Тёмный

MADEBE NABII MSWAHILI:TUONYESHE HAYO MAJINI 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 149 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 316   
@dinotv1099
@dinotv1099 3 года назад
Yani kwakua mm niko mu Burundi mnaninyima like kweli apana ata Madebe naomba anijibu Ili nivimbe kitaa
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 3 года назад
Utapasuka
@alfredchitanda9395
@alfredchitanda9395 3 года назад
X to do they need is to it and I will be there at the time and effort your day been my love I love you re ty I
@halimahomar9474
@halimahomar9474 3 года назад
Hakuna siku nine enjoy km Leo 😊 kipendi cha madebe natamnii nije nimuone live Allah ampe umri mrefu Amin
@yusufmwash6299
@yusufmwash6299 3 года назад
Duh madebe Lidai mwenyewe, namkubali sana
@arafakiloli749
@arafakiloli749 3 года назад
Masha Allah nampenda sana madebe
@khamisboy8620
@khamisboy8620 3 года назад
Madebe nakukubali,misemo na mafumbo yako ni ya kufunza ma sha Allah.big up bro.254
@gervaskiria9687
@gervaskiria9687 3 года назад
Montown sanya mnyama sana kulaleq inabidi BG akupe crown #wcbforlife
@twilamtumbi5351
@twilamtumbi5351 3 года назад
Mdogo wangu madebe wewe ni mwana sanaaa
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 года назад
Surah tul Mulk ( Tabaraka) Mungu kataja twabaka 7 za ardhi ayah ya 3 na kuumba majini na binadamu ili kuniabudu sijakumbuka ni surah gani ila aya naijuwa" innah khalaqtul Jinnah wal innsah ila liabudun."
@tabibu.maulidkipuyuyu9655
@tabibu.maulidkipuyuyu9655 2 года назад
Siyo Inna ni wamaa khalaqtu
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 2 года назад
@@tabibu.maulidkipuyuyu9655 shukran utadh Allah akubariq
@thomaslandwhale
@thomaslandwhale 3 года назад
Wakati Kiswahili kikifahamu Africa,movie watakazo zifuatilia walojifunza Kiswahili Kwa wakati huo zitakua niza madebe lidai,why?..wengi watataka kujifunza zaidi Kiswahili maana filamu zake zina mafunzo mengi sana na lugha sahihi ya Kiswahili..Hongera Madebe
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 года назад
point
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 года назад
Wanaume wanapenda sana vya kuonekana ndio maana wanawake wanajichubuwa na ku vaa vigodoro🥱🥱🥱 wanawake wanapenda sana vya kusikiya ndo maana wanaume wanadanganya sana
@ummulkheirally1841
@ummulkheirally1841 3 года назад
Haya maneno sio pouw
@lareineminah1353
@lareineminah1353 3 года назад
@@ummulkheirally1841 🤣🤣🤣🤣🤣
@Makavelithedon2086
@Makavelithedon2086 3 года назад
*Nani amegundua kama Madebe in Genius?*
@panchovalentino5922
@panchovalentino5922 3 года назад
Madebe Lidai fundiiiii 💯💯💯🔥🔥🔥👏👏👏👏
@ramazanzibar8264
@ramazanzibar8264 3 года назад
Wamaa khalaktal jinni wal insi ila liya'abudun
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 3 года назад
Madebe misemo mingi umeshindwa kumpa mzee ayah inayosema mungu kaumba watu na majini.
@mbondelotv8380
@mbondelotv8380 Год назад
Nakuelewa sana ingawa najitia nina madigrii ile wewe recturer wangu tena prof.
@abuibra
@abuibra 3 года назад
Mzembe we, neno (bin)neno la Kiarabu hutumika kwa mwanaume na neno (bint)pia la Kiarabu hutumika kwa mwanamke.watu ni sote wanawake na wanaume, Bin'adamu hutumika kwa lugha ya Kiswahili ni kizazi cha Adamu kwahio ina husu pande zote mbili Adamu hakuzaa alio zaa ni Hawa. Na Hawa hakuzaliwa na Adamu ila kaumbwa kutokana na ubavu wa Adamu.
