Тёмный

Madrasatul Aly-Badawy Masange kondoa swalatu Alannab na mlango wa kwanza 2017 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 434 тыс.
Просмотров 154 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 175   
@ramadhanimam6323
@ramadhanimam6323 5 лет назад
tuseme yote lkn msomaji mlango wakwanza nishida yaani big up kwake saut anayo namwalim nampongeza yaani mashaallah mashaallah
@OmanOman-wm5mv
@OmanOman-wm5mv 5 лет назад
jamn warangi tujuane ...gonga like hapa chini
@zainabally1681
@zainabally1681 4 года назад
Masange kwetu ,tunakuombea Dua shekhe ramadhan sungu Mungu akujaalie afya njema na uhai mrefu kk yng
@hamastien5439
@hamastien5439 5 лет назад
Mungu akujaz kilalagher shekh sungu uendelee kuitangaz din yetu barakallah fiq kondoa moja hiyo warang mko vizur asee mashaallah najivunia kuw muislam nidin yenye maadil mema nandodin yakweel
@mohamedjuma3748
@mohamedjuma3748 4 года назад
Pamoja Sana Niko handeni Tanga warangi tuko vizur kutwalii Quran
@charlesnabiswa6843
@charlesnabiswa6843 6 лет назад
Mashaalaah mungu akuongoze shekhe Sungu popote pale ulipo
@adnanisally5550
@adnanisally5550 5 лет назад
mungu awa lipe kheri kwa kukaa kumkumbuka mtukufu mtume s a w اللهم صل على محمد وآل محمد iko vizuri sana tu mulungu ava linde voosi inshaallah
@YhujfjuFgfj
@YhujfjuFgfj 5 лет назад
I LOVE YOU KONDOA PENDA SANA KWETU
@surusuru1994
@surusuru1994 3 месяца назад
Mash Allah kondoa hatuna baya tume timia 😘😘🤲
@al-bsaidykhalef6897
@al-bsaidykhalef6897 5 лет назад
Watoto wa kirangi mupo vizuri kama watoto wa kindonesia nawapenda sana
@jamilaiddy3478
@jamilaiddy3478 4 года назад
2019 Kondoa tupo vizur
@busnaoman9981
@busnaoman9981 4 года назад
🙏💪naaam
@asiahabib9607
@asiahabib9607 6 лет назад
Maa shaa Allah chezea nyumbani
@hujaj
@hujaj 5 лет назад
mashaallah, Allah ikuze madrasa ya aly-badawi
@aisha1332
@aisha1332 7 лет назад
mashaallah home masange kwa shekhe sungu nimepamisi san
@lavieestbelle3263
@lavieestbelle3263 5 лет назад
Haka valangi va boha sana jamani.....haha rekamasari ya ajab vika like hapa
@queen-yx8uo
@queen-yx8uo 4 года назад
Umwanyiree🤣🤣
@husnasalumu6829
@husnasalumu6829 4 года назад
Mashallah mungu awaongoze ktk mema
@mremmrem6754
@mremmrem6754 6 лет назад
Mashalla mashaĺla alla ibariki kondoa yetu
@seifjuma3471
@seifjuma3471 4 года назад
Aamina
@YhujfjuFgfj
@YhujfjuFgfj 5 лет назад
Achen kubeza watu hahaha kondoa is one gonga duf ipasavyo
@yassiniabbassi6674
@yassiniabbassi6674 5 лет назад
Maashaallah dufu za laiv na saut zake
@malususiri20amalnikotayar33
@malususiri20amalnikotayar33 5 лет назад
Nimekumbuka mbali sana
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 6 лет назад
Hongereni Dada endeleeni kumsifu Mtume saw. Msivunjwe nguvu na Mawahabi wanapinga kusifiwa mtume Eti bidaa kasomeni acheni ushabiki wakijinga
@habibunassor7161
@habibunassor7161 5 лет назад
SHEHE. NYUNDO.
