Tazama magoli yote 19 yaliyofungwa na kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwenye NBC Premier League msimu wa 2023/24. Chuma ipi imekuvutia zaidi
Ww hujui mipira azam wanawachezaji wakuifunguwa defence tofauti na timu yyt mfano wa Barcelona ya messy ndo azam tofauti ya ynga na simba hawatumii winga kwnye kushambulia kwa hy hao watpiga kwny kumi na nane au cross ila hawa wanakufuawata hawana uoga ni lazima magoli yao yawe ya aina hy