Тёмный
No video :(

Majibu mazito kwa Yussuf Diwani na mtangazaji wake||Muhammad Bachu.001 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 63 тыс.
Просмотров 25 тыс.
50% 1

Bonyeza neno SUBSCRIBE kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wamwanzo kupata video zetu mpya

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 368   
@mohamedjabirimrisho3587
@mohamedjabirimrisho3587 3 года назад
Umeeleza kwa utulivu na hekma kubwa Ma shaa Allah. Allah aendelee kukupa utulivu zaidi ili kubainisha uongo wa wapotoshaji. Wanapotosha kwa kutaka sifa na maslahi yao
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
Nikweli kabisa
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 года назад
@@kawtharalbarwani1337 assalaamualykum
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
@@arqamibnarqam.7185 Aleykum salam
@minahadi2190
@minahadi2190 3 года назад
SubhanAllah kwakwel nimswiba naniajabu sana
@shikivokochabunu8011
@shikivokochabunu8011 3 года назад
Allah nikiongozi ya wale walioamini huwatoa katika giza Na kuwapeleka katika noor Mohammed bachu Allah akupandishe daraja za juu Na awashushe masheikh kama hawao wanafi
@faisalashraf8031
@faisalashraf8031 3 года назад
Namkubali she muhamad bachu Allah akuzidishie ghelimu ili uzid kuongoza wasio jua dini vizuri
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 3 года назад
Aaaaaah diwani kajitakia mwenyewe na hicho kimtangazaji kina kiherehere sana sasa amekutana na Sheikh nasoro bachu mdogo ila tulilia sana kwa kufariki sheikh nasoro ila ALlah kaleta mbadala wake MashaAllah namkubali sana sheikh muhadith Muhammad bachu حفظه الله
@youngdaddy3085
@youngdaddy3085 3 года назад
Sheikh tulikua pamoja na babaako na saiv tupo pamoja na ww simama na haki twahitaj ilimu sio ushabiki..mtume alisema watu watatamani vyeo kisha watavitumia vibaya ndio kama hv....juz kati hapo tuliskia ashindwe katika jina la yesu leo hii tunaambiwa haleluyah...subhaaanallah
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir 3 года назад
Allah akuhifadhi shaykh Kazi uifanyayo Ni nzito sana waislamu tumuombee thabat yeye na mashaykh wengine wa haki
@kombomakame5778
@kombomakame5778 3 года назад
Hoja zako zimesimama na kueleweke Sheikh. Baaraq llahu fiiqa.
@ummesaniyah
@ummesaniyah 3 года назад
SubhanAllah...kama maneno haya ni ukweli basi hii... Ni aibu kwa sheikh Diwani na jopo lake... Basi wamuogope Allah....wao be msamaha.. Allah anasamehe...
@omg2026
@omg2026 3 года назад
MashaAllah! May Allah protect and preserve you and increase you in knowledge. Continue to defend the religion of Allah.
@yusufuhassan6524
@yusufuhassan6524 3 года назад
Kuna shida kwenye swarfu kwa mashekhe wa bidaa...shukran shekhe Allah atakulipa
@jumakumala1337
@jumakumala1337 3 года назад
ALLAH akulinde na hasadi na akulipe kheir na akujalie mwisho mwema inshaallah Amiin
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 года назад
🤲AMIIN YA RABI
@zakiahaji1683
@zakiahaji1683 3 года назад
amiiiin
@allywaziry7489
@allywaziry7489 3 года назад
Jazakaallah khair,,,, Mwenyezi Mungu akujaze kila l kheri khekh Muhammad Bachu kwa ubainifu huo... Inshaallah
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 года назад
Wallah saiv masheikh wetu wanatumia cheo chao kujinufaisha kwa watu subhanallah tena huyu sheikh wa mkoa mara nyingi anakosea tena kukiuka kbs misingi ya kiislam kwa kweli ni mtihan sjui wanatuelimisha nn jamii
@ummykheyr8325
@ummykheyr8325 3 года назад
Masha Allah akhy Muhammad,,, tusome kwaajili ya Allah.JazakAllah kheyr
@kuambianakassimu4993
@kuambianakassimu4993 Год назад
Subhanna allah Mashekh wanaharibu dini asa kulikuwa na haja gani sisi kuwafanyia daawa wasiokuwa waislamu
@mohdaliy7836
@mohdaliy7836 3 года назад
Muhammad bin Bachu. Masheikh wa bakwata njaa had. Alhad no yussuf na wezake wahuni. Wanatakiwa wastaghafiru kwa Allah allah tunusuru allah waoneshe Njia iliyoo booka. Bachu Allah akuepushe na husda
@LizaLiza-sd5uu
@LizaLiza-sd5uu 3 года назад
Mungu tupe wepes tusio na elimu..
