Тёмный

Magoli | Ken Gold 1-3 Singida Black Stars | NBC Premier League 18/08/2024 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 113 тыс.
50% 1

Singida Black Stars wameuanza msimu wa #NBCPremierleague kwa ushindi wa ugenini, wakiichapa KenGold mabao 3-1 kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya.
Magoli ya Singida yametoka kwa Emanuel Kayekeh 41', Elvis Rupia 62' na Mohamed Damaro 81' huku bao la kufutia machozi likifungwa na Joshua Ibrahim 68'.

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 65   
@SiloohMilosevic
@SiloohMilosevic 26 дней назад
Hili goli la kwanza la mchezo ni bonge moja la ball BORA woow what goal fantastic🎉🎉🎉✨✨✨✨⚽
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 26 дней назад
Goli bora mnoo angefunga mtu wa yanga au simba wangeiimba miaka sita
@MichaelJoseph-uc4zk
@MichaelJoseph-uc4zk 26 дней назад
​@fahadf😂😂😂😂😂araj6474
@salimmalaka256
@salimmalaka256 26 дней назад
​@@fahadfaraj6474LABDA KWA YANGA SIO KWA SIMBA
@fidelismuna9484
@fidelismuna9484 26 дней назад
Singida wamebadilika sana
@saidhamza5318
@saidhamza5318 26 дней назад
karibu ligi kuu ken gold.😊
@mtonigamba8993
@mtonigamba8993 25 дней назад
Uyu commentator muongo saana Eti Kengold walipo funga anasema WANALEVEL SCOREBOARD wakat washakula ndiz 2😂
@daudamos3248
@daudamos3248 25 дней назад
Nikajua nimeskia mm tu🤣🤣
@Raymondi23
@Raymondi23 25 дней назад
@@daudamos3248😂
@Raymondi23
@Raymondi23 25 дней назад
Bora umecoment wewe Mimi mvivu siku hizi
@dangofisoftwares
@dangofisoftwares 26 дней назад
speed ndo inawacost kengold, ni team nzuri tho
@abubakarnabahani4994
@abubakarnabahani4994 26 дней назад
Ligi mwaka huu ya moto sana itakua na ushindani mkubwa
@paulmoshi
@paulmoshi 12 дней назад
Kama umesikia wamelevel score board like hapa
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 26 дней назад
Hii singida ndie Ile ihefu fc au vipi anaefaham anijuze please
@magrethmalobola5470
@magrethmalobola5470 26 дней назад
Ndo yenyewe
@emmanuelmwendo2073
@emmanuelmwendo2073 26 дней назад
Sawa kabisa
@frankhillary3372
@frankhillary3372 26 дней назад
Ndio.ihefu imeshafutwa sababu ilikuwa inawafunga Yanga
@alexselias9420
@alexselias9420 25 дней назад
Ndo ilikuwa ihefu
@adamunyamitwe-e5m
@adamunyamitwe-e5m 19 дней назад
Ndiyo
@EliasMambya
@EliasMambya 26 дней назад
Jaman Hawa ni walefu sana mabao ya vichwa tu😮😮😮😮
@Mudathir-tx1md
@Mudathir-tx1md 26 дней назад
Walikuw na maneno sana hawa
@chondecannibal6108
@chondecannibal6108 25 дней назад
Huyu mtangazaji vp eti wanalevo scoreboard wakati 1-2 au sijamuelewa
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 25 дней назад
Unajua maana ya kulevel scoreboard we mtangazaji ?
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 24 дня назад
We hujui kama hao ni ihefu😅😂😂
@haidhabushiri9558
@haidhabushiri9558 3 часа назад
Hawa black star wanatafuta 3 bora
@user-jy1wm8do8w
@user-jy1wm8do8w 26 дней назад
Hawa msimu huu wapo vzr sio wakubeza
@user-qv8sv6hv7m
@user-qv8sv6hv7m 25 дней назад
simba haaichi point hata moja
@bantujunior9549
@bantujunior9549 26 дней назад
Nasubiri game ya makolo singida black stars nione vile kocha wa black stars atawabania
@FrankKajwaula
@FrankKajwaula 26 дней назад
SINGIDA WATAPIGWA KAMA NGOMA
@gulamomar6394
@gulamomar6394 26 дней назад
Pole sana dada utopolo 🤣
@GODFREYMBOGE
@GODFREYMBOGE 26 дней назад
