Тёмный

MAJIBU KWA SHEIKH SAID ALI HASSAN | FUNGA YA ARAFA NI KUFUATA SAUDIA | Muhammad Bachu. 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 64 тыс.
Просмотров 44 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 577   
@fatmasuleiman2710
@fatmasuleiman2710 3 месяца назад
Sheikh okoa nafsi za watu ,watu wana masikio lkn hawssikii subhanaaAllah ,Allah akuhifadhi u r doing great job mashaaAllah.
@SamhatPandu
@SamhatPandu 3 месяца назад
❤Mashallah Allah azidi kukupa ilimu ili utuelimishe na uwafunze wenye kupotosha watu. Allah akulipe khery Dr Muhammad bachu. Yni Leo umetumia ilimu na hekma kubwa sana ktk majibu ulomjibu uyo sheikh Allah akuhifadhi❤
@HamisAbdallah-cj2sc
@HamisAbdallah-cj2sc 3 месяца назад
Mimi KUANZIA Leo WATOTO WANGU hawataenda kwenye maulidi am a NDIO haya unayoyasema MTUME uwa anakuja kwenye maulidi !!! Sasa mbona hawayaweki bayana haya unayoyaaema.ALLAH ATUNUSURU.
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 3 месяца назад
Jazzakallah Tabarakallah shekh muhammad bachu Allah akuhifadh na akubariki sana. Ukweli mtupu ulio sema . Makhurafi hawana hoja bali bid'ah na ujuaji mwingi tu. Allah atuongoze na atuepushe na watu madhalim .
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 3 месяца назад
Sio muhimu kuwafuata watu wa Makka wakati kuna tofauti katika muandamo wa mwezi mpya. Hii ndiyo mitazamo sahihi zaidi ya wanachuoni, kwamba kila nchi ina muandamo wake inapotokea tofauti kuhusu hilo.
@hansimassirhassan8154
@hansimassirhassan8154 3 месяца назад
Barakallahu fiikum sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi amiin
@RamaNassry
@RamaNassry 3 месяца назад
YA'ANI WE MUHAMMAD BACHU UNAJUA{ALLAHUMA BAARIK ALAYHI}🤗🤗🤗
@MamaYussuf
@MamaYussuf 3 месяца назад
A alykm hii n comment yng ya mwanzo, nmefurah sana kwa kuwazndua weng Allah akulinde na akulpe kila lakher
@AboubakarMbwana
@AboubakarMbwana 3 месяца назад
Jamani huyu kijana anaonekana anauelewa mdogo maskini lakini ajiona amepatia kweli na inaonekana watu wengi wanaokomenti wako hivyohivyo shekh uthaimini kwahapa amezungumzia ibada ya hija kule maka yatekelezwa kwa kuzingatia mwezi wa maka ima fatwa ya funga ya arafa ameitanguliza
@ambarimwajuwa3870
@ambarimwajuwa3870 3 месяца назад
HAJAELEWA KWAMBA HIZO NI FATWA MBILI TOFAUTI
@khadijaabdulrazak8008
@khadijaabdulrazak8008 3 месяца назад
Sikiliza kwa roho ya ukunjufu tufaidike sote wapita njia
@Jumaa-rp5ye
@Jumaa-rp5ye 3 месяца назад
ujinga ni mzigo
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 3 месяца назад
Mtihani Nahwu ni kitu kingine Unatakiiwa utulize akili naona bachu anaongelea tofauti
@omarjuma3793
@omarjuma3793 3 месяца назад
Mpaka msemeeeee mpaka haqqi ijulikane
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri
@IssaBachuMuhammadjr-rr3ri 3 месяца назад
Dalili tosha ndio hio mashaAllah Mungu atuongoze pia wewe Bachu Nakupnda wallahi kwa ajili ya haqqi.