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 года назад
Sheikh Muhammad Mia fil Mia uko sawa
@hashimusalum9852
@hashimusalum9852 3 года назад
Shekh mwenyezi Mungu akupe Elimu zaidi ili uendelee kutuelimisha.
@rashidminani5378
@rashidminani5378 3 года назад
Nime jifunza mengi kutoka kwa mashekhe ulio warekebisha. Lakini kila uliye mrekebisha, umetoa hoja wazi ambazo mtu yeyote anaye elewa lugha uliyotumia , amejua ukweli uko wapi . Watakuita majina tofauti lakini haki haifichiki. Jazakallahu khaira.
@halimajumanne5145
@halimajumanne5145 3 года назад
sikuzote salafi n suni niwatu wahaki najivunia kuwa salafi hata watu waikashifu vipi lakini waliesoma wanajuwa kinanani wanasema kweli
@omarsaid8633
@omarsaid8633 3 года назад
Subhanaallah walai wanawapoteza ummah mungu atuongoze kwa kilaa mwenye kutaka uongofu
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
Ni kweli subhanallah hawamuogopi Allah
@ahmedmalick2862
@ahmedmalick2862 3 года назад
Sheikh Allah akuhifadhi uzidi kutetea katika njia ya Allah
@seifalihassan9837
@seifalihassan9837 3 года назад
Allah akupe wepesi inshallah sheikh Mohammad ameen
@zigzag4487
@zigzag4487 3 года назад
Sheikh nimekuelewa vizur umetema point
@suleimanjuma4443
@suleimanjuma4443 3 года назад
sheik hawa mashehe tumbo usiwawache kwa uwezo wake Allah wanapotosha uma na namin hwana cha kujibu dah!!
@abdillahsleyyum2768
@abdillahsleyyum2768 3 года назад
Maaa Shaaa Allah! Sheikh Allah akupe nguvu na elimu zaidi kubainisha ukweli
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 года назад
Yussuf Diwani wewe huna mpya...wafundishi wanao hiyo haleluya
@awadhhadi446
@awadhhadi446 3 года назад
Masha Allah shekhe wetu muhammad bachu upo vzuri usibishane nao hao hata kusoma qur an hawajui unabishana nao nn achana nao
@hassanhamid4359
@hassanhamid4359 3 года назад
Allah akulipe kher shekh wangu
@khalidjmaftah9449
@khalidjmaftah9449 Год назад
Subhanallah, wameshikh wanapotosha bila uoga, 😢! Sheik Mohammed Allah Akuhifadhi
@fadhiliyusuph7731
@fadhiliyusuph7731 3 года назад
Masha Allah Allah atakulipa elimisha jamii shekhe tunaona matunda ya shekhe Nassoro
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 года назад
Shekh Hawa qatu wa bidaaa waltudanganya sanaa nahıc sasa uongo wao mungu anawabaınısha vıjana hatutakı tena ujınga wala misaa ktk din ya Allah hatıangalii mzee cheo wala nn ukıpotosha tunakuweka sawa tu ( rad za elimu ) Allah akulunde Muhmmad Bachu Na amrehem mzee wetu Bachu ilm aliyokuachıa inatosha sana kuutengeneza umma huu!
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 Год назад
Laa ilaha ila LLAHU Muhammada Rasulu LLAHU. ALLAH ATUJAALIE KAUL THABIT.. ATUJAALIE MWISHO MWEMA AMIN
@sibwaafernandes2012
@sibwaafernandes2012 3 года назад
Sheikh Mohammed bachu ww uko vzr saana allah akulipe kwa hili inshaallah kwan unafanya kitu ambacho ni bora kwa ummah wote wa uislam
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
😃😃😃 mashaallah mtoto wabachu uko vzr
@habibuiddi3859
@habibuiddi3859 3 года назад
Masha Allah shekh Mohammad waelimishe, kwa hakika Haq na baatil havikai pamoja.
