Тёмный

MADARAJA YANAYOPITA KATIKATI YA MAJI, YANATENGENEZWA HIVI. (perfect side) 

PERFECT SIDE
Подписаться 14 тыс.
Просмотров 81 тыс.
50% 1

📜 Innovation for the future
we strive to educate you in the world of science. We're delighted to hear your thoughts.
Today’s episode is about the science used to construct bridge over water
We greatly respect all RU-vid policies and copyrights. We also appreciate your feedback as it's one way to improve our services.
message at Email: perfectsidetz@gmail.com
subscribe our channel 🔔
KIPINDI...
MADARAJA YANATENGENEZWAJE KWENYE MAJI

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 158   
@iddysalim6331
@iddysalim6331 4 месяца назад
"Perfect side innovation for the future" well said 🙌👏🏿👏🏿👏🏿
@thomastemu3332
@thomastemu3332 4 месяца назад
Verry good.. wakati nikiwa mtoto niliamini kweli wanatumia which Dr kumbe sasa nimekuelewa ni tech..thank you.big up
@rainohazard2453
@rainohazard2453 3 месяца назад
Unajua sana kuelezea kiac kwamba mtu unaelewa utadhan ulikuwepo kwenye tukio la uundaji bg up unajuaaaa sanaa 🔥🔥🔥
@OnyangaJoseph
@OnyangaJoseph 4 месяца назад
Ahsante sana kwa kutoa elim nzuri naomba kujua kuhusu ujenzi wa nyumba sehem ya tingatinga au kwenye bahari
@AndrewPetromwinjeMwinje-by1ol
@AndrewPetromwinjeMwinje-by1ol 3 месяца назад
Hata Mimi nimeipenda kweli kwa kifafanulia technology hii🎉🎉🎉
@mressahassan6832
@mressahassan6832 4 месяца назад
Mungu akubarik mno tuu najivunia kua wew nimtanzania mwenzangu
@kasisihwafidele6569
@kasisihwafidele6569 4 месяца назад
Asante sana baba kuendelea kutu funza mambo mengi , Mungu aendelee ku kupa nguvu na afya njema n'a hekima ili tuendelee kupata somo nyingi kuhusu yaliyomo duniani . Nakufata kutoka DRC
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 4 месяца назад
Shukran sana🤝
@MwanaidiKambula
@MwanaidiKambula 3 месяца назад
​@@Perfect_side_tz vpi kuhusu ujenzi wa underground
@AlexIrankunda-c7v
@AlexIrankunda-c7v 2 месяца назад
Asante saana kwa mafunzo yako make na mimi nilikuwa naamini kujega madaraja usiku ni uchawi kumbe sivyo thx
@jumachawinga8147
@jumachawinga8147 3 месяца назад
Ahsante kwa maarifa kk hakika nimejifunza jambo be blessed
@BadoMartense
@BadoMartense 4 месяца назад
Ki ukweli nimependa unavyo tuelewesha❤❤
@musakyakuse4713
@musakyakuse4713 9 дней назад
Kubali sana umenielimisha sana,thanks a lot
@francisabushiri4143
@francisabushiri4143 3 месяца назад
Safi sana umetoa elimu ambayo nilikua nikihitaji kuifaham mda mrefu sana
@Ashirkond
@Ashirkond Месяц назад
Ufafanuzi umekaa poa sana 💯
@Walterkundu
@Walterkundu 4 месяца назад
Mungu akubarik mno brother
@franknantalila1588
@franknantalila1588 4 месяца назад
Kazi nzuri sana sikujua kabisa kwamba wanatumia hii technology
@ibrahimkibwana7364
@ibrahimkibwana7364 3 месяца назад
Safi sana , umenitoa kizani aiseh
@jospine1channel874
@jospine1channel874 4 месяца назад
Kiongozi hongera, endelea zaidi kutulisha madini
@goodluckfrances1558
@goodluckfrances1558 3 месяца назад
Asante kwa somo zuri
@bakarhamad6810
@bakarhamad6810 3 месяца назад
Dah! Wazungu ni watu khatar kumbe wao wanasomeshane elimu zinazoendana na mahitaji ya mazingira halafu sisi wanatuletea elimu ya kujuwa tu viwakilishi na nomino wameenda mbali Zaid wanatuambia tucheze na panzi na panya. Upuuzi kweli Hawa manyang'au
@HafdhiMawimby
@HafdhiMawimby 2 месяца назад
Hongera
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 27 дней назад
Safi sana kwa elimu
@jostamzxkaole3113
@jostamzxkaole3113 4 месяца назад
Ahsanteeee/:potland pozzolana cement🤙 nilikua siijuwi hii
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 месяца назад
Hongera kwa elimu nzuri uliyo nipatia
@jamalkishangu
@jamalkishangu 3 месяца назад
Hii ni elimu nzuri
@Hildat-gi3iy
@Hildat-gi3iy Месяц назад
Mashaallah
@jamesashery5212
@jamesashery5212 3 месяца назад
Safi sana umenipa darasa
@IbrahimKhatibu-bu9yq
@IbrahimKhatibu-bu9yq 4 месяца назад
Asantee kwa maarifa.