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui 3 месяца назад
UNGESEMA YALE MANENO SIYAKE IBUN UTHAIMIN UMEMSINGIZIA KAMA NIYAKWELI BASI ACHA WATU WAFUATE
@tariksalim2659
@tariksalim2659 3 месяца назад
MashaAllah sheikh wetu,endelea kutuongoza kwa njia ya haki na Allah atakulipa kwa hili InshaAllah
@abdallahhalifa5860
@abdallahhalifa5860 3 месяца назад
Sheikh shukran sana Allah akubariki kwa kila Kheyr.Lkn Sheikh ningeomba kufahamishwa kitu cz mm c kusoma lkn kuna Mengine hayahitajii usomi.kuuliza Swali langu ni hilii Kabla hakujaingia Mitandao Mababu zetu waliifaidi Vipi hii Funga ya Arafaa kabla ya mitandao kuwepo chengine Fat'wa ya Said Hassan na yako zote zipo kwa hiyo Majmuul fatawa ya Sheikh Swaleh RahimahuLlahu Sasa tuelewe vipii huoni km huo ni mgonganoo Shukran sana
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 3 месяца назад
Wa kwanza kulike nipeni zawadi zangu wadau Ma Shaa Allah nipo karibu Sana na hii chanal Ma Shaa Allah
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 месяца назад
Nmeamin kweli masuufi n masifa tu virembaa😢 vikuubwaaa uelewa ni punje ya mchele! Alaf masufi ni wavivu kusoma !!!
@binaamour318
@binaamour318 3 месяца назад
Huo ndio ushabik wko ulivofikia badala kujua kwamba suala hili Lina ihtilaf kauli nyingi unaanza kushtumu masufi ?
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 месяца назад
Hakuna ikhtilaf wowote ya suufi jaahil, utakosa fadhiila ya arafa na kukosesha ummah pia. Unajifurahisha na ikhtilaf na kupotosha watu​@@binaamour318
@jamalijamali6820
@jamalijamali6820 3 месяца назад
Acha kuwatetea masufi​@@binaamour318
@swalehbakari2667
@swalehbakari2667 3 месяца назад
😂😂😂 kabisa
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 3 месяца назад
Unapotea ilihali ni muislamu. Badala ufatwe nyia sahihi unaleta ushabiki kweny dini
@DarlinKuchage
@DarlinKuchage 3 месяца назад
Allah akulipe Kila lakheri tuna stafid kutoka huku moshi kilima njaro
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu 3 месяца назад
Tumewapa Uthmaan Maalim wakatupa Muhammad Bachu....watanzania hawajui walicho kipoteza
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر 3 месяца назад
Safi sana muhammad allah akuhifadhi
@salumtakao9828
@salumtakao9828 3 месяца назад
Mashallah .dhekh muhammad ww ni kiboko yao. Wabkishe ukaidi tu ila kauli zipo waz wazi hizo. Watu wa twarika waache ubishi na kupotosha
@fatmasuleiman2710
@fatmasuleiman2710 3 месяца назад
Kiboko kabisaaa.
@timermedia3509
@timermedia3509 3 месяца назад
Hapo ndo ujuwe pia uwahabi ni chombo cha kuwapeleka watu motoni. Kumbe ramadhani shekh wao kasema wafate kwenye mji walo kuwemo ndani ila wafuasi hawajiulizi wanakazi ya kuwatukana masufi mtachelewa sana minyoo ya saudia.
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 3 месяца назад
DR ALI JUMUAH SIO MWANACHUONI WAKISHAFII NDIO MAANA HAKUTOWA FATWA KUTEGEMEA MADH'HAB YA AL IMAAM SHAAFI3YY KWA HIVYO HATUMTEGEMEI KATIKA SWAUM YA ARAFA HATA KAMA NI WETU WA TWARIQA ... SI NYINYI PIA MUMEMUWACHA MKONO IBNU UTHEYMIIN KATIKA MUANDAMO WA RAMADHANI !!!!! KIELEWEKE..
@swafiaismail-ji1op
@swafiaismail-ji1op 3 месяца назад
Mashallah ya sheykh allah akuhifadhi akupe na umrii umma tufaidike mashallah baraka llahu fika
@AmiriRashidiMajinji
@AmiriRashidiMajinji 3 месяца назад
A.alaykum sheikh bachu,ndg yangu pole sana,wote nyingi mnatngaza na kujifurahia makundi yenu tu(madhehebu)kama unavokariri bila haya ati wewe ni muwahabi!! Hebu tuirejee 22:78 kisha 3:103,105 na 30:32 halafu utufafanulie umeyaelewaje na ulinganishe na maneno yako uliyoyatamka ktk mada ya arafa,tafadhali tuifuate qurani ndg zanguni.
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 3 месяца назад
Kijana wallah bado sana kweli afu tena aona anajuwa
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 3 месяца назад
Wewe ndo Bado sana shehe zenu wanatumia sana uongo kama anamfatilia bin uthaymeen kwanin asione hayo maneno hapo kuhusu hija na ayanukuu tofaut na maneno yanayohusu ramadhan? Shehe bacho kumuomba vizur tu Kwa heshima kwamba akasome tena hiyo miatar Wala hamna tusi hapo
@abuuaidh6500
@abuuaidh6500 3 месяца назад
Kijana huyu bado Sasa ww ulokuwa Tayari yapinge hayo kihoja.
