Тёмный

Magoli ya Baleke | Ihefu 0-2 Simba | NBC Premier League 10/04/2023 

Azam TV
Подписаться 2,8 млн
Просмотров 315 тыс.
50% 1

JEAN BALEKE: Magoli mawili Jean Baleke ndani ya dakika mbili yameipa Simba ushindi wa 2-0 ugenini kwenye Dimba la Haghland Estate, Mbarali Mbeya dhidi ya Ihefu SC, mchezo wa ligi kuu ya NBC.
Ni katika mechi iliyoonekana kuwa ngumu kwa ‘Mnyama’ lakini dakika ya 84 na 86 Beleke akamaliza mchezo.
Tazama Magoli.......

Опубликовано:

 

10 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 202   
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Год назад
Naomba Likes za Baleke hapa🦁🦁🦁❤️❤️❤️
@midianobed9001
@midianobed9001 Год назад
Hafu uzipeleke wap
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Год назад
@@midianobed9001 kwa Jean halland Mbappe Otho Baleke 🦁
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
​@@midianobed9001 KWENU 😂😂😂
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Год назад
@@salimmalaka256 utopolo wanaumia sana😂😂
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
@@ibrahimuselemani4076 TENA SANA TUMEMPIGA BASHA WAO IHEFU BADO WAO MAMA YOOYOOYOO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@humudjuma9036
@humudjuma9036 Год назад
Mtuuuuumee Muhmmad s a w daaah hili goliiii hlijawahi kufungwa Tanzania hili ni goli bora la siku mwezi mwaka yaani ❤
@DrNick-hg6il
@DrNick-hg6il Год назад
Baleke🔥🔥
@zeanasalum6800
@zeanasalum6800 Год назад
Daa baleke noma
@BaltazaliOtto
@BaltazaliOtto Год назад
Anaweza mwamba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 Год назад
Watu walimsema sana coach kumkubali kibu mm nikatoa mfano wa kibu kwa mikimbio yake na nguvu nikama mbape sikuaamanisha ustaa au uchezaji nika tukanwa ila ukiangalia moments nyingi za mabao saivi kibu anahusika huyu mchezji ni mzur bado atuja patia paswad yake tuu
@rajabushedafa6397
@rajabushedafa6397 Год назад
Naomba like zenu wote mnaoniunga kwammba huyu sio jean baleke ni jini baleke🤣🤣🤣👌
@petercostakisoka
@petercostakisoka Год назад
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@gabrielsanga5313
@gabrielsanga5313 Год назад
Itanichukua Muda sana kuamin hili sio gori bora
@Leonard-xi8on
@Leonard-xi8on Год назад
Ally salmu. Dg yupo vzr hongera sana kipa namba 3
@sirmwita3351
@sirmwita3351 Год назад
Naomba Baleke atutaftie style nzuri ya kushabikia kwaajili ya msimu ujao aisee huyu anaenda kumzima Mayele
@emilitonemmanuel9509
@emilitonemmanuel9509 Год назад
Uyu jaman ni halland mtupu anajua Sana jaman 🦁🦁⚽⚽
@emilitonemmanuel9509
@emilitonemmanuel9509 Год назад
Simba nguvu 1
@chaimamichael2947
@chaimamichael2947 Год назад
Naiona simba fainali club bingwa afrika mwaka huu 2023
@everinadastan-ze1lp
@everinadastan-ze1lp Год назад
❤❤❤❤❤❤❤❤
@LaizerTirike
@LaizerTirike Год назад
Baleke bonge la forward ✅
@Abdulrahmanmussa-lu5sb
@Abdulrahmanmussa-lu5sb Год назад
😍
@barghashally7791
@barghashally7791 Год назад
Mm ni yanga ila baleke ni motto mwengine analijua goli kama harland maashallh
@luseshelomwangole2408
@luseshelomwangole2408 Год назад
Baraka mpenja ni mmoja tu👊
@AmosiBraiton-nt2op
@AmosiBraiton-nt2op Год назад
Anaitwa_ jean otos haland baleke huyu mwamba Bado, hii ni trela tu picha lenyewe linakuja
@salimliemba3458