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 5 лет назад
Kumsifu mtume Kwa ngoma!! Bid'aa hii, we ndie urudi kusoma sio kufata upepo
@hawahuseni3772
@hawahuseni3772 4 года назад
Ustadhi wet mola amlinde na maadui wabaya
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 6 лет назад
Shekh sung allh akuadalie makazi mem kesho akhera
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Lela Al Lububa Amiina nyingi kwa Shekhe Sungu
@jamilakhalifa2692
@jamilakhalifa2692 7 лет назад
jamani mwakummbushire kwaliha jamani reki vii✌✌
@marickmgasa9540
@marickmgasa9540 7 лет назад
Allah atujaalie kondoa yetu. kayi mpaka raha
@latifakhamis2983
@latifakhamis2983 4 года назад
mashallah swala ya mtume nzuru
@safinasafina9835
@safinasafina9835 4 года назад
I love kondoa kwetu
@hadijamsala2537
@hadijamsala2537 5 лет назад
Masha Allah baarakallah fyikum
@yaziduiddi481
@yaziduiddi481 6 лет назад
Asallam alaykum warahamatullah wabarakatu nawauliza mnao pinga maulid mtu akisema Allah maswali wassalim ghabarik ghalih anapata dhambi au
@marymabubakary1561
@marymabubakary1561 5 лет назад
kumsifu mtume wetu kipenzi chetu ni bid'aa acheni hizo toeni ufafanuzi mtujuze mmamuma tupo wengi
@msafiriduwiya7765
@msafiriduwiya7765 5 лет назад
MUISLAM kupiga ngoma ndo kwenye shida kumswalia mtume Muhammad saw tunajua NI agizo la KILA MUISLAM
@hawahuseni3772
@hawahuseni3772 4 года назад
Jamani nimeipenda Sana mm mama Aisha obiro nipo zenji
@mwasitsaid7644
@mwasitsaid7644 6 лет назад
mashaa Allah allah azidi kuwaongoza
@aalh1030
@aalh1030 3 года назад
MashaAllah kondoa tupo juu
@naifatally8034
@naifatally8034 6 лет назад
mashaallh kondoa yetu sote
@ibuibuka4486
@ibuibuka4486 4 года назад
mamb
@ibuibuka4486
@ibuibuka4486 4 года назад
vp
@ibuibuka4486
@ibuibuka4486 4 года назад
mambo
@habibuzuberi8256
@habibuzuberi8256 7 лет назад
jaman kondoa mashaallah m/ mungu azidi kuwapa nguvu
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 5 лет назад
Waombee nguvu za kutoka na kuacha katika hiyo bid'aa, usiwaombee nguvu ya kuimarisha Bid'aa
@busnaoman9981
@busnaoman9981 4 года назад
@@husseinahmed5216 mh kumswalia mtume nibidaa umesom wap
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 4 года назад
@@busnaoman9981 hapo wanaimba yimbo hakuna kumsalia mtume, mtume anasaliwa kwa ngoma??
@Zubaiba
@Zubaiba 3 месяца назад
Mashaallah kwetu kondoa
@munguaibarikitanzanianawat9254
Mashallah mis u masange kwetu
@aleezaaleeza720
@aleezaaleeza720 6 лет назад
Nimepamic sana yani,from Dubai
@official_marshmallow8394
@official_marshmallow8394 4 года назад
Assalam aleikum sheikh m pia ningependa kujiunga na madrassa hii ila niko Kenya
@SabrinaRamadhan-eq1dd
@SabrinaRamadhan-eq1dd Год назад
Masha Allah
@lelaallububa5739
@lelaallububa5739 5 лет назад
Mashaalh masange
@suleimanabdull9069
@suleimanabdull9069 4 года назад
Mashallah
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 7 лет назад
Bidaa zote ni mbaya japokuwa watu wataziona kuwa ni nzuri.
@habibumwinjuma3881
@habibumwinjuma3881 5 лет назад
Abu utheymiin elimu yakoni.ndogo.kama.hujui BM mailidi
@ashurayusuph7482
@ashurayusuph7482 2 года назад
Masha Allah kondoa
@abdushabani3718
@abdushabani3718 5 лет назад
raha sana ndugu yangu
@dr.jjmwaka2596
@dr.jjmwaka2596 4 месяца назад
Mashaallha
@nadhifajuma6485
@nadhifajuma6485 5 лет назад
Mashallah kondoa yetu
@radhiambwana8787
@radhiambwana8787 4 года назад
Mabinti wazr mashaa Allah
@saumuhamadi6886
@saumuhamadi6886 6 лет назад
Maashaallah
@saoudasalumu8036
@saoudasalumu8036 2 года назад
Ashallah Alhamdulillah
@aishaomari1881
@aishaomari1881 6 лет назад
Mashallah umu wetu
@Maginatv
@Maginatv 5 лет назад
Raha sana vandu vane
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 7 лет назад
Hakuna uchamungu kwenye uzushi kwani uzushi ni kinyume cha Sunnah, Allah awaongoze hao watu wa kuondoa kwani hawajui wanachokifanya huku wakitarajia malipo mama.
