Тёмный
No video :(

MAKONDA AKASIRIKA-"MWEKAHAZINA NI NINAOMBA UNIAMBIE BILIONI 4 Za MRADI Ziko WAPI NAWAPIGA SPANA" 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 35 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 72   
@dubariz_mic_killa
@dubariz_mic_killa 3 месяца назад
Mji wa Arusha umepata mganga wake wagonjwa wapo kibaaao,Mungu amlinde kwenye utatuzi wa kero za wananch wake Makonda ni mwamba❤❤❤❤❤🇹🇿🎤
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 3 месяца назад
Makonda be blessed,wakuu wa mikoa mingine waige mfano wa makonda,
@Ericomtz5
@Ericomtz5 2 месяца назад
huyu jamaa anahofu ya Mungu ameisha nusurika kifo kutoka kwa watu wasiyo wema
@CikeTanzania
@CikeTanzania 3 месяца назад
Yaan Makonda utanimalizia pesa muda wote natamani nikuckilize
@BuruhaniKitomozi-gb7fb
@BuruhaniKitomozi-gb7fb 3 месяца назад
Asee mimi ni wakwanza mwenyewe kanimalizianyingisana kilamuda niponaenafyatilia
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 3 месяца назад
Hata mimi sijui nifanyeje maana nashindwa kujizuia
@laurian27
@laurian27 3 месяца назад
Nimeingia mkataba na mwarabh mmoja jirani mwisho wa mwez namlipa elfu 28 kwaajil ya WI-FI, kisa makonda ayseee daaaah?!
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 3 месяца назад
Hata mimi bando langu linaishia kwake.
@babalevinerlameki5425
@babalevinerlameki5425 3 месяца назад
Makonda the future president from god, makonda I see you fare we are waiting you one day
@faustinaurio3703
@faustinaurio3703 3 месяца назад
Me too 🤲🙏
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Akiwa rais hataweza haya Watendaji watamuangusha
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 3 месяца назад
Huyu anatakiwa aende kwenye majiji yote Kwanza
@ernestaassenga9646
@ernestaassenga9646 3 месяца назад
Mh,Mama Samia Raisi wetu umetishaaa!! Tutafutie makonda wengine kama huyu mama plse
@sosmakanya4901
@sosmakanya4901 3 месяца назад
RAIS NAKUOMBA MAKONDA AWE MKUU WA MIKOA YOTE YA TANZANIA ILI AWEZE KUKUSAIDIA KAZI
@gladistaemanueliy6336
@gladistaemanueliy6336 3 месяца назад
Muongo huyo hawakuombei, sisi wa hali ya chini ndio tunakuombea makonda wetu
@Mpendahaki
@Mpendahaki 3 месяца назад
Huyu rais makonda anachapa kazi vizuri sana
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn 3 месяца назад
Tunakuomba makonda wew ni role model wa magufuli usiwe chawa wa yeyote
@furahinimbise7969
@furahinimbise7969 3 месяца назад
Makonda unanimalizia bando👏👏
@estermpare4078
@estermpare4078 Месяц назад
Daah yaani makonda utanimalizia bando langu kila nikiingia youtube nikiona tu hotuba yakoo hata ya miaka 2 lzm niangaaliiee😂🎉🎉
@jbdedon
@jbdedon 3 месяца назад
Wasafi bana kila mnachokiandika sicho kinachozungumzwa daaah mnaboa
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 3 месяца назад
Yaan hawa wana asiri ya kaumbea mbea tu
@eliasinnocent6229
@eliasinnocent6229 3 месяца назад
Hiv kweli jaman mbn sisi tukiwa tunatoa Hela zetu za Kodi hawasikilizi kelo tukavumiliwa iweje wao Hela zetu ziwe na changamoto za kimfumo
@Damian-tt8fv
@Damian-tt8fv 3 месяца назад
Wote wanaohusika kuanzia Mkurugenzi na wa chini yake wachukuliwe hatua akili zao zimeganda zimedumaa haziwezi kuchakata mambo. Wanapwaya kwenye nafasi zao wakachunge ng'ombe
@lilianmosha-ph3mp
@lilianmosha-ph3mp 2 месяца назад
Huyu no mtetez was wanyonge Sina chakukupa Ila nakuombea Manisha marefu uzid kutusaidia
@ipepeetube449
@ipepeetube449 3 месяца назад
Njoo Nyamongo utusaidie tukwisha kaka tarime
@JosephMargareth
@JosephMargareth 3 месяца назад
Spana, Spana, naona Ndita kwenye nyuso!