@salimliemba3458 Год назад
Watani hapa mume lamba dume mpira ni mchezo wa Wazi jamaa anajua
@geofreymgendera6590
@geofreymgendera6590 Год назад
Super
@janaakimu6171
@janaakimu6171 Год назад
BALEKE #JINI ❤️❤️
@Teacher_Hassan_Lemunje
@Teacher_Hassan_Lemunje Год назад
I can't stop watching. Tayari bwana
@alatupaeliassanga5303
@alatupaeliassanga5303 Год назад
Balekeeeee💥💥💥💥💥
@amani-1970
@amani-1970 Год назад
ajavunjika mgongo jaman mpenja
@denisimaliyaweni9183
@denisimaliyaweni9183 Год назад
Gari limewaka kwa baleke😊
@YusuphBenson
@YusuphBenson Год назад
Hatujapigwa Kama sawadogo⚽⚽
@jastinkanjost4454
@jastinkanjost4454 Год назад
Tayari 🔥🔥
@selestinokazumba
@selestinokazumba Год назад
Hili n jiniiii aiseeee 😄😄😄😄🙌🙌🙌🙌
@mecksanchale9396
@mecksanchale9396 Год назад
Baraka mpenja bhana , eti tayar bhNaa
@JumaJux-fn3ff
@JumaJux-fn3ff Год назад
Sakho akrobatic vs asec ya aziza, sakho akrobatic vs singida bg stars, phiri acrobatic vs nyasa big bullet, haland, mweusi acrobatic vs mbarali
@yassenarafat2893
@yassenarafat2893 Год назад
Tayari bwana,,,,,barakah ni mtangazaji kweli kweli
@NgassaVanes-xz3vw
@NgassaVanes-xz3vw Год назад
🔥🔥
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 Год назад
Baba yake HAALAND alimkataa Baleke akasema mbona Mweusi. Akimaliza ligi tu baba yake anampeleka Liverpool 😂😀☺😄😃😂😛😍😁😭😭😭
@habibuhabibu9728
@habibuhabibu9728 Год назад
Yan haland kabisa kila mechi gori😂😂
@mariamjames5462
@mariamjames5462 Год назад
Yuko vizur bareke wetu
@ibnmasoud8151
@ibnmasoud8151 Год назад
Mnyama🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@imortalnelson-hb2ne
@imortalnelson-hb2ne Год назад
Baleke simba wamlinde tu na fitina
@Shemu199
@Shemu199 Год назад
Bareke hatar
@K2keezy
@K2keezy Год назад
❤❤❤
@jamesjames2368
@jamesjames2368 Год назад
Waooo!🙉
@AliHaji-fs9lg
@AliHaji-fs9lg Год назад
❤❤❤❤❤❤baleke
@JAMilaJuMa-by1qf
@JAMilaJuMa-by1qf Год назад
💗💗💗💗💗
@salumjumah5648
@salumjumah5648 Год назад
Jean Othos Bareke
@Emedroadtocanada
@Emedroadtocanada Год назад
Baleke aka BK yaana bob KILLER
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 Год назад
The Bull poacher Bareke
@aminamajdi-hv4fo
@aminamajdi-hv4fo Год назад
Mmb ni 🔥🔥🔥🔥🔥wana simbaaaaaa🌹💕💕💕
@petro8070
@petro8070 Год назад
Ila mpenja bana eti tayari banaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀
@charlesjuma-gj1vz
@charlesjuma-gj1vz Год назад
Nimerud kusikiliz *tayari bwana?"😅😅😅
@mussamuntadhi8692
@mussamuntadhi8692 Год назад
Barekeeeeee tear bana 😂😂😂😂ila baraka mpenja
@renatusmahombwe3093
@renatusmahombwe3093 Год назад
Goli Bora la msimu 2022-2023 Tff note hiyo Hakuna haja ya Kura Wala Nini Happy Easter
@mohamedyally9912
@mohamedyally9912 Год назад
😅😅😅baleke yeye ni goar tu ndo anajua
@lazaroamaziku7255
@lazaroamaziku7255 Год назад
Yaani baleke fundi
@MagrethClement
@MagrethClement Год назад
Noma sana
@Thekidp3702
@Thekidp3702 Год назад
All best strikers are in SIMBA
@athmaniidd437
@athmaniidd437 Год назад
💥💥💥🇹🇿
@user-ot2io4cy6w
@user-ot2io4cy6w Год назад
Jean Baleke ni mmoja wa mastraika bora sana hapa nchini sema alikuwa hajaizoea ligi tu. Ila kuna kitu kinakera kwa Mashabiki wengi wa Simba hasa akishinda Yanga na ukute goli kashinda Mayele utasikia bahasha. Huu USENGE sijui watauacha lini...!!!???
