Тёмный

MADELEKA AKIWASHA- HATUHITAJI RAIS MWENYE RUNDO LA MA PHD YASIYOWEZA KUTUSAIDIA KAMA WANANCHI! 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 162 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

8 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Месяц назад
Hongela ndugai Madeleka 100% kwako
@stephenletta8985
@stephenletta8985 Месяц назад
Kwani sisi tulimkosea nini Mungu mpaka akili zetu zinakosa akili kwa kiwango hiki?
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 21 день назад
Machawa mpaka mahakami. Tumekwisha Eee Mungu wa huruma tusaidie baba
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo Месяц назад
Alisema Ndugai
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu Месяц назад
Alisema inchi inauzwa na imeuzwa Kwa mwarabu kweli
@reginas1832
@reginas1832 Месяц назад
Hapa ni kama tunampigia mbuzi gitaaa mziki hausikii. Dawa ni kuungana na kuingia barabarani kuitoa hii serikali dhalimu. Hizo PhD zinatia kinyaaa
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Месяц назад
Madereka you deserve, your clarification enlightes the horizon of our thinking to all instruments of the government.
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 Месяц назад
Naomba kipindi nchi inauzwa niwe nimepumzika kwa amani.
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 Месяц назад
Mungu akuinulie nuru ya uso wake.Akubaliki sana.
@IbrahimKasambala-ts8re
@IbrahimKasambala-ts8re Месяц назад
Watanganyika tunapigwa kisayansi na wazanzibari tutafilisiwa kill kitu viongozi hawa wameamua kutuuza hasa tanganyika inauzwa zanziba wanastawi ndugai mliimbeza alipoema ukweli
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j Месяц назад
Stand up with justice being witnesses for God. And then even if it against your own people. (Quran 4:135)
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Месяц назад
Kwani ziara za makonda si niwazi zilionyesha tuna mahakama za namna Gani mi nawaombea watu wa Tanzania waamke vinginevyo itakuwa shida sana coz watanzania wako tayari kuuza utu wao Kwa kupewa chochote kile ambacho hakiwezi msaidia mtu hata ndani ya week mbili kutatuwa shida zake afu miaka mitano anaishi Kwa shida.
@JoshuakaruJoshu-pk3es
@JoshuakaruJoshu-pk3es Месяц назад
Tuamke watanzania kamawakenya
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
We told you people no palament only ccm protocol committee run national that why what call mp always follow lnstruction from gavment what to do where the cabinet of minister ccm protocol committee
@prochesytesha8040
@prochesytesha8040 Месяц назад
Mkuu pmj
@samuelshunashu7705
@samuelshunashu7705 Месяц назад
Watu Kama Hawa wenye akili wapo CHADEMA tu huwa wanaongea kwa uchungu kwa ajili ya masilahi ya inchi
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Месяц назад
VIVA KOMREDI MADELEKA....NGUVU YA UMMA ITAWANG'OA VIONGOZI WOTE MAFISADI MNAOUZA RASILIMALI ZA NCHI YETU.
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Месяц назад
Viongozi wetu tuwe makini Kenya Zambia na leo South Africa
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 Месяц назад
Machawa ndio tatizo, wapo pale kwa maslahi yao, hakuna mzalendo hata mmoja pole
@ChristerKoku
@ChristerKoku Месяц назад
Maslai ya nchi yanatakiwa kutetewa na kila mtanzania wapenda haki.
@MlelwaErasmo
@MlelwaErasmo Месяц назад
Kaka. Upo vzulisana 0:36
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Месяц назад
We jamaa unaakili kubwa nchi inachakazwa vibaya tunashangilia nakupongeza a kwa ujinga
@PaskaliCharles-pz8ds
@PaskaliCharles-pz8ds Месяц назад
Watanzania wangapi wanastahili kupewa nafasi hiyo mpaka anapewa marehemu je vipi kwa wageni kupewa teuzi mbali mbali ndani ya nchi yetu watanzania tutaamka lini kuipigania nchi yetu
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u Месяц назад
HIZO PHD ZINGINE NI 'RUSHWA'....'HONGO'....'DHARAU'....AKINA MWALIMU NYERERE, KAUNDA, OBOTE, SAMORA, MANDELA, NKURUMAH, SEKOU TURE NA MARAIS WENGINE WENGI WALIZIKATAA....!
