Тёмный

"NAOMBA TUSITANIANE NATOA DAKIKA TANO HUYU MZEE AWE AMEPATA HAKI YAKE"-RC MAKONDA 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 93 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

31 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Месяц назад
Kiukweli tungepata akina Makonda kama Makonda anavyo fanya sijui kama tungemkumbuka kwa maumivu makali JPM Mungu akuongoze Makonda kwa upande wangu unakwenda vzr Sana hasa kwa wanyonge🙏🏼 Utafika mbaaali Sana kama utasimamia haki hasa kwa wanyonge wenye maumivu makali wanayo tembea nayo na hawajui wapi wakaseme ili kupata haki zao Thank you very much Brother Makonda History nchii hiii kuhusu ww tayari Ipo🙏🏼
@babalevinerlameki5425
@babalevinerlameki5425 Месяц назад
Makonda the future president from heaven welcome we are waiting you one day
@octavianpeter8472
@octavianpeter8472 Месяц назад
Mungu wa mbingun akulinde muheshimiwa
@dubariz_mic_killa
@dubariz_mic_killa Месяц назад
Mh.shimiwa makonda anaijuwa kuishi na watu mungu ampenguvu iliaweze kututumikia vyema❤❤❤🤲🇹🇿 am Dubariz Wapagazi
@jesselyimo3403
@jesselyimo3403 Месяц назад
Mungu mbariki huyu Makonda baba aje kuwa Rais wa Tanzanis kwa jina la Yesu.
@MirryKirungi
@MirryKirungi Месяц назад
Kwakweli
@Shalom2018
@Shalom2018 Месяц назад
Amina
@mouldykomba1852
@mouldykomba1852 Месяц назад
Amen
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 Месяц назад
Aaamen
@omarwahab7191
@omarwahab7191 Месяц назад
Makonda Allah akulinde
@binkhalifa6956
@binkhalifa6956 Месяц назад
Allah akulinde Mh Makonda
@JumaKobossa-gb2br
@JumaKobossa-gb2br Месяц назад
Hongera kwa kazi uifanyayo mungu awe nawe watetee wanyonge. Kila la kheri kwako bro
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 28 дней назад
makonda wewe ni mwema sana yani mungu ambariki mama alekuzaa unasaidia wanyonge
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 22 дня назад
Yaani nimelia kwa sana kwa ujasiri wa makonda wallah Yaa Rabbi mlinde na Shari za walimwengu huyu mja wako hakika huyu ni zawad kutoka kwa Allah mama Samia hapo upate msaidizi😢😢😢najisikia raha
@IsmailMjesh
@IsmailMjesh 2 дня назад
Alhamdullilah nilipata kwenda Arusha wallah kuna watu wengi, mpk haipatikani
@ShaidaAfati
@ShaidaAfati Месяц назад
Makonda wewe ndiyo unastahili kuwa raisi wa nchi hi lakini raisi gani kilasiku kigu na njia kazi njema mrisi wa magufuli❤
@NunuKupela
@NunuKupela Месяц назад
Anapambana Kwa ajili yetu
@user-ib3kq7kf1w
@user-ib3kq7kf1w 28 дней назад
Shaida huyo makonda anafanya kazi alieagizwa na huyo unaemzarau na kumuita eti kila siku kiguu na njia maana hizi ndio kazi zao wakuu wa mikoa na sio ishu ndogo km hizi eti asimamie rais Sasa wao wameteuliwa ili wafanye Nini shaida chunga mdomo wako uhuru wa kuongea usikupe kiburi ukazungumza unachojisikia hizo ziara anazoenda mama ni faida ya watanzania wote
@PurityJohn-if4ei
@PurityJohn-if4ei 21 день назад
😊
@Ericomtz5
@Ericomtz5 6 дней назад
​@@user-ib3kq7kf1wnakubaliana na wewe mkuu by ericomtz05 from Geita Tanzania
@user-ol7nz6ii7u
@user-ol7nz6ii7u Месяц назад
Mungu akulinde najuwa wabaya hawatapenda
@janemcharo5371
@janemcharo5371 Месяц назад
Sina lakusema mheshimiwa Makonda ila tuu MUNGU Akukumbuke kwenye ufalme wake hilo tuuu❤
@juliusjkalela9164
@juliusjkalela9164 Месяц назад
Nakuona makonda ukiingia njia ya magufuri😭😭😭😭😭 binafsi natamani sana ukpate kiti cha uraisi af utufanyie haya
@NasoroZuberi
@NasoroZuberi Месяц назад
Safi sana hii enaitwa hapakazitu yani unanikosha sana mungu aubaliki sana tenasana
@malila4582
@malila4582 Месяц назад
Iki kidume bwana💪
@reubenalfred9707
