Тёмный

MAKAMO WA RAISI AMUONYA PASCHAL WIMBO WAKE MPYA KUTAJA MAJINA. AMGOMEA 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 253 тыс.
50% 1

#call0688199370 #0766998994 #paschalcassian #

Опубликовано:

 

29 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@bennymkubwa6196
@bennymkubwa6196 Год назад
Mtumishi tuko pamoja moyo wangu ni kama wakwako,, songs mbele.
@lucykilambu8720
@lucykilambu8720 Год назад
Amen 🙏 mtumishi wa Mungu usimuogope mwanadamu kile umepewa toa anaye taka kugeuka ageuke maonyo ya Mungu ni mazuri ubarikiwe sana
@janethjulius6813
@janethjulius6813 Год назад
Songa mbele Mtumishi wa Mungu nabarikiwa na kila kitu unachokiongea na kuimba
@mtumishiDanny
@mtumishiDanny Год назад
Injili isio ghoshiwa hongera sana hiyo unayofanya ni wajibu wako kama mhubiri wa injili
@jameskija
@jameskija Год назад
Amina sana tena uwaambie natamani Mungu ukuinue juuu kabisa ulihubili neno la kweli nasi kona kona nakuombea Mungu awe nawe akupiganie akulinde leo kesho hata milele
@JamesSamuel-b3d
@JamesSamuel-b3d 7 месяцев назад
Mm nakupenda San mungu amejitukuz kwako mtumish usiogp mm nilanz kukufuatilia nilipo maliza darasa LA saba 2020 huwez kunyamasishwa nakupenda Sana nakosa LA kusema
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Год назад
Upo sahihi kabisa. Pengine wao ni wanachama wa maji ya upako na mafuta ya upako,so lazima wajaribu kukutisha. Pigana hadi tone la mwisho. Ubarikiwe sana
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
Iliyonishangaza ya kucha na nywele ya Suguye duhuuu
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 Год назад
@@tecratzmwakyambomwakyambo7243 kumbe ulikuwa hujaipata hiyo? 🤔
@abibumbota5160
@abibumbota5160 Год назад
Mungu akulinde mtumishi unatufundisha vzr Mungu akupe maisha malefu
@wiliamvicentewiliam4903
@wiliamvicentewiliam4903 Год назад
Paschal Mungu wetu YESU Cristo akulinde sana ebu songa mbele na injili ya ukweli.
@verombwambo3703
@verombwambo3703 Год назад
Sema wengine aisee sio Mtumishi wa mungu Mwamposa amenitoa mbali sana Mungu aliye nae ni Mungu aliye hai mkatae mkubali.
@almacklucas7406
@almacklucas7406 Год назад
Ni kwer kabisa hao si watumishi wa mungu hata nafsi zao zinashuhudia wanachofanya si mungu anachoagiza. Endelea kuweka mambo waz maana watu wengi wanaangamia
@joshuajoseph1980
@joshuajoseph1980 Год назад
Wewe WAPIGE tu hao wala usirudi nyuma. UKO SAHIHI SANA PASCAL
@ayonicklimited3704
@ayonicklimited3704 Год назад
Laziama ukweli usemwe ni heri kufa kuliko kuishi ukishuhudia mambo mabaya yakiendelea ukweli usimame hata milele NA MUNGU WETU HAZIAKIWI. WALA HATANIWI.
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 Год назад
Na Mimi ntakuja na hoja yangu mniambie umeandikiwa wapi mtumishi wa Mungu aitwe Baba maana Mimi toka nisamage biblia huwa naona mtumishi ,mtu wa Mungu,nabii wa bwana ,mtume ,mwinjilisti ,mwalimu,mchungaji ,na askofu Mara moja ndani ya biblia lakini ili Jina askofu ndo Lina maana kubwa kwa kanisa la Sasa na msingi wa kanisa wa Sasa unaonekana umejengwa juu ya Askofu badala ya kuwa Kama unavyoelekeza biblia kuwa umejengwa juu ya hao mitume na manabii wanaopigwa Vita leo kwa upande wa biblia baba NI Mungu pekee ukija kimwili baba NI yule aliye kuzaa kimwili labda Mimi ndo sielewi biblia mnisaidie.