@khameesjumbe1242
@khameesjumbe1242 6 лет назад
Abu utheymiin usiongee na wewe kitu ambacho hukijui hayo maneno umefundishwa na shekhe gan
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 5 лет назад
Bid'aa hii, mwenyezi mungu atuongoze sote in shaa Allah
@khadijasaidi1332
@khadijasaidi1332 5 лет назад
embu waislamu tusijitie ujuaji wamekosea sema ki aya za quran rekebisha sio kujitia ujuaji jamn
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 5 лет назад
@@khadijasaidi1332 mwenye kujua ndie hukujulisha hivyo" sasa mjuaji asikujuze tena!! Utajuzwa na wasiojua iwe balaa zaidi. Hivyo wacha ujuzwe na wajuaji
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 5 лет назад
@@khameesjumbe1242 sio maneno ya shekhe hayo" Bali ni Aya za Quran na Hadith juu ya hayo wayafanyayo hao watu wa bid'aa
@saharahaliki4703
@saharahaliki4703 7 лет назад
mashaallah jaman kondoa mito nimepamiss
@rahmayahya6284
@rahmayahya6284 6 лет назад
Mashaallah Kondoa yetu sote
@yusuphtwaha8386
@yusuphtwaha8386 5 лет назад
Masshaaaaaaalah
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 лет назад
Kondoa mashaallah msiwabeze kwani wanafundishwa na mashekhe
@saidij4286
@saidij4286 6 лет назад
Bidaa
@lalitpramanik712
@lalitpramanik712 6 лет назад
Said Said j
@aishaomari1881
@aishaomari1881 6 лет назад
Mlango WA kwanza
@sarahmvungi7047
@sarahmvungi7047 7 лет назад
Mashaallah.
@kamoteismailkamote1674
@kamoteismailkamote1674 7 лет назад
Asallaam alykum warahmatullah wabarakatuh. Huu siyo uchamungu huu ni uzushi bidaa. Fuateni quraan na sunnah. Mnapoteza muda wenu kwa kuhifadhi kaswida. Na msisahau sauti ya mwamamke ni uchiii. Nimesema haya kwa kuwatakieni kheir. Zindukeni.
@أمفوزانالسلفيهفوزان
Waalaikum Salam warahmatullah wabarakatuh Upo sahihi Akhy umefikisha
@maryamabdallah8591
@maryamabdallah8591 6 лет назад
Kweli mja
@uledimtumwa3045
@uledimtumwa3045 6 лет назад
Tatizo wasomi wa dini mmekaa mijini kutoa fatwa, njooni vijijini muanzishe Madrasa.
@nurdinchelsea3297
@nurdinchelsea3297 6 лет назад
Kamote Ismail Kamote ...hii dini akhui haiend kwa fikra na akili zamtu...Bali kwa kur'an na sunna..hebu wape ushahd wahayo uyasemayo ili nawao wapate faida...sio kukurupuka tu nakutoa fyatua.. Mana kuna fatua na fyatua..sasa yako fyatua mana haina ushahd..mungu pekee ndio ajuae kama wanapoteza au la
@hashimumoshi7179
@hashimumoshi7179 6 лет назад
Kimechozuliwa hapo nikitugani?
@ummuhudhaifashani6959
@ummuhudhaifashani6959 6 лет назад
Hayo mmeyapata wapi?
@hamastien5439
@hamastien5439 5 лет назад
Jaman kaswid sio bidaa bn mbon mtume wet aliimbiw nasis tunamfuat mutume bwan acha uzush bwan ayisee mwakumbushir kwalih san ayii nibor wimbe kaswid kuliko mzik au bak jol vanduu van nokweri ayi
@bakariyusufu2014
@bakariyusufu2014 5 лет назад
Kwawanawake sio uzushi zipo dalili kibao uzushi ni kwa wanaume hakuna mwanaume aliepiga dufu wakati wa mtume
@saidseleman6004
@saidseleman6004 5 лет назад
Nakodoa macho Kwa uzuri muliojaliwa jamaniiiiiiiii sipati hata Hugo wa pembeni
@ZumairaHasani
@ZumairaHasani Год назад
Najivunia cana kuwa mrangi nawapena cana hatuna baya kwenye nebo lamungu
@ZumairaHasani
@ZumairaHasani Год назад
❤❤❤❤pamoja cn mung u atuzidishie zaid nazaid ktk kumujua mung
@Nasma2006
@Nasma2006 9 месяцев назад
❤❤❤
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад
warangi wenzangu kwa maulidi wao ubwabwa hufidh Qur'an zama za maulid zishapita
@buibui7990
@buibui7990 6 лет назад
huomziki.mmeamua.kuingia.stodio.mola.wetu.mlez.apushe.kizazi.kijacho.kisifute.nyayo.hizo.nakibaya.zaidi.mmzianika.nyuso.zenu.
