Shadow upo vizur kwa kipindi ulichokaa kimya umepoteza mashabiki wengi ila nikushauri kitu kwa sasa game imebadilika jitahidi kuzingatia . Ubora wa Video kuanzia rangi,muonekano,maudhui yake yawe ya kisasa hata kama ni comedy jitahidi ziwe kali weka ubunifu,jitahidi hata usicopy Slogan yoyote ya commedian ambayo kaifanya mf hizo kubaba baaake tayar zishaanza kupotea fanya comedy ambayo inaweza isiwe na mbwembwe nyingi kama hivyo ila ina maana taratiiibu uanze kusogea na viclip hata vya dk 15 season kidgo ww ulikuwa vzr sana chukua hii itakusaidia.