Тёмный

MAGUFULI ALIVYOMKATALIA PROF TIBAIJUKA KUSTAAFU - "KWANGU mimi BADO HUJASTAAFU" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 24 тыс.
50% 1

MAGUFULI ALIVYOMKATALIA PROF TIBAIJUKA KUSTAAFU - "KWANGU mimi BADO HUJASTAAFU"
MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, ameendelea kupiga kampeni, ambapo leo Septemba 15, amewasili mkoani Kagera...
Akiwa njiani amesimama katika maeneo tofauti tofauti na kuzungumza na wananchi kubwa zaidi ni kuwaomba wampigie kura yeye, wabunge wake pamoja na madiwani.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@nellywizz9631
@nellywizz9631 4 года назад
Km umemwon jamaa akipanda juu ya nguzo akijifanya anachapa kaz gonga like
@donaldtadeodontado9991
@donaldtadeodontado9991 4 года назад
Sidhani kama ni fundi kweli itakuwa mtu wa system kabisa .......hahahahahahahahaha we jamaa una macho
@masudysosovele893
@masudysosovele893 4 года назад
@@donaldtadeodontado9991 kwer kabixa
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 4 года назад
Bashiru Oyee
@musamiindoi1804
@musamiindoi1804 4 года назад
Magufuli 5 tena hakuna mpinzani, hawa wengine kilele tu hatuoni sera zao ni majungu tu wanaongea badala ya sera.
@alexsamwel4637
@alexsamwel4637 4 года назад
Nenda kwenye jimbo la Professa ndio utajua CCM haifai bora hata wanaopiga kelele.
@SimbeMwmb
@SimbeMwmb 4 года назад
Ila kagera umetusahau sana jamani
@abdalahfarida2074
@abdalahfarida2074 4 года назад
HUYU MAMA NI CCM KWA MAVAZI TU LAKINI HAPENDI KABISA SERA ZA CCM. HAWA CCM WABAGUZI NA WAKABILA SANA.
@isacksaimon4532
@isacksaimon4532 4 года назад
Yan ukienda kwenye mikutano ya chadema haukuna ki2 utaondoka nacho zaizi ya kumpondea 2 magu alafu mwenzao ata awajib
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 4 года назад
Kabisaa maana hawajui kutengeneza mambo ameshawaambia Membe aliporudi toka Dubai
@alexsamwel4637
@alexsamwel4637 4 года назад
Wewe hujaenda kwenye mikutano ya CHADEMA. hivyo hujui hata kinachoongelewa huko. Unaposema hawajibu, juzi alipokuwa CHATO akasemea wanamsema kajenga uwanja mkubwa kwao utafikiri atazikwa nao, alikua anamjibu nani ?? MUSOMA aliposema wanamsema eti ameokota wafanyakazi majalalani, alikua anamjibu nani ? Wana Kagera hatujasahau majibu tuliyopewa wakati wa tetemeko.
@raymonddaud543
@raymonddaud543 4 года назад
Hajajengaa hata nyumba.
@evansmlalo4049
@evansmlalo4049 4 года назад
CCM NA RUSHWA ZENU MKIPONA SAFARI HII MBELE YA CHADEMA NA ACT WAZALENDO NITAAMINI NYIE WACHAWI NA CCM MKILETA ZA KULETA MUMEWAKARIBISHA G10 na G20 KUJA KUTOA MAAMUZI.
@mwangonjimwangonji9238
@mwangonjimwangonji9238 4 года назад
Mh kagera msha sahau yote aisee
@teddykanondo5753
@teddykanondo5753 4 года назад
CCM NI CHAMA CHA WAPIGAJI.
@anahna6788
@anahna6788 4 года назад
KIFUPI BASHILU KANONA SANA JAMANI
@dailymotivation6484
@dailymotivation6484 4 года назад
Tatzo la huyu mama
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 4 года назад
nimemwona mrembo mzuuri
@silvangabriel3592
@silvangabriel3592 4 года назад
Nakumbuka ukimwi nyie tetemeko nyie ukimwi nyie
@barackhuncho2432
@barackhuncho2432 4 года назад
.
@godlovemasamakibatandu2092
@godlovemasamakibatandu2092 4 года назад
hta ccm ikishindwa hawatoki madarakani,kwa kauli hiyo bado hata hawachaguliwa anasema serikali yetu ina mavyeo mengi hatuwezi kumwacha prof akae tu,wameshapanga matokeo
@furahamwajeka7463
@furahamwajeka7463 4 года назад
Wakumshinda magu Nani tz wewe no one
@trophainamagogwa9991
@trophainamagogwa9991 4 года назад
@@furahamwajeka7463 na membe amekubali
@alexsamwel4637
@alexsamwel4637 4 года назад
Tunapaswa kupimwa uelewa wetu wa Tz. Hivi mtu anakuja kukwambia mavyeo ni mengi, hivi kuna position za kutosha watu woote waliotia nia nchi hii ??
@julianamasunga700
@julianamasunga700 4 года назад
Wewe ni jembe achana na huyo mbwa kokoo
@godlovemasamakibatandu2092
@godlovemasamakibatandu2092 4 года назад
hatuwezi kuwa sawa kimtazamo,kwel ndugu mnamtazamo sawa,respect hta asiykubal mtazamo wako
Далее