@aishaomari1881
@aishaomari1881 6 лет назад
Kweli kabisa tungehifadhishwa Quran sasa tupo mbalisana Hata kidunia
@hasanalihasani3236
@hasanalihasani3236 5 лет назад
Tumebaki na madufu na kuwaanika mabinti mitandaoni nakuona hii ndo dini Allah awaongoze
@madinakheri487
@madinakheri487 4 года назад
Kwanini mnapenda kutanguliza maneno makali? Kwanini usimlinganie mwenzako wa maneno yakueleweka kuliko mnavyofanya hivi? Hata uislam umetuamrisha hivyo naomba tueleweshane kwa maneno mazuri ili ueleleweke sio kutengeneza chuki, Allah atuongoze kwenye kheir inshaallah
@nyatya199
@nyatya199 4 года назад
Hapo pamehifadhiwa kaswida mpaka basi ila Quran hmana hapo
@YS-qo6en
@YS-qo6en 7 лет назад
Napenda hivyo lakn mafunzo ya mtume hayako hivyo
@allyhassan6491
@allyhassan6491 5 лет назад
Mashaallaah
@ziadaalute6836
@ziadaalute6836 5 лет назад
Y S ,Yakojee mmezidi kupingana waislam ,kilakikifaywa na mwenzio kibaya ,sio hivyo,hajui ndomana hatuendelea
@seifjuma3471
@seifjuma3471 4 года назад
Ukijua kukosoa jua na kuelekeza 😏
@khadijahassan4162
@khadijahassan4162 6 лет назад
mpaka raha
@zuberiselemanimansey7230
@zuberiselemanimansey7230 7 лет назад
Molaa nijaliee nipate mkee mchamungu kama hawa
@amirmwinyi9006
@amirmwinyi9006 7 лет назад
Zuberi Selemani Mansey kuna watu hufanya vitu pasi na wahusika kujua kua wataekea youtube na kama wangejua wasingeweza kuenusha nikab zao
@jumannesadiki768
@jumannesadiki768 6 лет назад
Shekhe Zuberi ndg yangu ktk imani uchamubgu unaonekana ktk matendo ya kiimani, hii ni moja ya hatua kuangalia uchamungu kuna mambo mengi zaidi kuchunguza Ili kupata mke hslisi
@wazirihongo3761
@wazirihongo3761 6 лет назад
Zuberi Selemani Mansey pole dad
@fauziakassim323
@fauziakassim323 6 лет назад
Mungu akupe mke kama hawa wanaotoa sauti zao hadharani haifai awaongoze kwa kufata Quran inshallah
@rahmahassan9868
@rahmahassan9868 6 лет назад
Usjl ishaallah
@shaaallyi7100
@shaaallyi7100 6 лет назад
jaman nyumbn
@bintalhwamer5291
@bintalhwamer5291 6 лет назад
MashaAllah jadhaka Allah kheli
@aleezaaleeza720
@aleezaaleeza720 6 лет назад
Ww unaesema ni bidaa acha usiangalie wala usisikilize,tumuachie allah ndoanayejua nani anakosea naayepatia
@كلثوميوسف-ث2ل
@كلثوميوسف-ث2ل 5 лет назад
Kwani ubaya hapo uko wapi na wamejistiri kwanza wanawake ndo waloruhusiwa kupiga dufu
@yassiniabbassi6674
@yassiniabbassi6674 5 лет назад
Nasemaje kinachosomwa pale ni maneno ya Allah na ndio furaha yetu kutaja jina la mola wetu na mtume kwa furaha kwahyo Allahu yaalam bidaa au sio bidaa
@RekhaRekha-es8br
@RekhaRekha-es8br 5 лет назад
Lakini nani Ana haribu dini👎
@mudymrangi575
@mudymrangi575 7 лет назад
kondoa maka ndogo
@rahmam3564
@rahmam3564 7 лет назад
MMH.