@reubenalfred9707 Месяц назад
Hata kama ni kweli alipata zero, lakini ameonesha uhodari kwenye utendaji zaidi ya wasomi.! Na pengine ni mifumo yetu tu mibovu ya elimu ndio ilisababisha afeli form four lakini Makonda ni smart sana kuliko hata Gwajima na kebehi zake
@santebnassary7411
@santebnassary7411 26 дней назад
Kusoma Ni makaratasi utendaji kazi upo ndani ya mtu sio kwenye makaratasi ukichukua huyu anaweza kuwazidi hata maprofesa waliosoma hadi wakakutana na skull basi
@MojaZirro
@MojaZirro Месяц назад
Makonda Mungu akubariki
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Месяц назад
Makonda anaweza na anamanisha
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Месяц назад
Taifa la lele Mama kila Mtu anatupa mpira kwa mwenzie. Eti si kazi yetu tullishamaliza jalada lipo kwa Mkuu wa wilaya Nonsense
@asteriashios1852
@asteriashios1852 Месяц назад
Kweli watu wanateseka kwajili ya watu wengine wanaodhulumu
@gm7045
@gm7045 Месяц назад
Makonda (King Salomon )❤
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu Месяц назад
Kabisa
@Nedjadist
@Nedjadist Месяц назад
HATA SURA ZAO ZAONESHA WATU WASIO HURUMA, WASIOJALI...NA MATUMBO MAKUBWA YA BIA TU. HII NCHI ASILIMIA 98 YA WATENDAJI WANGEFUKUZWA, TUANZE UPYA!
@JoalAlma-ci1hi
@JoalAlma-ci1hi Месяц назад
Mamayetu mama samia naomb kama utaipata hi sms tafuta watu wengine 10 kama uyu baba waweke kweny mikoa kolofi jamna mama uyu mtu anafanya kazi saan naiman yapo mashetani yatakuwa yanamlinda yamtoe mpe ulinzi uyu baba anaitaji kuangaliwa kwa machoyoote
@benlaizer9936
@benlaizer9936 Месяц назад
Hakika huyu ndiye ajaye kuvivaa vile viatu vilivyokosa mvaaji
@MirryKirungi
@MirryKirungi Месяц назад
Kwakweli
@user-gx4gt2pe4w
@user-gx4gt2pe4w Месяц назад
Piga kazi kijana wetu tuko nyuma yako tunakuombea kwa Yehovah akulinde
@ShortyShorty-mr3jb
@ShortyShorty-mr3jb Месяц назад
Safi sana😂mhe makonda
@ramadhanaldawiyya8659
@ramadhanaldawiyya8659 Месяц назад
Abarikiwe mh MAKONDa
@user-lucas47
@user-lucas47 Месяц назад
Makonda ana mienendo kama ya magufulii
@Nerialulambo
@Nerialulambo 7 дней назад
Wewe ni Raisi kabisa yaan Mungu akubariki na akulinde
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Месяц назад
gongeni LIKES ili watu wengi waipate na kuskiliza majadiliano ya viongozi wetu/ hiii itatusaidia kukaza maombi kuwaombea
@josephmachariamwangi7733
@josephmachariamwangi7733 Месяц назад
Asanteni tanzania maghufuri bado yup tu
@LinusLongino
@LinusLongino 27 дней назад
Mh, hongera Kwa kazi nzuri Mungu akutie nguvu
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 8 дней назад
Piga kazi makonda mungu yupamoja nasi
@martinwangwe8966
@martinwangwe8966 Месяц назад
endelea kupiga spana wavivu
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u Месяц назад
Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Arusha tuliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya serikali madai yetu hatujalipwa tangu mwaka 2000 mpaka sasa juni 2024 hatujui hatima ya madai yetu tunaomba msaada
@andrewmaiga4331
@andrewmaiga4331 Месяц назад
Safi sana
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka Месяц назад
Kura zitakua nyingi za kusukwa sukwa tunapomsifia wanachukia mafisadi anayoyafanya hafanyii chumbani tunaona watu wanafutwa machozi tunaomba mungu mlinde baba wanaopigana naye pigana nao
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 Месяц назад
IBRAHIM LA TRAULE,, THOMAS SANKAL,,JPM TANZANIA,JKN, TANZANIA... MAKONDA NI 1
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 Месяц назад
Huwa naenjoi sana kusikia maamuzi ya chapuchapu kwa kiongozi.
