Wala huon hayo majeneza
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 Год назад
Hao wanaojiuza,maana yake wana wateja.Wateja wao ni wanaume...Hivyo nawaomba,muwaambie wanaume.Kama wanaume hawataenda kwa hao wadada,hao wadada hawatapata wateja itakuwa ni rahisi kutafuta kazi zingine za halali.
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Год назад
Hiyo haiwezi kutokea
@bongelabwana1940
@bongelabwana1940 Год назад
I think you are a member
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 Год назад
Sasa dada angu nyie mnataka pesa ndefu mara ya kusukia mara hujala mambo kibao ila nikienda kwa hao madada poa napata kwa buku tatu tu aisee
@dinnambogoye9582
@dinnambogoye9582 Год назад
@@emanuelleopod3949 kweli broo , pia madem wengine wanajikuta wanaliinga Sana
@edinakyaruzi9226
@edinakyaruzi9226 Год назад
@@emanuelleopod3949 tumia kinga kwa umakini kabisa
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Год назад
Meya uwamzi wako ni mzuri sana na tena hivyo viwanja vya hizo nyumba ni kiolela hazina hata hati za sehemu hiyo ni wavamizi walio jenga maeneo hayo
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Год назад
@Waasi Nasty Crazy wwe kweli hamnazo wewe unapenda ujinga wanao fanya kuuza uchi ni kazi watoto watajifunza nini badae.wanaka mikoa na vijijini kuja kuza miili wanawacha mashamba kulima hata ni mtanzania ndio ufanye maovu ndani ya nchi
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Год назад
Msiba mkubwa . Allah tunusuru na huu mtihani Watu wanaangamia
@Awatee
@Awatee Год назад
🤲🤲
@lusakulazephania32
@lusakulazephania32 Год назад
Wanatusaidia sana hawa madada
@happymchomvu6766
@happymchomvu6766 Год назад
🙄🤨
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Год назад
Heeeee mtihani
@hallin9561
@hallin9561 Год назад
muwaache wadada wafanye biashara zao kwa amani, nyinyi ni wauzaji wa mihadarati lakin wananchi wametulia
@geraldalfred1781
@geraldalfred1781 11 месяцев назад
Hili zoezi liliishia wapi mbona mambo yanaendelea kama kawaida
@othumansaidy2626
@othumansaidy2626 Год назад
Jaman ndio biashara sio mzuri ila wanasaidia kupunguza nyeto megeton.😂😂
@aloycemallya
@aloycemallya Год назад
Hii habar imenisikitixha kwakwel😁😁
@fahidashishi255
@fahidashishi255 Год назад
😂
@Saidkhel
@Saidkhel Год назад
Mnunuzi
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Год назад
Jamani kinadada taire! "Unameng'enywa" kwa pesa, tena Shilingi elfu mbili ya Tanzania? elfu mbili?
@salumuseif3324
@salumuseif3324 Год назад
Wanatusitiri jaman mabahili sisi
@Awatee
@Awatee Год назад
Bila ya aibu siku ukifia umo kwa dada poa ndio utajua stara Mhh aibu kubwa jina ilo halafu unakwenda hap tafuta mke uwoe uko upate stara 🤣
@yassinshaban6241
@yassinshaban6241 Год назад
Hii kitu kwa kiongozi uyu haiwez bora afanye mambo mengne tu maana majibu ya maswali hatakayoulizwa ana
@abdallahkassim318
@abdallahkassim318 Год назад
Wapewe million 40 pia
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Год назад
maisha magum wache ichi imewashinda kuna vitu kedekede vya maana havion umeoma kww madada poa tu wache watu wajipatie ridhik na wangne wakate kiu kwa wepes bila vikwazo
@swaumdodoma7591
@swaumdodoma7591 Год назад
Innaalillah wainnaailayhi rajiun Allah Akusamehe na Akuongoze katika haqi
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
daaah allha anusuru vizazi vyetu lnshallha na haya mambo maana hao wanao jiuza wapo sehemu ya jamii kabisa mtt akitumwa dukani hapo ndo njia na temeke pia maeneo ya dabo kibini kwa chacha pale na maeneo ya wailes masangati kwa nyuma yamejaa kama yote😭
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Inawezekana kukemea na yasiendelee kama hivyo ni sisi majirani tunapuuzia ndio hivyo yanaonekana kawaida tu.TUBADILIKE
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
Navijumba vyao vinakuwahivyo hivyo vya mstar
@modycombo7421
@modycombo7421 Год назад
Navijumba vyao vinakuwahivyo hivyo vya mstar
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Год назад
Hiyo sehemu kongwe
@magrethmkongwee8512
@magrethmkongwee8512 Год назад
Unafiki kazi jmn! Kwamba leo ndio wamejua !?
@nsanyarasheeed8693
@nsanyarasheeed8693 Год назад
Unauzia wapi ww tujue
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 Год назад
Elf mbili🤭🙄🙄🙄🙄🙄 kweli tutapona ?? Uwiiiii, Mungu tusaidie
@jamesjahasa4726
@jamesjahasa4726 Год назад
Unaona 2 elfu ndogo??? Ingekua Bei gani
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@ahz6907
@ahz6907 Год назад
Hovyooo kabisa
@fatmaahamad633
@fatmaahamad633 Год назад
Baba ukilimaliza hili unapepo yako kwa allah
@hasanadamhasanadamally
@hasanadamhasanadamally Год назад
Hakika
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Год назад
Sisi wanaume ndo hatuelewiki unakuta mtu yupo hapo analalamika na yeye ndo mteja wa hao watu anafikiri hayo mambo yataisha vipi inatkiwa kwanza wanaume tuache kununua hao watu mwisho wasiku wafanye kazi waache uvivu
@Awatee
@Awatee Год назад
Wewe umeongea lkn wengine sio rahisi kuelewa
@emanuelleopod3949
@emanuelleopod3949 Год назад
Na sisi tusiyo na hela za kuhonba unadhani tutaacha kwenda kwa hao watu?
@aishachambo8663
@aishachambo8663 Год назад
Nyumba zote zivunjwe tu na serikali
Далее
Я ж идеальный?😂
00:32
Просмотров 120 тыс.
#Ripoti Maalum...June 29, 2022
54:01
Просмотров 22 тыс.
Agizo la Rais Magufuli kuhusu Wamachinga
22:08
Просмотров 343 тыс.
Salum Mwalimu na Mtulia, wavaana LIVE EABreakfast
4:24
Я ж идеальный?😂
00:32
Просмотров 120 тыс.