Тёмный
No video :(

Mafundisho kwa wanandoa na Fr Kamugisha: Usitawale mazungumzo/ Ampendaye mkewe hujipenda/ ''Ulimi'' 

Faustin Kamugisha
Подписаться 21 тыс.
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Ni sehemu ya mada kwa wanandoa kuhusu SIRI YA NDOA KATIKA FAMILIA. Ni mafundisho ambayo hutolewa kila juma katika Kanisa kuu la Bukoba Jimboni humo.
Katika mafundisho hayo Padre Dkt Kamugishaamewataka wanandoa kuishi kwa upendo, kuheshimiana na kukosoana kwa upendo na kusifiana inapobidi katika maisha ya kila siku.
#ShajaraFaraja

Опубликовано:

 

1 июн 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Год назад
Ubarikiwe sana amina.
@priscillarumisha7022
@priscillarumisha7022 2 года назад
fr kamugisha anatoa mafunzo mazuri pia inaelimisha jamii
@christianmwisongo7964
@christianmwisongo7964 2 года назад
Ubarikiwe fr Kamugisha waamini mbona kimya sana mchangamfu kidogo
@johndavid5131
@johndavid5131 3 года назад
Hongera father kwa mafundisho mazuri
@philipondovanga9584
@philipondovanga9584 9 месяцев назад
Amina father
@irakazaeriekim4753
@irakazaeriekim4753 2 года назад
Asante sana kamugisha musemo wawahaya nikama musemo wakirindi umugore nu mwami
@benjaminilukosi43
@benjaminilukosi43 Год назад
🙏🙏🙏
@petermichael-ob6ck
@petermichael-ob6ck Год назад
💥💥💥
@rwelamilaemmanuel-sv6bt
@rwelamilaemmanuel-sv6bt Год назад
Mungu ni njia ya uzima
@thadeiandrea877
@thadeiandrea877 2 года назад
Kwakweli father kamugisha ubalikiwe sana kwamafundisho
@abajenezasolange6811
@abajenezasolange6811 Год назад
Mungu wetu tunakushukuru sana.
@alexandergresmo2656
@alexandergresmo2656 Год назад
Mungu akubariki mch kwa mafundisho
@ngalawekikohingalawekikohi4768
@ngalawekikohingalawekikohi4768 2 года назад
safi sana
@yanickjanvier1639
@yanickjanvier1639 Год назад
Mungu ni mwema
@katembito3962
@katembito3962 3 года назад
Asante sana Fr.Mungu akuzidishie
@nguvumoja_1
@nguvumoja_1 3 года назад
Mungu ni Mwema nimejifunza mengi mie kijana ninae subili Ndoa...Mungu akubariki akulinde uzidi kuwachunga vyema kondoo wake🙏🙏🙏
@salvadorangelo753
@salvadorangelo753 10 месяцев назад
Wo.kmooo
@melaniaherman1568
@melaniaherman1568 2 года назад
Nakupenda Xana father kamgisha
@visentdaudi3289
@visentdaudi3289 3 года назад
Tumsifu Yesu kristo, father najifunza mengi sn kwako,
@johnmarcel325
@johnmarcel325 2 года назад
Sema baba
@dafrosachale4297
@dafrosachale4297 2 года назад
Asante baba nabarikiwasaana
@priscillarumisha7022
@priscillarumisha7022 2 года назад
🥰🥰😇😇
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Asante sana
@hilgathjoshua8804
@hilgathjoshua8804 3 года назад
AMINA
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Marafiki ndio shida hasa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Tutafungua siku moja usijali,siku wanaume wakileta hela yoote nyumbani tutafungua account ya Joint
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Huyo Baba Mtakatifu ni Mungu au ni Baba Paulo wa Pili??sijaelewa
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 года назад
Joint bank Account huku mwanaume anapeleka kwingine huko??
@elizabethmichael2536
@elizabethmichael2536 Год назад
Amina Father
@albertlasway4863
@albertlasway4863 2 года назад
Mungu ni mwema
@gee_gm
@gee_gm 3 года назад
🙏🙏🙏
Далее
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Gelik yoki Velik?
00:20
Просмотров 823 тыс.
REV. DR. ELIONA KIMARO: UTULIVU NA TABASAMU LA ESTA
13:26
TUKIO LA KUTISHA LINAKUJA-UMEJIANDAA?-PR. MMBAGA
59:24
Просмотров 138 тыс.
❌Разве такое возможно? #story
01:00