@fredyefd8116
@fredyefd8116 Год назад
Nikweli lakini, wao hawakutaji Wala hawakushambulii Kama unavowashambulia wao hapo unajifunza nini?? Pili wenye msimamo Kama wako wanapotea Kama upepo kila siku bila kujua adui ametokea wapi maana naona Sasa umeongeza wigo wa uadui na watu Sasa unagombana na serkali naomba ubadili mfumo wa mahubili yako wafundishe watu madhara ya mafuta syo kugusa maisha ya watu.
@japhetmasai9954
@japhetmasai9954 Год назад
Nmeamin maneno hayo ya paschal ni kwa uwezo waroho mtakatifu
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 Год назад
Ha ha haa We endelea kuwaponda Watumishi wa Mungu Mana ndo Kwanza wanazidi Kuinuliwa, Umeshindwa kuhubiri Neno la Mungu Unaimba majina ya watu, Du mi hata Hunidanganyi.
@nasrasewando7152
@nasrasewando7152 Год назад
Yesu akutunze
@happynesspaul7553
@happynesspaul7553 Год назад
Njia ambayo mungu ametumia ni kufikisha ujimbe Kwa njia ya uiambaji. Msitetee uovu
@gib3888
@gib3888 Год назад
mtumishi wa mungu usiogope hivo n vitisho baridi kwanza nyimbo zako zime n pariki snaa mungu yupo pamoja nawewe 🙏🙏
@mfirimassawe9023
@mfirimassawe9023 Год назад
Tupe Mandiko yasemayo kuwa mafuta yamesha nguvu au kupitwa na na wakat,mtumish unatafuta Kiki na watumishi wamungu ,utapotea kuwa makini ,huku si
@celiahaule9166
@celiahaule9166 Год назад
Sema baba wanadamu tupone
@lolenvitus8467
@lolenvitus8467 Год назад
AMINA 🙏 baba, siku zote msema kweli huchukiwa na walio wakosaji,mungu akulinde mtumishi wa mungu.
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi Год назад
Kuwaonya hadharani ni halali maana hata wao ramli wanazopigia waumini wao kanisan huwa wanafanya wazi wazi. Big up sana mtumishi Paschal Mungu akujalie neema kubwa uendelee kutia mchanga vitumbua vya hawa wahuni wa mjini wanojiita watumishi.
@joshuamwamala4795
@joshuamwamala4795 Год назад
Hii ni sauti ya mtu aliyaye nyikani tutengeneze njia zetu Yesu analudi upes Mungu tusaidie.
@chengeson
@chengeson Год назад
Amen
@josebambo1419
@josebambo1419 Год назад
Huo wimbo unaitwaje tafadhali
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Год назад
@@chengeson NI KWELI KABISA MTUMISHI NENO LA MUNGU LINASEMA WAZI KWAMBA MUMEPEWA BURE. TOWENI BURE
@brightergermanus2163
@brightergermanus2163 Год назад
HUYO MAKAMU WA RAIS YUPO KATIKA HEKIMA YA KIDUNIA AMBAYO NI UPUMBAVU MBELE ZA MUNGU
@danielnzikali
@danielnzikali 3 месяца назад
​@@josebambo1419mwamposa
@barakakasamia5036
@barakakasamia5036 Год назад
Natamani neema kama iyo iwe juyangu Mungu anitumie kama wewe na kuzidi ili ulimwengu ufaamu kuwa wapo watumishi was Mungu wa kweli
@makakasebele3661
@makakasebele3661 Год назад
⁰0⁰0
@johnchalahani6924
@johnchalahani6924 Год назад
Uko sawa Paschal. wanaopinga ni vipofu wa Neno la Mungu. Endelea kusema kweli ya Mungu
@alexseve7720
@alexseve7720 Год назад
Ubalikiwe sana Mtumishi hiyo Ndiyo kweli Watu wana takiwa Kujua..waziache Njia zao Mbaya..🙏🙏🙏🙏
@lovenessrichard9969
@lovenessrichard9969 Год назад
Acha Kiki wewe...shobo nyingi kwenye huduma za watu
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Год назад
Songa mbele baba , Mungu mtetezi wako yupo atakupigania. Yesu alituambia tuwe tayari hata kufa 😢na tunayoambiwa gizani lazima tuyaseme nuruni 🙏🙏🙏 . Makamo wako mkuu ni yesu 💪💪💪
@rhodrickdemias947
@rhodrickdemias947 Год назад
Amen Pascal cassian
@AlexKigamba-yy2kd
@AlexKigamba-yy2kd Год назад
😊
@TuaircachimoNantola-po7oo
@TuaircachimoNantola-po7oo Год назад
Amém
@Janethzabron-yl9mu
@Janethzabron-yl9mu Год назад
amen amen mtumishi wa Mungu weka number ya sim nikupigiee ninashida unishauli kitu mtumishi wa Mungu
@ambakisyemwakifyogo2144
@ambakisyemwakifyogo2144 Год назад
Acha kabisa kutaja majina .bila ruhusu usikengeuke wewe si Mungu wala malaika unajasba za kitoto.
