Nafikilia San waliojenga daaa na maisha yalivo magumu sijui unaweza kufa😭 mweshimiwa waangalieni wananchi wenu kama ina wezekana kanisa wapewe sehem nyingine na hao wafanyakazi wezi wafukuzwe kazi maoni yangut🙏
Tunafurahi hii mitandao ya Jamii inasaidia sanaaaa kila kitu hadharani Mungu ahsante na bado wengi watajiondoa wenyewe Ccm kwa kuuza bandari zetu za bara na ahsante Ssuti ya watu ambayo ni Sauti ya Mungu Tec na Sauti ya Watanzania Dr Slaa Nwambukusi Mdude na wengineo pamoha wameteswa sanaaaa Mungu atatoa jibu tu
asante Mh ila hapo naona hauja solve tatizo la huo mgogoro ulichofanya ni kuhamisha kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hao jamaa wamenunua kihalali kwahio watawka injuction na hakutakuwa na mmiliki halali mgogoro utaendelea
Of point kabisa, hiyo ARDHI ILIKUWA ya hao walalamikaji kisheria na haikufutwa kisheria so hao wamepoteza hiyo HAKI ya kumiliki hawatakuwa na MGoGORO wowote, MWENYE HAKI kisheria ya kufuta hati ya ARDHI ni rais tu
Mnakumbuka shuka kumekucha Serikali yetu kiboko warudishieni Wamasai Ardhi yao ya Loliondo dhuluma zimezidi kila srkta Tutamkumbuka sanaaaa Hayati Magufuli mmewashika watu wasema ukweli wanasheria kuwatesa kuwaua kuwasingizia kesi za kila aina sasa mnaona uchaguzi unakaribia ndiyo mnaanza kufuatilia inshallah Mungu atawalani tu tu na uonevu wenu wa Haki za Binadamu
Jamani naombeni no za Mh Aweso.kuna ubadhirifu Morowasa wamekarabati tank la wananchi tulilojenga kwa nguvu zetu na pia wamearibu miundombinu ya maji kata ya bigwa Morogoro wakati tuna vibali halali vya kumiliki maji.
Wataalam wako sahihi.... Mae neo mengi yamehodhiwA na taasisi za kidini na zimekaa wazi pasipo matumizi.... Matumizi yaweza kubadilishwa na wataalamu.... Nini maana ya taaluma..... Shida ni uwazi haupo maofsini na ushirikishwaji wa wananchi
kunyooosha watu kwenye mstari tungekuwa na mawaziri kama sita tuu nakuhakikishia watu wanaweza wakasema nchi isiwe na raisi iwe inaongozwa na mawaziri wanasimamiwa na waziri mkuu
Hao ni watendaji wenu kama serekali mliwaamini kama wameharibu serekali inatakiwa iwajibike maana wao ndio wameweka watu wasio sahihi mimi kama raia nimenunua kiwanja na kupewa hati miliki serekalini sasa mnaniambiaje nilipojenga sipo sahihi
Kama sehem imeshajemgwa na Raia amekaa serekali itumie hekma na kuona kua kuna namna ya kufanya ili watu wasiharibiwe mali zao maana mkosaji hapa ni serekali wenyewe
Nayeye asimame kazi maana maeneo yote katika jimbo lake barabara hazipitiki magole, mwana gati, kitunda, kivule msongola,, bomba mbili sasa hivi nauli daradara 2,000.