@piusundisputed
@piusundisputed 3 месяца назад
From now onwards,this will be my official page to learn
@franssmoses6791
@franssmoses6791 4 месяца назад
Kaka upo vizuri big up sana kwako
@Kamanda12
@Kamanda12 3 месяца назад
Bro nimekuelewa sana good job
@Joshualumwesa
@Joshualumwesa 3 месяца назад
Nimependa sana
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 4 месяца назад
Uko vizuri mwamba, kazi yako itapaa!
@raiszongo4136
@raiszongo4136 4 месяца назад
Thanks kwa elimu kubwa
@danielandrew9892
@danielandrew9892 3 месяца назад
Asante sana
@Ibrahim-d9y
@Ibrahim-d9y 3 месяца назад
Tisha sana mzee baba
@franklukazula
@franklukazula 4 месяца назад
safi sana ❤from Burundi
@JumanneissaK
@JumanneissaK 3 месяца назад
Kweli ujuzi wa wataalamu Umekua xn.
@WilliamKawite
@WilliamKawite 4 месяца назад
Safi kabisa nwalinu mtaalam
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 3 месяца назад
kaka nimekuelewa vzr sana
@ZiaraMwatawala
@ZiaraMwatawala 4 месяца назад
Content nzuri sana
@ShukraniChomolla
@ShukraniChomolla 3 месяца назад
Duuuh hii imekaa vyema❤
@henribwema2778
@henribwema2778 4 месяца назад
Shukrani
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds 3 месяца назад
Asante umenisaidia mwanzo nilikuwa nadhani wachina ni wachawi ndo maana wanajenga usiku madaraja kwenye maji
@ShabaniSudi-d1x
@ShabaniSudi-d1x 3 месяца назад
Absolutely true
@Johnsonmkubwa
@Johnsonmkubwa 4 месяца назад
Waoo asante
@flaviaurio7957
@flaviaurio7957 3 месяца назад
Pamoja sana 😊
@BreezyExplorerMedia
@BreezyExplorerMedia 4 месяца назад
SAFI SANA KAKA NIMEJIFUNZA LEO 🎉
@ramboiddrambo3056
@ramboiddrambo3056 4 месяца назад
kaka unajua sana kuelemisha mungu akubaliki
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 4 месяца назад
China kwa teknolojia bac hakuna mwendawazimu hata mmoja atakayejaribu kuwa sawa na hii nchi ya China. Wako vizuri mbaya mbovu.