@aguerowakujidai6509
@aguerowakujidai6509 3 года назад
From Congo Brazzaville watching now
@abdallahyussuph2101
@abdallahyussuph2101 3 года назад
Huyu madebe kiboko sio powa kwa uswahili hakuna anaempenda
@abdallahyussuph2101
@abdallahyussuph2101 3 года назад
Mpata
@TALLUBOY
@TALLUBOY 3 года назад
Madebe kaka leo Nimekukubal stokuw Na upishi teeeeeeeeeena Kuanzia leo nakukubali Nimepata soma la mwenyez Mungu kuwa aliumba watu Na majina Wanaume wooote ni Watu Wanawake ndiyo Binaadam ukoo wa wanawake Ni bin Aadam nandiyo tuliwazaa Sisi watu! UWEZ kunielewa kama Aujamskiliza madebe
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 3 года назад
More love 4rm kenya likes za Madebe Lidai 🇰🇪
@ahmedmustapha977
@ahmedmustapha977 3 года назад
Jmn safar hii mond akupe gar ww sanya 😍unatish na pindi lako
@j.bjacobbasubi2187
@j.bjacobbasubi2187 3 года назад
Eti Mwana mume njo mutu mwana mke nivinadamu😃😀🇨🇩🇺🇬
@sakwamark5340
@sakwamark5340 3 года назад
Straight from 254 madebe anatisha...nasuburia "kufuru 4....
@reginaphilimon782
@reginaphilimon782 3 года назад
Hivi nikwel mmenima like leo😀😀
@dinotv1099
@dinotv1099 3 года назад
Ingezeeni dakika za kipindi maana izo nicace saana wanao kubali Ili gonga like
@j.bjacobbasubi2187
@j.bjacobbasubi2187 3 года назад
Paka ndani ya kipolo😀😃🇨🇩🇺🇬
@sakaraboy8951
@sakaraboy8951 3 года назад
The Best show..........Madebe
@justinekakobe7779
@justinekakobe7779 3 года назад
Ebhna...Mo.Town..🔥🔥 SANYA.nakubliii..Appriciet Nigga..MADEBE🔥🔥🔥
@kingfilamutv1838
@kingfilamutv1838 3 года назад
Niko na wasafi 📺 every time
@hurrypatrice510
@hurrypatrice510 2 года назад
I love you guys, big up.
@theluck9598
@theluck9598 3 года назад
Una ambiwa wanawake wanapend sana pesa kuliko tendo lakin chaajabu nachakuxhnga wanapata San mimba kuliko pesa paka inapelekea wan towa sana mimba kuliko sadaka yan madebe noma
@harunimfaume8692
@harunimfaume8692 3 года назад
Nakuelewa saana nabii kile kipengele cha kuimbaaa
@nyagameshuki219
@nyagameshuki219 3 года назад
Thanks for wasafi media I
@ndonetz6342
@ndonetz6342 3 года назад
akupe crown mondi
@threeboys3333
@threeboys3333 3 года назад
Daaaa mon town yahani fanya nyingine na Madebe lindai mahana hapo tumepata funzo tena
@malumejunior3674
@malumejunior3674 3 года назад
madebe ni fireee 🔥🔥🔥🔥
@rogersmasamalodavid8289
@rogersmasamalodavid8289 3 года назад
Madebe lidai namba 1 wengine msubiri
@hekimakuciga7512
@hekimakuciga7512 3 года назад
Noma kweli na uyo nabii mswahili naona atatupa kisomo!
@انبنداملبن
@انبنداملبن 3 года назад
Mashaallah wcb 4 life
@ulfatis-haq6009
@ulfatis-haq6009 3 года назад
Madebe you killing me
@realremih
@realremih 3 года назад
Madebe nampenda kishenzi
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 3 года назад
Hapo kwa mafunzo ya adam na mwanadamu mnakosea. Mungu kaumba Adam na sisi tulio tokana na Adam tunaitwa Bin Adam kwa lugha ya kiarabu na kwa lugha ya kiswahili Wana Adam
@raynaeafrica9464
@raynaeafrica9464 3 года назад
Madebe yuko sahihi😘 ila huyo mzee ni ustadh feki😏
@saidtembele3070
@saidtembele3070 3 года назад
Sure kanzu kubwa afu hajui kitu
@tonymufasa3324
@tonymufasa3324 3 года назад
Irudiweee madebe once again
@acraymsigwa5945
@acraymsigwa5945 3 года назад
Nakubali madebeeeee
@abuumasuudmuhammad5771
@abuumasuudmuhammad5771 3 года назад
Location bugurun sokon nilipita pale na daladala nikaona
@basilisamayyo9973
@basilisamayyo9973 3 года назад
Asantee kwa taarifa😂😂🙌🙌
@moussajoumer3337
@moussajoumer3337 3 года назад
Hapo Ni Gongolambotp Ndugu
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 3 года назад
Yaan tokea kianze hichi kipindi nimeikubali sana MKOJANI na MADEBE LIDAI
@japehtkakamba1726
@japehtkakamba1726 3 года назад
Mmh africa is watch du mkaliman wap ypo
@smartbee001
@smartbee001 3 года назад
Can you make it visible to download and watch later plz the show is lit yaani🔥🔥🔥🔥
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 3 года назад
Madebe lidai🔥🇩🇪
@تاتا-ن6ن
@تاتا-ن6ن 3 года назад
Penzi lako
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 3 года назад
@@تاتا-ن6ن una maana gn ??
