Kutoka moyoni kazi yako nzuri Mamangu wimbo umejaa upako wa Mungu nimeguswa sana wakati naona na kusikiliza Mungu azidi kukuinua kwa viwango vingine vya juu zaidi
Haleluyah Haleluyah Bwana Azidi kukutunza na kukutumia kama ampendavyo chombo chake mpakwa mafuta wake kazi nzuri Maaama uzidi barikiwa na Bwana ❤❤❤❤❤❤
Dada mimi kama sifati nyimbo za kwako ni kama mtu yule yuko kifungoni afu nakwadisiya dada pamoja na Mungu utashinda majaribu yote maishani mwako pamoja na jama zakwako bahada ya yote usirudi nyuma n'a nyimbo za kwako zinanifariji kabisa afu mwenyezi Mungu akulinde kabisa asante sana nashukuru kwa yote