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 года назад
Subhanallah wanapotosha umma bila kumuogopa Allah Kweli kabisa sheikhe watoe andiko
@khadijasaid5065
@khadijasaid5065 3 года назад
Mashaallah Mashaallah Mungu akuhifadhi shekhe Muhammad bacho akuzidishiye ilmu Mungu akulinde in inshaallah..kutoka Kenya khadija said Nahdi mld
@ummaryam1020
@ummaryam1020 3 года назад
ما شاء الله تبارك الرحمن محمد باش
@adensir630
@adensir630 3 года назад
Sheikh Mohammed bachu Allah akulipe kheri Aamiin ya rabb
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 3 года назад
Mashallah jazakaAllah kheir sheikh Muhammad bachu
@kassimibrahim4776
@kassimibrahim4776 3 года назад
Masha Allah.....Allah atakulipa
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 3 года назад
safii sana ngongaa misumariii humohumoo mpk waelewee
@wamanja5572
@wamanja5572 3 года назад
Allah Akupe Nguvu na Afya Sheikh Mohammad ktk kutetea Haki Sisi tunaofuatilia Hizi hoja Tuna Akil na uchache Wa kusoma ila Kwa Kutumia Akili Ndogo Tu Unapambanua na jibu Unalipata. Tunafuata Quraan na sunna za bwana mtume Sio Mtume issah A.s na Paul. Msiba mzito huu
@nyamuraomary9939
@nyamuraomary9939 3 года назад
subhanallah ndugu zanguni waislamu hawa majamaa wa Bakwata ni wapotoshaji na wako kimaslah waliojificha wala msipate tabu
@ruqiyanasir7141
@ruqiyanasir7141 3 года назад
Hao wote bakwata wanajulikana vibarakatu wajuwetu kwa Allah hakuna kibaraka nihukumutu manaake unajuwa hasa yeye nuuyo mweziwe kama wametumwa unawahisi wanachuki naubinafsi Allaa awaongowe muache kutumiliwa.nahuwo unafki muache domana waislam Tanzanian wanateswasana wanafik niwengisana wananjificha kwakutumiya dini kube niwanafik nawazushi wengine watazuka sihaotu mana wapo wengi watu waainahiyo wanao tetea maovu Allah atupe mwisho mwema AMEEN
@Binahmed1234
@Binahmed1234 3 года назад
Ma Sha Allah ammi,wwe ammi sema tu kweli coz unajuwa Allah atakupa nni kwa dunia na ahera,kitu ya pili ammi fundisha vijana wenzako pia wapite hapo hapo ammi,Baraka Allahu fiik
@amrimzee7492
@amrimzee7492 3 года назад
Allah awabariki mashekh wetu na awasamehe makosa yao
@nooraallahuakibarumwenyeez3079
@nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 года назад
Amina kwa sote pia ww ndiyo umesema pwent alkamalu llah mkamilifu ni Allah pekee sote tunamapungufu
@jsabood
@jsabood 3 года назад
Kuwa shekhe is daraja kubwa kwa mungu. Haya mnayojadili mtandaoni ni mambo yanahusu dini. Mwenyezi mungu amebainisha katika quran kwenye kuhitalifiana. Ningeomba mashekhe mjadala huu ufanyike nje ya mtandao na wanaohusika. Tukumbukeni kuwa binadamu atakaye msitiri binadamu mwenzake, mungu atamsitiri duniani na akhera.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 3 года назад
Ewe ALLAH tuwekee Kijan huyu na umhifadhi na pia utuletee vijana wengine wengi kama huyu kwa maslahi ya uislamu na waislamu
@suleimansuleiman2436
@suleimansuleiman2436 3 года назад
Amin
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 года назад
Masha Allah! Kwanza wajifunze kutoka kwako namna yakujibu. Iko dhahiri walivyo kujibu hawakuja kutufahamisha bali wamekuja kuku gombeza. Allah yu pamoja nawewe na usiwakubaloe watu kama hao kuja kupotosha uma Allah akulinde nachuki na wanao kutakia mabaya