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Месяц назад
Kila kuitwapo Leo ni mikopo jaman
@daudisalum9574
@daudisalum9574 Месяц назад
Wakili msomi Maderaka namkubali sana
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Месяц назад
Hawa watu wa magharibi wametumaliza kabisa kupitia viongozi wetu....
@djumakadege659
@djumakadege659 Месяц назад
Mheshimiwa wakili msomi tafadhali ninakuomba pia uhoji mkataba wa milele kati ya dini yako na chama cha mapinduzi. tafadhali sana hoji huo mkataba ndipo watu wa dini nyingine waweze kuwaamini kama nyinyi ni watetezi wa rasilimali za nchi. Aksante.
@tumainielimwakiyambe6801
@tumainielimwakiyambe6801 Месяц назад
Duh kweli ww zwazwa
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 Месяц назад
Nyerere alizikataa degree za namna hiyo.
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Месяц назад
Watanganyika tuamke tunawajengea kitu gani watoto zetu na wajukuu zetu tunangalia tu watu wachache kikundi Cha wahuni wachache wanamua kuuza urithi wetu tuliyo pewa na mungu tuko kimya some time tunawashambulia hata wale wanao tetea tusiwe vichwa vya puuzi tukataye ongera wakili msomi peter Kwa elimu hii
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu Месяц назад
Selekari inakopa bila akili
@victorkisenha5933
@victorkisenha5933 Месяц назад
Madeleka 103%
@FrankasamisyeMwaiswasu
@FrankasamisyeMwaiswasu Месяц назад
Upigaji huo
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Месяц назад
Wana msifia Kwa sababu magufuli alifunga koki ya wizi wa fedha za serikali aliyepo amefungua koki wanachota sisi wanainchi ndio tuko kama punda tumebeba magunia ya misumari au tozo awamu hii wajipange kutuua vinginevyo nishida
@wanguwangu34
@wanguwangu34 Месяц назад
Maderaka nikupe tawrifa kuwa TANZANIA hakuna bunge bali tuna kundi la wahuni wanaojiita wabunge maana hawahoji Chochote kinachofanywa na serikali.
@leobalige7069
@leobalige7069 Месяц назад
Watendaji wote wa serikali ndugu yangu si waaminifu. Waambie hawa watu.
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 Месяц назад
Ni kweli. Huku Arusha hilo limethibitika pasi na shaka. Sijui mikoa mingine kukoje huko.Labda mkuu wetu wa mkoa apelekwe mikoa yote akayaibue nako huko. Mungu atudaidie.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Месяц назад
Mimi nakataa katakata rais hateuwi ila wanamusaidia kuteuwa .huyu marehemu nani aliye mteuwa awajibike Ndiyo tunaona taifa halina watu makini na kazi
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo Месяц назад
Ambae hajakuelewa kwa hili bas huyo nisikio la kufa
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 Месяц назад
Ukweli wa mungu viongozi wengi wafrika wamejaa sifa huku wazungu wakiingia mikataba ya kuiba madini wao PhD za kijinga na hewa pumbavu kabisa
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza Месяц назад
Tungekuwa na majaji angalawo ,50.tanzania taifa hili ccm mungeongoza milele. tuna majaji wa kusifia yupo jaji tanzania ambaye akiendesha kesi wanaweza wakaweka mfano kuwa jaji x aliendesha kesi fulani inayo fanana hii dunia ikasoma sisi ni wamadarasa 7. Tunafika hatua ya kudharau majaji.si mnachama chenu anaye kosea mtimuweni anawaibisha mkikaa totoro mnawekwa kundi moja.
Далее
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
СМОТРИМ YOUTUBE В МАЙНКРАФТЕ
00:34
Просмотров 1,4 млн
Sikiliza! Mtaalam aongelea mkataba wa bandari!
27:08
Просмотров 2,6 тыс.
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18