@chinischinis6371
@chinischinis6371 4 месяца назад
Asanate sana kw elimu nzuri kwakweli nimejifunza kitu
@mirajidrissa9139
@mirajidrissa9139 4 месяца назад
Asante❤
@alimzee
@alimzee 4 месяца назад
Nice work amazing
@minabuelysee8
@minabuelysee8 4 месяца назад
MashaAllah
@castroydaimon3107
@castroydaimon3107 4 месяца назад
Umetisha baba
@edibilychaula.3753
@edibilychaula.3753 4 месяца назад
Nashkuru kwa Elimu 🙏🏻
@EliasMaduka-r5r
@EliasMaduka-r5r 4 месяца назад
Hii tafti nimeipenda
@liberate85
@liberate85 4 месяца назад
Well done
@rashidkihunga2938
@rashidkihunga2938 4 месяца назад
asante ninepunguza maswali
@MwitaMranche
@MwitaMranche 3 месяца назад
Teknolojia ya kutengeneza simu
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 4 месяца назад
Elimu kubwa sana,asante kwa kutufungua akili
@DonMooSTUDIO_Express
@DonMooSTUDIO_Express 4 месяца назад
Ebwana ee 😂 HII NILIWAHI KUISIKIA JUU JUU LAKINI HAPA NIMEJIFUNZA VIZURI NA IMENISISIMUA ❤ shukran sana
@al-bleproshooteur1922
@al-bleproshooteur1922 3 месяца назад
Www mkali
@YusufLubangula-yn6tq
@YusufLubangula-yn6tq 4 месяца назад
Nimependa utaalam wa kutengeneza Madaraja kwenye sehemu kubwa yenye maji yenye kina🙏 Je? Naule utaalam wa kuvusha umeme Kutoka bara kupeleka visiwani? NAOMBA UTUJUZE upovizuri mwambia👍✅
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 4 месяца назад
Tunafanyia kazi haraka🙂
@barikimbacho6731
@barikimbacho6731 4 месяца назад
​​@@Perfect_side_tznaomba kujua zile tunnels ndefu zinazojengwa chini ya bahari unakuta ina urefu hadi kilometa mia au mia mbili wanajengaje chini ya bahari? Asante
@ezmexplores
@ezmexplores 4 месяца назад
Nimependa Elimu Hii
@mwanawamfalmetz
@mwanawamfalmetz 4 месяца назад
Asante maana zamani tulipoona wachina wanatengeneza usiku tuliamini kuwa wanatumia uchawi
@rukizaseba5741
@rukizaseba5741 3 месяца назад
Mjomba upo vzr na elimu unayo aisee
@michaelmtega8279
@michaelmtega8279 3 месяца назад
Wewe upo makini sana
@networkeryuzzo09
@networkeryuzzo09 4 месяца назад
KIPINDI KIZURI SANA ❤ NILIONA JUZI JUzi HAPA KWWMBA MTANDAO ILIKUA UNASUMBUA WAKADAI KUNA HITILAFU KATIKA NYAYA BAHARINI (NINGEPENDA UIFAHAMISHE JAMII IO SAYANSI YA KUSAFIRISHA MTANDO BAHARINI IKOJE NA KWANN WASISAFIRISHE NCHI KAVU)
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 4 месяца назад
Ipo kuna video inasema nini maana ya Internet angalia kwenye video zetu. 🙏
@succeslifeeducation9868
@succeslifeeducation9868 4 месяца назад
​@@Perfect_side_tzKAKA CONSISTENT IS KEY (( MUENDELEZO WA VIDEO BOLA KAMA IZI NDIO UFUNGUO )) TUNAOMBA UJIWEKE MALENGO KWA KILA WEEK UNATULETEA VIDEO NYINGI NA NYINGI BACK TO BACK KAKA
@nestorysanga1579
@nestorysanga1579 3 месяца назад
Nimetii
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 6 дней назад
Elimu nzur saan
@professorimmah
@professorimmah 3 месяца назад
I wanna to know how Robot technology are make??