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 3 года назад
Mshllh sheikh mtt WA shkh bachu Uciwakosoe Kwa mitandau Wafuate pengine shetwan kamchukuwa mkamilif Allah Anaona Hy kukubali km kakosea Kulingana na cheo chake Na walojibu pia wanakosea HT ulimkosoa zuneldin Ni kweli alikosea mfuate muislam mwenzio kuliko ktk mitandao Wafuate wanao kosea au watume wazee wamfuate Kuliko kuwasdhir na utapata hasad ndugu yngu Kwa Ajili ya Allah
@mohammedsalim974
@mohammedsalim974 3 года назад
Ma sha Allah tumeielewa vizuri tupo tunasubiri maana sahihi kwa hao wliotumwa na yy mwenyewe msemaji pia alhadi ili tupate kuelewa
@khamistv922
@khamistv922 3 года назад
Umejibiwa hiyo ni lugha ya ki ibraniaa,shekh Bachu hem jitahidi kufanya tafiti kwanza kabla ya ku kosoa watu,tena uliambiwa elimu ni bahar weye ukisema umesoma kuna waliosoma zaidi yako,jitahidi kujifunza kwa kupata elimu,jifunze lugha nyingi utapata mengi in sha Allah..
@herihamisi4574
@herihamisi4574 3 года назад
Nakubari sheikh wangu uko saii kabisa sio ao masheikh ubwabwa
@user-qb3yh9gq5l
@user-qb3yh9gq5l Год назад
Mnatuchnganya mamuma wenu aleluya mana yake mtujalie tujue mana hata mtu asiye jua kizungu ukimwambia God hawezi jua kama unamanisha ni ALLAH TATIZO LUGHA
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 3 года назад
Allah atuongoze sote katika njia ya HAKI Na sheikh bachu Allah akuhifadhi Allahumma ameen
@mustafashaban6007
@mustafashaban6007 3 года назад
Sheikh washakuelewa Kama hawajakuelewa mm nimekuelewa ukweli huwahauhitaji nguvu nyingi barakallahufik walasisifa yaukweli kupendwa na watu Zama hizi
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 3 года назад
Shekh nakupenda kwaajili Allhwa.safi sana kwa elimu yako Mungu akulipe kwa elimu yako ya kheri.
@maulidimanzi9964
@maulidimanzi9964 Год назад
Allah atie taufiq maneno yako shekhe wangu
@mohammadshaban848
@mohammadshaban848 3 года назад
Allah tujaalie sisi na mashekhe wetu...uwasamehe....Yusuf diwani na shekhe wa mkoa...wanababaika na dunia ..tizama tunavopotoshwa...sijui tunaelekea wapi...hata mimi nilioishia tabbatiada..sikubali kwa kauli hiyoo
@zulfahussein6784
@zulfahussein6784 3 года назад
Daah huyu Yusuf diwani nimpotoshaji sana Allaah azidi kumuongoza kwakweli
@sulesumry9766
@sulesumry9766 3 года назад
Ma shaa Allah shekh bachu,na hao wengine Allah atawalipa kwa wanachokitafuya maana kupotosha umma ni jambo kubwa kwa Allah
@mussafeisal7565
@mussafeisal7565 3 года назад
Nimekuelewa vzr
@nassorali8040
@nassorali8040 3 года назад
Tuko pamoja ostadh mohammad Allah akuhifadhi
@arafazahor3760
@arafazahor3760 3 года назад
Alla akuzidishie elimu uzidi kutuelumisha inshaallah
@mussapatrick8101
@mussapatrick8101 3 года назад
Shekh yoyote aliejiriwa kwenye serekal ya kikirosto bas uyo anatetea tumbo lake tu
@khadjahakamali-njufsk-7827
@khadjahakamali-njufsk-7827 3 года назад
Allahu Akbar, hawana hoja, ila kupotosha umma, hawaogopi siku za hesabu, siku hiyo wala mama, baba hawatakusaidia ila amali zako, na wawo wanamtetea sheikh wao, Muogopeni Allah.