@chybuwagwantaz8054
@chybuwagwantaz8054 3 года назад
Nabii mswahili
@joelbusinnerstvchannel9675
@joelbusinnerstvchannel9675 3 года назад
Kwa mala ya kwanza na kuwa wakwanza kuangalia #hivinikwel
@khalidbalala7753
@khalidbalala7753 3 года назад
Umesikia mwanaume ni mtu na mwanamke ni binadamu
@allysuleiman6022
@allysuleiman6022 3 года назад
Yote nimmoja hiyo but bin Adam nikiarabu na mtu nikiswahili chetu
@swalehemusakiluwa9405
@swalehemusakiluwa9405 3 года назад
@@allysuleiman6022 hapo umetuleta Bin adabu kiswahili chake ni binadamu yani mwana wa adabu Mtu kiarabu chake ni insaan
@hekimakuciga7512
@hekimakuciga7512 3 года назад
Aise mnatufurahisha kweli atareeh
@mr.chaula4943
@mr.chaula4943 3 года назад
THE number ONE hivi ni kweli
@ramadhanikasim7485
@ramadhanikasim7485 3 года назад
Nani aliona mzee wa kanzu anajilengesha lengesha aitwe
@rozeypwizzy6472
@rozeypwizzy6472 3 года назад
hhhhh ni mm yule
@khamiskamtoi5094
@khamiskamtoi5094 3 года назад
😂😂😂Cjui kaagizwa tambi
@seifabraham5836
@seifabraham5836 3 года назад
Mzeee muong sanaaaah
@johnsonkuli7975
@johnsonkuli7975 3 года назад
😀😀😀 Madebe ni fundi sanaaaaaa👊.
@jumaali9732
@jumaali9732 3 года назад
Njoo zanzibar
@tonyspencer1928
@tonyspencer1928 3 года назад
Madebe fundi Sana Bora irizi ipotee kuliko mganga kufa, paka ndani ya kipolo hahaa uongo unaharibu mahusiano Ila ukweli unamfanya umkose kabisa
@godfreyathumani9912
@godfreyathumani9912 3 года назад
😄km umesikia jamaa atatoa mbegu zake anavyo jua yeye gonga like
@dfinalpatrick8555
@dfinalpatrick8555 3 года назад
Uyu jamaa atakua ametokea mo-mosh town sanja juu
@siamejerry9239
@siamejerry9239 3 года назад
it's good to be with madebe
@ummymzee5159
@ummymzee5159 3 года назад
Nakupenda Madebe Lidai Jaman😂😅🤣
@billionnairm-pesa2314
@billionnairm-pesa2314 3 года назад
Ndo ya kwanza mie kupenda sna iyi
@ayubusanga2325
@ayubusanga2325 3 года назад
Madebe lidai
@malikzafarani172
@malikzafarani172 3 года назад
Chombo kwa hewa na sanya nembo ya mtaa 🇶🇦
@yusuphdeogratius1036
@yusuphdeogratius1036 3 года назад
Safi san kwa kuiweka mapema hii
@wanyooshetv9987
@wanyooshetv9987 3 года назад
KWENYE HILO DARAJA LA KUDANGANYA MWANAMKE HATA MIMI NIMEPITIA
@abdulabdallah947
@abdulabdallah947 3 года назад
𝙳𝚞𝚑 𝚐𝚘𝚗𝚐𝚊 𝚋𝚎𝚊𝚝 𝚜𝚒𝚘 𝚙𝚘𝚊 𝚒𝚟 𝚊𝚠𝚘 𝚞𝚗𝚊𝚠𝚊𝚝𝚘𝚊 𝚠𝚊𝚙😃😃😃😃
@africanhistoryforgotten7
@africanhistoryforgotten7 3 года назад
Dunia sio duara nimatcho yanaviona lakini dunia sio duara
@iamprincefelix
@iamprincefelix 3 года назад
Hivi ni kweli hichi ndo kipindi bora wasafi tv
@fatumamfaumeilawatafulia834
@fatumamfaumeilawatafulia834 3 года назад
🙌😂😂😂😂😂WABONGO MNIACHEE GONGA BT DUUU NOMA KUMBEE 🔥🔥👍
@johnsaimon2352
@johnsaimon2352 3 года назад
Kweli kabisa kwa Tanzania hajawai kutokea msanii wa movie mwenye uwezo mkubwa kama Madebe lidai
@munguanaishitv
@munguanaishitv 3 года назад
Hahhhh unaangaliaga movie?