@RobertMakori-c6b
@RobertMakori-c6b 4 месяца назад
Waja aseme ukweli unaumwa nn sasa
@rachelykelvin4676
@rachelykelvin4676 Год назад
Hakuna nabii mkuu dunian ni uongo tu
@georgebalilemwa3305
@georgebalilemwa3305 Год назад
Kumbukumbu la Torati 33:24 [24]Na Asheri akamnena, Na abarikiwe Asheri kwa watoto; Na akubaliwe katika nduguze, Na achovye mguu wake katika mafuta. And of Asher he said, Let Asher be blessed with children; let him be acceptable to his brethren, and let him dip his foot in oil.
@faustindismas
@faustindismas Год назад
Eti wamesajili huduma kisheria upuuzi kabisa.. huduma ni ya yesu au wanatumikia serikari
@aidanmpagama4030
@aidanmpagama4030 Год назад
Sheria ipo mwilin lakn wewe upo kiroho so songa mbele hawawez kukuelewa
@katemba48
@katemba48 Год назад
Nakupata sana tangu ukiwa msabato sijajua bado ni mwijirist wa kisabato au kilokole anayejua anambie
@consolatamuga7471
@consolatamuga7471 Год назад
Mwenyezi Mungu akutangulie akufunike kwa damu ya mwanae mpendwa Yesu Kristo adui asipate nafasi juu yako
@leahsanga3777
@leahsanga3777 Год назад
Mungu akusaidie baba kaza mwendo endelea na kazi ya bwana hivyo ni vitisho tuu vyakutaka kuharibu kazi ya bwana endelea baba kaza mwendo wala usikate wala kugeuka nyuma na mungu akusaidie kwa jina la yesuuuuuuuuuuuuhuuuuuuuuu
@elishabsfcultivation9517
@elishabsfcultivation9517 Год назад
Mtumishi wa MUNGU upo sahihi kwa 100% nakupenda sanaa Katika Kristo Yesu, Mimi mwenyewe nimekuwa nikikilashi sana kupitia Facebook hayo mahubiri ya mwamposa, na wengine kama yeye! husiogope MUNGU Yu pamoja naweee! Nyimbo zako zinanibaliki sana nikisikilizaaa
@laodikiagiantsingers1027
@laodikiagiantsingers1027 Год назад
Mungu akutangulieee mtumishiii wa Mungu uendeleeeee kutufudishaa na akuepusheee na rohoo za husdaa
@marymnemela2432
@marymnemela2432 Год назад
Mungu akutie nguvu simamia kweli, niko pamoja na wewe barikiwa sana
@geralddasius3625
@geralddasius3625 Год назад
Kweli mtumishi wa Mungu wambie wapone maana wanaangamia kwa kukosa maarifa bwana akusaidie sana
@benardzephaniah4645
@benardzephaniah4645 Год назад
Kwa habari ya huduma 5 Paul ameeleza vizuri,na huduma ya kinabii IPO wapendwa, Waefeso 4:11-20 na ameeleza kusudi ya hizo huduma,changamoto ambazo tungezungumzia ni namna zinavyotumika hiyo infekuwa mada sahihi!
@mossendoghwe317
@mossendoghwe317 Год назад
Uko sahihi kabisa, usiyumbishwe tena simamia msimamo wako anaeinuka kupngana na wewe atashindana na kusudi la Mungu na Mungu atashughulika nae!