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 3 месяца назад
Ni hatari
@mohamedali7544
@mohamedali7544 3 месяца назад
Hela iko fix deposit wanakula
@jacobletema3681
@jacobletema3681 3 месяца назад
Mh. Makonda tunaomba utuazime na sisi hizo spana huku kwetu kwa angalau wiki mbili
@mybrain8940
@mybrain8940 3 месяца назад
Shida ya sabaya ni mafujo but good central forward 😂😂
@DeboraNyari
@DeboraNyari 3 месяца назад
Mtego una andaliwa
@msafiriomary893
@msafiriomary893 3 месяца назад
Wapigaji hao nakumbuka magufuli wetu arkuwa haxhereweshi
@baishibybaishi5782
@baishibybaishi5782 3 месяца назад
Mshimiwa raisi nakuomba ikikupedeza mchague makonda awe mkuu wamiko ya Tanzania yote Huku chini kunamadudu megi sana
@selinakatega6691
@selinakatega6691 3 месяца назад
Niko napanga mabegi apa niende zangu arusha Uko ela ipo jamani 😂😂
@irenembise541
@irenembise541 3 месяца назад
😃😃 karibu
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 2 месяца назад
😅😅😅😅😅😅sawa mm nyuma❤❤❤❤
@SadaKigwangala
@SadaKigwangala 2 месяца назад
Mm nabeba na godoro😂😂😂😂😂😂😂
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i 3 месяца назад
Huyu awe waziri mkuu hata kwa miezi mi3
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 3 месяца назад
Dhu pitia na vyeti vyao mkuu
@EmanuelMinja-fv9dn
@EmanuelMinja-fv9dn 3 месяца назад
Makonda Kuna waliosoma huku mtaan achana hao wababaishaji
@bizzyjunior_tz
@bizzyjunior_tz 3 месяца назад
🌟🌟🌟
@mohamedali7544
@mohamedali7544 3 месяца назад
Hawa wanahujumu chamaa cha CCM mjini Arusha
@mohamedali7544
@mohamedali7544 3 месяца назад
Wanaweka fix deposit wakila interest
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 3 месяца назад
Mheshimiwa makonda nakwambia ondoeni wote ajirini wengine Kuna wasomomi wengine jamani wapeni na wototo wetu hao wamwsharidhika
@rajabmwasangala5472
@rajabmwasangala5472 3 месяца назад
Walio wengi wana chukina hao ndio wezi wakubwa wa Nchi hii,na hawawezi wakampenda Makonda na ndio maana wanamtafutia kila chanzo ili wamg'oe sehemu hiyo ya Mkuu wa Mkoa, nawaomba wana Arusha msikubali kuipoteza baati hiyo.
@RafaelNelson-ye3jk
@RafaelNelson-ye3jk 3 месяца назад
Hizo bila Makonda zingepigwa
@lilianmosha-ph3mp
@lilianmosha-ph3mp 2 месяца назад
Makonda anafaa kuwa raisi anawanyoosha mafisad
@kelvinmboya5846
@kelvinmboya5846 3 месяца назад
😢😢
@WilsonOmbati-jc6ll
@WilsonOmbati-jc6ll 3 месяца назад
Tunataka mtu kama uyo Kenya
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 3 месяца назад
Dhu pitia na vyeti vyao vipo sawa kwanza wengine wamezeeka anagalia mkuu kagua hivyo vyeti jamani
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw 3 месяца назад
Cku hizi bando anakula makonda hasa zangu maana cwez lala bila kumfuatilia
@SofiaMvungi-zu5tg
@SofiaMvungi-zu5tg 3 месяца назад
Watumishi wenye roho mbaya wanakalia pesa kisa uzembe tu kujichubua tu hata sura haing,ai
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 3 месяца назад
Asituchanganye. Ndiyo maana kila mwaka wa serikali kuna Budget yake. Kama pesa ipo kwa nini kazi isifanyike?
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 3 месяца назад
Hela hizo mkuu, huwa wanaziweka fiksi akaunti zinazalishwa kisha faida wanachukuwa wao pumbavu hawa.
@fulgenceoswald3866
@fulgenceoswald3866 3 месяца назад
Kuna mda hata hao wakuu wa Wilaya wanazingua Mama Samia tumbua hawa wapo kwenye mamlaka yako
@josphatnduati7868
@josphatnduati7868 3 месяца назад
makonda siku moja awe raisi wa watazania.
@godfreymasanja354
@godfreymasanja354 3 месяца назад
Haya ni matatizo ya halmashauri zote janjajanja nyingi
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 месяца назад
😂😂😂😂....Nimecheka hapo kwenye maombi😂😂😂😂
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa 3 месяца назад
Apooo moyoni wanajua waoo na mungu wao!
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 3 месяца назад
Kuna ubaya wengine kuigaaa hivi. Et wakuu wa mikoa
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 3 месяца назад
Hawa watu wanapeana kijiti Kwa mtu aliyesoma hawezi kufanya hayo madudu
@saadatiyahyashabani-yg2xy
@saadatiyahyashabani-yg2xy 3 месяца назад
Muwekeni sabaya awe mkuu wa wilaya
@josephatemmanuel458
@josephatemmanuel458 3 месяца назад
Walikuwa wajiandaa kuzipiga
@Doki_media
@Doki_media 3 месяца назад
NANI KASIKIA WATUKOPESHE 😂😂😂
@user-fu3hn1ms2j
@user-fu3hn1ms2j 3 месяца назад
Lakini nani anawateuwa Hawa watu
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 3 месяца назад
Bro Kila mtu ale Kwa urefu WA kamba Yake huko juu tunaliwa vibaya pia Samia anaweka pesa nje yote Bandar imetolewa
@Happizo
@Happizo 3 месяца назад
😢Arusha inanuka rushwa na ni jiji la kitalii..
@gracemima5234
@gracemima5234 3 месяца назад
Wapigaji na wala rushwa wameiteka Arusha.
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 3 месяца назад
😅😅😅😅ilo dua siyo mkuu 😂
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 3 месяца назад
Wajinga wengi wako kundi la wasomi
@raymondmbassa1247
@raymondmbassa1247 3 месяца назад
😅😅😅😅😅
@lilianmosha-ph3mp
@lilianmosha-ph3mp 2 месяца назад
Huyu no mtetez was wanyonge Sina chakukupa Ila nakuombea Manisha marefu uzid kutusaidia
Далее