Karibu eneo la mradi Mahomanyika jijini Dodoma mkabala na uwanja wa Kimataifa Msalato (International Airport)
Mradi wa viwanja vya biashara vipo Km 1 kutoka Barabara ya mzunguko (Ring Road)
Viwanja vya makazi vipo Km 1 kutoka Ring road na Km 1 kutoka inapojengwa International Airport MSALATO na Km 3 hadi mji wa kiserikali MTUMBA (Magufuli City)
Bei ya viwanja vya Biashara kwa Sqm 1 ni elfu 6500 na bei ya viwanja vya makazi kwa Sqm 1 ni elfu 3000.
Kwa Mawasiliano zaidi piga simu namba 0745 200 984 au 0710 080 775 au Fika ofisini kwetu Uhindini opp. Na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi Dodoma
KARIBU LUCK REAL ESTATE COMPANY L.T.D KWA HUDUMA BORA
facebook: Luck Real Estate
instagram: luck_real_estate_dodoma
#viwanjaluckrealestate #mahomanyikadodoma#visitmahomanyika
15 сен 2024