Тёмный
No video :(

Makovu ya feri ya Mtongwe 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 53 тыс.
50% 1

Miaka ishirini na mitatu baada ya mkasa wa feri ya mtongwe iliyoangamiza zaidi ya watu mia mbili na kujeruhi wengi zaidi kungali na waathiriwa ambao hawajafidiwa na serikali. Na kama anavyotuarifu Saida Swaleh mipango ya kukifungua tena kivuko cha feri ya Mtongwe unanukia huku Rais Uhuru Kenyatta akitarajiwa kukifungua rasmi.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
citizentv.co.ke
/ citizentvkenya
/ citizentvkenya
plus.google.com/+CitizenTVKenya
/ citizentvkenya

Опубликовано:

 

10 мар 2017

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@kevinomondi001
@kevinomondi001 2 года назад
I know this lady
@currymuncher4090
@currymuncher4090 7 лет назад
Jengeni daraja.
@bonphacemagoya4112
@bonphacemagoya4112 3 года назад
Mm pia nilimpoteza dada yangu na mpaka leo Advocate Ogola Advocate Asige and Anyanzwa ndio walikuwa mawakili walikula pesa ya watu waliokufa family zao wengi wao hawakupata hata centi tano ila Mungu yuko Advocate Obara ndio alikuwa na furaha ya kutumia hela ya Wafu Mungu atawalipa kwa ubaya wao waliofanya My file no.Hcc 819 of 94 James Magoya vs Kenya ferry service Ltd.
@sandmanpictureske
@sandmanpictureske 5 лет назад
good job
@AbdulMalik-eh7km
@AbdulMalik-eh7km 4 года назад
Wategezee feer y mtongwe bana
@happytimes9896
@happytimes9896 7 лет назад
waah mkubwa kwelikweli hayapimiki hata kwa mizani
@anneemmanuel7363
@anneemmanuel7363 6 лет назад
C Kujengwe daraja tu tuepuke hiii mambo jamani
@calebsagwe1149
@calebsagwe1149 5 лет назад
Meli hupita katika kivuko cha mtongwe kwa hivyo hakuezi jengwa daraja
@AbdulMalik-eh7km
@AbdulMalik-eh7km 4 года назад
Wapitishe maonda n mikokoteni
Далее
PORTAL SPAMMER🤬🤬🤬| Doge Gaming
00:19
Просмотров 1,3 млн
Mgogoro wa ardhi Kibarani, Mombasa
6:27
Просмотров 4,1 тыс.
NDOA YA SHAMSA FORD
16:06
Просмотров 814 тыс.
Mlowezi aliyeuawa Laikipia azikwa
2:30
Просмотров 1,4 тыс.
Why Starbucks Is Struggling
12:06
Просмотров 476 тыс.
Nigeria's struggle to break the 'oil curse' | FT Film
30:34