Тёмный

MAHOJIANO NA ASKOFU MTEULE MWAKIHABA WA DAYOSISI YA KONDE KKKT AELEZA MAZITO HAPENDI VYEO, MALENGO 

Manyanya Zakaria
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 55   
@praygodmtera9907
@praygodmtera9907 2 года назад
asante brother manyanya kwa kutukumbuka kutupa taarifa tulio mbali .Ubarikiwe
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen shukran sana
@agathamanganga4937
@agathamanganga4937 2 года назад
Hongera sana Mr Manyanya kwa kazi nzuri ni maombi yangu Mungu akupandishe viwango mpka viwango.
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen na shukran sana
@johnvanginoth9340
@johnvanginoth9340 2 года назад
Hongera
@lwimikomwakagile6956
@lwimikomwakagile6956 2 года назад
Ahsante Mungu kwa ajili ya zawadi ya Askofu mteule 'GM',,,Barikiwa Sana Mtumishi.
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen
@reubenismail3672
@reubenismail3672 2 года назад
Kweli mwaikali kumbe kaonewa!hapo inaonyesha Kuna vigisu!
@babucleva2785
@babucleva2785 2 года назад
Hongera sana manyanya kwa mahojiano mazuri na Askofu mteule Geofrey mwakihaba.. Ahsante pia kwa jitihada kuhakikisha unatuletea tarifa zilizo kamili...hakika Mungu aendelee kukuinua Zaid na zaid
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen
@diti4899
@diti4899 2 года назад
Safi Sana kaka Manyanya. Mwakihaba kaongea vizuri tena kwa busara. Jitahidi tupate interview ya mzee Mwakabana.
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen Barikiwaa
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 года назад
Mungu ni WA utaratibu,inatupasa tunaomcha tuige kwake maana anapenda amani na maelewano vitawale.Hongera askofu mpya,Mungu awe mawe.
@CAKEMUSICTZ
@CAKEMUSICTZ 2 года назад
ahsante tunabarikiwa
@winnerjudith2007
@winnerjudith2007 2 года назад
Mungu akutie nguvu mchungaji askofu mteule
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen
@francymwaka600
@francymwaka600 2 года назад
Hongera kijana mdogo manyanya kwa mahojiano mazuri. MUNGU akupe miaka mingi yakuishi hapa duniani
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen
@GospelArtistTz
@GospelArtistTz 2 года назад
Hongera kwa kazi brother kwa mahojiano kwa kutujuza
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen
@neemaevance80
@neemaevance80 2 года назад
Amen Ameni mungu akutangulie Askofu mteule mwakihaba
@matthewmbilinyi8655
@matthewmbilinyi8655 2 года назад
Hongera sana kwa maswali mazuri
@kotridemwakyoma4566
@kotridemwakyoma4566 2 года назад
Hongera sana kaka Manyanya
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Asante
@haggaikinyau9047
@haggaikinyau9047 2 года назад
Ugomvi mwingi kwenye Dayosisi zetu unaletwa na hii michakato ya uchaguzi wa Askofu. Chaguzi hizi zinaleta ugomvi, uhasama na chuki na kujeruhi nafsi za wachungaji wengi. Ugomvi huo huendelea hata baada ya uchaguzi na kwa mimi ninavyoona huko Konde, mgogoro huu ni matokeo ya uchaguzi wa Askofu. Hili la kuhamisha makao makuu lifanyika kama njia tu ya kupitia, chanzo ni uchaguzi uliofanyika miaka ya nyuma
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Kikubwa Ni kuwaombea
@elikanasanga1667
@elikanasanga1667 2 года назад
Mmm msipende kutafsiri vitu msivyo vijua heri kunyamaza kimya kuliko kuhisi
@chambijames3769
@chambijames3769 2 года назад
mwakihaba hatakiwi kulaumiwa hata kidogo katika hili mungu amtangulie
@patrickgodwin2027
@patrickgodwin2027 2 года назад
From Mpanda, Katavi nafuatilia mahojiano hayo..
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Asante Sana ubarikiwe
@patrickgodwin2027
@patrickgodwin2027 2 года назад
Nimependa namna unavyofanya kazi. Mungu abariki kazi yako upige hatua zaidi. Amen
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
@@patrickgodwin2027 amen.sana
@lidiasilwimba6759
@lidiasilwimba6759 2 года назад
Mungu simama mwenyewe uingiliekati amani itawale kwenye kanisa la kkkt.
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
Amen
@TingaMedia
@TingaMedia 2 года назад
Natazama 🏃
@protusbishanje872
@protusbishanje872 2 года назад
Atasimikwa na Nani huyo askofu wa shoo
@issakwisamwasanjobe541
@issakwisamwasanjobe541 2 года назад
Nakujulishakuwa atasimikwa na mkuu wakanisa kkkt tanzania Askofu shoo karibu sana mwez June sio shoo😂😂
@wakubetytv2227
@wakubetytv2227 2 года назад
Atasimikwa tu, na waumini tunampendaaaa, wenye vijiba mtakomaaa
@manyanyazakaria
@manyanyazakaria 2 года назад
@@wakubetytv2227 amen
@luganomwasajone6742
@luganomwasajone6742 2 года назад
Huyu ndio Askofu wetu tunaye mtambua wana KONDE.
@lilianpatrick4367
@lilianpatrick4367 2 года назад
Bado unapenda migogoro ww
Далее
watoto Wa Mch, Bonny Mwaitege Wakiimba live
4:31
Просмотров 1,3 тыс.
Kubernetes 101 workshop - complete hands-on
3:56:03
Просмотров 1,6 млн