@DjohariNdayizeye-pm5xd
@DjohariNdayizeye-pm5xd Месяц назад
Mungu akubarik Sana ,
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Месяц назад
Haw wapumbavu sana wasambua viongoz wenzao sana sijui kwa nn hamuafukuzi
@musicheals1545
@musicheals1545 Месяц назад
piga spana kenge haooo
@PeterKisiongo
@PeterKisiongo 24 дня назад
Mungu awe nawe
@FedyKafyulilo-iz2nw
@FedyKafyulilo-iz2nw Месяц назад
Ingekuwa inawezekana tungeungana wote tumpitishe makonda awe rais,maana anatosha kila secta,sema tu umoja haupo ila mm namuomba mungu atufanyie muujiza awe rais tu
@MinnahMnyanyi-ee1bw
@MinnahMnyanyi-ee1bw 29 дней назад
Ila jamani laana tunajitkia TU kumdhulumu huyu mzee
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 Месяц назад
+MUNGU+ alie HAI azidi KUKUBARIKI na kukutunza hata na uzao wako baada yako 1 WAKORINTO 1:9🙏
@thepowerofchristministry1918
@thepowerofchristministry1918 Месяц назад
Ivi hii nchi tukienda hivi tutafika kweli? Mmemwachia makonda matatizo yote ya watu wa nchi hii,na mnapokea mishahara kweli!?
@HamisiForogo
@HamisiForogo Месяц назад
Hata Mimi nashangaa makonda ndo kaajiliwa na serikali peke yake
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 22 дня назад
Naomba Allah anikutanishe nae live huyu makonda nijisikie raha zaid Mimi nimekua mtu wa kutoka machozi kila siku nionapo ujasiri wake😢😢😢
@BukinduBukindu
@BukinduBukindu 25 дней назад
Wana Arusha Mungu awape nini❤
@mussaMagaji-ey1tu
@mussaMagaji-ey1tu Месяц назад
makonda ni moto wakuotea mbali inaitwa gusa unase
@Joery-pb5tz
@Joery-pb5tz Месяц назад
We makonda ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@JbahattBahhatt
@JbahattBahhatt 28 дней назад
Makonda kazi Safi unafaa kuwa raisi baba
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 Месяц назад
Ivi binadamu hamna haibu ya kumsumbuwa mzee mlemavu tena mgondjwa mlaaniwe.makonda fanya kazi baba kwa ukali kwenye sikali kuna washamba na ushamba mwingi ni ujinga.washenzi sana hamna adabu kabisa.