@yussufsule4793
@yussufsule4793 3 месяца назад
Humjui wewe huyu Like lion kwa watu wa bidaa
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 3 месяца назад
@@yussufsule4793 kkkk kakimia kamezesho mate mombassa na kutoroka hadharani nAni hakuoba
@sama-_8368
@sama-_8368 3 месяца назад
Yaani ni kweli BADO SANAAAAA
@Hawwamajidy
@Hawwamajidy 3 месяца назад
Umejichanganya sana bachu Acha nikusaidie hyo fatwa ulotoa ww HAPO IBNI UTHAEMEEN ANAKATAZA MAKKA KUFUATA MIANDAMO YA NCHI NYENGINE YAAANI MAKKA ITAZAME TU MUANDAMO WA SAUDIA ILA SIO PENGINE leo bachu nimeona kumbe wasoma sana ila huelewi ulichosoma Na NDIO MAANA MAKKA HAWAFUATI MUANDAMO POPOTE DUNIANI
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 3 месяца назад
Huo ndo ukweli
@mohamedlamimu
@mohamedlamimu 3 месяца назад
Halafu kwa makusudi baada tu ya kusoma hicho kipengele badala ya kutafakari kwa kina majibu ya sheikh Uthymin anakurupukia kwenye mada zingine, hii ni dalili ya mtu mdanganyifu!
@Yasminaslamaslam
@Yasminaslamaslam 3 месяца назад
Simba Mohamed Nassor Bacho,Allah akuzidishie ilmu na hekma na ubusara
@fatmasalim7132
@fatmasalim7132 3 месяца назад
Maa sha Allah! Shukran sana Sheikh Allah akulipe kheri na akuhifadhi daima.Aamin.
@Imranosman-n9h
@Imranosman-n9h 3 месяца назад
الله يزيده الإخلاص والمتابعة ، بارك الله فيك يا شيخ
@shuaibalula9003
@shuaibalula9003 3 месяца назад
Mashaallah Allah amuhifadhi sheikh wetu
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 3 месяца назад
MashaAllah, jazaka Allahu kheira, umetoa faida kubwa
@zuberhamza7852
@zuberhamza7852 3 месяца назад
SHEKH BACHU NUKUU VIZUR ALOYASEMA SHEKH MIMI BINAFSI SJASKIA KAMA KASEMA ANAMFATILIA SANA ANAMSOMA SANA LAA KASEMA ALIPOENDA ARAFA KAKAA KWENYE DARSA YAKE MPAKA IKAMALIZA NA AKAENDA KUMSALMIA
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 3 месяца назад
Ndugu yangu Bachuu kasome tena kasome tena kasome kumjibu Sheikh said Ali Hassan. Hata ukucha wake huupati.
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 3 месяца назад
Nyie ndo vichwa mboga waambien mashehe zenu waache uongo huyo shehe wako katoa dalili kwenye kitabu Kwa kukata kata vipande mwambie asome maelezo kama alivonukuu Muhammad bacho mana kitabu ni hiko hiko😂
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 3 месяца назад
Halafu video inavianza mwanzo tu inaanza na video ya shehe wenu wa kisufi mkubwa tu anaitwa shehe jumaaa anasema Arafat ni Moja siku wakisimama wahujaji na ramadhan watafuata Kila mtu mwez wao Sasa sheikh wenu Saidi na huyu sheikh jumaa mkubwa nan kielimu? Au hujaona hapo iyo video
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 3 месяца назад
Sasa tuko kwenye maudhui ya Arafa umeruka kwenye Burdah. Al hamdulillah ​@@saidimkwinzu9106
@misbahukhalifa3216
@misbahukhalifa3216 3 месяца назад
​@@saidimkwinzu9106Ninge kujibu nanikutukane lakini Mtumi hatukani sawa sisi ni mboga lakini one day you will recover soon inshaAllah
@hadiyamohamed594
@hadiyamohamed594 3 месяца назад
Wewe na hio akili yako timamu unavyoona ni sawa arafaa jumapili kweli . Ulimwengu mzima wako makkah sasa basi watu wenge simama kila mmjoja na siku yake alivyotaka
@AdinaniNdyengu
@AdinaniNdyengu 3 месяца назад
Wewe Bachu ndio hujaelewa hapo unatusaidia Sisi kumuelewa zaidi Shekhe Uthaimin
@LovelyBrain-wz7si
@LovelyBrain-wz7si 3 месяца назад
Wewe ndo hujaelewa arafa ni Moja duniani
@AdinaniNdyengu
@AdinaniNdyengu 3 месяца назад
@@LovelyBrain-wz7si sasa umeambiwa kuna wanofunga siku mbili?
