Ngoja nicheke kwanza 😂😂😂😂 mabuti na mke wake wacha saa Moja na nanus mpka saa mbili kamili mabuti kamrudia mke wake hv kweli wap wanaume kama Hawa Dunia ya sasa
Mabuti mabuti towa hela hzoo anapelekewa mume mwezio kweli wajinga ndyo wali.hawa na hyoo mwanaume pia apendi hyoo. Mwanamke anata pesa zake tu 😂😂😂 mabuti alafu www
Jmn tujifunzeeee hapa kwenye hii movies vijanaaaa tutafuteeeee pesa ndo Kila kitu waliopataaa ujumbeee kwa hii movies gonga like safiiii Dubutz... movie kaliiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Duh mama Kayla force mambo😅ayah umekufa ssa part yko imeisha kaa pembeni😂😂ila bro Dubu nakuaminia sana🎉❤🎉❤🎉❤🎉haujawai kutufelisha mashabiki zako much love from 🇰🇪🇰🇪