Тёмный

MAGARI MENGINE YARUHUSIWE KUTUMIA BARABARA ZA MWENDOKASI, BASHUNGWA ASEMA “FOLENI ZITAPUNGUA” 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 2,9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

22 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 44   
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Uwamuzi wa ovyo sana... Ni ujinga Sanaa.. Tulishasema mnapojenga BRT ongezeni lane za barabara ya kawaida ziwe tatu Kila upande... Hakutakuwa na aja ya BRT sasa... Bora kupanda daladala sasa... Mnaenda kusababisha foleni kwenye BRT... Akili ya ovyo..
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 17 часов назад
Tuweke nguvu kutengeneza barabara mh waziri ukiruhisu mwendo Kasi itumike ndivyo sivyo baada ya wew kuondoka atakayechukua kijiti yeye ataleta bajeti ya kuanzia kurepair izo barabara tutaendelea kurudi nyuma Ukweli foleni inaudhi na kipindi Cha mvua na joto ndo balaaa ila muiche iyo barabara mtanue na kuweka ringroad ili na mji uwe msafi
@jamesmayala5491
@jamesmayala5491 16 часов назад
umeongea point
@barakarobert1029
@barakarobert1029 17 часов назад
Ajari zitakuwa nyingi sna weee mwendo kasi hakuna hata bamsi yaaan watakuwa wanagongana kila cku waache hivyo hivyo tu mwendo kasi ipite mwendokas yenyewe
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Zijui kawaza Nini huyu Bashungwa... Kaanza kuchenka tena kwenye muda wa rush hour... Mambo ya ovyo
@iddikimia4951
@iddikimia4951 17 часов назад
Hayo mabasi yawe ya watu binafsi tu daradara vituo vitasumbua watashukia wapi na watapandia wapi watu watajaa sana pembeni zipite private tu
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Waziri kachemka kweli... Ndo shinda ya kutembea kwenye V8.
@DeliseMsambya
@DeliseMsambya 11 часов назад
Wanazingua sana, wanavyojenga mwendo kasi tulitakiwa tuwe na njia nne au nane kila upande sababu ili jiji linakuwa sana huwezi weka njia mbili kwa watumiaji wa kawaida lazima zitazidiwa tu, ili jiji barabara zinatakiwa zipanuliwe ziwe pana, lakin serikal hawafikilii miaka 10 mbele itakuaje! Wazo la waziri ni bovu na wakiruhusu hizo gar hawataweza kizicontrol kati ya mwendo kasi na zakawaida hata siku Moja, itakuwa ni mwendo wa vurugu, yaan tutaonekana ni wajinga sana
@Hasnspop
@Hasnspop 19 часов назад
Hapo safi
@zubeiramlanzi2480
@zubeiramlanzi2480 16 часов назад
Mbona tunazitumia sana tu
@FrankElias-u9i
@FrankElias-u9i 9 часов назад
Itasaidia sana asee mana muda mwingi njia mwendo kas peupe ila uku kwingine kumejaa sana
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y Час назад
Atakae gongwa ni shida yake😂😂😂
@yarmfayce167
@yarmfayce167 5 часов назад
Ili kutibu tatizo la foleni na msongamano linalozidi kukuwa Dar es Salaam, Ni muhimu Serikali ikaifungua ile miji mikubwa mingine kwa kuweka huko Vivutio Vikuu kama vya Dar au hata zaidi. Ikazitanue barabara za miji mingine na kuanzisha barabara za ndani nyingine mpya, na hasa hasa ile miji mikubwa a.k.a Majiji. Ikajenge huko katika hayo majiji madaraja, barabara za interchanges, flyovers na njia za ma-bus ya BRT. Bila kusahau kuweka vivutio mbali mbali kwa kuhamasisha uwekezaji kutoka ndani na nje wa Viwanda na biashara, Sanaa na Michezo n.k. katika miji hiyo pia.