@AdinaniNdyengu
@AdinaniNdyengu 3 месяца назад
Soma
@sheikh_abdulkarim
@sheikh_abdulkarim 3 месяца назад
Sasa mbona hapo sheikh bn ghuthaymin ajataja swaumu ya arafa hapo yeye kazungumzia mundamo na ibada ya hija unasoma na huku huoni
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 3 месяца назад
Unaakili sana
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 3 месяца назад
WALLAHI BILLAHI TALLAHI KAMA MUTAMUANGALIA KWA UTULIVU SANA HUYU BACHU MUTAKUTIA NI MNAFIKI NA SURA YAKE NI YA KINAFIKI .
@ishakakhalid
@ishakakhalid 3 месяца назад
am the first one . Gonga like
@MaalimKhatib
@MaalimKhatib 3 месяца назад
Wallahi bachu huna hoja unaporoja tu hufai hata kusikilizwa habari ya maulidi inatokea wp hiyo mada ilikukokojoza na ukakimbia
@fatumajuma592
@fatumajuma592 3 месяца назад
Allah hapendi hivyo
@husseinislamicmediatv4376
@husseinislamicmediatv4376 3 месяца назад
hauna adabu wewe wala hautomfikia bachu hadi utakapo ingizwa kaburini
@Bombwejr18
@Bombwejr18 3 месяца назад
Kazungumzia Arafa ilivyo halfu akagusia mambo Ya sheikh ibn uthaimin kaongelea mambo Ya akida mbona amuyafatilii kama sheikh anamfatilia sheikh mwenzie
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 месяца назад
Acheni hujail nyinyi na chuki za kidin ktk madhheb
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад
IBADA YA ALLAH NI MIEZI MIANDAMO TU.
@takwatakwa-on3si
@takwatakwa-on3si 3 месяца назад
very wise answer from sh.Mohd Bachu to the khurafi said ali hassan.. Very sad they are trying to divert the truth but Allah has provided answer from a very young wise student of knowledge.. Subhana Allah said hassan will never have an answer for Bachu junior hafidhahu Allah.. Allah Akbar
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry 3 месяца назад
Shekh allah akuhifadhi ila unapozunguza jaribu kuwa nauwangalifu na unachokisema
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 3 месяца назад
Mm nauliza kwan sisi tumeambiwa tufunge mwez tisa au tumeambiwa tufunge siku ya arafa jamani mbona tunazongana zongana kwani mtume anasemaje sheikh bachu Allah akuhifadhi pamoja nasi
@AliJussa
@AliJussa 3 месяца назад
Binafsi Mungu ataenda kuniuliza kuwa kanipa ufahamu kutofauti zuri na baya , duniani kuna kukosea na kupatia,, binafsi Mambo ya Ki sunna hayawezi kunitoa kwenye mstari , Kuna Hijja na Kufunga ni ibada mbili tofauti, Alio Hijja hawafungi basi tunaofunga ni sisi tusio hijja😢 sasa sioni haja ya watu kuwa wakali kiasi hiki
@MaryamRashid-yw1wx
@MaryamRashid-yw1wx 3 месяца назад
Umejichanganya leo
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад
NA SWALI LA MWISHO KWANINI MASHEKHE WOTE WA AFRICA MASHARIKI TUSIEENDE KWA PAMOJA MAKKA TUKAONANE NA MUFTY WA MAKKA NA MAULAAMAA WOTE WATOWE FATUWA ILI HILI LA MIZOZO LIMALIZE? AU HAMNA UWEZO WA KUKUTANA NA MUFTY WA HUKO MAKKA?
@antoniousinbird9008
@antoniousinbird9008 3 месяца назад
Allah akuhifadhi sheikh
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 3 месяца назад
Barakh Allah Kher sheikh
@nasoros.mgungo5502
@nasoros.mgungo5502 3 месяца назад
Kweli Hali Ni mbaya leo Masufi ndio wakutangulizwa mbele ya kina Fawzan na Masheikh was SaudiArabia.
