SAMIA UNGEMUACHIA USEMAJI WA CHAMA KUZUGULUKA NCHI YOTE KAMA ZILE ZIARA ZAKE UNGEPATA KURA BILA UPINZANI ASILIMIA TISINI ZA KULA KUPITIA HUYU MAKONDA KWA KAZI ALIYO FANYA ALIVYOKUA MWENYEZI MSEMAJI WA CHAMA AUTAPOTEZA KITI CHA URAISI MAKONDA AMEKUFAGILIA NJIA SAMIA😂😂😂MAKUFULI JUNIOR ❤❤❤
We ndo Rais wa badae hii nchi imejaa huonzo kila idara ni uohozo tu haki hakuna mahakama azitend haki yan kila idara ni kelo 2025 tunaomba mabadiriko ee mwenyez mungu tunaomba Rais mwenye huruma na mwenye uchungu na wananch wake
Piga spana hao hadi maji Waite mmaa. Mpaka mseme mwaka huu. Haya Ndiy asiyoyataka Mery Chatanda anataka wananchi wakihangaika wallah Mary chatanda anahusd ya wazi wazi Bila kupepesa