Тёмный

Majawabu muhimu kuhusu kuangalia nyota|Ramli|Muhammad Bachu 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@ummuhkhalfan5542
@ummuhkhalfan5542 3 года назад
ASSAALM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU MIMI Nawanasihi Waislam Wenzangu UTULIVU UPO KWA KUMTEGEMEA ALLAH ILA UKIANZA TU KUFATILIA MAMBO YA NYOTA YAKO CJUI PUNDA CJUI NG'E HUFANYI KITU BILA KUPIGA RAMLI MALA NANI KAKUROGA JAMN NDUGU ZANGU KWA MGANGA HUMALIZI NG'O KILA CKU UTAENDA NA JIPYA NA UTAMUONA HUYO MGANGA WAKO NDO MAISHA YAKO YA RABBI TUPE MWISHO MWEMA
@jumashobaa4455
@jumashobaa4455 3 года назад
Mungu akubariki sana nakupenda kwajili ya Alla
@is-hakaali745
@is-hakaali745 3 года назад
Haya ni mambo kwa Sasa ni mengi mno mpaka mtu akienda kusali msikitini kwanza anapiga ramli Allah akuhifadh ww pamoja nasi
@Arafati-t4y
@Arafati-t4y Год назад
Mungu mrehemu shekhe nassoro bachu kwa kutuachia ostazi uyu anae ushughulikia uslam yani anamsimamo kama swahaba omari ishallh mung akulinde na fitma brother tupo pamoya
@jumu1964
@jumu1964 3 месяца назад
Amiini
@elimunihoja6129
@elimunihoja6129 3 года назад
Assalam alaikum "OMBI OMBI OMBI" shekhe maeneo ya soko la mwanakwerekwe pembeni ya mskiti wa sokoni kuna watu wanakuja wanadai kuuza dawa lakini wanatumia uchawi. wanadai wanaweza kubadilisha uume wa mtu ukawa uke. Cha kusikitisha ni kwamba watu wengi huwazongea na kuwasikiliza na hata kununua dawa zao naomba uje mskiti wa sokoni ulizungumzie jambo hili mana hawa watu wanapata wafuasi kila siku.
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Год назад
Nina ustadh wangu kanifunza madrassa.. cha ajabu nae kaingilia haya mambo.. Allah atuongoze
@rukiadhahabu7857
@rukiadhahabu7857 Год назад
Wangejuaje mtume karogwa, habari hizi,zilitolewa osipitalini usilolifahamu kaka,usilizugumze
@warshysaid8564
@warshysaid8564 3 месяца назад
Ww ndio uczungumze usilolijuwa maana Mtume aliambiwa na Allah na yeye Allah ndio aliyempa dawa ya kubatilisha uchawi
@yes_yes1310
@yes_yes1310 2 года назад
😂😂😂😂 Wazee wabangaa
@ahmedmohamed-wm5ec
@ahmedmohamed-wm5ec 2 года назад
Jamaa halijasom hiki linanichefua Asa Kinga Kwl Kwl walomsomesha bab yko walikuw wapiga Ramli akiwemo shekh sleman bin alawy ww mtt wa juzi kielmu ht juzuu hujahifadhi unalet ujing wk
@MuhammadALI-uc4jg
@MuhammadALI-uc4jg Год назад
Kwa maana hiyo wewe unimkosoa shekhe unajawabu gani kuhusu Ramli halali au haramu tupe jawabu wewe basi.
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 года назад
Na tena kuna wengine miongoni mwa wanaojifanya wanatibu watu kwa kufuata sunna wanafanya hayo na kupoteza waisilam wasiosoma. Kuna mmoja nilimwambia mm km mambo hayo ya nyota hayafai ni ushirikina.
@makameally1962
@makameally1962 Год назад
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾ 90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10]
@raiyanmsawira132
@raiyanmsawira132 2 года назад
Mashallah
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 года назад
Masha Allah
@muhammad-Swaabir
@muhammad-Swaabir 3 года назад
Mtu akipinga ramli ametoka katika uislamu😂
@cideboy4676
@cideboy4676 3 года назад
Ndo tulipofikishwa apo🤣
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 3 года назад
Km huku nje utamkuta mtu anapeleka kiganja chake cha mkono kinatizamwa...yote ni mambo ya kishirikina. Mpaka yale magazeti yanayoandika nyota pia...Nakumbuka zamani tulikua tunakatazwa lkn siku hzi watu wamevamia kila kitu wanaona sawa tu.