@isaack100
@isaack100 3 месяца назад
Lakini bhachu weee ,ywezekanaje ukaona mwezi leo alfajiri,kesho asubuhi ipotee alafu bado jioni iandame tenaa Allahu akbar
@SalumNyumba
@SalumNyumba 3 месяца назад
Watu wa muridi (twariqa) wanaharibu dini ,Allah awaongoze ktk haq
@khadijaabdulrazak8008
@khadijaabdulrazak8008 3 месяца назад
Mashallah tabarakallah jazakallah kheir Allah atuongoze cc na vizazi vyetu amiin
@suleiphwaupendo1030
@suleiphwaupendo1030 3 месяца назад
Asalam alaykum sheikh Allah akulipe kheri na akuhifadhi lkin tukitizam hiz clip matangazo yanakuwa mengi hususwa ya kuchukuwa mkopo wa riba jitahidi kuyaondowa Allah akulipe heri
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 месяца назад
Mmh mbn me cjaonaaa
@JUMAATHUMANI-zx3tu
@JUMAATHUMANI-zx3tu 3 месяца назад
Lete ingine hii bado hatujaielewa
@JamalAli-tz6pj
@JamalAli-tz6pj 3 месяца назад
Ndugu yangu bachu twataka elimu lkn jaribu kukaa nao huku mkijadiliana sio lamatangazo ni ww tuu na yy basii ndio tutaelimika
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 месяца назад
Iv ww ni muelewa mmh au na ww unafuta mihemko..yy alisha sema km kwa shekh anae fikisha kwa njia ya media anafikishiwa kwa style hiyo hiyo kutokana na watu walisha potoka kwake
@HidiDube
@HidiDube 3 месяца назад
Wataka kujikojolea tena
@maktab3679
@maktab3679 3 месяца назад
Mtume saw asema mukiona miezi . Ahhilla ni miezi hilal ndo moja . Kwa nn katumia miezi.
@khamismussa6258
@khamismussa6258 3 месяца назад
Masha Allah
@sefuriyembe7864
@sefuriyembe7864 3 месяца назад
Tatizo ni ujinga !! Ukosefu wa elimu ya jiografia. Watu wanaposimama arafa pale saidia ni adhuhuri. Lakini wakati huo huo kule China ni wakati wa magharibi !! Dunia ni mviringo, tarehe hazifanani !!
@medimisi6930
@medimisi6930 3 месяца назад
na ww kwenu na saudi mmpishana masaa mangp, hao waliotofautiana wamepata udhuru ww unaudhuru gn.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 3 месяца назад
@@medimisi6930 kuna watu wajinga sana umemuuliza swali zuri sana.
@twahamkasi-gn1lo
@twahamkasi-gn1lo 3 месяца назад
nakukubali Sana bachu
@muhammadkhatwab
@muhammadkhatwab 3 месяца назад
Huko juu si kuhusu ramadhani pekeyake, hukusoma swali ndiyo maana hukuelewa jibu Shekh utheymin amemjibu mtu ambae kwao tarehe iko tafauti akienda makkah atafuata makka Elewaaaa!
@sultanmohammed4157
@sultanmohammed4157 3 месяца назад
Mohamed Bachu hana ilimu yakotosha na hashimu mashekh wengine.
@faridijuma6020
@faridijuma6020 3 месяца назад
Good job 👏
@MariamAsudi
@MariamAsudi 3 месяца назад
MashaAllah MashaAllah may Allah guide us all
@arafatally3723
@arafatally3723 3 месяца назад
Mtume s.a.w amesema damu ya mwislamu ni Bora kuliko Kaaba.Hivi mashekhe yanayoendea Gaza na Rafa midomo mumeifunga huku damu za watoto,wanawake na wazee katika sehemu hizo.😢😢 7:15 7:17
@swalehali3037
@swalehali3037 3 месяца назад
Hii raddi imfikie shekh izzudin pia.
@suuahmed71
@suuahmed71 3 месяца назад
Izudin hana haja kuskia hii coz izudin ni msomi. Na pia amemfuata huyo shekh wenu Sheikh Uthaimin. Nyinyi mwahabi hamujielewi. Pia ma sheikh wenu hamuwafuati
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 3 месяца назад
@@suuahmed71 Wanapingana wao kwa wao na mashekh kwa mashekh, yaani wao wanajiona ndio wasomi wakubwa na wenye elimu yakutegemewa na sio waislam wengine na ndio maana hata huyu shekh unaona kwenye video zake anajaza vitabu vingi ili watu wamuone ni msomi haswa, Hatukatai kulingania uislam kwa waislam na wasio waislam ila iwe kwa misingi ya uislam sahihi na mafundisho sahihi na sio mafundisho ya madhehebu yetu au itikadi zetu tunazinasibisha na uislam na kuwa aminisha watu na waislam kua ndio sahihi.