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz Год назад
😂😂😂😂😂pole
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 Год назад
Anahatari huyoooo
@ajmilee4204
@ajmilee4204 Год назад
Goli la pili Bocco lilitaka kuingilia mpira 😂
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 Год назад
Hahhhh na lingekosa
@angazaboy7436
@angazaboy7436 Год назад
Baleke nakupenda sana
@GloriaAlex-xn8xe
@GloriaAlex-xn8xe Год назад
♥️♥️♥️♥️🦁🦁
@babap-dn7wq
@babap-dn7wq Год назад
Baleke BK Bob killer 😂😂😂
@israelkisserei524
@israelkisserei524 Год назад
HIVI "UTO UNITED" WANATAKA KUTUAMINISHA KUWA GEITA NI WAZURI ZAIDI KULIKO "RIVERS UNITED?"
@aishaomary9290
@aishaomary9290 Год назад
baleke
@barakagideon9401
@barakagideon9401 Год назад
Wa kwanza leo
@ibnmasoud8151
@ibnmasoud8151 Год назад
Pole watu tna dk 3 kbla🤣🤣🤣
@barakagideon9401
@barakagideon9401 Год назад
@@ibnmasoud8151 watu mupo fasta kama sauli😂
@Africaner21
@Africaner21 Год назад
Baraka mpenja anasemaje hapa 😂😂 eti hajavunjika mgongoo 😂😂
@masoudmsomal8774
@masoudmsomal8774 Год назад
AY EM NOT SPIKI SWAHILI ILA HUYU BALEKE ANAJUA SANA NYIEEEE
@justinsamwel960
@justinsamwel960 Год назад
Tayar bn😅😅😅😅
@Mateo_afya_bora_channel
@Mateo_afya_bora_channel Год назад
This is simba
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 Год назад
Baleke ndani ya box hajawai kumuacha mtu
@florentinigawday1094
@florentinigawday1094 Год назад
Jitu la kazi kweli
@derrickpoul9504
@derrickpoul9504 Год назад
Balekeeeee, tayarii bwana 😂😂😂😂 ila huyu mpenja
@andrewraphael3098
@andrewraphael3098 Год назад
Mchele utapanda bei mara dufu 😂😂😂 kama ihefu wabovu lete timu Yako 😅😅
@saumsaum1916
@saumsaum1916 Год назад
an yanga hawaitanii simba
@annasalum4700
@annasalum4700 Год назад
Waoo ooh anafunga goli la dunia
@absm8084
@absm8084 Год назад
Mpenja eti Tayari bwana
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Год назад
Mimi ni Yanga damu kabisa uyu baleke ni mkali anajua kufunga ila anayo utofauti na mayele coZ mayele anafunga,timu ikizidiwa anaja kukaba pia anaDrible Yani ni fighter anaweza kukupa kitu zaid ya kufunga
@barakathomash2780
@barakathomash2780 Год назад
Me ni Simba lkin hpa nakubaliana na wwe kabisa!!