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 Год назад
Mimi naomba nikuulize swali itakuwaje siku ya hukumu utakapoona hao unaoona wanakosea katika HUDUMA zao wanaiona mbingu
@drdd774
@drdd774 Год назад
Kwanini inaposemwa kweli baadhi ya watu wanachukia? Hii ndiyo injili ya kweli , INJILI YA KWELI NI MOTO WACHA IWACHOME.
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Год назад
Mungu,asabiee ,na manabiii🔥🔥🔥
@vidickmandao2704
@vidickmandao2704 Год назад
Kaka mimi huwa nakuelewa sana, pia huwa haipiti siku bila kusikiliza nyimbo zako.
@stephanojames2935
@stephanojames2935 Год назад
Chenye mungu amepanga hakiwezi zuiliwa na mwanadamu
@millicentakinyi5504
@millicentakinyi5504 Год назад
Aminaa🇰🇪
@belthonkakuru2666
@belthonkakuru2666 Год назад
Ishi katika imani yako, wapo waumini wanaoenda kwa Mwamposa akiwa na imani ataponywa, akiwa hana imani hataponywa,hapo ndipo tutamuona mwamposa muongo.
@justineronard7747
@justineronard7747 Год назад
Ubarikiweeeee mnooo, chapa injili ya kweli ya Yesu Kristo, isiyo chakachuliwa.
@مريمم-غ3س
@مريمم-غ3س Год назад
Utuzwe sana na bwana Mungu 🙏🙏 uko sahihi kabisa
@justermulengeki6970
@justermulengeki6970 Год назад
Imani ni Nini? Mungu tusaidie tuwaombee.
@annaclethankwabho2552
@annaclethankwabho2552 Год назад
Usiope mtumishi wewe toa ujumbe wa Mungu hata akina Paulo walifungwa ukifungwa atakuwa ameruhusu aliye kutuma neno la MUNGU wanalifanya kimazoea ....Mungu aendelee kukutunza
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 Год назад
Vita yako ya mwilini sio ya kiroho
@indiansonglomanticlove8493
@indiansonglomanticlove8493 Год назад
mwenyezi mungu akulinde na akupambanie kwenye Vita yako mtumishi
@SabinaFrayo
@SabinaFrayo Месяц назад
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe
@evarinenathaniel9838
@evarinenathaniel9838 Год назад
Piga kelelee Usiachee. Bwana Yesu Azidi kukutia Nguvu.
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 Год назад
Mungu akupiganie wanadam hawapendi ukweli washindwe katika jina lamungu wanazaridi
@carolineatieno2875
@carolineatieno2875 Год назад
Shetani imeingia ndani yao ndo maana wana chuki na wewe the truth must be told, if they dont need the truth then come to kenya we need it especially me i neee to kno God more and i love that song, yenye umesema,WAMBIENI WATU UKUELI i lov it so much, tell them the truth man of God and be blesed.
@marthachelagat2702
@marthachelagat2702 Год назад
Caroline Atieno tutoe wapi wachungaji kama huyu
@rmaryp6269
@rmaryp6269 Год назад
Songa mbele Mtumishi wa Mungu, hivyo ni vitisho vya shetani kukudhoofisha ili usiseme kile ambacho Mungu amekuagiza useme. Songa mbele Mtumishi wa Mungu, shetani fumba kinywa chako kwa Jina la YESU. AMEEN.