@HassanMorowa
@HassanMorowa 3 месяца назад
sheikh izzudin ashatowa challenge kuhusu hii tafsiri aloitowa Bachu. Birrr angalia hap.kisha umjibu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-8rTF9w5qm48.htmlsi=omroVwAfZir_144S
@Athumaniomari-ge2gs
@Athumaniomari-ge2gs 3 месяца назад
Maaashaaallah sheikh bachu Allah akuhifadhi kwkwel
@salumhassanallymkurdistan7006
@salumhassanallymkurdistan7006 3 месяца назад
WEWE UNAJUWAJE KWAMBA TUNAKOSA SAWABU ZA ARAFA? WEWE NI MUNGU HATA USEME WATU WANAKOSA SWAWABU ? WEWE FUATA UTAKAPO FUNGA HATA KUFATA PONGWE AU KIKWAJUNI
@FathiSaid-j6v
@FathiSaid-j6v 3 месяца назад
Wewe ushatahiriwa kama hujatahiriwa nenda ukatahiriwe muache shekhe wetu Muhamad Bachu awape funzo
@Maresca368
@Maresca368 3 месяца назад
Shukran sana sheikh Bachu!
@gelamuyombo6783
@gelamuyombo6783 3 месяца назад
Kila mwama nyie ni watu wa mashaka juu ya ibada ya funga majibu mnayopewa na viongozi wenu huwa mnayatilia shaka
@amisafaraji5796
@amisafaraji5796 3 месяца назад
​@@gelamuyombo6783hatuyatilii shaka tunaekana sawa tu
@SuleKhamisi
@SuleKhamisi 3 месяца назад
Je nyinyi mngalikua mitume shekh Muhammad ukawa mtume wa das na haji upepo ukawa mtume wa Zanzibar c mngatifautiana jee mitume iliopita ilitofautiana?
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z 2 месяца назад
Huna elim Muhammad Bachoo na huku ukijifanya unajua na ukiwa na kibri king Muhammad Bachoo unanyanyua mzigo mzito rudi kwa mola wako na mapema tunakoenda ni kuzito kaka
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 3 месяца назад
Kijana wa Bachu watu thihirishoia upungufu wa elimu yako
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 3 месяца назад
Allah azidi kukupa Afya na faham Alhamdulillah...
@Superbasil-h3x
@Superbasil-h3x 3 месяца назад
Arafa ni tatu 1- arafa ni pahali (jabali) lipo maka laitwa hivyo siku yoyote na wakati wowote 2- arafa ni kisimamo katika shaair za haj , kisimamo hicho imeambatanishwa na pahali na tarehe (9 thi alhija) 3- arafa ni tarehe 9 thi alhija kwa muandamo wa pali ulipo popote ulimwenguni Mutume SAW alikuwa anafunga kabla ya kufaradhishwa haj . Na haikuthibitipo kuwa alikuwa snafunga kwa kuzingatia kisimamo cha mahujaj aw kufuata muandamo wa maka Kamalivyokuwa watu waswali kwa kufuata nyakati za maeneo yao na vilevile wanapaswa wafuate tarehe kwa miandamo yao Hadjthi ya ibnu abas na kureib imeweka wazi kuwa watu wafuate miandamo yao na hivyo ndivyo alivyo amrisha mtume SAW
@shadyaaboud2405
@shadyaaboud2405 3 месяца назад
Umesema vizuri mashaallah
@omadal1
@omadal1 3 месяца назад
In really sense why Mohd Bachu think tht He is most learned, is it necessary always bringing contraversy. Anyway ma opinion we hv allot as community to discuss rather than thinking ur most perfect.