@MusaChambi
@MusaChambi Месяц назад
Mashallh alaa akuhifathi
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 3 года назад
Subhaana Allah na hii ndio hatari ya ahlul bidaa😱😱Yaani wanaishi kwa kuwasifu ulamaa wa kisufii ndio waishi
@binahmedjuma8681
@binahmedjuma8681 3 года назад
Mashaallah, Fadhilat Sheikh Moh'd Bachu, Allah atuhifadhi. Kwa upande wangu umeelezea vizuri sana mwenye kuelewa na aelewe na mwenye kupinga na apinge. Huyu Shehe wa mkoa Alhad Mussa kiukweli simwamini na ni muongo muongo sana, kwa minajili ya alichokiongea Je tukiwaslimisha Wakristo kuingia katika Uislam wakati wa kuslimu tuwaambie waseme Haleluya? Alhadi Mussa ni mtetea tumbo. Faqat.
@hurbaisadick128
@hurbaisadick128 3 года назад
Mashaallah, Allah akuhifadhi na akuzidishie elimu Usichoke kukosoa wakati anapokosea yeyote kwenye dini yetu ya kiislam
@shajjaraimmu7122
@shajjaraimmu7122 3 года назад
Maana ya aleluya kwa kiebrania, kiswahili ni mungu mkubwa au (wa juu) Kama sijakosea
@adinanimasonjo6040
@adinanimasonjo6040 3 года назад
Toa ushahid
@jumamuna2315
@jumamuna2315 3 года назад
Wao na huu umma wa sasa wanafauata maneno ya paulo au ya nabii issa watuambia na hilo
@dinocastico8495
@dinocastico8495 3 года назад
Sheikh nimekukubali kwa ufafanuzi. Na nimeamini hata wale walio itia mikono taurat hakika walianza kama hawa mashehe wa mkoa. Umefanya sahihi sheikh
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 3 года назад
MashaaAllah Sheikh hawakuwezi na endelea kutuelimisha....Allah akuhifadhi sheikh wetu. Fajazakumullah khairan 😊
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-CAsuLvp32n4.html
@rayaali7551
@rayaali7551 3 года назад
DAAAH SIO HILO TUU ALIFIKA HATAA KUOMBA DUWA KWA JINA LA YESU KWAKWELII SHEKHE. AL HADI MKUUWA MKOWA YUMO YUMO TUU HASAA.AKISHAWAONA ILEE MI BWANA ZAKE WA SERIKALI YA C.C.M NDIO KABISAAAA AKILIYAKE HUWA HAIFANYI KAZI Shek wetuu ndugu yetu MUHAMMAD BACHU hao mashekhe wa serikali haoo wapo hapo kusaka tonge tuu za mitumbo yaoo
@kaidisaidi4649
@kaidisaidi4649 3 года назад
Bwana mdogo usiyumbe simamia hapo maana wanataka kutuondoa katika uislam japo mola atasmamisha hakhi Allah akujaze kheri
@jumakumala1337
@jumakumala1337 3 года назад
Swadaqta sheikh wng Mohammed Nassoro , Mungu akulinde na akupe umri uzidi kutufikishia Nasaa
@gshdhvdhf8283
@gshdhvdhf8283 3 года назад
Haki uondowa batwili elimu safi ufuta Elimu chafu...nakuelewa sana sheikh kila unapokosowa wenzako elimu yako iko wazi kabisaa na Yeyote aliepitia masomoni anaelewa nani mjanja wakupigania masilahi...kawaida ukichanganya msilahi na ukweli wakati wote lazima uteleze.....
@jumamuna2315
@jumamuna2315 3 года назад
Hao wanatetea maslah ya matumbo yao nasio din ya allah ,na huyo mtangazaji asilete ushabiki kwene mambo yadini tutashughulishwa na makafir hadi kiyama kwa kutopendana nakutetea wakubwa
@anasmalongo6449
@anasmalongo6449 3 года назад
لا شك فها hao wametumwa ila hoja zako sheykh zimenyooka na zinaeleweka sana
@kamalmukaddam1297
@kamalmukaddam1297 3 года назад
Bakwatt njaa inawafanya kumsahau mungu kuposha waislam
@harounalubbaid8585
@harounalubbaid8585 3 года назад
VERRY NICE ELIMU YAKO DUNIA HAWAKIMBII
@harounalubbaid8585
@harounalubbaid8585 3 года назад
HAWACHOMOKI
@neemafatu7885
@neemafatu7885 3 года назад
Kamwe watu wa bid'aa hawawezi kuwa sawa na wenye kuipinga bid'aa kwa kuwa wenyekupinga wana elimu na kila wanalosema na ushahidi juu .wazi kabisa.HAWA NI WAGANGA ,BATILI NA HAKI WANACHANGANYA SANA .HAWAJALI KABISAAAA KUMCHA ALLAH.