@frankdickson1480
@frankdickson1480 Год назад
Kaka Usiogope sema kweli MUNGU atakua upande Wako Unanitia Moyo Sanaaaaa
@frankdickson1480
@frankdickson1480 Год назад
Mimi naitwa Pastor Frank nipo dodoma mjini, Yesu Asidi kukupa Mafunuo
@marthamaganga5700
@marthamaganga5700 Год назад
MUNGU aturehemu tupate Kuona mambo ya rohoni.🙏
@victoriaeliud1218
@victoriaeliud1218 Год назад
Amina a wewesongambele
@emes602
@emes602 Год назад
Kiongozi gani anakublock 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 apo amezingua
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 Год назад
Ameeen nimekuelewa San mtumishi ubalikiwe
@zakariamwantembe8486
@zakariamwantembe8486 Год назад
hata sasa Mungu anao watu aliyojisazia, hata wafikie manabii 400, wakupinge, simama na Mungu tu
@stevendavid8054
@stevendavid8054 Год назад
Amen Mtumishi wa Mungu,Mungu amekuponya kwa makusudi,sema kweli na Mungu atakubariki,nakupenda Sana,nakumbuka wakati unaumwa tulikuwa tunaongea kupitia sms
@josephkashana9846
@josephkashana9846 Год назад
Asante mtumishi tunakupata sana mungu akulinde
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 Год назад
Nipo Musoma Baba Nakupenda pambana tunakuombea
@Mc_matirio_Original
@Mc_matirio_Original Год назад
Ungewajibu kwa njia walizokutumia ujumbe sio kuja kutujibu sie wakati wahusika unawataja na unawajua. Mbona wao hawakujirekodi video kama yako. Acha mbamba mtumishi, fata utaratibu
@xdown5125
@xdown5125 Год назад
Kazi ni lazima ukweli usemwe huyo raisi mwenyewe atulie ya Mungu sio ya kaisari asiingilie mambo yaliyo nje ya uwezo wake hakuna mafumbo tutawapoteza watu wazi wazi ndiyo mpango wa injili kwasasa
@hadijamakukila3534
@hadijamakukila3534 Год назад
Uyu MUNGU akubaliki baba
@rebecashumbi3450
@rebecashumbi3450 Год назад
Unatakiwa kuombewa sanasana tuko vitani vita ni kali sana tunaomba Yesu akulinde akufunike akukumbatie akufiche akuatamie ee Yesu mlinde yohana ni sauti ya mtu iliayo nyikani
@thepresidenttobe5481
@thepresidenttobe5481 Год назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Paschal. Usiogope tuko wengi tulio pamoja nawe. Tutakusapoti kwa kila jambo. Hao ni mawakala wa shetani tu wanaona shida siri zao kufichuliwa
@denisjonathan954
@denisjonathan954 Год назад
Kaka Mungu aendelee kukutumia wewe wambie ukweli maana tumeambiwa pigeni kelele msinyamaze kimya
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries Год назад
MUNGU AKULINDE. NINA KUOMBEA MIMI MTUME MESHAK. NINAJUWA UMEITWA NA MUNGU NA UTAFIKA MBALI.
@barnabasmboya7688
@barnabasmboya7688 Год назад
Upo sahihi kabisa Mtumishi wa Mungu. Nakuombea SONGA mbele USIOGOPE vitisho vya wanadamu. Siri za shetani ni lazima zifunuliwe na watu waje kwa Yesu.
@azizanyiranzeyimana7073
@azizanyiranzeyimana7073 Год назад
Pascal ikwaumeitwa na Mungu basi simama kama Paulo kwa waroma walausiwaogope. Kwamaanawoga nimtego,natena ukweli unakata kamakisu kwayule asie mkweli basi simamakama Elia pazasauti. Mpaka Mungu mwenyewe atakaposema inatosha. 🙏 🙏 🙏
@edwardnathan6294
@edwardnathan6294 Год назад
Uko sahihi mtumishi
@marthakibona
@marthakibona Год назад
Kweli kabixa
@abdulmilingita2114
@abdulmilingita2114 Год назад
Ukweli unaumiza na ukiwa mtu wa kuongea kweli kwa dunia ya leo jibu ni kwamba utapigwa vita mno. Mungu akulinde sana PASCAL
@AbelyThedonny-ko4fw
@AbelyThedonny-ko4fw Год назад
Kaza buki cassian kila hatua mungu yuko na wewe
@madamsanga
@madamsanga Год назад
Hujatujibu swali letu bado tatizo unapaniki sana broo
@madamsanga
@madamsanga Год назад
Wewe unahukumu na umeona ndonjia ya kutokea kimaisha
@magrethlubimbi4055
@magrethlubimbi4055 Год назад
Dada Muombe Mungu reheme na hekima za kiMungu za kuona vya rohon
@furahadayson2664
@furahadayson2664 Год назад
Nakupenda sanaaa mtumishi unaongea kweli
@eliadeus236
@eliadeus236 Год назад
Ulisema ulikuwa katika chama Cha freemason? Kama ndio, Bado wanakufatilia Kama wanaenda vibaya fungua Ministry Yako.