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 месяца назад
WALE WABISHI WA ARAFA KULENI CHUMA HICHOO👉👉👉ru-vid.comNQHEnHSJMgk?si=WIOqVEGeIweoaKzI
@swalehahmad8947
@swalehahmad8947 3 месяца назад
KAMA HAYA YA SWAUM YA ARAFA NI MADOGO BASI KWANINI UJITOLEE WAKATI WAKO NA NGUVU ZAKO NA UFIDHULI WAKO KUMJIBU MWANACHUONI AMBAE WAJJIJUWA HUTOSHI HATA KIDOGO KWA WANAFUNZI WAKE LICHA YEYE MWENYEWE... MEDIA CHAMPIONS MUNA SHIDA SANA.
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 3 месяца назад
Bachu Allah ti abençoe ❤❤❤
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 3 месяца назад
Kama unataka tena mada ya maulidi Shkh Saidi yupo dj tutakupa akueleweshe
@cheapunderage8228
@cheapunderage8228 3 месяца назад
Kupiga kinanda
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 3 месяца назад
@@cheapunderage8228 hata dufu pia na nai ukitaka
@mukhlisukamugisha9956
@mukhlisukamugisha9956 3 месяца назад
🎉🎉🎉 Allah akuthibitishe shekh wetu
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 месяца назад
Well said. Shukran
@k.kchakua1376
@k.kchakua1376 3 месяца назад
Maa sha Allah Jazaqallahu khaira
@challengepcn7982
@challengepcn7982 3 месяца назад
Hiyo Sauti ambayo umekwa siwo sauti ya Sheikh. Imeweka sauté on top of the video -
@Suleimansalum
@Suleimansalum 3 месяца назад
Shiekhh Muhammad tukubaliene hapa. kuna tanaakudh kwenye maneno ya sheikh Uthaymeen au mengine sio yake yakanwe kwa kinywa kipana
@alivuai9949
@alivuai9949 3 месяца назад
Watu ambao wanaishi mbali na Makka (yaani nchi za mashariki ya mbali na magharibi ya mbali ) je, wao hawaipati swaumu ya arafa kila mwaka??
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 3 месяца назад
Sheikh mimi naona umekosea sana kusema Funga ya Arafa si chochote wakati Bw.Mtume kaieleza na umuhimu wake.Wewe unasema si muhimu kwa sababu ni sunna tu.Kwani wewe si mtu wa sunna?Pili kwani wanachuoni hawana hisabu siku ya siku.Hawakosei.Na ni jambo gani lisilo kuwa na ikhtilafu.Uthaimin,Ali juma,Mohammad Nassor ,Bachu,n.k wote si mitume.Mbona wewe unazungumzia Arafa,unajichanganya mbona?
@AliJabal-fx8pd
@AliJabal-fx8pd 3 месяца назад
بارك الله فيك ويزيد لك في علمك.
@zaiboris9696
@zaiboris9696 3 месяца назад
Mashallah
@husseinbachwa8372
@husseinbachwa8372 3 месяца назад
Allah akulipe kheri Shekh..
@AbdulRama-u7d
@AbdulRama-u7d 3 месяца назад
Uko vizuri ALLAAH akulipe kheri
@abdallahhalifa5860
@abdallahhalifa5860 3 месяца назад
Wallahi Sheikh na lengine lakushangaxa zaidi ni pale uliponukuu kauli za masheikh au Sheikh eti Ramadhan tue tukifuata mwandamo wa kwetu lkn Dhulhijjah tufuate mwandamo wa Saudia hili laingia akilinii
@ALIKHAMIS-pl4yl
@ALIKHAMIS-pl4yl 3 месяца назад
Swali: 1.JEE KUNA MAGUNGAMANO BAINA YA FUNGA YA ARAFA NA KISIMAMO CHA ARAFA? JEE ITAKAPOTOKEA IBADA YA HIJJA HAIKUFANYIKA KWA SABABU TOUFAUTI AMBAZO ZITAPELEKEA KUTOFANYIKA IBADA HIYO KAMA VILE KUSAMBARATISHWA KWA KAABA, AU VIZUIZI VYENGINE VYA KISHERIA, JEE WAUMINI HAWATAFUNGA YAUMU ARAFA?? 2.VP KWA WALE AMBAO HAWAKUTANI NA ARAFA(MCHANA) KWA SABABU YA MATLAI ZA NCHI ZAO, WAO HAWATAFUNGA ARAF?
