Тёмный

MADAKTARI BINGWA WAMETUA TENA CHUNYA 

Chunya Dc Online
Подписаться 482
Просмотров 201
50% 1

Halmashauri ya wilaya ya Chunya kwa mara ya pili tena itapokea Madaktari Bingwa Wanane (08) ambapo wanataraji kuingia rasmi Chunya Tarehe 30/09/2024 na kudumu kwa siku karibu sita kuanzia tarehe 30/09/2024
Akizungumza wandishi wa Habari ofisini kwake Dkt John Gungumka amewataka wananchi kufika Hospitali ya wilaya ya Chunya ili wapate huduma za Kibingwa kwa gharama za kawaida tofauti na huduma hizo zinavyopatikana Maeneo menginu

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
МЭЙБИ БЭЙБИ - Hit Em Up (DISS)
02:48
Просмотров 385 тыс.
Tena - Love Is Singular  [Official Audio] +Lyrics
5:01
IF WORLD WAR III HAPPENS
9:30
Просмотров 54 тыс.