Тёмный

| MAKOVU YA UGAIDI DUSIT | Familia ya Ali Gichunge wasimulia namna walivyotengwa 

Citizen TV Kenya
Подписаться 5 млн
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Miaka minne tangu kutokea kwa shambulizi la kigaidi katika eneo la Dusit D2, Riverside Nairobi lililosababisha vifo vya watu 22, makovu ya waathiriwa yameendelea kama tukio la hapo jana. Hata hivyo, kwa mama Sakina Mariam, makovu yake sio la kawaida kwani mwanawe wa kiume Ali Gichunge alikuwa mmoja wa magaidi waliotekeleza shambulizi hilo. Kwa mama huyu maisha yake yamebadilika na uchungu alio nao ni kuwa siku moja atapata fursa ya kuwaomba radhi waathiriwa kwa ukatili wa mwanawe. Gatete Njoroge alikuwa Isiolo na kutuandalia taarifa hii maalum

Опубликовано:

 

14 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@rosemwai8791
@rosemwai8791 Год назад
God have mercy on us women. Makosa yetu ni kuzaa na kulea ama ni gani
@arafawilliam2142
@arafawilliam2142 Год назад
Innallilahi wa innailahi rrajiun pole sana mama sio makosa yako
@munenesafaris1684
@munenesafaris1684 Год назад
Pole sana mum....was not your mistake.
@learningqs.
@learningqs. Год назад
Pole sana Mama. Ninafahamu fika kwamba, sisi wazazi twapanga haya, ilhali watoto wapanga yao. Mungu akupe moyo mgumu wa kuyavumilia haya mambo.
@nesbitmiriti4366
@nesbitmiriti4366 Год назад
Pole mama huna makosa.
@jennybrenner6617
@jennybrenner6617 Год назад
Pole mom, watoto wanavituko
@levisomari417
@levisomari417 Год назад
My cousin was shot two times but thank God she made it
@janewamaitha4930
@janewamaitha4930 Год назад
I'm sorry mum
@munenesam2395
@munenesam2395 Год назад
Rejoice
@juddykananu1630
@juddykananu1630 Год назад
Pole mum you did all your best to raise him well
@fatmahamesa2449
@fatmahamesa2449 Год назад
Sorry sorry
@Kakwasi
@Kakwasi Год назад
Was it fair to do that to the mum
@timothyallindi4372
@timothyallindi4372 Год назад
This is surely interesting the mum had even reported to the police reason why she was arrested is surprising and taken to court without tangible evidence.
@Dave-254
@Dave-254 Год назад
Ata bibilia inasema kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe so it doesn't make sense kushika mama while she's innocent
@aloshanoor51
@aloshanoor51 Год назад
Stupid incompetent police..she reported to the police and they never bothered to investigate..Kazi ni kujifanya fanya mahodari na kumtesa innocence grieving helpless mother after the damage is done...she needs to be compensated
Далее
Schoolboy - Часть 2
00:12
Просмотров 2,6 млн
Редакция. News: 128-я неделя
57:38
Просмотров 762 тыс.
KUMEKUCHA,MAKONDA YUPO WAPI?, DR SULLE ATEMA CHECHE
19:08