@vitukovyafredmoyoonlineken9295
@vitukovyafredmoyoonlineken9295 4 месяца назад
Nice one
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 4 месяца назад
Hatimae leo nimejua. nilikuwa najiuliza wanawekaje nguzoo..?? asanteni sana PERFECT SIDE
@tonnysgalleries5848
@tonnysgalleries5848 4 месяца назад
Mkuu tunaopenda Tech tunaenjoy sana. Me ningependa kujua tech behind WIRELESS stuffs kama vile WI-FI na BLUETOOTH. Yan nataka kuelewa kabisa mkuu
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 4 месяца назад
Tutatoa funzo hilo haraka iwezekanavyo. 🤗
@karimacro
@karimacro 4 месяца назад
nimependa sana na umenifungua
@hemedmgeni3470
@hemedmgeni3470 3 месяца назад
Daraja la Zanzibar Dar es salaam uko uwezekano wa kulijenga
@josephatmanyama2324
@josephatmanyama2324 3 месяца назад
Nakubaliii👊👊👊
@selemabena
@selemabena 4 месяца назад
💯💯
@austereaniceth7577
@austereaniceth7577 3 месяца назад
Aiseee sijui nisemeje lakini wewe ni hatari.....Leo umeniaminisha asilimia zote kwamba mchina sio mchawi....najivunia kuwa subscriber wako....weldone kiongozi
@Christianmovies52
@Christianmovies52 3 месяца назад
🎉
@mohdmassoud3052
@mohdmassoud3052 4 месяца назад
Brother mfano gati nakusudia bandari inajengwa nayo kwa muundo kama hivi au kuna utofauti na daraja maan yote ni ndani ya maji
@MesiusKaroli
@MesiusKaroli 4 месяца назад
Mi naomba kujua technolojia ya kutengeneza maporomoko ya maji kwa ajiri ya kuzalisha umeme mfano bwawa la Nyerere na zire mashine zinafungwaje kwenye mteremko mkali wa maji
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 4 месяца назад
Tunafanyia kazi haraka 🙂
@majidukalokola7253
@majidukalokola7253 4 месяца назад
Asante sana kwa maelezo mazuri kuhusu technology ya kujenga madaraja kwenye maji ya kina kirefu. Sasa ningependa kujua, inakuwaje ndege inapopata hitilafu angani, kwa nini abiria hawawezi kutoka ikiwa huko angani? Na nini kifanyike ili wawe wanatoka?
@JosephOnyiego-nw5jm
@JosephOnyiego-nw5jm 4 месяца назад
. Kumbe mambo ni mengi sana
@azormatthew7813
@azormatthew7813 3 месяца назад
Nataka kujua technology ya integrated circuit
@OctavianObadia
@OctavianObadia 4 месяца назад
Mara nyingi huwa tunakosa elimu nyeti kama hizi kwa kutumia lugha hadhimu ya kiswahilil,mimi nakuomba mwalimu uzidi kutuelimisha kuhusu sayansi muhimu kama hizi mfano, kivipi engine ya gari ina fanya kazi
@hezekiamhapa7395
@hezekiamhapa7395 2 месяца назад
Ni kweli ukifikiri sana jinsi injini ya gari inafanya kazi unaishiwa Tu kuchamganyikiwa
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 4 месяца назад
Ningependa kufahamu hotel zilizopo chini ya maji zinajengwa kwa namna gani?
@MirajiIssa-sl2li
@MirajiIssa-sl2li 4 месяца назад
Safiiii
@MrBm369
@MrBm369 3 месяца назад
Dah aisee sijajutia Mb zangu kabisa
@MwitaMranche
@MwitaMranche 3 месяца назад
Teknolojia ya ungenezaji simi
@michaelbakunde7334
@michaelbakunde7334 4 месяца назад
Utalamu mukubwa saana
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 4 месяца назад
🙏🙏🙏
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 4 месяца назад
We jamaa ni noma dah unatuelewesha kwa mifano hapo hapo tunaona
@isayarevelian9698
@isayarevelian9698 2 месяца назад
Ai see nilikua wapi jamani chaneli yenu inamafunzo mengi sna
@nassorntandu4513
@nassorntandu4513 4 месяца назад
3D technology ilianzia wapi
@LushidulaJidamawi
@LushidulaJidamawi 4 месяца назад
Mbona laisi tuu
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 3 месяца назад
We jamaa kiboko .
@AchensAmigo
@AchensAmigo 3 месяца назад
Kujenga kenne mulim
@kungugeni
@kungugeni 4 месяца назад
Mie nataka unielekeze ndege inakataje kona na pia ndege nini kinaiongezea spidi ikiwa angani ila kinacho ilusha nakielewa
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 4 месяца назад
Mbongo akijenga hapo jiandaeeni kugeuzwa ndafu ya samaki baada ya wiki moja
Далее
What’s your height?🩷🙀💚
00:59
Просмотров 3,6 млн
KUMBE HIKI NDICHO KINACHOSABABISHA NDEGE KUPAA.
12:13
Просмотров 160 тыс.