@cideboy4676
@cideboy4676 3 года назад
@@alhamdulillah5796 kweli kabisa
@bamoclimber4186
@bamoclimber4186 3 года назад
@@alhamdulillah5796 Hata wale wanaotabiri mvua ni washirikina utabiri wa Hali ya hewa
@abaafarhat9191
@abaafarhat9191 3 года назад
@@bamoclimber4186 soma uelewe hiyo haifanani na ramli hali ya hewa kuna vipimo vya kisayansi
@Izikiel55
@Izikiel55 2 года назад
Sasa sheikh majini tumuelewaje sasa!!!?😊
@amirimuswadiq1709
@amirimuswadiq1709 2 года назад
Sheikh angalia nyuma hizo tylis zina misalaba
@allyciza
@allyciza 2 года назад
🇧🇮🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ndikumanajoha2450
@ndikumanajoha2450 Год назад
🤣🤣🤣hata taarifa ya ilmu nujumu huijuwi subhanAllah.
@coastalwavetzoniline5315
@coastalwavetzoniline5315 3 года назад
Assalaikum naombeni namba ya Sheikh
@zahormbwana690
@zahormbwana690 3 года назад
Hawa watu wapo wengi wapiga ramli na sisi waislam nijukum letu sot kuondoa uchaf huuu hatar wat wanaritadishwa na huku wanasali mtihani mkubwa mno
@rukiadhahabu7857
@rukiadhahabu7857 Год назад
Hujawahi rogwa wewe
@rashidmzee3106
@rashidmzee3106 Год назад
Fanya tafiti vizuri kwanza maalim ktu kma ukjui achana nacho
@fawziadarabu9727
@fawziadarabu9727 2 года назад
NIKUTOKUSOMA NA WlALIOSOMA NIKJPUUZA NAKUSAHAU ADHABU YA YA ALLH
@ndikumanajoha2450
@ndikumanajoha2450 Год назад
Sheikh Mimi ningekuomba kurudi shule
@daudkindy8062
@daudkindy8062 Год назад
Na ww unafuata ushirikina
@jumamohamed628
@jumamohamed628 3 года назад
Shekhe hiyo Azlaam Ni mchezo wa patapotea,Rudi fanya research zaidi Nini Ramli,Bado hujaigusa Ramli hapo,
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. 3 года назад
Itakua Ramli ni kula mikate na kachori
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 3 года назад
@@Muhammad_Nassor_Bachu_. hyo Ni ramli kabsa hakuna Shaka Surat maidah imeeleza waz azlaam Ni ramli
@makameally1962
@makameally1962 Год назад
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_. يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾ 90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10] Anae bisha na abishe sasa wape elimu hao
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 3 месяца назад
​@@Muhammad_Nassor_Bachu_.mimi nina kushauri mambo usiyo kua na elimu nayo achana nayo mpaka usome kwanza
@warshysaid8564
@warshysaid8564 3 месяца назад
​@@abuujibriltv5233ww mwenyewe elimu tuelimishe huo uhalali wa ramli
@makameally1962
@makameally1962 Год назад
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾ 90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10]
@makameally1962
@makameally1962 Год назад
يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ ﴿٩٠﴾ 90. Enyi walioamini! Hakika pombe na kamari na masanamu na kutazamia kwa mishale ya kupigia ramli; ni unyaa na chukizo kutokana na kitendo cha shaytwaan; basi jiepusheni navyo, mpate kufaulu.[10]
Далее
swali moja tu lamzuzua bachu na kukimbia maskini
2:40
KISA CHA KAAB BIN MALIK||002||Muhammad Bachu.
1:06:34
Просмотров 5 тыс.
Asking DIFFICULT Questions to a GENIUS Muslim Scholar
28:13