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Год назад
@@barakathomash2780 nakubali ✊ WeWe unaelewa vizuri mpira ndio mana umenielewa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Год назад
​@@adolfmathew9698 LAKINI MAYELE KAFUNGWA HAPO HAPO NA IHEFU NA KASHINDWA KUZUIYA NA KASHINDWA KUFUNGA.
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 Год назад
@@salimmalaka256 usichukue mfano Kwa kuangalia match Moja tu
@agustine73
@agustine73 Год назад
Mm naomba mungu asirudi mazembe
@teddymagori3779
@teddymagori3779 Год назад
Simbaaaa
@zakariacamilius8670
@zakariacamilius8670 Год назад
Ila mpenja eti tayari bwanaaaaaaaaa 🤣🤣🤣
@annansiajudicate3367
@annansiajudicate3367 Год назад
Hakika huyu ni baleke baleke bagambe 😂😂
@jaybee3429
@jaybee3429 Год назад
baleke waonee tu hao ihefu subur j2 na yanga
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Год назад
Na ihefu iwaonee tu Yanga na Azam sio Simba😂😂😂
@bonisachubwa1046
@bonisachubwa1046 Год назад
Umewaza nini kuandika hivo😂😂😂😂😂😂😂 ifu naya iwaonee akina nani wasahakiki wengine kama siyo wa dinia hii😂😂😂
@kailanhamidu1683
@kailanhamidu1683 Год назад
Anajua sana huyu jamaa
@aminaamina9568
@aminaamina9568 Год назад
Daaah yote Kwa yote ili goli la pili ni hatari Mimi nipo nyumbani naangalia lakini nilijikuta narudha teke moja takatifu na kpiga mtu😂😂😂😂 hii ni hatari na nusu
@2116-n
@2116-n Год назад
Ety"Tayari bwana",😂😂😂, Mpenjaaaaa
@adamrichard5444
@adamrichard5444 Год назад
Hii ni balaaa
@josephstephano5161
@josephstephano5161 Год назад
😝😝😝😝😝😝
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 Год назад
unamjw mtowa roh subhnaAllah chunga manen hayo inshaAllah
@jrjuma7054
@jrjuma7054 Год назад
Ni suala la mda tuu Baleke Sakho 16 mnipasuliee kipa wa utopolo
@Mumewangu
@Mumewangu Год назад
Hahaha Belekeeeeee
@imanimrope8029
@imanimrope8029 Год назад
Tayari
@AsmaaHemed-se2im
@AsmaaHemed-se2im Год назад
Hili ni goli la cafe au nbc
@JumaJux-fn3ff
@JumaJux-fn3ff Год назад
Tunakumbushana tu
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Год назад
Ili goli la pili ni balaa. Ila Baleke anatisha. mechi tatu mfululizo anatupia tu...duuj
@SalumMaulid-jn7bo
@SalumMaulid-jn7bo Год назад
Bado wananchi kuchijwa
@meshackfute8453
@meshackfute8453 Год назад
😂😂😂😋😋
@jumanyangonyani-tr2lq
@jumanyangonyani-tr2lq Год назад
balekeee liniaz uyo duuuu
@jonasgervas8247
@jonasgervas8247 Год назад
waoonh jitu hili ni lawapi😂😂😂
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Год назад
Jitu La Kutisha
@DavidMbwambo-tc4bf
@DavidMbwambo-tc4bf Год назад
Yani ni mwendo wa kuwachapa Simba ni noma
@kalebuernest1662
@kalebuernest1662 Год назад
Vina muda basii
@luseshelomwangole2408
@luseshelomwangole2408 Год назад
Wivu tu😅... msalimie Gael bigirimana
Далее
Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1
6:24
Просмотров 10 млн
RC Helicopter Trick
00:13
Просмотров 3,7 млн
Обыкновенное чудо
00:48
Просмотров 640 тыс.
SIMBA SC VS COUSTAL UNION  MAGOLI YOTE
1:44
RC Helicopter Trick
00:13
Просмотров 3,7 млн