@johnsaimon2352
@johnsaimon2352 3 года назад
@@munguanaishitv Sana lkn wengine hao umalekani unawapeleka ad wanaboa
@skofficial8549
@skofficial8549 3 года назад
Nakubar madebe kama ange kuwa mwandishi wanafunzi wengepata tabu xanaaaa
@yusrashabani2983
@yusrashabani2983 3 года назад
Hana pmzi lakini amefanikiwa anapesa 😂😂😂😂nimecheka sana peke Yangu
@ngaraboytz3023
@ngaraboytz3023 3 года назад
Bora ipotee ilizi kuliko kufa mganga 🤣😂🤣😂🤣😂
@duhrurhhddhheud8575
@duhrurhhddhheud8575 3 года назад
😆😅
@samyspesho1698
@samyspesho1698 3 года назад
HICHI KIPINDI KIKIWA NA MADA KAMA HZ KITAZIDI KUDAMSHI
@bataboytzamiri3629
@bataboytzamiri3629 3 года назад
Leo madebe kayakanyaga huuu mzeee hatali
@billionnairm-pesa2314
@billionnairm-pesa2314 3 года назад
Nako congo
@lilsixty8859
@lilsixty8859 3 года назад
Jordan5 ya motoooooo
@DIRECTOR_JUNIPER
@DIRECTOR_JUNIPER 3 года назад
Mzee mwenye kanzu na kofia anazingua kweli😂😂
@mosucc1269
@mosucc1269 3 года назад
Mzee mtambo huyo hahahahaha
@yohanabmbughi9817
@yohanabmbughi9817 3 года назад
Madebe Safi sana
@ahmedmuarabo455
@ahmedmuarabo455 3 года назад
Madebe asalam alayko uko vizuri
@manchestercitybettartv5922
@manchestercitybettartv5922 3 года назад
Nimekuta vyuazi 921
@allyndingo1812
@allyndingo1812 3 года назад
Twende Kaz..!!
@alphaxardjubeckwa-ndahibha8725
@alphaxardjubeckwa-ndahibha8725 3 года назад
Pata piana hii
@mwigakatumpula9817
@mwigakatumpula9817 3 года назад
Mara paaah nabii mswahili apatikana kwa mzee mswahili 🤔🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
@venture5667
@venture5667 3 года назад
Mzee kagomaaa
@bekatv1009
@bekatv1009 3 года назад
Mzee mwenye kanzu amezurura...pale napafikaje mwisho kamua
@rehemaothman2200
@rehemaothman2200 3 года назад
😘🥰🥰🥰🥰😍
@masudijohn153
@masudijohn153 3 года назад
Madebe yupo sahii ila amekosea mwanamke nizambi yaani mwanamke alitoka ndani ya mwanahume ila mwanahume hajatoka ndani ya mwanamke
@yakoubwachafu4694
@yakoubwachafu4694 3 года назад
Dah elimu inahitajika hapa dah tz bhana
@تاتا-ن6ن
@تاتا-ن6ن 3 года назад
Madebe lidai Penzi lako 😁😁😁🙌🙌
@ticogeniux6133
@ticogeniux6133 3 года назад
Ha ha ha mo town hii tixha sanaaaaaaa
@hamishalidy9090
@hamishalidy9090 3 года назад
Kama umemuona huyo mzee mwenye Kaz weka like
@hechaaclassic
@hechaaclassic 3 года назад
Exclusively💥🔥
@mwikaloabubakar2831
@mwikaloabubakar2831 3 года назад
Oya Mo town njoo Dom upige kipindi bhana wasafi ni ya wote
@fistonntakarutimana5387
@fistonntakarutimana5387 3 года назад
🙏🙏🇧🇮🇧🇮
@franknurudin5959
@franknurudin5959 3 года назад
Mzee anajipitsha tu
@farajatarimo998
@farajatarimo998 3 года назад
Sema wana mnatoaa maboko sanaaa
@bataboytzamiri3629
@bataboytzamiri3629 3 года назад
Tutumie link
@thomasdiamosbob3965
@thomasdiamosbob3965 3 года назад
Good
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 3 года назад
Mkuu
Далее
无意间发现了老公的小金库 #一键入戏
00:20
MKINDA episode 1-Starring MADEBE LIDAI
21:20
Просмотров 206 тыс.
NILICHORA TATOO YA MWANAMKE, AKANIACHA, MC ELIUD
6:20
Просмотров 439 тыс.
HAKI YA MUNGU 01
37:10
Просмотров 47 тыс.
MPOKI / BROTHER KEY_ MGANGA KAYAKANYAGA
38:00
Просмотров 18 тыс.
无意间发现了老公的小金库 #一键入戏
00:20