@simiyukevin6239
@simiyukevin6239 Год назад
Hapo ndipo mtumishi injili lazima isonge mbele kwa ukweli Mungu akujalie neema Na tunakupenda sana 🙏🙏🙏
@solsimaniakanam7843
@solsimaniakanam7843 Год назад
Kilamumoja anavitavyake huyuamefikiya hapohakuna wakumuzuiya anapita atafikalevo yengine huyuanaaza yukomahali pangumu ambapo wezakewalipita wanaedambele pole utafikatu nimekujibu kiulimwengu Waroho badouko porini nyikani kamayohana hujamubatiza yesu hizomeseji hungezijibu ungeimbawimbotu ukifatananao utabakihapo kwamabishano nasikiyahuruma ya Mungu ukweli achananao usiwajibu kamawatakuhitaji kweli watakuitaofisini achakuwajibu diowanakulengeza hivyohiyo ombasana mutumishi
@stanslauschacha2833
@stanslauschacha2833 Год назад
Mungu akupe wigo wa ulinzi
@nashonjonas9240
@nashonjonas9240 Год назад
Injili ilinza kwa mateso, itaisha kwa mateso tunaomba kwa wanao sema kweli tuko nyuma yako, sisi tunahila kilichondani ya manabii wauwongo, barikiwa baba
@joycemanegabe9154
@joycemanegabe9154 Год назад
Kila siku ukweli unaumiza, endelea kuchapa injili
@sedekiakiza
@sedekiakiza Год назад
Mtumishi Yesu akutunze sna
@mwasomolarehema3689
@mwasomolarehema3689 Год назад
Mtumishi shetani amewataka kwaakili
@elizabethgwakisa9753
@elizabethgwakisa9753 Год назад
Usikariri biblia omba roho mtakatifu akufunulie, omba mungu wako tuone matendo ya mungu
@papamacheso
@papamacheso Год назад
Mungu akulinde Papa
@margaretambani552
@margaretambani552 Год назад
Injili iendelee mbele usimupe shetani nafasi God always wil protect u 🙏
@agnesnzala885
@agnesnzala885 Год назад
I love so so so much Your songs especially the new song very very nice song O love ❤️😍💖❣️💕 it
@superbillionairea5987
@superbillionairea5987 Год назад
Yaan upo sahihi
@shila9887
@shila9887 Год назад
Thanks Lord JESUS for this man.
@josephkaveya4284
@josephkaveya4284 Год назад
Twende kazi baba
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 Год назад
@@josephkaveya4284 🙏🙏🙏🙏🙏
@obedylupenza2519
@obedylupenza2519 Год назад
Umeongea ukweli kwa wale wenye akili wataelewa ila kwa wapumbavu wataona unawivu.
@emilianagodwine6138
@emilianagodwine6138 Год назад
Watu tuliookoka tunakuelewa endelea mbele Mtumishi
@marylyimo8446
@marylyimo8446 Год назад
Usitafute umaarufu kwa kutumia majina ya watu.
@evalinegoden2009
@evalinegoden2009 Год назад
Fungua huduma yako wewe uone Kama kunasisimizi watakuja labda wasukuma wenzio
@fasheamani5395
@fasheamani5395 Год назад
Mbarikiwa na Paschal nawapenda Bure, mmoja anagonga kwa anjili na mwingine kwa nyimbo, endeleeni tu.
@aidanmpagama4030
@aidanmpagama4030 Год назад
Ata Mimi et
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Год назад
Hata mimi eti
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 Год назад
Alafu tambua wewe ulivyotumwa NI tofauti na yeye alivyotumwa kwani wewe Hawa watumishi umewatuma wewe hata uwakosoe na kwani wakiuza MAFUTA wewe inakuathili Nini mbona MIUJIZA ni Jambo la kawaida
@franckkonkwa2120
@franckkonkwa2120 Год назад
Jambo mtumishi wa mungu siko mtazania ao siko muimbaji Ila Niko mushabiki Yako kutoka Burundi tafuta mawasuliano mazuri na watu wote
@fulenkisilivesto2873
@fulenkisilivesto2873 Год назад
ivi mwamposa alishawai kukujibu anaga time naayo yakijinga
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 Год назад
Namshangaa huyo makamu,wasitajwe majina kama wao wakina nani kwa mfano,ila wao wamtaje Baba yetu YESU Jina lake kwa kuwaibiyaa haiwezekani ,tutawatajaa wee makamu wa Raisi mwache Casian afanye kazi ya MUNGU wa kweri.