@uledimtumwa3045
@uledimtumwa3045 6 лет назад
Bora hawa kuliko waimba bongofleva.
@husseinahmed5216
@husseinahmed5216 5 лет назад
Hakuna bora" zote ni dhambi
@msafiriduwiya7765
@msafiriduwiya7765 5 лет назад
Ila watafanana kwenye ngoma
@afyayakouchumiwako.7886
@afyayakouchumiwako.7886 3 года назад
Hakuna ubora njia moja...
@khadijazuberi8553
@khadijazuberi8553 6 лет назад
naomba whatsap 0743539032
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 7 лет назад
Malipo mema hayapatinkani isipokuwa kwa kufata Sunnah.
@omarmwarizo9678
@omarmwarizo9678 7 лет назад
acha husda wewe hovyoooo
@sarahmvungi7047
@sarahmvungi7047 7 лет назад
Wew kama ni muhabi nyamaza. Kama hupendi maulid vumilia. Wew fuga neve, kata suruali. Answari sugu nyie
@mahijakapingu395
@mahijakapingu395 6 лет назад
Maulidi cyo bidaa
@abdallahhemed3527
@abdallahhemed3527 6 лет назад
Hii Haifai mwanamke kutoa sauti
@hamastien5439
@hamastien5439 5 лет назад
@@abdallahhemed3527 kama haifai mwanamk kutoa saut tutasomaje kruan sasa
@wazirihongo3761
@wazirihongo3761 6 лет назад
upunz 2
@saidisaudiathumani6910
@saidisaudiathumani6910 6 лет назад
asanteni mausitadhati wakirangi
@المهلهلالحراصي
@المهلهلالحراصي 5 лет назад
Cyo upuuzi sema kondoa ilikuwa enzi hizo na cyo sasa kondoa wameiharb kizazi hiki japo hata mm ni mtu wa huko kondoa massange
@twarqmaridadi2343
@twarqmaridadi2343 3 года назад
Mpuuzi mama ako ambaye hamjui hata baba ako..
@jumakhamis226
@jumakhamis226 5 лет назад
maashaalla Allan
@ГулмахмадЮсупов
@ГулмахмадЮсупов 4 года назад
Mashallah
@jidalddl8787
@jidalddl8787 7 лет назад
masha Allaah
@shafiqkhalili9617
@shafiqkhalili9617 6 лет назад
Maashaallah
@mamaimrantimajuma8083
@mamaimrantimajuma8083 7 лет назад
mashaa,Allah
@kassimudaudi3517
@kassimudaudi3517 7 лет назад
we reka vi mwanawito.dini yiswi yaboha matuku
@mishmish8632
@mishmish8632 Год назад
Masha allah
@ramadhaniiddi9930
@ramadhaniiddi9930 2 года назад
Mashaallaah
@saadachara943
@saadachara943 6 лет назад
mashaaaallah
@zainabuabubakari1299
@zainabuabubakari1299 4 года назад
Maashaallaah
@hijrahalifa5923
@hijrahalifa5923 Год назад
Mashaallah
@ramadhaniissa4626
@ramadhaniissa4626 3 года назад
Masha Allah
@jidamadakwi7260
@jidamadakwi7260 6 лет назад
Mashaallah
@fatumahassan8212
@fatumahassan8212 3 года назад
Mashaallah
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 лет назад
Mashaallah
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 3 года назад
Mashaallah
@omarymuhibbu8016
@omarymuhibbu8016 6 лет назад
Mashaallah
@saumuseif9189
@saumuseif9189 4 года назад
Mashaallah
@zaituniyombe2213
@zaituniyombe2213 7 лет назад
mashaallah
@husnauthman7609
@husnauthman7609 7 лет назад
mashaallah
@habibuzuberi8256
@habibuzuberi8256 7 лет назад
mashaallah
@georgezanzibar5094
@georgezanzibar5094 4 года назад
#Mashallah Hongera xana# Safi
Далее
Paint Projects
00:17
Просмотров 2,8 млн
kondoa irangi
9:06
Просмотров 36 тыс.
Qasida za Kiswahili (1)
36:56
Просмотров 409 тыс.
HUSNA MASSANZA
9:48
Просмотров 69 тыс.