Aisee kanuni ya pili n nzuri anaaa pia ya kwanza n nzuri sana thank you my Mentor Mungu akutunze kwa ajili ya wengi ikiwemo kizazi changu chotee kuanzia watoto hadi vitukuu
Napokea ufunuo katika jina la yesu 🙌 ,be blessed Apostle mtalemwa bushiri you are really man of God 🙏🙏🙏 ,since nianze kusikiliza haya mafundisho najihisi kujengeka kiimani na kiroho 🙏🙏.
Thank you apostle, pray for me apostle I get a revelation for my business, my business isn't moving at all, I will apply your strategy..I'm moving to certain city, I will be risking and I will hide it I bet.. May your anointing work for me
Bwana Yesu Akufanya bora zaidi, aachilie Roho wa maarifa zaidi juu yako kwa ajili ya mwengi maana katika jamii Bwana Humwinua mmoja kwa ajili ya wengi. Sote hatutafana wewe, ila sote tunaweza kupokea ambacho Bwana amekipitisha kwako kama hivi hapa kwenye somo hili. Hakika biblia ni coded book. unless you have known the password, it will never be opened for you. Thank you Apostle Mutalemwa.