@japhetkahindi4791
@japhetkahindi4791 Месяц назад
Iwish uongozi huu ingekuwa kenya
@sunaybrajabu238
@sunaybrajabu238 Месяц назад
Viongoz mtachomwa moto jamani hamumuon hata mzee wa watu
@Emanuela-edmund
@Emanuela-edmund Месяц назад
🔥🔥🔥
@azizigaston8631
@azizigaston8631 Месяц назад
Spana spana spana piga spana mh makonda wanaonea sana watu hao usiskile wanafiki na wanataka kikurudisha nyuma ni Bora ufe kwenye haki kuliko kufa kwe dhuruma mbona baba yako kipenzi magufuli wetu naamini amepumzika kwenye haki wewe chapa kazi maombi yetu yapo juu yako
@funngraphite
@funngraphite 27 дней назад
Good
@user-gf3oe3rz6c
@user-gf3oe3rz6c Месяц назад
Mpaka nimelia jaman
@user-lu6rs6ql6b
@user-lu6rs6ql6b Месяц назад
So sad
@shmaiderkiborey5144
@shmaiderkiborey5144 Месяц назад
Hii nchi inawatu ambao hawana huruma hata kidogo
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 Месяц назад
@muniraahmed624
@muniraahmed624 Месяц назад
Aseee dah 😢😢😢
@PHARESVENANCE-ye8wh
@PHARESVENANCE-ye8wh Месяц назад
Natamani Makonda nikuone walau ata Kwa macho nakuonaje jamani
@fatumasaidimmependezamjeng8994
@fatumasaidimmependezamjeng8994 Месяц назад
Nenda ofisini kwake
@barikimaluli6107
@barikimaluli6107 Месяц назад
Hakika jins namna mambo yalivyo unaweza kufikili kua tanzania kiongozi ni wewe peke yako hatujaona kama wewe makonda toka ukiwa dsm wewe ni kiongozi wa mfano sanaa
@DicksonCharles-km9vu
@DicksonCharles-km9vu 29 дней назад
Unastaili kuakiongozi mkubwa atnzania
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 15 дней назад
Haitojalisha ni lini lakini makonda atakuja awe Raisi wa nchi hii
@StanleyMolla
@StanleyMolla Месяц назад
Watu wa arusha msiponenepa tena mtakuwa mmelaaniwa
@user-pu9wf7zs5w
@user-pu9wf7zs5w Месяц назад
😅😅😅😅😅😅Na kwl
@jerryshah4880
@jerryshah4880 18 дней назад
I think it is time to get back to Arusha.
@PeterPeteraugustino
@PeterPeteraugustino 11 дней назад
Mm nautaka huo
@PeterPeteraugustino
@PeterPeteraugustino 11 дней назад
Kiongoz mzr ni yule anaye sikiliza kelo za watu na kuzitatua bila kubagua
@makoyelwango6048
@makoyelwango6048 Месяц назад
Nchi hii
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 8 дней назад
Laiti viongozi wa Tanzania wangekuwa kama wewe tungekuwa mbali sana mungu Akupe ulinzi eww makonda uwanyooshe washenzi
@allysaleh2220
@allysaleh2220 5 дней назад
Kuna mmoja yupo dar huko anakazi ya kolopoka lopika2 😂😂
@naimatemba8061
@naimatemba8061 27 дней назад
Mpaka machozi
@ayoubomary9336
@ayoubomary9336 14 дней назад
Chuma jr
@WibroadWiliusi
@WibroadWiliusi 26 дней назад
Acheni uoongo wakuturagai haipo hja yakutsmbua kumaliza data zetu Bure BIRA Faida hamna maanana kutaka wizi poreni tumewajua burre
@mabulajoel1967
@mabulajoel1967 Месяц назад
Hata dakika tano kwangu nahisi nyingi timua kazi huyo
@JeremiahMwalukosya-eh5nf
@JeremiahMwalukosya-eh5nf Месяц назад
Makonda anastaili kuwa rais wa Tanzania lkn ccm naujizi wao naujambazi na ifisadi wao watakubali kwelii maana hapo akiwa rais makonda ufisadi kwisa abali yake CCM nikikwazo kukibwa sana ndo shetani wa Tanzania anaetuyumbisha nakututesa kiukweli ccm haifai hata robo
@user-ib3kq7kf1w
@user-ib3kq7kf1w 28 дней назад
Ujizi,ujambazi na ufisadi hata chadema upo km huamini muulize msigwa
@dbwaxvevo5780
@dbwaxvevo5780 Месяц назад
Anachokifanya makonda ni kuomyesha madudu yaliyopo kwenye mikoa yetu
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Месяц назад
Kuna watu wanadhani mzee atakufa wamdhulumu ili watoto wake wakose irithi
@Winnfrida-sx3in
@Winnfrida-sx3in 22 дня назад
Makonda baba tunakupa urais chukuwa fm bb ugombee wewe no msaada wa wanyonge
@ramadhanimrisho6094
@ramadhanimrisho6094 Месяц назад
Makonda unatisha sans
@japhetmasunga8889
@japhetmasunga8889 28 дней назад
kumbe kina magufuli bado wapo nimeamni
@salehehassan4191
@salehehassan4191 Месяц назад
Mama samia tunamtaka makonda Aje Tanga mana ukuzuluma za Ardhiz ninyingisana
@asteriashios1852
@asteriashios1852 28 дней назад
Tanga si mtamloga aisee unamtakia mwema kweli ? Duh makonda Kwa Tanga tutamkosa Bora mikoa mwingine arudishwe Kilimanjaro tuu etie?