@hafidhuayubu6256
@hafidhuayubu6256 3 года назад
Maashaallah sheikh type vitu usikate tamaa
@mjussa1069
@mjussa1069 3 года назад
Masha Allah Allah akuhifadh
@yusufathman2478
@yusufathman2478 3 года назад
Maa shaa allah..
@khamismussa6308
@khamismussa6308 3 года назад
Allah tuongeze njia ilionyooka,
@ibtisamabdulrahman4246
@ibtisamabdulrahman4246 3 года назад
Alhamdulillah,Sheikh Sabas Kubra,alimaliza mzozo wa Haleluya.
@maryamibrahim4039
@maryamibrahim4039 3 года назад
MashAllah,umeongea kielimu.
@abdillahmbarak7418
@abdillahmbarak7418 3 года назад
Mashaallah umeeleza tu vizuri ila vizuri mungerekebishana uko kando masheikh wetu mutafutane muelezane lakini ivi sio poa
@saiditara7235
@saiditara7235 3 года назад
نستفيد والله، بارك الله فيك وأطال الله بقائق
@kongasaidi545
@kongasaidi545 3 года назад
Hakika ya waladiy ibnu khamisi
@saiditara7235
@saiditara7235 3 года назад
@@kongasaidi545 maa shaa Allah upo kumbe mzee
@bellbell9294
@bellbell9294 3 года назад
Shukraan sheikh bachu Allah akuhifadhi
@johntay8813
@johntay8813 3 года назад
Allah akuifadhi kaka yangu ukweli utazidi kuwa ukweli
@ahmadijuma7703
@ahmadijuma7703 Год назад
Mashaalllah
@najashrk3738
@najashrk3738 3 года назад
Limekoseya Diwani...eti amekuja kukutega linajizimuwa ....tubiya baba uwendako sikuzurihuko unamkoseya Allah...Bachu wawekesawa masufuhawo wazee wa bidaaaa
@issaswalehe200
@issaswalehe200 3 года назад
Shekh wa mkoa kakosa kijana Mohammad umepata
@maryamshuraim4163
@maryamshuraim4163 3 года назад
Hawa mambumbumbu...hawajui jambo..hawajui lugha..bachu uko sawa
@noshadmadini5768
@noshadmadini5768 3 года назад
Pini juu ya pini
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 года назад
Inna lillah wa inna ilaihi raajuun BAKWATA mnaiuza din ya Allah kwa thaman ndogo....hata mtu ukiwa hujasoma hii ya haleluya haina maana kuwa ndo لا إله إلا الله watubie tu
@abuutasniym2675
@abuutasniym2675 3 года назад
Jamani hebu mda mwengine tuache ushabiki tusome ikiwa kweli wewe unaweza kusoma maandishi yakiarabu na umemfuatilia mwanzo hadi mwisho basi utaona neno hilo lilivyo tafsiriwa ktk kamusi la kiarabu na limeandikwa vyema kabisa na limeelezewa kua neno HALLELUJAH/HALELUYAA (هَلِّلُوْيَا) nineno la kiibraania kwa lugha ya kiarabu ni HALLILUU (هَلِّلُوْا) kwamaana semeni: "Laa Ilaaha Illa Allaah (قُوْلُوْا: لَا إِلَهَ إِلَّا الله)" Nikama vile mtu kusema kwakiarabu: "SABBIHUU (سَبِّحُوْا)" yaani semeneni: "SUBHAANA ALLAAH (قُوْلُوْا: سُبْحَانَ الله)". Kwahio hio ndio hali tusomeni nasio kufuata tuu mkumbo naushabiki ili kutafuta umaarufu
Далее
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
Просмотров 11 тыс.
ATHARI ZA LGBTQ
5:31
Просмотров 1,5 тыс.