Тёмный

MAKONDA Amuwashia Moto Mkurugenzi, Unataka Niharibu kazi Yangu? Ngoja Utaona 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

MAKONDA Amuwashia Moto Mkurugenzi, Unataka Niharibu kazi Yangu? Ngoja Utaona
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ameendelea na ziara yake ya kukagua miradi mbalinbali ya serikali inayotekelezwa katika mkoa wake..
RC Makonda leo Aprili 17, amefanya ziara hiyo katika wilaya ya Temeke na kukagua ujenzi wa barabara, ambapo amewataka wanaosimamia miradi yote Dar kuhakikisha fursa za ajira zinaanzia kwanza kwa Watanzania wenyewe kabla ya kuwafikia wageni...
#RCMAKONDA
www.youtube.co.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 19   
@AlvinMakenzi
@AlvinMakenzi 6 месяцев назад
Hongera
@hojajmagingila1099
@hojajmagingila1099 5 лет назад
Big up. Mh. RC. Hivyo ndivyo unavyotakiwa, lazima miradi ya wananchi ifuatiliwe na viongozi katika utekelezaji wake. Kwenye ufuatiliaje hapo ndipo viongozi wengi wanafeli.
@fatmafa1896
@fatmafa1896 5 лет назад
Hongera mheshimiwa MUNGU aendelee kukulinda na kukuongosa vyema na pia azidi kuku bariki kweli
@modestusndunguru4479
@modestusndunguru4479 5 лет назад
hamkumbuki.. mkurugenz wa jiji alfanyiwa nini..... go ahead.. makonda .....wafanye kaz
@omaryyusuph3251
@omaryyusuph3251 5 лет назад
Hongera keep it up, ukifanya vizuri tunakusifia na ukizingua tunakwambia
@heavymachineproduction.4613
@heavymachineproduction.4613 5 лет назад
Viongozi wetu Crowd chasing
@ayubuakim783
@ayubuakim783 5 лет назад
waoneshe
@alimussa2655
@alimussa2655 5 лет назад
Huyu jamaa bwana 😂😂😂
@gospalflavour7304
@gospalflavour7304 5 лет назад
kuna taratibu zauwajibikaji na kiutendaji ktk serikali.Izi mass popularity sio nzuri jamani.
@heavymachineproduction.4613
@heavymachineproduction.4613 5 лет назад
Yaaani kila kitu Camera ,
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 5 лет назад
Jafo yuko wapi? hapo tumeshapigwa tayari. Mkataba uvunjwe
@alimussa2655
@alimussa2655 5 лет назад
Mwenyewe anahusudu kiki km hizi
@faidamanoni2285
@faidamanoni2285 5 лет назад
Safety helmet hujaivaa boss
@xarverymange1706
@xarverymange1706 5 лет назад
We nani?
@salmaiddy6059
@salmaiddy6059 5 лет назад
Wasikumize kichwa fukuza uyomtu mzembe hatumtaki
@davidkaguru9511
@davidkaguru9511 5 лет назад
Haaahaaaa hii dunia hii
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 5 лет назад
Tupate rais kama konda itakuaje lake
@johnjplusfood2135
@johnjplusfood2135 5 лет назад
Jitahidi uwe president.baada ya Magu kumaliza Kumi
@albadrysadiq8884
@albadrysadiq8884 5 лет назад
Presidaa Wa koromije labda
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00