@MrMohammed-sc9hc
@MrMohammed-sc9hc 3 месяца назад
Nasikitika sana wallah mashekhe zetu wanautia aibu uislamu husikii kanisa la katoliki linapingana na anglikana wanakosoana ila waislam tumetiwa chuki twatombana cc kwa cc mapadri hukosea waislam mbona sioni mukieka mijadala mukapambana na mapadri
@issaathman7750
@issaathman7750 3 месяца назад
@Mohammad Bachu...Na pale nchi iko nyuma au mbele kwa masaa 24,je hukumu ni ipi?...lijibu kwa kina sio juu juu
@mohamedmwatuwano5526
@mohamedmwatuwano5526 3 месяца назад
Nyinyi masheikh muda mrefu na maneno mengi na sifa teletele ni kwa Muhammad kuliko kwa Allah Mwenyewe. Wacha twendeni kwa Allah moja kwa moja .
@hassanabubakarmuhdhar3697
@hassanabubakarmuhdhar3697 3 месяца назад
Lengine zamani kulikua hakuna simu hakuna tv hakuna usafiri wa haraka waliwezaje kujuana jamani arafa ni siku flani ulimwengu mzima fuateni .lengine katika ulimwengu wengine tukiingia dhuhr wengine nimaghrib je nchi zengine itakua hazina arafah tia akili mche mngu usipotoshe watu.kama nikweli nijibu haya yangu yote
@swaleehschweinsteiger7215
@swaleehschweinsteiger7215 3 месяца назад
Naona masuali yanweza kuwa mengi kutokana na tafsiri ya sheikh wenu lakin itakuwa hakufahamu vizuri masuali yaliyoulizwa kwenye kipengele kile. Maana hakuna sehemu ambayo imetajwa funga ya Arafa pale zaidi ya kutajwa masuala ya hiija tu na wala sio funga ya arafa. arudi akiangalie tena ile sehemu ikiwezekana aende tena kwa mashekhe zake wamuelekeze
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 3 месяца назад
LEO MNAMKATAA SHEKH WENU UTHAYMIN
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 3 месяца назад
Sikiliza tena anavyosema bacho Yani shehe lenu ni muongo Kwa maana hii Kwa sababu kanukuu maneno ya sheikh Muhammad bin uthaymeen tofaut na na MADA iliyokua inajibiwa mambo ya mwez wa ramadhan kayaleta kwenye hijaah 😂😂 mtaacha lini uongo masufi
@masoud744
@masoud744 3 месяца назад
Mashallah.. allah akuhifadhi
@AbausAhmad
@AbausAhmad 3 месяца назад
Bachu njoo nikufundishe arafa n nn manake mpaka xx bado nakuona una uelewa mdogo sana
@allyjuma9669
@allyjuma9669 3 месяца назад
ماشاء لله بارك لله فيك
@تعلمثمتكلم-ط3د
@تعلمثمتكلم-ط3د 3 месяца назад
Muhamad bachu mbona unapepesuka kwenye mada tupe msimamo wa kauli ya uthaimini kwenye hiyo mjmuugh alio nukuu sheikh ally Hasan mbona una yumba tulitarajia useme hiyo kauli haipo au niuongo .au sheikh alirekebisha fatuwa😅😅😅😅.utawakamata wahuni wenzako ambao hawajakaa madrasa
@abdallahassan2080
@abdallahassan2080 3 месяца назад
Hana adabu huyu kijini
@AdinaniNdyengu
@AdinaniNdyengu 3 месяца назад
Badhu hapo Shekhe anasema IBADA ya Hijja inazingatia mwandamo wa Maka kwasababu ndipo IBADA zinafanyika hazungumzii Sunna ya kufunga siku ya Arafa, usibabaishe watu kaa kimya
@mohagurey2214
@mohagurey2214 3 месяца назад
Sheikh ibn baaz au utheymin hawakuwa "wahabi" au "mawahabi". Walikuwa watu wa Sunnah na tusikubali kuwa eti sisi ni mawahabi
@swalehabdulrahman4118
@swalehabdulrahman4118 3 месяца назад
Yaani wee bachu kweli ufaham wako ni finyu,sasa hapo Shekh uthaymin wapi kazungumzia arafa?!
Далее
11 ming dollarlik uzum
00:43
Просмотров 155 тыс.
История Hamster Kombat ⚡️ Hamster Academy
04:14
RADDI KWA DJ SAIDI QUBUURIYY || Muhammad Bachu.
38:54
RADDI KWA WAHABI ALIEPINGA UWEPO WA KARAMA KWA AWLIYAA
34:47
RADDI KWA SHEIKH SAMEER ZULFIKAR || Muhammad Bachu
44:23
MAMBO YALIYOZUSHWA KATIKA MAZISHI SHEKHE NASSORO BACHU
56:06