@veronyanganda179
@veronyanganda179 Год назад
Unamshuku mwamposa yko kinyume tuonyeshe mungu wako yuko wapi mungu aksamehe bure, ushauri wangu mhubiri mungu wako acha unafiki,
@josetomasnyangu3021
@josetomasnyangu3021 Год назад
Asante Baba mwamposa amefika uku Mozambiqui na weng Sana wanakwenda kununua, mafuta..Mimi nimepona kwa sababu yakukufatiliya sana nikamjua kabisa uuyu tapli
@igurusitv6553
@igurusitv6553 Год назад
@Jacline David dada soma tena umuelewe
@johnshedrack2821
@johnshedrack2821 Год назад
O
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Год назад
Hallelujah hallelujah kaka yangu 🙏🙏🙏 hiyo ni Kweli!! Maana jina analolitumia ni la yesu christo unayemuamini, sasa nilazima ulitetee jina la christo lisiendelee kuhaibika kwenye mahuduma zao za mafuta na maji 😢. Kuliko watu walifuate neno ili wapone ki Roho na kimwili, matokeo yake wanafata mafuta na maji 😢
@tebyjailo1972
@tebyjailo1972 Год назад
Endelea kukupambana nipo nyuma yako kwa maombi amina
@Mickyafrica1
@Mickyafrica1 Год назад
Ukisiskiliza mwanzo mwisho unajawa na roho mtakatifu Wenye roho mtakatifu wataelewa Wapumbavu watautakana
@nyemowanyotanjemaudm4360
@nyemowanyotanjemaudm4360 Год назад
NPO nyuma yako mda mlefu sana,nakuombea kwa MUNGU azid kukulinda ili uzid kuitangaza kweli yake milele,by NYEMO wanyotanjema 🎤🎧🎤
@pastorjohnmburu6048
@pastorjohnmburu6048 Год назад
Kwa mara ya kwanza nimetofatiana na wewe.approach yako kwenye swala hili sio njema ..imebidi utumie nyingi kutetea hoja yako
@davidjackson448
@davidjackson448 Год назад
Mungu azidi kukutumia mteule maana hii vita sio yako bali ni ya Mungu na wanao jiinua kukuvunja moyo Mungu atashughulika nao naamini.🙏🙏
@tanzalivetv
@tanzalivetv Год назад
Akararua mavazi yake akavaa magunia ili asikilizwe
@happey2878
@happey2878 Год назад
Dume la yesu toka Tanzania nakupenda sana waambie kweli wanafiki wamemzoea mungu.usiogope passical mungu yu pamoja nawe aliekuepusha ajali alikuwa na makusudi nawe.
