Тёмный

Majini Wanatumia Simu, Ukimuona Nyoka Nyumbani Kwako Fanya Hivi Kabla Ya Kumuua 

QIBLATEIN ONLINE
Подписаться 51 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM RU-vid @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 www.facebook.c...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com...

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@qerysir4410
@qerysir4410 4 месяца назад
DINI YA KIPAGANI!! Sasa inaporomoka tu kwa kuwa Injili ya YESU lazima isimame💪
@mamawamireille4872
@mamawamireille4872 4 месяца назад
Weye jiheshimu gwajima anaingiza waumini kanisani kupitia majini alietowa kwa mzemasele
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 4 месяца назад
Mbogo umesoma yule shafi mjinga Sana ujinga umemjaa anajidai kasoma kumbe shafi Hana elimu mjanjajanja tu
@mussamtupa
@mussamtupa 4 месяца назад
Shafii hajasoma anachojua kukopea Aya za Qur an. Na Bibilia. Ebu msikilize Shekh Yusuf diwani alivyo chambua majini
@martinochillo6465
@martinochillo6465 2 месяца назад
Kweli kabisa maduka ya sonara hayana wateja lakini hayafilisiki.
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche 4 месяца назад
Ww una ilimu.
@MohazmSamowadan
@MohazmSamowadan 3 месяца назад
Ni mimi mazuri 😂
@samsonmutuku4496
@samsonmutuku4496 4 месяца назад
Tuonyeshe Kwa bibilia majini yameokoka. Majini Ni waislamu peke
@thomasnizigiyimana5122
@thomasnizigiyimana5122 4 месяца назад
Majini ni mashetani hayo majini
@HassanOsimine
@HassanOsimine 4 месяца назад
wwe na sule hamna tofauti na nabii ilyasa feki
@kalamamuller-qe1yd
@kalamamuller-qe1yd 4 месяца назад
Kwaio wewe sasa ushakua mcha mungu
@rahimumustafa587
@rahimumustafa587 4 месяца назад
Mbogo sy lazima ujb kama hujui siunaacha yann mpaka ujidhalilishe?
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 4 месяца назад
Shafi está certo você não sabe nada 😂😂😂😂
@rajababdallah579
@rajababdallah579 4 месяца назад
Kwani nyinyi mtume wenu naani.....Alafu mbona mwamtangulia.....ama itakua mna elimu kumshinda?
@ShabanMohamed-e9l
@ShabanMohamed-e9l 4 месяца назад
Huyu yupo sawa wewe unae sema Hawa ndoo wanao chafuwa uisilamu wewe ndoo huna elimu na Ina wezekana ume tumwa na upande wapili kuzuia juhudi za wajuzi jinga wewe Kaa usome
@rajababdallah579
@rajababdallah579 4 месяца назад
Njaa imetoka tumboni ikaamia kichwani....balaaa
@Dafetty
@Dafetty 4 месяца назад
😂😂😂😂 kabisa 🤝💯
@AbdulatifoSufo-tb2rn
@AbdulatifoSufo-tb2rn 4 месяца назад
Uyu ata kusoma ajuwi. Je ataelewa vp
@KikwaleRashid
@KikwaleRashid 4 месяца назад
Hata kigoma Mwamgongo alikuwepo
@jotafungo4622
@jotafungo4622 4 месяца назад
Sheikh usiziogope comment😂
@rahimumustafa587
@rahimumustafa587 4 месяца назад
Lipo lopo
@RajabuBabu-c9y
@RajabuBabu-c9y 4 месяца назад
Acha mambo Yako wachawi wakubwa
@ExcitedChefHat-ef5jt
@ExcitedChefHat-ef5jt 4 месяца назад
Hii ndio tabu ya makhurafii mwisho wao ushirikina kutumia majini badala ya kumumba Allah shida zao. (Al baqarah 186) Na waja Wangu wanapokuuliza kuhusu Mimi: Hakika Mimi niko karibu. Ninaitikia maombi ya mtu wanaponiomba. Basi na waitikie kwa utiifu Kwangu na waniamini Mimi, huenda wakaongoka kwenye Njia Iliyo Nyooka.
@EMMANUELMWABONJE
@EMMANUELMWABONJE 4 месяца назад
Wacha uongo,hakuna majini wakristo naona umepagawa .
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 4 месяца назад
Wewe na sule ndio walewale washirikina nyie sio mashehe ni mashehena na washirikina huo sio huo siku iz weng dini tumeisoma hamtudanganya
@Rashid-bs6vj
@Rashid-bs6vj 4 месяца назад
Surat ljinni aya ya 11,majini wanasema miongoni mwetu ni wema na wengine ni waovu...hii ni qur an..xx ww umsoma embu npe ufafanuzi hapoo
@kasimubangu1875
@kasimubangu1875 4 месяца назад
Watu kama hawa ndo wanao uchafua uislamu
@MwalimIdrissa
@MwalimIdrissa 4 месяца назад
Sasa sheikh ww umepata iyo dua kwani uwezi kuitowa kwann
@Dafetty
@Dafetty 4 месяца назад
Kabisa 🤝💯😢
@MwalimIdrissa
@MwalimIdrissa 4 месяца назад
Iyo niilimu ww umepewa bure kwanini ww utaka ugaramiwe
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 4 месяца назад
amuna sheikh mbogo ni mkweli,lslam ni ushetani!
@ShamimWanjiru-bm6ve
@ShamimWanjiru-bm6ve 4 месяца назад
Utanisameh Sheikh lakini heri ungenyamazia na Dua hio kuliko kusemablazima tugharamie Dua,wakati yule Sheikh ulosoma Dua kwake hukugharamia,Astaghfirulah,Allah atusameh
Далее
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 34 млн
🔴 #LIVE  FIKIRI NJE YA BOX
1:37:50
Просмотров 1,9 тыс.
KISA CHA NABII MUSSA NA FIRAUNI //SHEIKH OTHMAN MAALIM
40:28
KHUTBA YA IJUMAA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
40:13
Просмотров 2,4 тыс.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21