@NANGUJIMAKAME
@NANGUJIMAKAME 18 часов назад
Nafikal zigekuwa nibaraba zakulipia ' kwamuda unalipa elf 10 kwa siku 5 za kazi kwenda nakurudi Jiji ligekisanya mapato mengi
@LuckymusyokiMueni
@LuckymusyokiMueni 2 часа назад
Ni ujinga tu ati kupunguza voleni na hayo mabasi yakija foleni itakuwa pale pele ,mbn hamuwezi kujenga Barabara pana shida yenu ni gani,
@lifeonearth94
@lifeonearth94 18 часов назад
Hayo magari yawe ya abilia tu
@Kabwela776
@Kabwela776 6 часов назад
Mawazo ya ovyo ya Ngozi nyeusi hajui athari la uamuzi wake hii tabia ukiwaruhusu wabongo hata mabasi yakija ya mwendokasi watu wataendelea kutumia
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv 12 часов назад
Dooooo maoni haya sio sahihi kabsaaaaaa
@twahahamidu6246
@twahahamidu6246 16 часов назад
Wahaya wanaakili za kuzaliwa
@AlliMohamed-q2y
@AlliMohamed-q2y Час назад
Magufuli kashasema ni barabara za mwendo kasi tu fala wewe😂
@jamesmayala5491
@jamesmayala5491 16 часов назад
huo ni mrad wa africa development bank
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 16 часов назад
😂wasiruhusiwe ajali zitakuwa nyingi mno
@QhaweTau
@QhaweTau 16 часов назад
ajali zitaongezeka
@damianmstambi848
@damianmstambi848 12 часов назад
Hiyo n matope kichwan mtu mjinga Sana huyu
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 18 часов назад
NI WAZO ZURI SEMA MAANA YA MWendo kasi itaondoka kwa sababu hata malori yatatumia barabara hiyo mwishowe unakuta gari limezimika na kuziba mwendokasi na kuzidi ongeza changamoto, ni bora mruhusu dala dala tu ndiyo zitumie hiyo barabara kama test hapo tutaweza punguza pollution na foleni mjini.
@Giddy-Official
@Giddy-Official 18 часов назад
HILI NDO WAZO ZURI KABISA 💯💯💯💯
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Umeongea point kubwa... Kidogo Bashungwa kachemka mkweli...Watu wanapiga makofi bila kutoa ushauli...
@francisgituti2494
@francisgituti2494 17 часов назад
Wazo jema hilo
@BenjaMushi
@BenjaMushi 17 часов назад
Hii ni vizuri ila magari ni mengi sana hiyo barabars nayo itajaa
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Ndo ujinga wao... Wanashindwa kuongezea lane 3 kwenye barabara ya BRT.
@Ziggzoldyk1
@Ziggzoldyk1 19 часов назад
Mtaongeza foleni tu
@elinamethod9298
@elinamethod9298 18 часов назад
kabisa
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 18 часов назад
Hapo ndipo huwa tunafeli Tanzania. Sasa hii maana yake nini? Badala ya kuongeza mabasi ili huduma ziwe nzuri na watu waache magari nje ya mji..wewe unahamasisha waanze kutumia hii barabara?
@andrewcharugamba7498
@andrewcharugamba7498 18 часов назад
Waziri chenga huyu
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Ni akili ya ovyo ya kiwango cha 5G kutoka Kwa waziri... Naona kachoka kufikili...
@charlesmtesigwa2923
@charlesmtesigwa2923 18 часов назад
Duh kawazaje ili kwamba ndio zitaondoa foleni
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Kawaza kijinga sana...Anaenda kusababisha foleni kwenye BRT... Mambo ya ovyo kweli...
@mohamedghasia95
@mohamedghasia95 18 часов назад
Mataifa yaliyoendelea yote hawajajenga kingo zakutenganisha barabara. Wameandika neno BUS tu. Driver akiona bus nyuma yake analipisha.
@benimlisa6056
@benimlisa6056 16 часов назад
Hacha uwongo wewe... Unalipisha vipi ukiwa kwenye foleni.... Hacheni ufala
@DeliseMsambya
@DeliseMsambya 12 часов назад
Huo ni upuuzi, kila siku watu wanasema barabara za pembeni wekeni njia tatu au nne kila upande, lakin nyiny bado mnaweka njia mbili kwenye Jiji ambalo linakua kwa kasi, kila kukicha watu wananunua magari, sijui viongozi wa juu wanafikirikia nin? Barabara ya kutoka airport kuja posta ni pana sana mngeweza kuweka hata njia nane, yaan nne kwenda nne kurudi kwa watumiaji wa kawaida, yaan mnachokifanya nyiny ni mnajenga vile vile kama zaman isipokiwa ni mnaongeza tu mwendo kasi kati, lakin hiz barabara hazitoboi hata miaka 5, zitazidiwa tu, mwisho wa siku itakuwa tunapanua barabara kila siku ujenzi auishi.
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 16 часов назад
Labda yawe ya abilia tu! Sio binafsi
Далее
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Просмотров 45 тыс.
Ребенок по калькуляции 😂
00:32
Просмотров 148 тыс.
These Are Too Smooth 😮‍💨
00:57
Просмотров 6 млн
The Iran-Iraq War, Mapped
21:02
Просмотров 2,9 млн