Watakula goli za kutosha Ila Utopolo sasa safari hii kazi unayo
@Mentorship_clips
@Mentorship_clips 26 дней назад
We sijui kichaa chako kitapona lini!!
@user-mx2vm7lc4s
@user-mx2vm7lc4s 26 дней назад
Unawawaza sanaaa simba eee 😂😂 utachina safari hii 😅😅
@fidelismuna9484
@fidelismuna9484 26 дней назад
❤❤❤
@mussandikumana3561
@mussandikumana3561 24 дня назад
Mashabiki wako wapi
@MomadeMudimoz70-cs2ud
@MomadeMudimoz70-cs2ud 26 дней назад
🔥🔥🔥🔥
@emmanuelmashauri1430
@emmanuelmashauri1430 26 дней назад
Mpk shv kuna timu haziandik majina ktk jezi zao wanatuabisha ujue azam shv anaupeleka mbali mpira wetu timu zngn zijitathimin bwana kha
@livinjbenon8026
@livinjbenon8026 25 дней назад
Commenter eti wame level scor body😂😂
@ibrahimmaduka9804
@ibrahimmaduka9804 15 дней назад
Yaani anadanganya mchana kweupe😂
@ObedMwankina
@ObedMwankina 26 дней назад
Wame Level scoreboard
@abduymbonde6206
@abduymbonde6206 26 дней назад
😂
@adoniahosea2203
@adoniahosea2203 26 дней назад
😅😅😅😅
@JohnErnest-o8b
@JohnErnest-o8b 26 дней назад
Aliekwambia hii tim inatuzuia nani hakuna tm ya kutuzuia msimu huu sio hao hata nyie gongo waz hamwez kutuzuia
@Abuu-gs1yi
@Abuu-gs1yi 25 дней назад
Ukiwa peke yako unaongea ukweli
@KarokiaNdirango-lj3wf
@KarokiaNdirango-lj3wf 25 дней назад
Hata nyie madunduka mtatoa tu hizo point 3
@emmanuelmlyuka5321
@emmanuelmlyuka5321 25 дней назад
We hujiuliz nan kafungwa na huyo kamaso ww
@amirihassan5753
@amirihassan5753 26 дней назад
Wanalevel score board wakati 1-2 hakikishen watangazaj wanakula kabisa mech za saa nane😂😂😂
@saidmasengo7988
@saidmasengo7988 25 дней назад
😂😂😂😂😂msamehe sanaa
@mtonigamba8993
@mtonigamba8993 25 дней назад
Io goli lakwanza likamdatisha mpaka Kipa anakimbiakimbia kuenda wap sasa 😂
@jesuslivesministry9352
@jesuslivesministry9352 26 дней назад
Hawa Singida hawatasumbua Simba hata kidogo
@JohnsonKizito
@JohnsonKizito 26 дней назад
Ihefu iliyochangamka
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 26 дней назад
Subilia akili yako siiko nyuma huezi subili ya nyuma mwiko maana timu zote za GSM mechi zote mtapewa mbwa nyie
@frankemmanuel5239
@frankemmanuel5239 26 дней назад
Bado hamjasema
@flavianajohn5250
@flavianajohn5250 26 дней назад
Kama unacheza ligi moja na mbwa nawewe ni mbwa pia😏😏😏😏
@salimmalaka256
@salimmalaka256 26 дней назад
MATOPOLO HAMPENDI UKWELI
@ashamkesa979
@ashamkesa979 25 дней назад
Kwani Mo nae azamini timu zingene ulikula mkono ulizaminiwa na GSM
@exposureworld9700
@exposureworld9700 25 дней назад
Huku wapi mbn watu hawapendi hata mpira??
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 25 дней назад
😂😂😂 tatizo uSimba na Uyanga
@RauwrencMbwana
@RauwrencMbwana 22 дня назад
Nasingida makolo watafungwa Simba Bado hawajaungana
@bone102
@bone102 2 дня назад
Kweli wenye akili wawili yaan badala ufikirie timu yako inayoshinda kwa papatu we timu yako imeshinda lakin man of the mech anapewa mchezaji wa timu uliyoifunga halafu upo hapa unafikiria timu namba 7 Africa ifungwe na Singida black star hizi akili ni za tahira peke yake
@BEWISDOMNDALAHWA-x9o
@BEWISDOMNDALAHWA-x9o 25 дней назад
Bado baba yao
Далее
Мужа или парня
00:42
Просмотров 17 тыс.
APR FC 2-0 Azam FC | Highlights | CAF CL
8:49
Просмотров 198 тыс.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Просмотров 8 млн
The Match That Made Zinedine Zidane Retire
14:37
Просмотров 2,2 млн