@martinakapugi1306
@martinakapugi1306 Год назад
Mungu aendelee kukutumia mtumishi nabarikiwa sana kuna muda napona kupitia tuu nyimbo zako
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 Год назад
Yesu alisema falme haziwezi kufininiana Musa mwacha awe frmason angewakama fremason ? Mm nitasali Kwa Musa mwacha
@piuselias1729
@piuselias1729 Год назад
Mungu sio mungu✌
@gloriaaugustino8031
@gloriaaugustino8031 Год назад
@Jacline David ndio nishachagua
@magwalichite3474
@magwalichite3474 Год назад
Uko sawa kabisa maana wanaoweza kusema ukweli ni wachache,wewe SEMA na tuko nyuma Yako kwa maombi.Mungu akutie nguvu wala usiogope.soma wafilipi 1:21,27
@MargrethMloka
@MargrethMloka 3 месяца назад
Mtushi usiache kutaja majina yao na huyu kaku brok kwasababu anakujua vizr
@tatandaonlinetv8133
@tatandaonlinetv8133 Год назад
Facts,bro songa mbele, mawakala washetan wasikuzuie
@GJGJ-sx4yd
@GJGJ-sx4yd Год назад
Mti.wenye.matunda.ndiyo.hupigwa.mawe.yeye.ni.mtumishi.wa.mungu.mungu.akutie.nguvu.na.kokote.uwendapo.akupe.ulizi
@enock_george
@enock_george Год назад
Asante sana kaka kwa kuendelea kuisema kweli Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu
@magrethjsimon6272
@magrethjsimon6272 Год назад
Hao ni wafuasi mtumishi wewe songa mbele usikilize watu msikilize mungu baba
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 Год назад
wambieni watu nyimbo nzuli San nimeipenda san
@lucykapinga369
@lucykapinga369 Год назад
mi. mpakaa nikikaa naitasmin
@pelusiemanueli6926
@pelusiemanueli6926 Год назад
@@lucykapinga369 iko poa San
@mariammwambinga9571
@mariammwambinga9571 Год назад
Balikiwa sana mutumishi wamungu Ninakuombea Songa mbele
@dicksonsheja251
@dicksonsheja251 Год назад
Sasa kama mafuta na maji yanaponyesha Kwa nini tusiyatumie Ili tupone!!? Wewe uliugua ukapona Kwa msaada wa Makonda,acha kuingilia ibada za wenzio, tuache tutumie mafuta ya upako tuendelee kupata baraka
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 Год назад
Hapana bwana mdogo wewe kiri tu, Umekosea. Uwe muungwana. Wimbo una ujumbe na ala nzuri, ulipokosea ni kule kutaja majina ya hao watumishi wa Mungu. Uliona visions kuwahusu, nenda useme nao ana kwa ana privately; kuwaanika hadharani kama ulivyofanya, hapana. Umekosea. Labda kama unatafuta kiki.
@Boaz-Gwanko
@Boaz-Gwanko Год назад
Kwani Tanzania Kuna chama cha Waimbaji?? Mimi Ni Muimbaji na sijui
@emmanuelmabula1686
@emmanuelmabula1686 Год назад
Kaka pascor hawo ndio walewale piga kabisa wajinga hao tuna mda mchache mtumishi wa Mungu wenye akili tunakuelewa xn, kazi ya Mungu haikuwahi kuwa laisi lazima moto uyaunguze yatumie hao malaisi ya vyama kufikisha ujumbe unaowatesa, uyo unaona kama ni makamu wa laisi wa waimbaji lakini ni lusifer kaja huyo, anaunguzwa xn
@maryfonga2200
@maryfonga2200 Год назад
Haswaaa
@mestonisimzosha203
@mestonisimzosha203 Год назад
Haswaaaa
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 Год назад
Sasa hiyo siku usije shangaa hao mnaowaponda ndo wakawa wa kwanza kuiona ufalme kabla yenu munge kuwa na mbingu ya kuwapeleka nyie hapo ingekua sawa lakini hamjawatuma ninyi na aliyewatuma kanyamaza maana nnachojua mtu anaenda kinyume na Mungu HUDUMA yake huwa haikai mda mrefu inazimika Kama mshumaa baadhi ya HUDUMA hizo hapa Tz tunazijua zilizozimika kama mshuma nyinyi hamuoni au NI zitaje !!!!?
@agnestunu5527
@agnestunu5527 Год назад
Apa hatishwi mtu twende mbele na Yesu wetu kwanza nitakueka kwa maombi mtumishi,saiii mambo yote yatawekwa wazi wazi eiiish kwan iko nn
Далее
▼ КАПИТАН НАШЁЛ НЕФТЬ В 🍑
33:40
Просмотров 386 тыс.
titan tvman's plan (skibidi toilet 77)
01:00
Просмотров 6 млн
MKE WANGU ALINI KIMBIA EV PASCHAL CASSIAN
31:44
Просмотров 40 тыс.
UKWELI KUHUSU MAJI,MAFUTA YA #UPAKO HUU KAPA !!
17:19
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
Просмотров 79 тыс.
▼ КАПИТАН НАШЁЛ НЕФТЬ В 🍑
33:40
Просмотров 386 тыс.