Тёмный

Magoli yote 17 ya Fiston Mayele aliyofunga msimu mzima wa NBC Premier League 2022/23 

Azam TV
Подписаться 2,7 млн
Просмотров 159 тыс.
50% 1

BURUDANI YA MAYELE: Haya hapa magoli yote 17 ya ‘MVP’, Fiston Mayele aliyofunga kwenye ligi kuu ya NBC msimu uliopita 2022/23 na kuchukua tuzo ya mfungaji bora.
Magoli 14 kati ya haya, ameyafunga mwaka 2022…. Na matatu pekee ndiyo yamefungwa kwa huu 2023.
Je, ni timu gani haijafungwa na Mayele msimu huo?
#MayeleGoals #FistonMayele #MagoliYaMayele #TopScorer #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPLUpdates #NBCPL #SisiNiSoka #SokaLetuBambam

Спорт

Опубликовано:

 

3 июл 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@mguliproperty9469
@mguliproperty9469 Год назад
Kuna watu wanatetema chumbani kwao kimyakimya 🤝💛💛💛
@fatmahussein6085
@fatmahussein6085 Год назад
Huyo ndo king mayele🔥🔥
@AbuuAbdilRahmaan
@AbuuAbdilRahmaan Год назад
MAGOLI YOTE ALIFUNGA WAKATI TIMU IKIHITAJI USHINDI WA MUHIMU...ALIIFUNGA POLISI WAKATI IPO KATIKA WAKATI MZURI...ANASHINDANISHWA NA MTU ALIYEIFUNGA POLISI ILIYOKUWA TAYARI IMEMALIZA MSIMU...IZIUIE KWA NGUVU INAPATA NINI ALAFU..?
@ally_star
@ally_star Год назад
👏👏👏
@zenakisala2931
@zenakisala2931 Год назад
Upewe Oscar kaka
@ahzgad3285
@ahzgad3285 Год назад
nice🎉
@laurentpaul8650
@laurentpaul8650 6 месяцев назад
Hatareeeee
@russia1253
@russia1253 Год назад
Mayele mtu hatari sana 🙏🙏
@ddontz
@ddontz Год назад
Maji na mafuta hujitenga siku zote😹💚💛💪
@aishabakari8040
@aishabakari8040 Год назад
MASHAALLAH ANAMBIO 😍
@NestoryMapunda-kx1su
@NestoryMapunda-kx1su Год назад
Ilo goli na mtibwa ❤❤❤
@user-nz1rh3ly1h
@user-nz1rh3ly1h Год назад
Mmmmmmh uyu ninoma
@Nashonpeter
@Nashonpeter Год назад
huyo ni benzema mtupu💛💛💛💛
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 Год назад
Mwamba huyu hapa
@emmanuelsaid2117
@emmanuelsaid2117 Год назад
Huyu mtu nihatali sana hakabiki na anamamuzi yakipekee sana na magoli yake mengi niyaajabu sana nanimagumu kuyadaka
@silvernayzer4107
@silvernayzer4107 Год назад
King
@kulthummohamed101
@kulthummohamed101 Год назад
Rafiki wa nyavu adui wa goli kipa
@SimonPaskal-eh9hz
@SimonPaskal-eh9hz Год назад
Mwamba huyo kalala mayele
@chanzi23
@chanzi23 Год назад
Ni hatar
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 11 месяцев назад
Jamaaa lina Mbio, linavyenga, Na linafunga Atariiiii Af Linatetemaaaa Daaah sijui Warabu Wataweza Kutetema😂
@kulthummohamed101
@kulthummohamed101 Год назад
Huyu m2 hatar ni uronad m2pu
@VisentipatirickMalipesa
@VisentipatirickMalipesa 9 месяцев назад
I'm miss brother
@mussaathuman8764
@mussaathuman8764 Год назад
uyu jamaa bana
@EmmanuelKyando-qu1hl
@EmmanuelKyando-qu1hl 2 месяца назад
jaman magor ya mayere vs azikii yananiachaa hooiiiiii
@patricklaiton8939
@patricklaiton8939 5 месяцев назад
kibichwa mayele majini
@fatumasaleh60
@fatumasaleh60 Год назад
Nmemis hili mtetemo
@yflon
@yflon Год назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-dNRnQAIw434.html bado hujaiona
@NiyogusengaEdmond
@NiyogusengaEdmond 8 месяцев назад
Danirodi
Далее
Magoli | Yanga 2-1 Simba | Ngao ya Jamii 13/08/2022
4:32
Хабиб НЕЖДАНУЛ ФАНАТА #мма
0:32