@toymadebho7048
@toymadebho7048 Месяц назад
mkuu ujaeee
@SamsonOttuma-te3lu
@SamsonOttuma-te3lu 24 дня назад
Hatari wana chuga
@HusseinChai
@HusseinChai Месяц назад
Mungu ni mkubwa makonda natamani nikuone ukiwa rais TZA
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Месяц назад
Ningekuwa raisi walau wiki moja.... Ninge fukuza wafanya kazi wooote na kuteua wanafunzi wote walio maliza vyuo vikuu vyote waanze kazi mara moja
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 Месяц назад
Ao ndo mafyongo kabisa hi mch wenye akili wanafeli au awana uwezo wa kujiendeleza
@thepowerofchristministry1918
@thepowerofchristministry1918 Месяц назад
Makonda gombea urais tuko na wewe
@user-pu9wf7zs5w
@user-pu9wf7zs5w Месяц назад
Tena atapita Kw kishindo tena Akuna aja kupga kampen akae nyumban tu
@HemedMnyambwa
@HemedMnyambwa Месяц назад
Nishuhudia huu mtifuano
@maharagendondo
@maharagendondo Месяц назад
MAKONDA,NA WAZIRI SLAA HAMJA ZALIWA MMESHUSHWA KAMA MALAIKA MUNGU AWAWEKE
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Месяц назад
Usimsahau na chalamila jamani
@OthmanKibao-mg6ik
@OthmanKibao-mg6ik Месяц назад
Piga spana tu dadeck😂
@lusatomichael7973
@lusatomichael7973 Месяц назад
Uongozi ni maamuz tuu siyo kucheka kucheka na kuwafikir wazembe MAGU icon
@SaidiAyubu-of8zt
@SaidiAyubu-of8zt Месяц назад
Raisi wa baadae
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Watu wenye shida za namna hiyo wako millions mkisaidia hao wachache waliokuja kumiona na hao wasio kuwa na uwezo wakuja kumiona je? Atasaidiwa na nani?
@SaidiAyubu-of8zt
@SaidiAyubu-of8zt Месяц назад
Acha uchoko ndugu
@ismailabdallah4362
@ismailabdallah4362 Месяц назад
Acha ukuma wewe kwaiyo unataka awafate Nyumbani ?
@user-ee9iq2pw5i
@user-ee9iq2pw5i Месяц назад
Kama yuko nyumban tu atasaidiwaje hata ungekuwa wewe mkuu wa mkoa ungefanyaje mtu hajaja
@user-ye4iy8jy2z
@user-ye4iy8jy2z Месяц назад
Kwaio wasisaidiwe au sio unaongea vitu kama na ni mmoja wa wanaodhulumu
@masboy952
@masboy952 Месяц назад
Kwahyo unamanisha ni bora wote wasisaidike au
@musakatwale1959
@musakatwale1959 Месяц назад
JPM FUFUKA BABA.
@theresiacostantine132
@theresiacostantine132 Месяц назад
Pokea maua yako
@NasibuKitwana
@NasibuKitwana Месяц назад
Huyu Makonda yupo kimagufuli magufuli tuu,ila sidhani kama atamaliza siku nyingi Mungu asipokaa naye kila mahali
@nehemia397
@nehemia397 Месяц назад
TISS huyo kitambo... ana watu nyuma yake huwezi dhania ...yuko vizuri kiusalama
@HamisiForogo
@HamisiForogo Месяц назад
MUNGU anaona na atamlinda kabisa
Далее
It was like a real simulation👩🏻‍💻
00:15
Просмотров 4,1 млн
Лайфхак с колой не рабочий
00:16
Просмотров 363 тыс.
President Ruto full speech
13:27
Просмотров 161 тыс.
тгк: Логово FRIENDS
0:23
Просмотров 12 млн