Dubu saa hii umekua dangerous tisha sana kaka sema japo maandalizi huwa yanakuaga magumu lakin jitahid japo uiwahishe kidogo kwani movie tamu sana hii❤❤❤
niwape pongezi na PYA Ningependa kuona likes zako tufahamiane hapo . maana KATIKA hii ep ya 6 DUBU you turned out well na kisha kila mtu alicheza nafasi yake vizuri hata mutamichi motomoto yeye ni mwigizaji halisi. NIite siku zote ABA TUTO KUTOKA DR.Congo . ila ninaombi moja Tu lazima ufanye kila linalowezekana ili kututumia kila siku 1 ep ya dakika 15
@@abatuto kuandaa kunachukua mda coz kunakushoot na kuedit hivyo nikisema tutawapa kila siku episode tutadanganya kikubwa tuwe wavumilivu ili niweze kuwapa vitu vizuri🙏